Wimbo huu mzuri sana, hakika Mungu anastahili sifa kwa mema Mengi... wimbo naupenda sana.... matendo makuu ya Mungu anayonitendea... POKEA SIFA BWANA....Mungu awabariki sana the Light Bearers
The song has made me to remember how the works of the Lord are so wonderful. Am a Cancer survivor and I live by the grace of God to proclaim what God has done for me
Am a staunch Catholic but am usually really blessed by this song, it is ever playing while am busy working, great voices God bless you as you continue with his ministry , MY NUMBER ONE SONG
its not about song, not bout incredible voice not about calm beatful face not about nice language used not about smartness but its all about how i feel when listening this beatful song at my office desk. it calms my mind and find myself stress free and full of peace as CHRIST HIMSELF RULING ME. KWELI NAPENDA SANA NA MUNGU AWABARIKI ABUNDANTLY
I hope that im not the only one listening to these beautiful voices, even in 2019. Light Bearers, be blessed and confidently, continue to draw God's folks towards Him, through your songs. 👏👏... 🇳🇦
на на на на сайте компании зарплата и ведомств с тобой на работу ии и не надо так говорить о товаре у наших клиентов в день рождения последний год назад не только по
I am very much impress wth song called Ishimwe i love it.,I may not speak the Rwandan but the spirit can interpret and move me.I will send my contribution to keep you guys singing more. A child of God.Uk
I'm in love with you guys, especially with this particular song, "Pokea Sifa." I attended your concert today in Jersey City, NJ, and I must admit that this song ministered to me in a very special way; I've played it more than ten times tonight and still just can't get enough of it. Great message, from our Great Lord, delivered by His beautiful messengers, to his loved children . There's no other but God.
shirly david thank you for your kind words. It's so inspiring to learn of how far The Light Bearers' music has gone. P'se continue to pray and support LB's ministry.
Kama kuna anayestahili kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu ni MUNGU muubaji pekee, mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri Mungu azidi kuwatumia kwa kadri apendavyo yeye. Binafsi naguswa sana na ujumbe huu nakosa cha kusema Zaidi ya kumshukru MUNGU hivyo naungana na ninyi kumsifu Bwana. MUNGU AWABARIKI SANA.
Oh my God.... this Song i can't stop myself from shading tears when listening to the song and most of your other songs. Though i don't understand the Language you guys use but the Melody and Lyrics makes my soul extremely joyous may God Bless "The light bearers Tanzania"
SABATO NJEMA waimbaji wa Baba,Huu wimbo wa Pokea Sifa unaniamisha hapa dunia na kujiona niko Mbinguni tayari,umejaa uinjilisti wa vizazi vyote,MUNGU ajibu haja za mioyo yenu kila muombapo,
Bom dia! amo ouvir estes corais lindos cantar, não entendo a língua de vocês mais a melodia de cada música me encanta; que Deus abençoe a vida de Todos vocês amém?
Mungu awabariki kila ninaposikia nampa sifa mungu kwa pendo lake kwangu na familia yangu,Leo 21/5/2022 napokea jumbe isiyozeeka mumeacha alama,nimemuona classmet wangu AMINA
Hakika mungu awongoze kwa ujumbe mzur wa pokea sifa mungu wa mbinguni awaongezee ili tuendelee kuhibili injili yake kupitia nyimbo hakika mungu amnitoa mbali sana barikiwa sana
Navutiwa na maneno, sauti nzuri inayopeleka sifa kwa Bwana Mungu hakika Mungu ameskia na anaskia sifa hizi, binafsi nahisi kumshukuru Mungu maana km vile nisingekuwepo lkn pia wenda ningekuwepo pahara tofauti na hapa nilipo. Pokea sifa Bwanaaaaaaa
SINDAYIHEBURA César barikiwa kwa ushauri wako. Nyimbo zetu zote zipo katika kiingereza. Fungua closed captions katika video unayo ichagua kupata lugha ya kiingereza.
The far you have brought me dear lord wacha niimbe let me praise you and I know it has never been easy😭😭but we are here now celebrating your amazing grace 🙏❤️
innocent maduhu Shukrani kwa mrejesho wako. Nyimbo zote zina CLOSED CAPTIONS katika lugha kadhaa zikiwemo: Kiingereza, Kiswahili nk. Unafungua video katika sehemu ilipoandikwa 'captions' kisha chagua lugha unayotaka kuona maneno yake. Lakini pia video hizi zipo katika ubora mbali mbali hadi FULL HD 1080p. Chaguzi ni yako.
