Mchanganyo Bwana yesu amekataa ametuambia tushike sheria zake ili tupate kuona ufalme wake asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Mchanganyo mchanganyo Bwana Yesu amekataa asante sana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
ASANTENI SANA TENA SANA WOTE WATOLIKA KULE TANZANIA. NYIMOB YENU ZOTE NAKUPENDA NA NAFURAHIA SANA KAMA NANGALIA VIDEO YENU. NDUNGU ZANGU WAPENDWA SANA NATAMANI SANA NIKUE NANYI KUIMBA NYIMBO ZA KATOLIKA. NAMI NI MKATOLIKA YA SOROTI CITY UGANDA. HAYA NAOMBEA MUNGU WETU BABA HAWABARIKI NINYI WOTE.AMINA.
This song is so *POWERFUL* I have goosebumps every time I hear it - even though I have no idea what they're singing about. 😀👏👏👏God is wonderful, really wonderful indeed. I'll learn Swahili just so I can understand the gospel. I ❤ Mt Cesilia Parish Choir big time. God bless y'all very, very, very much.❤🔥 Thank you so much for this gem.
Tushike sheria zake kumi ❤❤
Always believe in one spirit..Mungu ni roho anafaa kuabudiwa kwa akili zetu zote na kweli
Mchanganyo Bwana yesu amekataa ametuambia tushike sheria zake ili tupate kuona ufalme wake asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Mchanganyo mchanganyo Bwana Yesu amekataa asante sana kwa maneno ayo yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
God dislikes double minded people❤
Kabisa.
i can't imagine; Dhuluma kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Utoaji wa mimba unafanya, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Anasa kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Uzinzi kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa.
These Tanzania choirs are very serious
Like nyingi kwa kwaya ya mererani Kama umevuka salama 2021
Hongereni sana Wana kwaya mlitisha kwa wakati huwo nakumbuka nikiwa mererani nachimba madini kwa chusa opeck
Nashukuru kwa mafunzo kwa kupitia uimbaji mungu awabariki sana tunajifunza kupitia nyimbo zenu mubarikiwe.
Who is here today🥹
ASANTENI SANA TENA SANA WOTE WATOLIKA KULE TANZANIA. NYIMOB YENU ZOTE NAKUPENDA NA NAFURAHIA SANA KAMA NANGALIA VIDEO YENU. NDUNGU ZANGU WAPENDWA SANA NATAMANI SANA NIKUE NANYI KUIMBA NYIMBO ZA KATOLIKA. NAMI NI MKATOLIKA YA SOROTI CITY UGANDA. HAYA NAOMBEA MUNGU WETU BABA HAWABARIKI NINYI WOTE.AMINA.
1st heard the song , nikiwa form 1, great choir, Kazi nzuri watumishi wa Mungu.
Hivi yule mwanakwaya tulikuwa tunamwita tumbuiza bado yuko kwenye hii kwaya? Kitambo sana
You are either cold or warm...God rebukes the lukrwarm ones
amen🙏🙏🙏🙏💙💙💙💜💜💜
Yes ukichanganya utachanganyikiwa zaidi. good song
Kabisa.
Wimbo wenye mafunzo tele, mchanganyo bwana Yesu amekataa.
2023 & still enjoying❤❤
I’m proud to be catholic 🙏🏾❤️❤❤❤
Naipenda xan
Mchanganyo bwana yesu alikaa nao wimbo mzuri kweli
Ndio. Mchanganyo Bwana Yesu Amekataa.
Baikubari Sana hii nyimbo
Amen 🙏 be blessed mchanganyo bwana yesu amekataa
Amekataa kabisa.
What a song!2023 watching
Mubarikiwe sana mungu awabariki
naupenda huu wimbo sana.
Asante Maina. Laiti watu wangeusikiliza kwa makini ni wimbo wenye ujumbe mzito sana.
Yesu amekataza mixing ups...stick upande mmoja.One of the best song ever
I was devoted to my church services after listening this educative song🥳❤️
Glad to hear you are more devoted to church. May God see you thro. Blessings.
