MIRAJI AFOKA NA VIONGOZI SIMBA KUFUNGIA WATU/ WAJIFUNZE WALIKUWA WAPI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

ความคิดเห็น • 66

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ninachojua nikukupenda tu mtani wangu wa FAIDA💛💚💪🙏🙏

  • @assamkagila
    @assamkagila 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nakukubali sana kaka unajua kuelezea mpira Simba❤ nguvu moja,💪

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 6 หลายเดือนก่อน +3

    Miraji Mara moja kiukwel mashabiki na wanachama wa simba tusisimame imara tukatae uongozi mbovu bila hivo tumekwisha

  • @HamisindeeLeembo-xp7iz
    @HamisindeeLeembo-xp7iz 6 หลายเดือนก่อน +4

    Jombaa nakubali sana akilikubwa mashalla

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx 6 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Simba
    Wachezaji, Mashabiki wa Simba Acheni vurugu ya maneno ya kulaum Viongozi Wachezaji Mashabiki tumieni hekima na busara tufuate kauli yetu Simba Nguvu moja . haya ni mapito tu wawe watulivu ❤❤❤

    • @husseinbachwa8372
      @husseinbachwa8372 6 หลายเดือนก่อน

      Hapa Simba siyo Nguvu Moja hapa mi naona nguvu Tofauti....

  • @Singa-stv
    @Singa-stv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji una bando yako ukuuuu❤

  • @Aloyceamashi0
    @Aloyceamashi0 6 หลายเดือนก่อน +1

    kazi ipooooooooooooo

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaaa anaongea facts,..ila mwandishi akitoka hapo mabega hoi😂

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 6 หลายเดือนก่อน

    Miraji mwamba nakufatiria sana napenda sana maua unayo yatema asari mtupu viongoz hawaeleweki wako pande gan haohai waliwalinda sana wakati ligi linaendelea Leo haohao wanawatuhum

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 6 หลายเดือนก่อน

    Camera good 👍👍👍👍

  • @eliyamahenge7935
    @eliyamahenge7935 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂hizo kofi miraji safi sana
    Ila jamaa mgumu mabega😂

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 หลายเดือนก่อน

    SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MosesShileka
    @MosesShileka 6 หลายเดือนก่อน

    O jo
    Oo
    Mo
    Mlo😊

  • @DottoWache
    @DottoWache 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂Mzee wa kazi kazi unayo chagamba kapumzika bega limeng'oka

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu anapigwa mabega yote

  • @MusaEliasi-p9x
    @MusaEliasi-p9x 6 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wetu niwapigaji mjomba kwahali hii hatutafika popote tukiwa kama klabu kubwa Tz

  • @mariamsaid6334
    @mariamsaid6334 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chagambaaa leo kofi zimeata mwili mpya 😂😂ila miraji wewe

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 6 หลายเดือนก่อน

    Miraji ww na gb64 mpo sawa sana

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nawewe ni kama wao tu maana wewe ulipoagizwa kumchafua hersi ulifanya hivyohivyo

  • @mussasongoro1101
    @mussasongoro1101 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila sema ukifanya mahojiano na Miraji Maramoja ujitayarishe kupokea vipigo , maana anapiga hatari

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli kakavhao kina dr mo na kina pasi milioni mwakitalima mzalamo ndio waliotufikisha hapà

  • @BarakaMahamud
    @BarakaMahamud 6 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji mara moja huyu jamaa anamabega imara, atamudu

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢mwambaaa uko vzr!!!

  • @sulemanmagesa2181
    @sulemanmagesa2181 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kosa lao SI kukosoa Viongozi! Hao wamekosea kupitisha Mkutano. Hana mamlaka Hayo. Mangungu ame prove Udhaifu. Tukosoe,tupinge, tuwe na maoni Tofauti bila kuvuka mipaka au kuvunja Katiba na kanuni.