Hii wimbo naipenda sana , Nini tunaeza lipa Bwana isipo tu kulisifu na kulitukuza jina lake kuu? Like this pademic time niwengi wameaga lakini Bwana ametulinda pokea sifa Bwana
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu.Nilifurahi sana mlipo fika njiro kanisa la SDA international church na mlitembelea ofisini kwangu.Kweli sikuwa nawajua, tokea siku hiyo mmenibariki sana kwa huduma yenu.
Mesengi Belami Obase thank you so very much for visiting with us on our channel. We are so delighted to learn of your engagement with our music ministry. May God continue to bless you immensely. Please continue to pray for us.
wooow!wooow! nyc song it touches more hearts nanitakuimbia kwa wema wako ulionitendea maishani mwangu..inspiring..the brown gal soloist and the soloist guy big up precious sounds..spread spread word of God thro ur songs guys
Until my Last breath , i will praise the Lord ❤ This my favourite 😍 🎵 song
Wimbo huu mzuri sana, hakika Mungu anastahili sifa kwa mema Mengi... wimbo naupenda sana.... matendo makuu ya Mungu anayonitendea... POKEA SIFA BWANA....Mungu awabariki sana the Light Bearers
The song has made me to remember how the works of the Lord are so wonderful. Am a Cancer survivor and I live by the grace of God to proclaim what God has done for me
God's never changes his timing is nothing but the best.... Amen. Amen. Truly he deserves all the praise and glory for your glorious victory..
Amen 🤝
Hakika matendo ya Mungu ni makuu sana maishani mwetu. Sifa zimrudie Yeye milele na milele. 🙏
2023 still listening & blessed oohh! It's amazing
Am a catholic who has great passion for your songs and I play your songs daily. Great voices..God bless you all
May God bless you too sister
Lucy Wambui amen
thanks for that
M a Catholic too bt m willing to go to sda jst for the songs
@@eugenielumanya940 [}==_
Catholic
Kenyan
Loving your songs
God bless you
2021
Still my favorite in 2022🥰God bless this group for blessing our souls with this wonderful song 🙏
Now in 2024 still a song launched very nice
Whose with me 2020??
Me
Here I am...
Me too
Even in 2024❤🎉
Am a staunch Catholic but am usually really blessed by this song, it is ever playing while am busy working, great voices God bless you as you continue with his ministry , MY NUMBER ONE SONG
SDA songs are so cool I just love them so so much
SDA songs r inspiring thanks to my fellow brothers n sisters continue spreading the word of God
Hallelujah😍
Amen
You don't have to be a staunch catholic , what you need is a relationship with Jesus. John 3:1-21. Be blessed
Am Caleb from Ghana and I really love this song
Hope to visit Tanzania soon🤗🤗🤗
Karibu sana Caleb, you are warmly welcomed 🇹🇿🇹🇿🙏🏿
Nabarikiwa sana na mwimbo huu BWANA awe nanyi daima
Na niwavute....wengi wakuone wewe waokolewe toka dhambini...amen
its not about song, not bout incredible voice not about calm beatful face not about nice language used not about smartness but its all about how i feel when listening this beatful song at my office desk.
it calms my mind and find myself stress free and full of peace as CHRIST HIMSELF RULING ME.
KWELI NAPENDA SANA NA MUNGU AWABARIKI ABUNDANTLY
emmanuel naiman we are greatly humbled by your comments. To God be the glory.
Every night I must listen this song before I sleep it's like my lullaby lullaby thanks lord for this far you are faithful God🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I hope that im not the only one listening to these beautiful voices, even in 2019. Light Bearers, be blessed and confidently, continue to draw God's folks towards Him, through your songs.
👏👏... 🇳🇦
Thought was the only Namibian that listen to their songs
@@ottilienhinda5124 we are many my sister. They are surely a blessing to many.
