EXCLUSIVE: MFALME ZUMARIDI ASIMULIA HISTORIA YAKE, ALIVYOPELEKWA JEHANAMU NA MBINGUNI --- PART ONE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 4.7K

  • @elizabethjacob9656
    @elizabethjacob9656 ปีที่แล้ว +70

    Duuh kaka millad upewe tuzo ya the best interviewer of all times GOAT 🔥 😅sio kazi ndogo kwakweli 🌟🌟🌟🌟🌟

    • @drrecoti1455
      @drrecoti1455 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa ningekuwa mimi ningesema uongo huo😅😅😅

    • @MisSPeaRliCiouS9
      @MisSPeaRliCiouS9 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi ningecheka kufaaa

  • @georgemollel3969
    @georgemollel3969 ปีที่แล้ว +7

    @Millard ayo anakipaji chakusiliza wenda wazimu makofi kwake tafadhali 👏👏💯

    • @JudithNgula
      @JudithNgula หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 kwanze nicheke

  • @zamzamhaji1229
    @zamzamhaji1229 ปีที่แล้ว +128

    Subhanallah tutaona mengi Mwisho wa Dunia hii Allah tupe Mwisho mwema inshallah 🙏

  • @shanibakari4702
    @shanibakari4702 ปีที่แล้ว +7

    Kudadeki Mfalme zumaridi nakukubali kinoma we ni mwamba 😀😀😀

    • @qulasulle-hp1ni
      @qulasulle-hp1ni 16 วันที่ผ่านมา

      Unamkubali shetani? Umeshakuwa wake!

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 ปีที่แล้ว +21

    Daah Mungu anajichubuaje WAKATI anaweza kuamrisha ngozi iwe vile atakavyo sema huyu Mungu anaenda haja yaani anakatagogo kama mimi na wewe kapigilia miwani na wigi Mungu Mungu Tuache maskhara Mungu ni mmoja tuu na hana Mshirika huyumsukuma anatupoteza Millad very professional Kumudu hii interview siomchezo hayo Magari, Maghorofa, Na miili ya kichina ipo huko kolomijee si mbinguni

  • @loth5
    @loth5 ปีที่แล้ว +46

    Anaemkubali millardayo gonga like hapa

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +683

    Tuliokuwa tunasubiri interview ua Zumaridi kutoka kwa millard ayo tujuane 🤣🤣 tucheke pamoja

  • @agnesssanga6544
    @agnesssanga6544 ปีที่แล้ว +29

    YESU nifundishe kunyamaza nisije nikaongea nikamkosea Mungu wangu🙏🙌

    • @ramadhaninyangasa7275
      @ramadhaninyangasa7275 ปีที่แล้ว

      Wewe hauna tofauti na huyo zumaridi kama Mungu wako ni yesu

    • @azizaaziza9113
      @azizaaziza9113 ปีที่แล้ว

      Tulia uone atakakavokuja kunyooshwa huyu mwanamke

    • @agnesssanga6544
      @agnesssanga6544 ปีที่แล้ว

      @@ramadhaninyangasa7275 hilo jina lako tu limenifanya nisikujibu chochote

    • @agnesssanga6544
      @agnesssanga6544 ปีที่แล้ว

      @@azizaaziza9113 usihukumu usije ukahukumiwa

    • @azizaaziza9113
      @azizaaziza9113 ปีที่แล้ว

      @@agnesssanga6544 maandiko yasema wazi math 24:24 zumaridi ni miongoni mwao

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 ปีที่แล้ว +20

    kama unaamini Zumaridi anafurahisha gonga like😂

  • @daudmnisi1352
    @daudmnisi1352 ปีที่แล้ว +31

    Duh!! Kazi ipo......
    But kaka Millard umetisha sanaaa🔥
    Congrats 👏 Kwa kazi nzuri brother 💪🏽

  • @smootkizy_jr
    @smootkizy_jr ปีที่แล้ว +58

    #chama la wasoma comments
    tujuane 😂🖐😂😂😂🖐 kwa hili comedy la kisukuma 😂😂

  • @eunice9715
    @eunice9715 ปีที่แล้ว +23

    Wale tuliokimbilia kwenye comment tujuane🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 ปีที่แล้ว +309

    kama unasikiliza huku unasoma comment tujuane.....yarab tupe mwisho mwema

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 ปีที่แล้ว +37

    INNALILLAIH WAINNA ILLAIH RAJIUN Huyu amepotea kupotea kuliko kukubwa Tumcheni ALLAH Wala watu Hawa wasituadhiri kwa chochote

