Enyi wapenzi wa Bailam munaofurahishwa na uigizaji wake mzuri na kazi nzuri anayoifanya leteni likes zenu hapa. Kaka yetu Bailam, wewe ni kipenzi chetu hakika. Mungu akupe maisha marefu na hekima.
@@chikaleyangwe2200 siku zote mtu ujua kuigiza tabia anayoifahamu or she has been through a lot in her real life.i hope she is not a bad girl.they should try to change her role.
@@naseeralbishi4726 kwann asiwe mama co wote usinukuu mbona mm namlea mtt wa mumewang kama nimemzaa mm mwenyewe alaf ni mdogo t aritelekezwa na mama ake toka anatambaa ad xaxa ana miaka minne xema SS mama wa kambo uwaga tuna sifika vibaya tu ila co wote wenye roho mbaya
You guys need to go for television series, you do a very great job, i had the same case,but God is faithful i didn't kicked out my current wife. This video clip has really reminded my daughter Naomi. For this inspiring and memorable clip you've earned my subscription🙏❤️❤️
Ukweli ni kwamba Kila mama alee mtoto wake akiwa bado hajafa hakuna mtu atakaeonekana mzuri kwa kulea mtoto wa mwenzie hata siku moja hivyo wanawake kataeni watoto wa kambo itawasaidia kwenye maisha yenu hata kama ni mwanao huwezi mnyima mafunzo na fimbo lazima zipite bila hivyo hakuna malezi bila maelekezo na mafunzo kwa mtoto wa kambo huo ni uonevu Bora Kila mwanamke alee mwanae😊
Hata mm hua nasema hivo, hasa anapenda kuigiza uchawi sana sijaona ameigiza akiwa mtoto wa kupenda Mungu Ili kushinda kitu Bali yuatumia uchawi mara nyingi Ili ashinde
Karibu kujiunga na group letu la What's app
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/IHI6QLyLTz0JRP4QfAeZCJ
Wageni tunaruhusiwa kujiunga?? Au ni watanzania tu 🤔🤔🤔
@@nclaud.n9101 watu wote
muache kulegeza watoto
Mmeweka link ya group la whtsp mbona haifunguki
@@nclaud.n9101 😂😂😢😮😅
Enyi wapenzi wa Bailam munaofurahishwa na uigizaji wake mzuri na kazi nzuri anayoifanya leteni likes zenu hapa.
Kaka yetu Bailam,
wewe ni kipenzi chetu hakika.
Mungu akupe maisha marefu na hekima.
Tupooo
Anajua kuufanyia kaz uhusika
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Nawapenda bure fanyeni mpango mtoe SRS
Mtoto Mtihn kwel Mungu atuepushie InshAllah
Anaweza sanaa
Pole mdogo wangu mama wa kambu wana mambo lakini na watoto muwe na heshima
Eti mama wa kambu 🤣🤣🤣🤣🤣
@@neemamzande8547 umeona eeeh mama w kambu 😂😂😂
Wow filamu nzur 💞🥰ila khayrat mamaa umefura bichwa
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Mtoto anajua kulia adi ameniliza mashallhhh mashallhhh mashallhhh 🥰🥰🥰❤️❤️❤️ kazi nzuri bailam
Jaman😢😢😢😢😢
Nice one
Njamani munapaje machozi. Mungu awabariki. 😚
Tuombee asante kwasababu tunajifunza vingii
Pole sana mtoi mungu hata kutetea
Ongea baba km vipi mpe mama mzazi wa mtoto ajilelee
Fanyeni mtoe kabisa movie kamili mnakipaji sana
Mdogo mungu akusaidie ,mama kama hao huws hawafanikiwi,hebu tujifunze kutoka kwa hili limama
Bhailam anakaa serious na kaz yke nkupend San from 🇰🇪🇰🇪
Nawapenda sana ♥️♥️
Mtoto hatari sana huyu eee watoto wa kambo yaani ukikumbana na kuishi a watoto wakambo kikubwa ni kumuomba mungu mno
Ni kweli mama huyu anafanya vibaya lakini malipo ni hapa hapa duniani akuna kwingine😢😢😢😢❤❤❤❤😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 watanzania mbarikiwe🙏🏿
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mamakhairat anichekesha na macho yako machozi hayatoki 🤣🤣🤣👌👌👌🥰🥰🥰
Mungu abariki ndoa zetu
Nikimtizama bailam namuona km mrithi wa Steven Charles kanumba
Kaka basi umeua hii..... Mbwa Micky Msukuma hapa 😂
Hello
Yes!!!