Tunafurahishwa ariyo ndani kwanyimbo mchanganyo
The holy spirit inspired me with this song in the midst of night being mixed up... Mungu nisaidie 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu awabariki sana wimbo mzuri sana
❤❤❤❤❤i love the song for real, amazing and touching, very vital and precise.
Niko na weww n Simon mzuri
Best song to listen during this difficult time of Corona,,
mungu awabariki
Meseji zuri sana Mungu awabariki sana
Ukichanganya unakaa kuchanganyikiwa
Wimbo hu u barikiwe
This song is so *POWERFUL* I have goosebumps every time I hear it - even though I have no idea what they're singing about. 😀👏👏👏God is wonderful, really wonderful indeed. I'll learn Swahili just so I can understand the gospel. I ❤ Mt Cesilia Parish Choir big time. God bless y'all very, very, very much.❤🔥 Thank you so much for this gem.
wow thanks.. its simply saying we stop being hot and the same cold as christians as God doesn't like that... I hope you have a clue now
@@raphaelmuema407 Thank you so much. Appreciate the explanation. Really love this song! God bless you abundantly.
@@SwittyKiwi your much welcomed
It's a cool gospel music..i like catholic
@@kiprotichhillary5906 True.
sawa BWANA YESU amekataa. je wewe unaukataa.
Music at its best...
Wimbo safi kabisa,....mchanganyo haufai
Hii kwaya ni moto wa kuotea mbali!
Wimbo Mzuri sana jaman😚😚😚♨
Anyone in 2025😊
Mbalikiwe na umbe mzur
Verony productions are the best ever,,i will do connection for my wedding
Evelyne, thank you for the kind words, you can reach us on 0722 841113. We are now doing live streaming. Karibu sana.
Yes yesu apendi kuchanganya
Powerful song👏👏
The song still hits in 2024
What a beautiful song even if I don't understand Swahili well,,,
Thanks for great message ,I love you forever
Hongereni sana
I like this song so much
❤❤❤
" hivi wapendwa kunywa pombe na kuuza pombe ni dhambi au sio dhambi
Ni dhambi
The best catholic choirs song
Huuu wmbo bwana
Wonderful song
❤❤❤❤❤
Amina
Nice song
Mkude wee kinanda hicho baba
Wow what a nice song
My teacher Mukude, big up. Qatar
If we human r jealous, so our LORD? jus decide Kwa shetani au MUNGU n do it fully fully
Lovely song
Very good nice song .
I need lyrics of this song
MTUNZI: E.A. Minja
Mchanganyo mchanganyo Bwana Yesu amekataa *2
Kiburi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Dharau kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Uwongo kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Fitina kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Uchawi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Hirizi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Ulevi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Ugomvi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Uchoyo kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Ulafi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Kinyongo kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Tamaa kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Zulia kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Na wizi kidogo unaweka, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Ki-mini kidogo unavaa, kanisani nako humo humo
Na nguo za kubana unavaa, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Dhuluma kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Utoaji wa mimba unafanya, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa
Anasa kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Uzinzi kidogo unafanya, kanisani nako humo humo
Mchanganyo mchanganyo humo humo Bwana Yesu amekataa.
Good song
Beautiful voices
Verony production you're the best🎉
Kind words can be short and easy to speak, but their echoes are truly endless. Blessings.
2020 and still enjoying
Jesca Mushi; au sio?
Ababimbusi
Love it till now.. 2020
I like this it blesses me
Wonderful voices may God bless you thanks
Amen,I like this song so much, 💞
Waooh waooh real message of our days
Very relevant in deed.
Nice song ...love it
We love you too, Kanini.
Danilod of line
Well done
Blessed
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😍😍😍
Be blessed
2023 still here
Amen
GOD BLESS THE CATHOLICIAN
🙏🙏🙏🙏🙏
very nine amen
Rose atieno
Sit ivon
Wow
Yes love y
❤❤
9óp we
Renew
Good song
Good song love it