    • @latifabrayt7509
      @latifabrayt7509 ปีที่แล้ว

      Aliyesikia alianza darasa na sio la kwanza😁😁😁 tuungane

    • @Issa_negro
      @Issa_negro ปีที่แล้ว

      Kiki za watanzania zinanichosha sometimes 🤦🏾‍♂️

    • @silva_mahareyz988
      @silva_mahareyz988 ปีที่แล้ว +1

      Wewe na uyu, Bora ata uyu

  • @donna_lettah
    @donna_lettah ปีที่แล้ว +124

    People of God don’t let her words take away your faith. This woman all she’s doing is to lost some souls out here. If you read bible you will know and understand what she’s doing. Remember matthew 7-15 says “Beware of false prophets, which come to you in sheep's. clothing, but inwardly they are ravening wolves.”
    Be blessed

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +2

      Of cause but we Are attentive ,no problem

    • @daimavlog
      @daimavlog ปีที่แล้ว +1

      Ungeandika kwa kiswahili iwafikie wengi

    • @apynesnzisa5045
      @apynesnzisa5045 ปีที่แล้ว +3

      Uyu hata si must ni some bibilia...nilimpima toka mwanzo. Hana lolote yeye aseme alimuona malaika wa shetani na akafanya kikao na shetani, haache kutubeba ufala..Alaah!!!😏

    • @HeronAdamx
      @HeronAdamx ปีที่แล้ว +1

      Why do I need to beware of fresh stupidity from a sociopath. Who has been. Destroyed by childhood trauma

    • @shomarysimbamzee1226
      @shomarysimbamzee1226 ปีที่แล้ว

      Hii TV nilikuwa naiami. Xana kumbe duuu .hakuna cha ukwli hpo cjui km huyu hii interview ameinunua au vp

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂Zumaridi Mmmh!!! Mungu Akuhurumie, Bro Millard ana Moyo Meningecheka.

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 ปีที่แล้ว +118

    Millard Ayo unajua sana kuhoji watu wa kila aina wenye Akili timamu na wasiyo na Akili timamu kama huyu mama 👏👏

  • @janelunanilo162
    @janelunanilo162 ปีที่แล้ว +87

    Bwana Yesu nifundishe kunyamaza!!!!!

  • @subo2667
    @subo2667 ปีที่แล้ว +229

    Hii dunia hii,,,mmmmmh
    13:01Simba kama nyumba
    14:01 Safari ya kuzimu
    16:05 Watu wa kuzimu wakamuita mkombozi
    16:55 Millard uzalendo ukamshinda,akacheka😂😂😂
    24:05 Kufufua watu kutoka makaburini
    25:15 Maana ya makaburi
    26:22 Akaokoka mme wake akamuacha Millard akasema DUH😂😂😂
    29:40 Safari ya Mbinguni,huyoooo
    33:17 Akaletewa mkataba ili aje kuiongoza Dunia
    35:32 Mungu anamueleza sababu za kumgeuza uji😂
    40:28 Akarudisha Duniani
    41:40 Millard akauliza mbinguni pakoje et "Hamna garden?" 😂😂
    Huku mbeleni ni full kucheka

    • @clarabanduka2979
      @clarabanduka2979 ปีที่แล้ว +11

      Hhahahahahahhahaha...hahahhahahaha.... Umesahau na kalamu aliosainia mkataba ofisini kwa Mungu.

    • @subo2667
      @subo2667 ปีที่แล้ว +5

      @@clarabanduka2979 😂😂sijaisahau kalamu ya chuma,sema huyu Zuma ukiamua kumsamaraizi utajikuta unatumia imoji,mambo mengi na muda hautoshi

    • @mwanamvuasuleyman4671
      @mwanamvuasuleyman4671 ปีที่แล้ว +4

      Millard anasema simba mkubwa kama jengo😅😅

    • @hosanamsuha4424
      @hosanamsuha4424 ปีที่แล้ว +9

      Duhhh em kwanza nicheke watu wa kuzim waliongea kisukuma duhhhhhh very bad

    • @hosanamsuha4424
      @hosanamsuha4424 ปีที่แล้ว +4

      Umesahau pale milad akauliza
      Duhh iv wanasema kuzim wanachoma moto
      Akasema yeye Alienda kwenye mapango maana kuzim ni kubwa