@@seciliashinyemba9775 how nice
Y’all are welcomed to Tanzania and Learn some swahili
Karibuni sana 👌🙏🙏☺️
Umenitoa mbali Bwana Yesu sikua kama nilivyo hakika shukrani na heshima zikurudie wewe Mwokozi wangu. Nabarikiwa Sana na nyimbo hii be bless guys
Amen Amen Amen nimepoke sifa
Wimbo huu huuinua moyo wangu na nafsi yangu ninapokuwa chini. Hongera kwaya nzima na mungu aendelee kuwainua.
HAKIKA MUNGU WANGU UMENITOA MBALI SANA SHUKRANI HESHIMA ZIKURUDIE BABA. AMINA
Pokea Sifa Ee bwana Kwa Kunipa Uzima Siku ya Leo
I cried after watching this, the LORD has been so merciful to me.
I'm always being blessed with this song,l love the words,l admire your voices, continue praising God , praying for you.from Kenya
I'm from Rwanda.
I love your songs dear L. Bearers
This song has really touched my heart!!t who is with me 2020??
Nitasimulia bwana,matendo yako makuu ulilonitendea maishani mwangu.....oooh am so blessed with this song....may god bless u
wimbo huu umekuwa faraja sana kwangu, maana asingekuwa Mungu nisinge fika hapa nilipo.
nawapenda sana waimbaji hawa the lightbeares mungu awape nguvu zaidi ya kumtumikia zaidi
mungu awabarii
the choirs are blessed
Mungu hawabariki sana
Huu wimbo unanigusa sana sichoki kuusikiliza tunapaswa kutoa sifa na shukrani kwa Mungu wetu.
I really dont understand why I keep on listening to this song every now and then. Hakika mungu umenitoa mbali. pokea sifa kwa wema uliyonitendea
отметить этот форум просматривают этот форум по темам ии вв ии я
вввввввввв на на сайте компании зарплата не только по форме проведения форме проведения работ в день на сайте производителя или не
на на на на сайте компании зарплата и ведомств с тобой на работу ии и не надо так говорить о товаре у наших клиентов в день рождения последний год назад не только по
форме проведения форме проведения акции р
акции акции акции на свой свой счет
Nikiyatafakali Matendo Makuu ya Bwana Juu ya Maisha Yangu Nasema Pokea Sifa Bwana Wimbo Huu una upako wa Baraka!
their voices alone make you turn to GOD Almighty
this is my best song
may GOD bless the writers/composers and singers
Nyegezi utukuzwe
I am very much impress wth song called Ishimwe i love it.,I may not speak the Rwandan but the spirit can interpret and move me.I will send my contribution to keep you guys singing more. A child of God.Uk
I'm in love with you guys, especially with this particular song, "Pokea Sifa." I attended your concert today in Jersey City, NJ, and I must admit that this song ministered to me in a very special way; I've played it more than ten times tonight and still just can't get enough of it. Great message, from our Great Lord, delivered by His beautiful messengers, to his loved children . There's no other but God.
Just like me every night I must listen before bed this is real powerful song
This song is just ageless..... will sing it till eternity ..... God bless you for your service in the ministry
Vbvcguiiuudsg
Samuel from Tanzania,I love your song very much, so welcome in order to put more temptation to youth become closure and knowing God well.
Thank jesus thank you and light beares mungu awabaliki mlipo pungua awajaze hakika huu wimbo ni unavuta wengi
I am angolan and I love so much your songs, God bless you all in the name of Jesus.
Am blest with all your song...A Papua New Guinea friend...
shirly david thank you for your kind words. It's so inspiring to learn of how far The Light Bearers' music has gone. P'se continue to pray and support LB's ministry.
naomba nitumie
Pokea sifa Ee Bwana wangu😍. Na nitakuimbia kwa wema wako ulionitendea maishani mwangu🙏
This song speaks to my heart in a very deep way. Thank you so much. I love you all children of God.
Nanita kuimbia kwa wema wakoo uliolinitenendeaaa Manisha Ni mwangu ,,,,,,,,,,, ooooooh god I really appreciate this song ,,,love U guys
Kama kuna anayestahili kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu ni MUNGU muubaji pekee, mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri Mungu azidi kuwatumia kwa kadri apendavyo yeye. Binafsi naguswa sana na ujumbe huu nakosa cha kusema Zaidi ya kumshukru MUNGU hivyo naungana na ninyi kumsifu Bwana. MUNGU AWABARIKI SANA.
