Tunaosikiliza hii nyimbo 2024, tuungane, inanikumbusha kipindi nipo sekondari tuliimba bila kuelewa maana halisi, hivi sasa nimepevuka akili, imekuwa nyimbo bora kwangu
Taswira ya mbinguni na mandhari yake yakisimuliwa kwa lugha inayoeleweka kwa urahisi. Inanikumbusha safari yetu na Bwana Verony kule Mirerani kuitafuta kwaya hii. Viongozi na wanakwaya hawa walitupokea kwa heshima na taadhima kuu.... Hongereni sana.
Aiseeee! Mwalimu Koigi hata usiongee mkuu, yaani siku na miaka zimeenda kweli. Tutafutane kamanda, Mungu ametutendea mengi sifa na utukufu ni kwake pekee. Wewe ni wetu mkuu.
Haki injili haifi nimejiona nimefarijika sana thnx mwalimu minja jonh mkude jose kwa kinanda mashairi yenye kuishi milele nimewamic mirerani mt. Cesilia nawapenda walio tangulia Mungu awape mwanga wa milele
Usiku na mchana, jioni na asubuhi Kiangazi masika mpaka Mbinguni Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini) Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni
Tumetafiti tukauliza, maandiko tukafunua Kutambua watakatifu, wanafanya kazi gani Mbinguni [Sauti ya 1] Usiku na mchana, jioni na asubuhi Kiangazi masika mpaka Mbinguni [Sauti ya 2] Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini) Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni Enyi wasomi tuambieni, wanasayansi tujibuni Katika mambo ya mbinguni, nini kinafanyika duniani Tumetambua kule mbinguni, hakuna kwenda ofisini Wala kumbi za burudani, hata kilimo hakuna lakini Kumbe furaha za dunia hii, ni upumbafu ni wazimu Na anasa za maadili, sisi waimbaji tumeamua Waamini wote furahini, makasisi shangilieni Nanyi watawa jiungeni, kwa waimbaji hakuna matata Upendo wake ni wa ajabu, fadhili zake za milele Huruma yake ni amini, msamaha wake unashangaza
|s1| Usiku na mchana, jioni na asubuhi Kiangazi masika mpaka Mbinguni |s2| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni |a| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni  |t| Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini) |b| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni
Tunaosikiliza hii nyimbo 2024, tuungane, inanikumbusha kipindi nipo sekondari tuliimba bila kuelewa maana halisi, hivi sasa nimepevuka akili, imekuwa nyimbo bora kwangu
Ambao tupo na ih adi 2024 tia kkoment apa
Huu wimbo wanikumbushaa mwaka 2017 nikiwa pale seminary Nairobi I do feel blessed saana
May God bless your vocation now and forever 🙏
2024 and am still blessed by this song
0:43 hata watu wamechoka na mm kicheza hii Ngoma mara kumi❤❤❤❤ catholic forever ❤❤❤
This is the best Catholic song nimesikia so far @ holy cross Nakuru
Hii nyimbi nakumbuka mbali St. Joseph girls seminary mwanza t oz a Thanksgiving song
1)..Usiku na mchana jioni na asubuhi kiangazi masika ...mpaka mbinguni
2)Tutamsifu mungu,tutamwimbia watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni.....😊😊😊
@@MadlyneDeziah asante nilikuwa nasikia tu ... mpaka mbinguni
2023 hii nyimbo bado inaishi❤❤🎉🎉🎉
2024 listeners let’s gather here ❤❤❤
Napenda huu wimbo sana❤
2012 was my first time kusikiza huu wimbo nikiwa darasa la 5 hadi sai nazid i kubarikiwa na huu wimbo
Catholic Music is amazing. well harmonized voices. this was our best Thanks Giving song back in High school (2011) at Mang'u High.
And I was the choirmistress when this song was our daily bread
Still in 2024 but the song is in my mind😊😊
I love catholic so much my home love from Kenya forever my church Vatican
One of the best Catholic songs ever🎉🎉🎉
Once a Catholic always a Catholic 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
THIS WILL BE ONE OF THE BEST SONGS IN CATHOLIC SONGS
Agree
Tuned in from makueni county...barka tu kwa wingi
Taswira ya mbinguni na mandhari yake yakisimuliwa kwa lugha inayoeleweka kwa urahisi. Inanikumbusha safari yetu na Bwana Verony kule Mirerani kuitafuta kwaya hii. Viongozi na wanakwaya hawa walitupokea kwa heshima na taadhima kuu.... Hongereni sana.
Aiseeee! Mwalimu Koigi hata usiongee mkuu, yaani siku na miaka zimeenda kweli. Tutafutane kamanda, Mungu ametutendea mengi sifa na utukufu ni kwake pekee. Wewe ni wetu mkuu.
@@VeronyProductions nilipoteza mawasiliano
Naupenda huu wimbo
Furahi ya dunia hii ni upumbavu na bure
Haki injili haifi nimejiona nimefarijika sana thnx mwalimu minja jonh mkude jose kwa kinanda mashairi yenye kuishi milele nimewamic mirerani mt. Cesilia nawapenda walio tangulia Mungu awape mwanga wa milele
Amina dada DianaRose. Ubarikiwe sana.