  • @adijaaddy6357
    @adijaaddy6357 ปีที่แล้ว +6

    Subhanallah Mungu hajawahi kufanana na kitu chochote hapa duniani na mbinguni,hakuna mfano wowote,eeeeh Mungu tusamweh sisi waja wako,na utupe mwisho mwema

  • @godrivermichaelsugwejo4979
    @godrivermichaelsugwejo4979 ปีที่แล้ว +121

    Kaka Millard Ayo natamani nawewe ufanyiwe interview utuambie uliwezaje kujikaza bila kuchekaa😂😂😂😂😂 sema bro umewezaa hii interview inaondoa stress kwakweliiii 😂😹😹

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 ปีที่แล้ว +2

      😀😀 Millard Ayo ni bonge la geniaz

    • @fathiyaali6171
      @fathiyaali6171 ปีที่แล้ว

      Mimi leo stress free

    • @janethdeus2587
      @janethdeus2587 ปีที่แล้ว +11

      🤣🤣 nikama tunamsikiliza bibi yetu anatupa story za uongo wajukuu zake

    • @lakelake1776
      @lakelake1776 ปีที่แล้ว +1

      Ha ha ha ha kweli aliwezaje kuhimili

    • @bakariramadhani122
      @bakariramadhani122 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

  • @ingabirenadiaysf
    @ingabirenadiaysf ปีที่แล้ว +41

    Nyieeee dunia imekwisha Wallah Tumuombe Allah atupe mwisho mwema😢

  • @linahdastan3597
    @linahdastan3597 ปีที่แล้ว +60

    Millard Hana bandama maan ingekuw mm hapo ningecheka mpka interview ingeisha maaan vingine vinachekeshaa kinomaaa

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @semenirashid2818
      @semenirashid2818 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @merykusekwa7755
      @merykusekwa7755 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaa yaaani kwakweli

    • @paschalpeter4540
      @paschalpeter4540 ปีที่แล้ว

      Alifanya mazoezi san kuna ile clip yenye mikwara mingi before interview kam movi za kikorea

    • @kilasijoseph3567
      @kilasijoseph3567 ปีที่แล้ว +1

      Aje mirembe after interview

  • @zuberikwambiana3574
    @zuberikwambiana3574 ปีที่แล้ว +1

    Kaka millard hii ya mwaka huu kali sana.TUTAYAONA NA KUYASIKIA MENGI LAKINI MUNGU ATUONGOE KATIKA HAYA,watu hawa ni mitihani.

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 ปีที่แล้ว +16

    Imagine Millardayo anajua anadanganywa lakin Bado amevumilia mpaka mwisho tunaomba apewe tuzo sisi kama wadau wake

  • @rehemakilapilo3507
    @rehemakilapilo3507 ปีที่แล้ว +42

    Mungu hagawani utukufu na mwanadamu afu anasema utukufu alichukua mchungaji. Nyakati za mwisho izo anakwepa jina la Yesu. Tusome neno ili tuijue kweli na tuwe wanyenyekevu ili roho Mtakatifu afanye kazi ndani yetu afungue macho yetu ya rohoni.

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 ปีที่แล้ว +2

      Amen Amen 🙏🙏

    • @mkaliwagoka8414
      @mkaliwagoka8414 ปีที่แล้ว

      Hakika

    • @preciousstore
      @preciousstore ปีที่แล้ว

      Amen

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? WOULDN'T YOU RIDICULE AND CURSE HIM IN THE COMMENT SECTION CALLING HIM A LIAR, DEVIL AND PSYCHOPATH?..NOW YOU PRETEND YOU BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE YOU'RE DEVIL POSSESSED AND LIVING IN DARKNESS FULL OF PAIN, MISERY AND POVERTY. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS LIMITED AND COVERED WITH DARKNESS! MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA...!

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? WOULDN'T YOU R!D!CULE AND CURS£ HIM IN THE COMMENT SECTION CALLING HIM A LIAR, D£VO AND PSYCH0P♤TH?..NOW YOU PRETEND YOU BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE UR D€V!L POSSESSED AND LIVING IN D♤RKN£SS FULL OF PA!N, M!S£RY AND P0V£RTY. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS LIMITED AND COVERED WITH D♤RKN£SS! MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA...!

