#Exclusive

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @ziadantara1345
    @ziadantara1345 6 หลายเดือนก่อน +5

    Chamaaaaaaa hongera aliyembakisha mwamba

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 6 หลายเดือนก่อน +2

    Facts brother respect mangungu hatumtaki kiukwel

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 6 หลายเดือนก่อน

    Tunampenda sana chama

  • @KiteteKitete-n2q
    @KiteteKitete-n2q 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kama unakubali kua simba wamemwachia mpangaji hati ya nyumba gonga like.

  • @ErenestHenjewele
    @ErenestHenjewele 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu,hafai haya kwamboga 😮

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 6 หลายเดือนก่อน +1

    Vyura mmeanza kujinyea mo ni simba SIMBA ni mo

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 6 หลายเดือนก่อน

    Mangungu ni Magufuli wa leo

  • @ziadantara1345
    @ziadantara1345 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bodi ya wanachama msikubali ujinga huu wakuwafungia wanachama kwani hao ndio waliokuwa wakiwakingia kifua viongozi toka ss wengine tukilaumu viongozi Aggy na Dr mo walituponda wapo akina mwenda,meja na wengine wengi

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 6 หลายเดือนก่อน +1

    yani kuna muda wakufungia mashabiki????akili matope kabisa..wewe unakuwa kiongozi misimu 3 unapoteza makombe yote na ushindani unashuka,club bingwa africa out,leo una ambiwa achia ngazi brand ya team obaki salama..

  • @OdellyMwakyembe
    @OdellyMwakyembe 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Tim ya simba kaachiwa mpangaji,tuambie ni timu gani ya tz ambayo haipo mikononi ya mpangaji?

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu nikiongozi wa ovyo Sana hafai😢😢😢

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu atoke hapo

  • @RamadhanJuma-c7k
    @RamadhanJuma-c7k 6 หลายเดือนก่อน

    Ww siofriji bovu ww chuma chakavu siulisemaga Cham naenda yang

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mo pia atokee na wajumbe wake wahindi wajawajaa tu

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Friji bovu ni utopolo unasema timu yako miaka miwili imefanya makubwa.
    Kwani walikuwa wanashiriki mashundano gani? Juwa kuongea kenge wewe

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 6 หลายเดือนก่อน +1

    NAUYO NAE FUNGIENI HUYU JAMAA HAWA TUMEWACHOKA

  • @LoyceKizuri
    @LoyceKizuri 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😢

  • @beatussoka9517
    @beatussoka9517 6 หลายเดือนก่อน +2

    Frijibovu weweni mwamba kwelikweli

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chama faza yanga bingwa

  • @OkinadNdashao
    @OkinadNdashao 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mbwa ni Simba

    • @KhayratMansour
      @KhayratMansour 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha kuwatukana watu wewe , huo sio ustaarabu .

    • @HABIBHASSAN-wf5mr
      @HABIBHASSAN-wf5mr 6 หลายเดือนก่อน

      SIMBA BADILISHENI UTALATIBU WA VIONGOZI SASA CHEO CHA MWENYEKITI HIVI NI VYEO VYA VIONGOZI WA WAVIJIJI YAANI MWENYEKITI WA KIJIJI..ETI BODI YA SIMBA SASA BODI SIMBA IMEKUWA ROLI ? MAANA BODI NI ZA MAROLI YA MIZIGO..ETI MWENYEKITI WA BODI

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 6 หลายเดือนก่อน +2

    Vyura mmeanza kujinyea mo ni simba SIMBA ni mo