ASKOFU DKT. SHOO "KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI NI SAWA NA KUKUTANA NA MALAIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo amewafananisha waandishi wa habari na malaika kutokana na kazi zao kufanana yaani kutoa ujumbe au habari ambazo zinaweza kuwa njema ama mbaya
    Amesema hayo wakati akitoa salamu zake kwenye washa ya waratibu na wasimamizi wa vyombo vya habari vya KKKT iliyofanyika kwenye ukumbi wa Usharika wa Ubungo jijini Dar es Salaam

ความคิดเห็น •