Nice song!! Beautiful people...angelic voices😍😍
To God be the Glory
though i have quit church
i love how SDA church sing their songs
Huu wimbo hunitoa" machozi; POKEA SIFA BWANA YESU!
Who is watching @2019... #MunguMbeleDaima
This song says it perfectly! Yes Lord, You've brought us from afar.
Nice song 👏👏👏👏👏
Oh my God.... this Song i can't stop myself from shading tears when listening to the song and most of your other songs. Though i don't understand the Language you guys use but the Melody and Lyrics makes my soul extremely joyous may God Bless "The light bearers Tanzania"
Amen
Unanibari wimbo huu, mbalikiwe Sana wapendwa jamani🖤
SABATO NJEMA waimbaji wa Baba,Huu wimbo wa Pokea Sifa unaniamisha hapa dunia na kujiona niko Mbinguni tayari,umejaa uinjilisti wa vizazi vyote,MUNGU ajibu haja za mioyo yenu kila muombapo,
Bom dia! amo ouvir estes corais lindos cantar, não entendo a língua de vocês mais a melodia de cada música me encanta; que Deus abençoe a vida de Todos vocês amém?
Hallelujah,nasimama kumtukuza Mungu kwa ajili ya huu wimbo mzuri@pokea sifa
Mungu awabariki kila ninaposikia nampa sifa mungu kwa pendo lake kwangu na familia yangu,Leo 21/5/2022 napokea jumbe isiyozeeka mumeacha alama,nimemuona classmet wangu AMINA
Soothing melody. Perfect rendition. The gelling of the voices is awesome!. And the message in the song?. No comment!.
🌏🏠🏗
Hakika mungu awongoze kwa ujumbe mzur wa pokea sifa mungu wa mbinguni awaongezee ili tuendelee kuhibili injili yake kupitia nyimbo hakika mungu amnitoa mbali sana barikiwa sana
Navutiwa na maneno, sauti nzuri inayopeleka sifa kwa Bwana Mungu hakika Mungu ameskia na anaskia sifa hizi, binafsi nahisi kumshukuru Mungu maana km vile nisingekuwepo lkn pia wenda ningekuwepo pahara tofauti na hapa nilipo. Pokea sifa Bwanaaaaaaa
Ni kweli ni Neema tu, barikiweni kwa kutuongoza katika tafakari hii njema, yes ni kwa Neema naam Neema ya Mungu tu
David Wilson Zabron
Kweli kabisa
Twapaswa kusimulia makuu alotutendea kweli..mbele ya umati.. Bwana apokee sifa shukrani nazo zimrudie
Pokea sifa bwana...may God bless you people
Mnaenda mbali sana wacha Mungu awabariki akiii mimi hupenda nyimbo zenu sana from Kenya
Ndiyo tunawapenda sana ila nyimbo Zen ziimbeni hata kwa kiingereza pia itafikisha kazi zenu mbali sana
SINDAYIHEBURA César barikiwa kwa ushauri wako. Nyimbo zetu zote zipo katika kiingereza. Fungua closed captions katika video unayo ichagua kupata lugha ya kiingereza.
The far you have brought me dear lord wacha niimbe let me praise you and I know it has never been easy😭😭but we are here now celebrating your amazing grace 🙏❤️
You bless my soul. Likes za Yesu zi wapi jameni. 2021 Feb
It's 2023 but can't get enough of this song🥰🥰
Me too
Same here ❤
Nawapenda Sana Sichoki kuisikiliza Hiii nyimbo Sitachoka kusimulia Sifa Zako Mwokozi wangu sistahili Kuja Miguuni Pako Mimi Mdhambi Mungu Wangu Nihurumie Mimi
Hizi nyimbo ni za kimataifa 😍😍 maoni yangu: muweke na subtitles
innocent maduhu Shukrani kwa mrejesho wako. Nyimbo zote zina CLOSED CAPTIONS katika lugha kadhaa zikiwemo: Kiingereza, Kiswahili nk. Unafungua video katika sehemu ilipoandikwa 'captions' kisha chagua lugha unayotaka kuona maneno yake. Lakini pia video hizi zipo katika ubora mbali mbali hadi FULL HD 1080p. Chaguzi ni yako.
Tegemea Champanda Asante sana, nimeona, Mungu awabariki sana sana...
SAYI MADUHU inawezekana kabisa, uko wapi kwani?