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 ปีที่แล้ว +19

    This is confidence youth need to have no education lakin confidence ya kitaa ni 100%

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว

      This is not confidence,this is INSANITY

  • @abuufarsyalsalmaan7730
    @abuufarsyalsalmaan7730 ปีที่แล้ว +3

    Jua. Usiku. Kama umesikia gonga like hapa

  • @santorinigarden6927
    @santorinigarden6927 ปีที่แล้ว +105

    Milladi hii siku brain yako ilibishana sana na mazungumzo yako na huyu mama kwa ndani ya nafsi ulizungumza zaidi ya nje na moyo wako nao ukapambana na nafsi yako isikusaliti ukajikuta umeongea ila vicheko navyo ulivizuia vya kutosha pole sana aisee

  • @experansiabiseko7105
    @experansiabiseko7105 ปีที่แล้ว +47

    mwenyezi Mungu akusamehe, mwenyezi Mungu ihurumie dunia watu wote ktk dunia nzima. mimi nitakusujudia wewe tu Mungu, Daima maisha yangu yote niishi ktk Imani hii, Maana duniani watu wanatafuta pesa kwa kulitaja Jina lako, lakini ndani ya Roho zao Imani yao ni Ushetani.

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? USINGEMDHARAU KUMCHEKA NA KUMLAANI TENA UKITUMIA JINA LA MUNGU IN THE COMMENT SECTION UKIMUITA MU0NG0, SH£TAN NA TAHIRA?..NOW UNA PRETEND U BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE UMEFUNGWA KIROHO NA KUFUNIKWA NA GIZA, FULL OF MAUMIVU, MATESO AND UMASKIN. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS (WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS L!M!T£D AND C0V£R£D WITH GIZA! ) CAN'T UNDERSTAND .MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA,REALLY?...!

    • @anthonykavishe
      @anthonykavishe ปีที่แล้ว

      Kaenda mbinguni na simba

    • @EvelyneNelson-um3eo
      @EvelyneNelson-um3eo ปีที่แล้ว

      Kweli mungu pekeee tumuabudu kwa roho na kweli tuwe. Na mwisho mwema tuketinae enzini tukiimba hosana siwez kumsujudia mwanadamu

  • @banguha
    @banguha ปีที่แล้ว +9

    Millard una moyo wa pekee yani unaona mtu kbisa dish limeyumba ila unajikaza kumsikiliza kweli kaz ya uhandishi ni wito mie na hasira zangu hiz siwezi uyu mama Mungu amurehemu

  • @JosephBakari-so1mo
    @JosephBakari-so1mo ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwake, siwez kujua ukwel wa haya uko vp, acha tuone nguvu ya Mungu ndan yake

  • @yohanamuhambe9422
    @yohanamuhambe9422 ปีที่แล้ว +34

    Kwahiyo kwenda mbinguni ni kama kwenda sokoni tu Kwa Zumaridi 😄😄😄😊. Hata hivyo Milard anaweza mimi nitacheka mpaka hiyo interview ivurugike.

    • @beatriceshauri2691
      @beatriceshauri2691 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅😅😅

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? WOULDN'T YOU RIDICULE AND CURSE HIM IN THE COMMENT SECTION CALLING HIM A LIAR, DEVIL AND PSYCHOPATH?..NOW YOU PRETEND YOU BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE YOU'RE DEVIL POSSESSED AND LIVING IN DARKNESS FULL OF PAIN, MISERY AND POVERTY. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS LIMITED AND COVERED WITH DARKNESS! MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA...!

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? WOULDN'T YOU R!D!CULE AND CURS£ HIM IN THE COMMENT SECTION CALLING HIM A LIAR, D£VO AND PSYCH0P♤TH?..NOW YOU PRETEND YOU BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE UR D€V!L POSSESSED AND LIVING IN D♤RKN£SS FULL OF PA!N, M!S£RY AND P0V£RTY. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS LIMITED AND COVERED WITH D♤RKN£SS! MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA...!