    • @QchiefuBarnaba-u3q
      @QchiefuBarnaba-u3q 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ko wario pisha mkutano bira mamlaka wamekosea ila wario ihujumu team na wanawajua hawajakosea

    • @gilbertchilewa-su2hc
      @gilbertchilewa-su2hc 6 หลายเดือนก่อน

      Unaposema kosa lao kuitisha mkutano, kwani hao walioitisha mkutano walisema ni mkutano mkuu.!?
      Na wanachama kuitana kujadili mwenendo wa timu Yao ni kosa.!?
      Ok naomba uniambie na wale wajumbe walioitisha mkutano bar usiku namkumsema mwekezaji walipewa kibali na nani kuitisha mkutano, na kama hawakupewa kibali kwanini hawajaadhibiwa kama Hawa wengine.
      Ndugu yangu mwenyekiti wetu wa simba ni mwanasiasa na ili jambo limefanywa kisiasa, ukiangalia kwa makini Hawa watu walifata taratibu zote za kuomba kufanya jambo lao Tena waliomba maandamano nanwakaemda Hadi polisi kuomba kibali polisi wao wenyew wakawashauri kuwa wasifanye maandamano ila wafanye tu mkutano wa sehemu moja, wakapewa utaratibu na Hadi ulinzi wa polisi wakathibitishiwa watapewa. Maana yake polisi walijiridhisha kuwa wako sawa.
      Lakini kilichotokea ni siasa tu ya mangungu kama ambavyo kwenye siasa mikutano ya baadhi ya vyama vya siasa vilivyokuwa vinazuiliwa, ndio njia hiyo hiyo imetumika na hapa.
      Usimtetee mangungu kaka hatuna kiongozi pale Kaa vizuri mfatilie utagundua ana interest zake binafsi na kama atabaki Simba basi atamkwamisha Mo maana hamtaki anataka aje tajiri mwingine Sasa huoni kama ni tatizo ilo.!?

    • @frankmwinuka6298
      @frankmwinuka6298 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo ulitaka mapinduzi yafanyikaje wewe kama kwa katiba imeshindikana

    • @Lenatus-l9i
      @Lenatus-l9i 6 หลายเดือนก่อน +1

      Naitawa lenatusi nipo ilinga Sasa kwauogozi huu sizani kama tufanya vizuli musimu ujayo asante

    • @ReganKimaro-js2rk
      @ReganKimaro-js2rk 6 หลายเดือนก่อน

      Kama ni kuitisha kikao kinyume na katiba mbona kina CPA ISSA MASOUD waliitisha kikao kinyume na katiba na sheria haijachukuliwa

  • @MarystelaEvaristi
    @MarystelaEvaristi 6 หลายเดือนก่อน

    Miraji uko sahihi

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 6 หลายเดือนก่อน

    Mtulie apo apo sindano isitingisike kibegi kilivuma kuliko nusu fainalo na caf mpaka mo mo mo akasema mbele ya raisi wa nchi mulitukwaaaza next time mpigwe 17

  • @JumaMasanyika
    @JumaMasanyika 6 หลายเดือนก่อน

    Simba hamna msimamo

  • @bushiringamba6971
    @bushiringamba6971 6 หลายเดือนก่อน

    Nawewe Ni mchonganishi tu.pia unaweza ukafungiwa.yanga Jambo hili walikifanya mapeeemaaa

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 6 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Simba ni viazi hawana Cha kutueleza saizi mnaanza kufungua watu kuongea mambo Yao..

  • @fredylucas2484
    @fredylucas2484 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mabega ya hawa jamaa duh

  • @allywaziri1343
    @allywaziri1343 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu analeta SIASA ndani ya soka aache udikteta SIMBAsio yake ni yawanasimba asie wanayomueleza dhulma sio nzuri akumbuke hilo

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 6 หลายเดือนก่อน

    Tusiongee Sana tutavuruga Timu ila Mangungu anatakiwa kuondoka wanaSimba wamechoka

