WANAUME HAWAJUI MAANA YA KUWA ROMANTIC | MWAMBIE MKEO NAKUPENDA KILA DAKIKA - DR MWAKA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 4

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂acha ni cheke Dr mwaka unaweza mwambia nakupenda mbavu zangu.,plus mapigo ya moyo wangu ,plus uhai wangu au pumzi zangu katika mda umeandika unajibiwa maneno machache asante ivyo tu ,au you to je apo mume atakua na nguvu tena 😂😂😂😂tunapitia mengi

    • @coolopic3698
      @coolopic3698 ปีที่แล้ว

      Nakubali naona ngoma ya mmakonde apo kwa tv inaplay safi sana

  • @simonballu1124
    @simonballu1124 ปีที่แล้ว

    yaani mke wangu ni mwaka 14 nianze kumuita eti honey sijui nini nimerogwa na kulishwa limbwata au hata mengo zitafunguka siku hiyo, ni mama P TU IMEISHA HIYO.

  • @simonballu1124
    @simonballu1124 ปีที่แล้ว

    yaani TZ ndo nchi pekee vidada vidogo visimbe vinatufundisha jinsi ya kuishi na wake zetu wakati tunawazaa mlikuwepo, mtukome nyie watoto.