    • @luluwillium1364
      @luluwillium1364 ปีที่แล้ว +1

      😃😃😃😃😃😃

    • @millymilly7244
      @millymilly7244 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql ปีที่แล้ว +52

    Professionality to another level….hongera sana Millard, waandishi kuna vitu vya kujifunza hapa…muache mtu aongee usimuingilie hata kama moyoni unaona anakupiga kamba😂😂😂..kuhusu yeye wa Mungu au lah ni swala la Mungu kuhukumu acha tusubiri part two what next

    • @esperancenathali
      @esperancenathali ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @mwipagipaggy
      @mwipagipaggy ปีที่แล้ว

      🤣😂🤣😂🤣😂

    • @hosanamsuha4424
      @hosanamsuha4424 ปีที่แล้ว

      Mhhh jamannmirad amejitahid maana nilikuwa naona sura ya hasira na kicheko sometimes bt duhh uyo mama et mungu akamyeyusha na kuwa uji jaman
      Mungu atusamehe na hasira yake

    • @juditholotu7249
      @juditholotu7249 ปีที่แล้ว

      Millard Ni mvumilivu Sana kwakweli

    • @banguha
      @banguha ปีที่แล้ว

      Mim kwenye kuingia😂 ofcn kwa Mungu Yan Mungu ana ofc kubwaaa 😅

  • @savioursimon458
    @savioursimon458 ปีที่แล้ว +81

    Niseme tuu Mungu wetu atusamehe 🙏🏽 katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amen 🙏🏽🙏🏽

    • @Baruuuza
      @Baruuuza ปีที่แล้ว

      We ndo unajua ww👏🙌 Amina

    • @zaytunacom
      @zaytunacom ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂Mungu anajua changa lamacho🤣🤣🤣🙌Ehhh Jamani huyu Dada atakufa vibaya😂😂🙌

    • @beathapaulo6668
      @beathapaulo6668 ปีที่แล้ว

      🚶

    • @rachelmuhehe7789
      @rachelmuhehe7789 ปีที่แล้ว

      Amen Amen Amen 🙏

    • @Elizabeth-777-r3p
      @Elizabeth-777-r3p ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว +2

    Kila mahali wanawake huwa ndio wanaleta matatizo au sehemu ya mataatizo
    1. Tanzania kuna manabii wengi wakike na wakiume waongo na wakweli lakini anayejiita Mungu ni MWANAMKE
    2. Aliyemshawishi ahabu kumnyang' anya mtu shamba lake ni MWANAMKE
    3. Aliyemdharau daudi na kufanya kupewa adhabu kuwa tasa milele ni mwanamke
    4.alisababisha samsoni kutobolewa macho ni mwanamke DELILA
    5. Aliyesingiziwa kumuua kanumba ni mwanamke elizabeth michael
    6.mtu wa kwanza kubadili jinsia alitoka mwanaume kuwa mwanamke
    🙄ni machozi sana kusikia mwanamke anajiita Mungu na kubeba utukufu wa Mungu

  • @jameelabuu3656
    @jameelabuu3656 ปีที่แล้ว +4

    Natamani Sana siku moja nije nifanye kazi ya mirald ayo GOD bless me

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 ปีที่แล้ว +4

    Iam the professor of the bible . Beyond that Tanzanian sheikh mazinge is professor of the BIBLE in Africa no one knows the BIBLE in Tanzania excpt him plus his team juma kinyogoli , mwaipopo, sheikh shaffi.

  • @swaibakamikazi-tj7py
    @swaibakamikazi-tj7py ปีที่แล้ว +20

    Astaghafurullah , Astaghafirullah, Astaghafirullah😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭, aw aw nd wanasabbisha tunapat harq n tetemeko la ardhi, wal simanen yakutufanya tuchke jaman, Allah atuepushe na atup mwsho mwema pia kwa huruma wak🙏🙏🙏

  • @mambosasatv8087
    @mambosasatv8087 ปีที่แล้ว +10

    Mirlad twakupenda mno na kazi unaiweza ❤ ila uyo da zu hapana uongo mtupu

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 ปีที่แล้ว +27

    Milady Ayo my brother outstanding interviewer for really. Big up 🙏

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 ปีที่แล้ว +9

    Millard...😅 Eti walikuwa wanaongea kisukuma!!! This is so crazy and funny 🤣 Zumaridi Wacha kudanganya watu!!!