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 6 หลายเดือนก่อน

    NAIOMBA SIMBA IWAFUNGIE WOTE HAWA TENA YOYOTE ANAE FOKA FOKA BILA UTARATIBU WAACHE VIONGOZI WASAJILI

  • @MosesShileka
    @MosesShileka 6 หลายเดือนก่อน

    Mop😊😊

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyi mashabik maandazi mnafungiwa hamna hata umoja timu ishauzwa hiyo siyo yenu tena mana mashabik na wanachama hamna saut au mpaka hapo inahitajika akili ya quba

  • @absm8084
    @absm8084 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @Ommyblacktz13
    @Ommyblacktz13 6 หลายเดือนก่อน

    Anaetaka kuvuka mipaka bila kufuata sheria ni uvunjifu wa amani kwaiyo waliofungiwa wamefanya makosa hivyo basi tufwate sheria

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 6 หลายเดือนก่อน

    Tufuate misingi ya uongozi tuache kuleta mambo ya kienyeji,huo NI uasi katika uongozi

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 6 หลายเดือนก่อน

    Issue sio mabadiliko ya viongozi issue ni kutafuta changamoto ni nini?
    Na mwisho wa siku ni kufanyia kazi changamoto zilizojitokeza.

  • @RamadhaniJawabu
    @RamadhaniJawabu 6 หลายเดือนก่อน

    Huuu niukwelili kabisa

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu ni kirus kikubwa Simba ni veilas

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu mangungu ni nani kwani ni zaidi ya Simba? Naomba wanasimba tusiachane aondoke

  • @josinatrderss
    @josinatrderss 6 หลายเดือนก่อน

    Miraji wewe ni kiongozi nakufatilia Sana ! Vitu unavyo ongea ukweli na elimu plus burudani

  • @MusaMusakwenje
    @MusaMusakwenje 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo mangungu

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu Kuma mae zake aondoke kila mtu.atakaka asimkosoe anapeleka jera

  • @DarliotonTumaini
    @DarliotonTumaini 6 หลายเดือนก่อน

    Bad kufungiwa wewe ntakumiss unanoga ukiwa na gambaaaaaaa🎉🎉🎉

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 6 หลายเดือนก่อน

    Miraji wewe sio mchezo kichwa kweli

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 6 หลายเดือนก่อน

    mangungu ni msaliti ni yanga

  • @JustinMwanawima-yi3ey
    @JustinMwanawima-yi3ey 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa ni mwamba,anajua mpira na sio mnafiki

  • @BarakaMahamud
    @BarakaMahamud 6 หลายเดือนก่อน

    Chagamba huyo anabega imara

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 6 หลายเดือนก่อน

    kufungia ni kutojiamini na pia ni kufunga watu midomo, mtaenda wenyewe taifa ngoja ligi ianze nani anaenda kuangalia PAN AFRICA

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 6 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wetu niwatu wa ajabu sana kwa kweli sasa doctor mo ameongea Nini kibaya mpaka wa mfungie au agi anashida Gani mpaka wa mfungie mbwa kabisa hao Tena takataka kwa iyo msiambiwe ukweli mbwa nyie,sasa subilini mkutano mkuu ujao muone tutakachowafanya mikundu nyie

  • @reginaldmakene5987
    @reginaldmakene5987 6 หลายเดือนก่อน

    Tuache ushabiki usiokuwa na tija, hao waliofungiwa ni halali yao. Wao Wana mandet gani ya kuitisha vikao vya wanachama? Mangungu mlimuchagua wenyewe hat kama wewe hukuwa upande wake. Subirini muda wake uishe aondoke lakini kulazimisha ajiuzuru si sahihi. Acheni uduwanzi

    • @geofreykasinda1895
      @geofreykasinda1895 6 หลายเดือนก่อน

      Waliokuwa wanatakiwa kuitisha mkutano waliokuwa wanakwepa,

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 6 หลายเดือนก่อน

      Hivi Wewe Umetumia Nini kufikili wakati Unatuma hii Coment Au ndo Mtoto wa Mangungu au Ni Utopolo

    • @shabanipande5379
      @shabanipande5379 6 หลายเดือนก่อน

      Unafirwa wewe