Umeona ee kuimba raha jamani
Napenda huu wimbo. Have seen a status of sb. Imebidi nisikie wimbo wote!! Kwa iko nini au vipi!¡??
tupo 🎉🎉🎉 najifunia kuwa mkatolik
hakika mbinguni hakuna kilimo wala mahindi
Sauti ya pili dondosha komment yako ❤
Iko sawa Sana🇰🇪
Kama kawaida sauti ya pili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Baraka nyingi kwa mtunzi wa wimbo
Huu wimbo hunikumbusha pale 2014 nikiwa ycs it used bless the entire wednesday 🎉
I like the both song and the singers❤❤❤😂
Nyimbo takatifu mungu fundi kaabisa wakufunza wanafunzi🙏🙏
Bd inaishi na inaonesha wamechelewa kuwek online maan ni mda kdg
I jus love this song
Tutamsifu forever
Queen popote ulipo chukua maua yako, love ur talent till I die ❤❤❤❤
Naomba producer tuwasiliane nyuma ya hema.
veronyproductions@gmail.com
This Song reminds me of High School "Longido High School" It was a wonderful kwakwel
Kuimba kuna raha yake
Songa mbere waimbaji tumeshaa amua kumtukuza Mungu.
I like the song. It made feel as if I am at heaven. May Almighty God bless the singers.
Good song i like this.
Mziki mtamu sana
2024tutampangia nota
Waumini tutampangia nota mpaka binguni
This song makes me marvel at the far God has brought me. I will forever be grateful and speak of your greatness
P .m no mi. .. am. Am j Ann. .
This song is very inspiring ,, thankyou very much
You are going even further, just trust in God.
Kwaya kali kuliko zote! Heko.
Proud Catholic❤
back then nyamagwa boys kisii,,thanksgiving song,,it was lit
Amen amen and amen nice song lndeed barikiwa sana
What a blessing to come a cross this beautiful music again
Reminds me st Luke catholic choir kenyatta barracks when I was an active chairlady..
the song is much fire and spiritual composed , Angles replica
Kazi safi St. Cecilia ❤
Zilizopendwa
Na bado zinapendwa.
Tukumbushe basi
@@spearsproduction4481 Huo ndo mwito wetu. Asante sana kutuunga mkono muda wote.
Such good and harmonized voices
Wonderful choir
I love this song. Such an encouraging
Am happy
I feel blessed today 🥰
A beautiful song❤
Nota mpaka mbinguniii
I love the song very much,glory to God
Amen.
Very beautiful song
In love with the song 💋
Beautiful 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
What a blessing song
Very blessing Victoria.
I love it ❤❤❤❤❤
Very nice...any lyrics
Yearning for this 🤗🤗🤗🤗🤗
Congrats at cicilia🎉🎉🎉😅😊
Tamu....one of m best
I thought it was by st Paul's Catholic university chapel🤔. Nice though
Intresting
Beautiful voices 😍
Thank you so much!!
Chorus pliz someone to write for me inanipita, nice song ever
Usiku na mchana, jioni na asubuhi
Kiangazi masika mpaka Mbinguni
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni
Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi
tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini)
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni
2024 still here
Waw! Nice song
1st August 2024 ♥️😊
Nice one
Nimebarikiwa Sana
Uwepo wako hapa umetubariki sana pia.
Amina
Nmeukumbuka sana leo hivi ni wa mwaka gani huu wimbo?
❤❤❤❤
2024♾️❤️❤️❤️🙏🏽🙏🏽
daah TYCS 2006-2008 pale musoma tech hahahaaa
Tunaomba Lyrics wa Huu wimbo - Dec 25, 2022..
Tumetafiti tukauliza, maandiko tukafunua
Kutambua watakatifu, wanafanya kazi gani Mbinguni
[Sauti ya 1] Usiku na mchana, jioni na asubuhi
Kiangazi masika mpaka Mbinguni
[Sauti ya 2] Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni
Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi
tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini)
Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni
Enyi wasomi tuambieni, wanasayansi tujibuni
Katika mambo ya mbinguni, nini kinafanyika duniani
Tumetambua kule mbinguni, hakuna kwenda ofisini
Wala kumbi za burudani, hata kilimo hakuna lakini
Kumbe furaha za dunia hii, ni upumbafu ni wazimu
Na anasa za maadili, sisi waimbaji tumeamua
Waamini wote furahini, makasisi shangilieni
Nanyi watawa jiungeni, kwa waimbaji hakuna matata
Upendo wake ni wa ajabu, fadhili zake za milele
Huruma yake ni amini, msamaha wake unashangaza
@@VeronyProductions Thanks 👍👍👍
@@fredyelifuraha2553 Karibu sana.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏❣️
05.10.2024❤
TYCS BISHOP DURNING 2009
❤️❤️
Waaaauu
Mtihani unanzia hpo
Tupate lyrics jamani
Lyrics zipo, Graca.
Wapi
@@VeronyProductions wapi?
What is the refrain/chorus saying 😅
|s1| Usiku na mchana, jioni na asubuhi
Kiangazi masika mpaka Mbinguni
|s2| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka mbinguni
|a| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi Tutampangia nota mpaka Mbinguni
 |t| Tutamsifu, waimbaji tutamwimbia, watunzi
tutampangia nota mpaka Mbinguni (waumini)
|b| Tutamsifu Mungu, tutamwimbia
Watunzi tutampangia nota mpaka Mbinguni
Hello is this choir still making songs
Is this choir still producing songs
Yes, they are, something new will be out soon.
@@VeronyProductions ok do they have instagram.i want to see their update
In which language is this? Please
I would like to have it's skiza tune
It's right here: Sms SKIZA 7012625 to 811
❤❤❤❤
❤❤