HAYA NDIYO MASHARTI YA TOBA.SHEIKH KISHK.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Tarehe 2/7/2007. Mada hii inaelezea namna jamii ilivyopotoka kutokana na wimbi kubwa la madhambi kuongezeka, Kutokana na ongezeko hilo ndipo Sheikh alipoamua kuelezea umuhimu wa kufanya toba na sharti zake, ni masharti yapi itazame hadi mwisho upate kuelimiaka, tunaomba usambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.
Allah aendelee kukupa uzima inshallah 🙏 ❤️
Shukran sheikh tuwe ni wenye kutubia kwa Allah Kwani hakuna aliekamilika
Allah akbar
Shukran shekhe wetu mungu akuweke na azidi kukupa uzima inshallah
Allah atuongoze na apokee toba zetu
Allahu akbar mashallah
Allah tupokelee toba zetuu na tutoe katika dhambii nzito yaarrabii
Mashaallah ❤
Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah akupe furaha afya njema na mafanikio. Jazakallah kheir 🙏
Turn back to ALLAH ✍️✍️✍️🌺🌺
Shukran Sheikh tumefaidika vya kutosha Alhamdulillah
Shukran sheikh wet ALLAH akuhifadh ktk dunia na akhera na akustir sik ambayo ALLAH atakapo simamisha waja wak na kutoa sir zak na sis atupe mwisho mwema na Taubah ya kwel Allah humma amin
@@ashuashu3843 Asalam alaikum warahmatu llah wabarakatuh vp hal
Aamin
Amiin ya rabi 🤲💝
Aaaamin
@@ashuashu3843 waleykum salam warahmatullah wabarakatuh Alhamdulilah mamy unaendeleaje nawe
Jazaka Allah kher
Allah akupe mambo ya khery na uendeleee kutupa mawaidha mazur
Aslm alkm ww.... Allah tujaalie kuwa ni waja wenye kupendeza mbele yako. Tusamehe makosa yetu kila muislam alie duniani na alie tangulia
Shukuran shekhe wetu jazzakal Allah kheri Allah hakupe umri mrefu uzidi kutufundisha in sha Allah
Masha Allah
😭😭😭😭 Allah akuhifadhi
Shukran sheikh mashallaahh....nakupenda sna kwaajil ya allahh
Allah atufanyie wepc ktk maisha ya dunian na akhera in shaa allah
MashaAllh
Shukran ustadhi Allah akulipekher nasi pia
In sha Allah mweyezi mungu atualie tuba mazubuti
Subhanallah
Shukran sana sana sana
Jazaqallahu khair
MASHAALLAH
Subhanallah ❤❤❤❤❤
Jazaakallahulkhair
Hilo n neno
Mashllh
Asante sana kwa kutuelimishaa
Allah akupe ulitakalo
Amin
Tufanyen toba ya kwl Muslims