Ndiye Mshindi. Ubungo Hill Sda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Ubungo Hill sda Choir.
    Wokovu Wetu Album
    Published by Saguma, Communication Department.

ความคิดเห็น • 18

  • @kasembojackson6850
    @kasembojackson6850 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @dicksonkabadumbanshatsi3314
    @dicksonkabadumbanshatsi3314 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awabariki sana kwa wimbo, napenda huu uimbaji, naomna miweke ile wimbo wa "BWANA Yesu ndiye neno"
    Mbarikiwe

  • @uzimaluvanda816
    @uzimaluvanda816 ปีที่แล้ว

    Amina, Mungu na awabariki.

  • @maranathatv9872
    @maranathatv9872 ปีที่แล้ว

    Ameen Mbarikiwe sana

  • @truthobservers4616
    @truthobservers4616 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa kumsifu Mungu kweli kweli huku ndiko kuimba kwa Roho na kwa akili. Jitahidini jilindeni sana na midundo iliyoingia kwenye kwaya zetu za kisaabato. Dance imejipenyeza kwa kiasi kikubwa na hakuna juhudi ya kuzitoa. Ukitaka uchukiwe na wanakwaya wengi wa kisabato gusa nyimbo zao za midungo (Ni kama kumwaga pombe ya mlevi!!!)

  • @paulinekimollo6216
    @paulinekimollo6216 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe kwa kumwinua Yesu ! Ni kweli Yeye ndiye Mshindi! Mko juu!

  • @jackilinemmbwambo8699
    @jackilinemmbwambo8699 ปีที่แล้ว

    Mbarikiweee.....

  • @edwindudi4806
    @edwindudi4806 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana jaman, nimekumbuka mbali, enzi hizo nami ni sehemu ya waimbaji wa Ubungo Hill, wimbo mtamu Mungu awabariki sana.

  • @jemsichali5437
    @jemsichali5437 6 ปีที่แล้ว

    Safisana mbarikiwe wekeni nyimbozingine mpia

  • @jordanmgalu4295
    @jordanmgalu4295 6 ปีที่แล้ว

    asante kwa wimbo mzuri

  • @rozinarugumisa3772
    @rozinarugumisa3772 6 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana

    • @alisalambert6819
      @alisalambert6819 6 ปีที่แล้ว

      ROZINA RUGUMISA MAMDOGO nakuona

    • @bonifacebenjamin1217
      @bonifacebenjamin1217 4 ปีที่แล้ว

      Ubungo hill mko vizuri mno,
      Uimbaji wenu umeenda shule.
      Naamini kwaya nyingi zinajifunza kutoka kwenu.
      Endeleeni kunyenyekea miguuni pa Kristo ili azidi kuwainua.

  • @erickboniphace2467
    @erickboniphace2467 6 ปีที่แล้ว

    Naam wenye nguvu huwa washindi .... Barikiweni

    • @jemsichali5437
      @jemsichali5437 5 ปีที่แล้ว

      Wenye nguvu huwa hawashindi wala wapiga mbioBali niwaaminifu washindao kwa neno

  • @tazamambeyastation6154
    @tazamambeyastation6154 6 ปีที่แล้ว

    yaani nawapenda sana jamani Mbarikiwe sana watumishi