Huyu hailati sidhani ni mtu mzuri,kwa maisha ya kawaida naona ni mbaya tu anavyoigiza.
Kwanini umesema ivo
unamaanisha nn?
Jamani hyo ni kuigiza sasa yy anacheza hyo part ya watto wakusukumbua sio vile unafikiria
@@sophsoph4400 sijaona video yake hata moja mzuri,,yeye kama si mchawi,,utapata akiwa mtoto mtundu,..ila natumai ni igizo tu.
@@chikaleyangwe2200 siku zote mtu ujua kuigiza tabia anayoifahamu or she has been through a lot in her real life.i hope she is not a bad girl.they should try to change her role.
Nafurahi sana Nawa fata toka kongo
Wanaume muwe mnachunguza kabla ya kufanya maamuzi
Bba mbon unaongea makavut kumb unakuag mukali🤣🤣🤣
Baba mungu akusaidie kwa upendo wako
Hawa watoto wa kambo ni Wa kuishi nao Kwa akili sana huwa wanajua kuchonganisha sana
]00s
@@amosdeo9534 uko bifu sana
Khairat ntafadhali Usijaribu Hata Siku moja kuwa Kama Ivo mpenzi wangu
Mama wakambo sio Mama basi kama mamayako yupo hai muombee maisha marefu
Mmmmh huyu mtoto anafanana na bairam sijui ni mwanae kweli??
Hahaaaaa kumbe imesukwa
Huyu mwamba anajua sana sio siri
Tanzania ni nchi muhimu sana
Jaman mungu anakuona we mtoto
Wewe...wewe...👉👉😂😂😂💪🇰🇪
Pole xana mwanamke mwenzangu namm yalinikuta ila nikakomaa nae
Mama wa kambo sio mama
@@naseeralbishi4726 kwann asiwe mama co wote usinukuu mbona mm namlea mtt wa mumewang kama nimemzaa mm mwenyewe alaf ni mdogo t aritelekezwa na mama ake toka anatambaa ad xaxa ana miaka minne xema SS mama wa kambo uwaga tuna sifika vibaya tu ila co wote wenye roho mbaya
Nimeipenda sana hii movie maana wanaume hudhani mama wa kambo wote ni sawa. Ila kwa atakaetizama hii movie kwa mazingatio atasoma kotu
Wooooo ninzuri sana❤❤❤❤❤
Amakuru mashya
Yan m sna mda wakujbizana Na mtoto wa mtu yan naamka nafanya kila kitu atajua mwenyewe Na babaake
Mtt wamwezio niwamwezio tu ata ufanye jema gan bado utaonekana mbaya duuh
Daaa mbaba huyu kwenye matusi ha jambo apunguze matusi
Wooohh this is so amazing...it's too short film but it has great teachings. Touches my heart....keep it up people you've done great job👍
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Yaan talaka mpaka wazazi sio 😄 🤣 😂
😂😂😂😂😂yaone nww
Huyu mtoto namnona ndani mwanangu kbx ukawushi wot ni yéyé. Wanawume muw munacunguza ngambo zot . Nawapnda watanzania . Kwa film mungali number one
Sometimes wajuba tunafeli sana daaah
Ndio mana acha nibaki single kulea watoto wawatu sio kazi rahisi
Ama kweli m nikajua nikwangu tu kumbe na kwawenzangu yapo duh pole xana mwanamke mwenzangu
Kip up
Nampenda baba lailati namba ake plz😊
I like you bailum.....from Kenya
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Hapo kwa kumtukana mama mbele ya mwanae ndio umeharibu kabisa, limit ni muhimu
Wanaigiza lakini sio really
Kweil I didn’t like that limit
Sio wao Kuna wanaume wanamna hio
Ayo ni maigizo sio kwel
Hii kazi iko poa sana, lakini inaweza ikaleta mgogoro Kwa kutumia soundtrack ya TAUSI, tuwe Origin.