Mungu we Ni Mwaminifu siku zote
Pokea sifa Baba Yangu, ulikonitoa ni mbali. Bwana Yesu asifiwe.
Sweet song.. I love this choir, it really tauches my heart.. nice message.. My God Shower u wth His Blessings...
Pokea Sifa, one song That's bringing joy to my life
Mungu wetu ni mungu wa huruma nyimbo ni sehem ya ibada nyimbo uondowa msongo wa mawazo ikiwa na mawazo itoweka kabisa
Hii wimbo naipenda sana , Nini tunaeza lipa Bwana isipo tu kulisifu na kulitukuza jina lake kuu? Like this pademic time niwengi wameaga lakini Bwana ametulinda pokea sifa Bwana
May God Bless you all and your singing for the Lord.
ooh yes, we need to give thanks to the Lord for everything. i love the song so much
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu.Nilifurahi sana mlipo fika njiro kanisa la SDA international church na mlitembelea ofisini kwangu.Kweli sikuwa nawajua, tokea siku hiyo mmenibariki sana kwa huduma yenu.
I love this song. May God bless you abundantly.
here at 2024
Hakika wimbo huu unanikumbusha mambo magumu nisiyo yaweza lkn MUNGU alinipitisha hadi sasa nasema Asante!! 🙏🙏
kila nikisikliza nyimbo zenu hakika zinanibariki sana hakika sifa ni kwa MUNGU pekee hatuna cha kumlipa!
I love you from BURUNDI ❤❤❤🙏🙏🙏
Thank u jesus mighty son of God 🙏🙏 am changed because of these blessed voices ohhh thank u lord 🙏🙏🙏🙏
I really love you guys,pokea sifa,a really touching song...I love it soo much n God bless u all
Daaah...nimebarikiwa sana yani,mpaka machozi yani.
Mungu awainue juu zaidi
This choir always makes me contemplate joining a choir, stay blessed!
Asante Mungu ni bado mzima 2020
I love your songs , and am welcoming you to our church in Leeds UK next year please.
Odero Steve I real believe on the sabath day, please contact me I wishe to join your church.... am Barnabas
When you invite them invitee too..I want to sing with you
Wow that's great
Mbalikiwe sana mwenyezi muungu alilinde amin
I love this songs so much, am from Cameroon leave in united Arab emerat Dubai
Mesengi Belami Obase thank you so very much for visiting with us on our channel. We are so delighted to learn of your engagement with our music ministry. May God continue to bless you immensely. Please continue to pray for us.
I🧐😂fjd😘😘🥰☺️hf
Ni meng Nakukosea uniachi Bwana pendo lako la dumu Kwangu Asnte Mungu
Actually I believe am well from my sickness after listening huo niwema wake bwana
Amen brethrens, be blessed more than ever, Amen.
sweet voice b blessed mnanibariki kila nikiskilza maneno ya wimbo huu....
Very nice
hii nyimbo nafurahai sana..kila siku naipenda kusikia ...coz mahali Mungu Ametoa exactly kaa hii nyimbo...Mungu Akubariki sana waimbaji
mbarikiwe tena sana kwakutubariki na nyimbo tamu tamu hivi...mbaka najihisi nimeshiba
Mbalikiwe
Na nitakuimbia kwa wema wako ulonitendea maishani mwangu........
Good song. May God bless you!!. Your brother from Madagascar.
Amen. Happy Sabbath day brethren. Be blessed.
Karibu 🇹🇿
thank u for this song, I love so mush this song,my God continue to bless u.
Belmira Muhune God bless and thank you for visiting with us here. Please subscribe for more right here right now.
Amen guy's
ulikonitoa Mimi ni mbali sana ahsante ee bwana wangu! sikuwa hivi, pokea sifa Ee Mungu wangu!!
Am blessed.Thank you LORD. Bless this energetic group
Amazing song, mmetisha x ana jama n.a. mm nimuimbaji nijiunge tuwe pamoja tumwimbie mungu
Am so excited for this song❤
wooow!wooow! nyc song it touches more hearts nanitakuimbia kwa wema wako ulionitendea maishani mwangu..inspiring..the brown gal soloist and the soloist guy big up precious sounds..spread spread word of God thro ur songs guys
Hakika Mungu unastahili sifa na utukufu.