ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

RAIS MWINGINE AMSHANGAA MTU MREFU 7 7, AFANYA NAYE MAHOJIOANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • Rais wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete amemuuliza matatu kijana mwenye urefu wa Futi 7 na Nusu ambaye anashiriki Maonesho ya sabasaba jijini DSM akiwa kama Balozi wa Kampuni inayohusika na kujenga, kuuza, kupina viwanja, kijana ambaye amekuwa ni kivutio kikubwa katika maonesho haya ya 48.
    Maswali aliyoulizwa hapa ni pamoja na kuhusu kitanda anacholalia, nguo anazovaa, lakini hata viatu anapataje saidi. N a majibu ya Julius yakawa ni oda maalum lasivyo hapati vipimo vyake madukani.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 8

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน

    Mungu fundi

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 หลายเดือนก่อน +2

    Utalii tosha nembo ya taifa

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 หลายเดือนก่อน +1

    Kikwete bhana😆😆😆

  • @MARCEL_BOY9
    @MARCEL_BOY9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jama kama lebron James basketball jamaa mrefu balaa

  • @gregory6165
    @gregory6165 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekuwa huyu jamaa ningekuwa nashikashika watu vichwa na kupiga konzi inapobidi

    • @evamgaya8240
      @evamgaya8240 หลายเดือนก่อน

      🙆‍♀🙆‍♀

  • @josiahkamugisha9193
    @josiahkamugisha9193 หลายเดือนก่อน

    Huyu itabidi wamkatie fungu maana maana amekua kama maonyesho

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 หลายเดือนก่อน +1

    Zakayo😂😂😂