AMINA MFAKI ALIPONGEZA KANISA LA KKKT KWA KUWAHUDUMIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA AKILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Mkurugenzi wa huduma za Jamii Ofisi ya Raisi TAMISEMI, anayeshugulikia maswala ya watu wenye ulemavu Bi. Amina Mfaki alikuwa mgeni rasmi kwenye Bonanza la watotot wenye ulemavu wa akili lililofanyika kwenye viwanja vya........... mjini Moshi, Kilimanjaro
    Tamasha hilo lililoandaliwa na kituo cha BCC chini ya kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini limehudhuriwa na wtu zaidi y 250, ambapo watu wote kwa pamoja wamepata muda wa kucheza na watoto wenye ulemavu wa akili katika viwanha hivyo

ความคิดเห็น •