Jamani huu wimbo nimeupenda sana sana sana ila huku mtandaoni umerekodiwa vibnye wimbo huu wanitumie au wanijulishe nirushiwe whatsapp nitafurah sana mkinisaidia ktk hiloaya naombeni msaada ubungo hill members we
huu wimbo ni mzuri hadi basi hakuna lugha ya kuuelezea, kila wakati natamani kuusikiliza tu na kuurudia kila mara. Bwana awabariki waimbaji hawa na mtungaji kwa upekee sana na tujitahdi tukamsifu Muumba wetu paradiso ileeee
Wimbo huu unanigusa moyo wangu saana sauti yake ya unyenyekevu huuvunja vunja moyo wangu . Na kunifariji Ni ombi la kila mmoja . Nikamilishe Bwananikutumikie. Mara ya kwanza niliusikia kwenye Eksitravaganza. Morgr kiwanja Cha taifa pale siku ya sabato. Kweli niliguswa Sana .na wimbo huu. Mungu Awabariki Sana waimbaji.mlete Roho nyingi kwa Yesu. Amen I.🙏
Barikiweni sana kwa nyimbo nzuri
Mungu atukuzwe sana na endeleeni kubarikiwa
Halleluyaa best of the best ....
Amen. I'm blessed with the song. How can I get the music score?
I have listened to this song so many times, I just love it, well done friends
Amen
mbarikiwe waimbaji
Awesome
My favorite song
Nice choir good voices God bless
ALOTUNGA HUU WIMBO MBINGUNI MOJA KWA MOJA..Loh!
Groly be to God
Jamani huu wimbo nimeupenda sana sana sana ila huku mtandaoni umerekodiwa vibnye wimbo huu wanitumie au wanijulishe nirushiwe whatsapp nitafurah sana mkinisaidia ktk hiloaya naombeni msaada ubungo hill members we
huu wimbo ni mzuri hadi basi hakuna lugha ya kuuelezea, kila wakati natamani
kuusikiliza tu na kuurudia kila mara. Bwana awabariki waimbaji hawa na mtungaji
kwa upekee sana na tujitahdi tukamsifu Muumba wetu paradiso ileeee
Barikiwa