HISTORIA NZUR SANA ILIYOACHANISHA WAPENZI WAWILI WA NADI IKHWAN ASAFA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @sluimanali2573
    @sluimanali2573 10 หลายเดือนก่อน

    Bi Nihifadhi naipenda sana nyimbo yako ya viumbe wazito nyimbo za zamani zinavutia na kubembeleza nafsi na roho yake

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 10 หลายเดือนก่อน +9

    Zanzibar ilikuwa Zanzibar kabla haijavambiwa na mayahudi wa upande wa pili kuja kuuza karanga na mamantilie

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 10 หลายเดือนก่อน

      Hahaha tumekwisha kila sehemu vimeza

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 2 หลายเดือนก่อน

    Best days ever best place ever

  • @salumfaiz8840
    @salumfaiz8840 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo hizi wallah saa nane mchana naenda chuoni nakumbuka wallahi home sweet home from uk 🇬🇧

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wallah unaweza toka machozi .

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 4 หลายเดือนก่อน

    Rudia ile nyimbo nihifadhi nikupenda nimesha rizia nakuishi nawe nahis km uliumba wewe dada km sikosei

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kushea 🤝

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ahmed Nassor Allah amghufirie ampe malazi mema Peponi ,kweli Znz wameondoka magwiji Wenye Sauti na hadhi ya Original taarab .

  • @maryammussa7929
    @maryammussa7929 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ilove zanzibar

  • @bongo39
    @bongo39 10 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka nyimbo hii 😢😢

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 10 หลายเดือนก่อน

    Tifu TV , nakona huu windo wa nyota muu apload maana unatupa hisia sana

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 10 หลายเดือนก่อน

    Yaa

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 10 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo za zamani zilikua zina matusi lkn huyaoni mpaka utulie sio leo

    • @MuneerAbdu-v9e
      @MuneerAbdu-v9e 10 หลายเดือนก่อน

      Fatmas nyimbo zazamani hazikua na matusi nyimbo Safi Sana ww umezaliwa mwaka gani

  • @AbdulhamidKificho
    @AbdulhamidKificho 10 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar yetu wakati huo