Watoto wengine ni maponza hu po nzea licha mama was kambo hata mama mzazi baba Utauponza.
Nimeipenda sana❤❤
Maendeleo mazuri ❤
nakubar filam zenu kulio hata bongo move, wanamashauzi mengi kazi mbovu, mara waige Nigeria mara kongo, uzungu mungi ujumbe zero
Hailati mtoto mzuri
Very nice
since I started watching this comedy. it’s get sense. good job
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
BABA. Yake simzuri
Tulinde watoto wakambo vyema
😢😢😢😢 watoto siyo wakambo tuuuu kuishi Na watoto wa MTU naniiii nikazi weeeeeeee usipo Chunga mtagombana kila siku
Akh stepmothers God is watching
Kenya loves tz comedies sana
Safi bc
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Ila wee mtt Mungu anakuona
Usiseme ivyo maigizo tu
Part 2 please iko poa sana
Iyo nifundisho kwa wote
Ubarikiwe kwa kazi nzuri❤❤❤
Mtoto wa Kambo Ata umpe ni utaniwa unamtesa too
Ni kwel kabixa m najitaidi lkn wema Wang auonekan
Uyu nae m2umzima hovyo
Tamu sana
Baba bora kabisa
❤kweli ninzuri
Akina baba mchunguze san watot mtaacha wa awake san
Khayrath mwenzangu ❣️
Ucwe tu na akili kama zake
The tears of this baby girl will follow this mother
You guys need to go for television series, you do a very great job, i had the same case,but God is faithful i didn't kicked out my current wife. This video clip has really reminded my daughter Naomi. For this inspiring and memorable clip you've earned my subscription🙏❤️❤️
🙏🙏🙏
AFANDE CHUMVINI, with English subtitle
Hufai kumtusi mwanamke wako mbele ya mtoto maana mwana hatakua na heshima hata kidogo,,,wanaume jifunze hilo.
Daah watoto aw 🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰
Bhailam uko swa lakini usitusi mbele ya mtoto Hua wamfunza mabaya
Nc😍😍😍😍😍
Bailam 🙏
We matako
Mwendelezo jamani
Nimekuwa wa 9
Jmn na part 2 iwep
Ninazipenda video zenu💞💟👍👌💛
❤🎉😂❤😊
Jamani hawa watoto narudia hawa watoto watu wawe makini tu mnaeza kugombanishwa adi basi
Apana mm naondoka mbona dunia pana aloooo
Daah co pw
safi😅😅
Ukweli ni kwamba Kila mama alee mtoto wake akiwa bado hajafa hakuna mtu atakaeonekana mzuri kwa kulea mtoto wa mwenzie hata siku moja hivyo wanawake kataeni watoto wa kambo itawasaidia kwenye maisha yenu hata kama ni mwanao huwezi mnyima mafunzo na fimbo lazima zipite bila hivyo hakuna malezi bila maelekezo na mafunzo kwa mtoto wa kambo huo ni uonevu Bora Kila mwanamke alee mwanae😊
Hyu baba hana subra k s,angefanya uchunguzi kwanza kabla afanye maamuzi...Ila atajuta
Wewe baba nawe huchunguzi kwanza
Daaa Mungu kwanza
nice movies
Uyu hailati maigizo yake yote mbona ya ovyo, dah jaman, asije kuwa n'a tabia ya ivo ivo kwenye jamii
Hata mm hua nasema hivo, hasa anapenda kuigiza uchawi sana sijaona ameigiza akiwa mtoto wa kupenda Mungu Ili kushinda kitu Bali yuatumia uchawi mara nyingi Ili ashinde
Jmn anaonekana nishida kwajamii
Kwan yule jenifa ni Mchawi ama mtukutu mpk alipofikia