- 2
- 35 056
ubungo hill
เข้าร่วมเมื่อ 21 มี.ค. 2012
Ndiye Mshindi. Ubungo Hill Sda
Ubungo Hill sda Choir.
Wokovu Wetu Album
Published by Saguma, Communication Department.
Wokovu Wetu Album
Published by Saguma, Communication Department.
มุมมอง: 29 392
วีดีโอ
UBUNGO HILL SDA CHOIR,,. WIMBO: "NEEMA IMENIOSHA DHAMBI"
มุมมอง 6K12 ปีที่แล้ว
UBUNGOM HILL KWAYA WIMBO: TAMU SANA PENDO LAKO MWOKOZI
Mbarikiweee.....
Amina, Mungu na awabariki.
th-cam.com/video/XH6IT_tsSUI/w-d-xo.html
Ameen Mbarikiwe sana
Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen
Wimbo wa kumsifu Mungu kweli kweli huku ndiko kuimba kwa Roho na kwa akili. Jitahidini jilindeni sana na midundo iliyoingia kwenye kwaya zetu za kisaabato. Dance imejipenyeza kwa kiasi kikubwa na hakuna juhudi ya kuzitoa. Ukitaka uchukiwe na wanakwaya wengi wa kisabato gusa nyimbo zao za midungo (Ni kama kumwaga pombe ya mlevi!!!)
Nawapenda sana jaman, nimekumbuka mbali, enzi hizo nami ni sehemu ya waimbaji wa Ubungo Hill, wimbo mtamu Mungu awabariki sana.
MUNGU awabariki sana kwa wimbo, napenda huu uimbaji, naomna miweke ile wimbo wa "BWANA Yesu ndiye neno" Mbarikiwe
🙏🙏🙏
Naam wenye nguvu huwa washindi .... Barikiweni
Wenye nguvu huwa hawashindi wala wapiga mbioBali niwaaminifu washindao kwa neno
Safisana mbarikiwe wekeni nyimbozingine mpia
Mbarikiwe kwa kumwinua Yesu ! Ni kweli Yeye ndiye Mshindi! Mko juu!
yaani nawapenda sana jamani Mbarikiwe sana watumishi
asante kwa wimbo mzuri
Nzuri sana
ROZINA RUGUMISA MAMDOGO nakuona
Ubungo hill mko vizuri mno, Uimbaji wenu umeenda shule. Naamini kwaya nyingi zinajifunza kutoka kwenu. Endeleeni kunyenyekea miguuni pa Kristo ili azidi kuwainua.
Amen
Im blessed
Blessed are UBUNGO HILL SDA CHOIR for being a relevant example in singing recommended SDA MUSIC