  • @amsiypauline4500
    @amsiypauline4500 ปีที่แล้ว +6

    huyu anahitaji ushauri nasaha, anaishi maisha ya tafakari, Mungu amsaidie "mental ilness is real"

  • @amadoulahndikumana1655
    @amadoulahndikumana1655 ปีที่แล้ว +2

    Nchi Hii uhuru umezidi
    Uhuru ukizidi matokeo ni haya
    If this continue
    Na tuzidi kutarajia ya zaidi ya haya
    This is the beginning!

  • @maikomahanji9411
    @maikomahanji9411 ปีที่แล้ว +19

    Kwani alijuaje kama ni muzimu mungu tusaidie sana tunapitie mengi mungu turehemu kwa upyaa

    • @apynesnzisa5045
      @apynesnzisa5045 ปีที่แล้ว +2

      Watu wanatafuta pesa.. 😅😅😅

  • @mariedelarie873
    @mariedelarie873 ปีที่แล้ว +26

    Leo professionnel wetu Maillard Ayo ameshibdwa hata kuuliza hata swali moja mtoto wawatu anatizama kama movie 😂😂😂😂😂😂

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ปีที่แล้ว +1

      Balaaa🤣🤣🤣

    • @maidimples8236
      @maidimples8236 ปีที่แล้ว +2

      Haha ati km movie

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ปีที่แล้ว +2

      @@maidimples8236 yaan hii ni movie alafu bora ata ingekua inaonekana inakaukweli ingebamba but haina uongo na kweli🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ ni ujinga wa mwisho kabisa🤣🤣🤣🙌

    • @apynesnzisa5045
      @apynesnzisa5045 ปีที่แล้ว

      Nani aliomba masaa 9😂😂

    • @apynesnzisa5045
      @apynesnzisa5045 ปีที่แล้ว +4

      Leo Niko India live aina haja ya movie 😅😅

  • @muhsinirasuli2473
    @muhsinirasuli2473 ปีที่แล้ว +11

    Daa mwenyezi Mungu ww ni mjuzi ulituumba na unatupenda nakuomba Mungu wetu mwaminifu tupe hekima tupe maarifa maana ulisema katika neno lako watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @ChristinaEmanuel-tw7fo
    @ChristinaEmanuel-tw7fo ปีที่แล้ว +2

    hongera millad una fanya kazi nzur kaka ila huyo mama ngoja aendelee kujiwashia moto

  • @saldinthegreat2264
    @saldinthegreat2264 ปีที่แล้ว +21

    BRAVO BRO. MILLARD... EXPOSING HER IS MORE IMPORTANT THAN TALKING BEHIND HER BACK, AT LEAST NOW WE KNOW,

    • @maryanacruz7119
      @maryanacruz7119 ปีที่แล้ว +2

      I would say not exposing but just entertaining her obviously he knows its a total crap she is speaking 😂

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      HAIMANISHI NAKUBALIANA AU SIKUBALIANI NA "BI ZUMA" , ME NI BINADAMU KIUMBE DHAIFU NA PART NDOGO SANA YA ULIMWENGU MKUBWA NA WA MAAJABU YA KUTISHA! ILA KABLA YA KUCOMMENT KUMPINGA NA KUDHANI UNAJUA UKWELI JIULIZE SWALI DOGO TU "JE UNAJUA SIMU ULIYOISHIKA INAVYOFANYA KAZI?" IKIWA HUJUI HATA JAMBO DOGO YANINI KUDHANI UNAJUA MAMBO MAKUBWA NA MAGUMU YA KIROHO..? IKIWA HATA KITABU CHA PHYSICS CHA FORM ONE HUKUKIELEWA , NINI KINAKUFANYA UDHANI UNAIELEWA BIBILIA KITABU CHA MAFUMBO MAGUMU? ,JE YESU ANGEZALIWA ENZI HIZI, AKAOMBA INTERVIEW NA MILLARD AKASEMA ALIZALIWA BILA BABA, AMEZALIWA NA MWANAMKE BIKIRA, TENA ETI AMEFUFUA WAFU, AMETEMBEA JUU YA MAJI, ATI ATAKUFA NA SIKU YA TATU KUFUFUKA... UNGEMWAMINI? WOULDN'T YOU RIDICULE AND CURSE HIM IN THE COMMENT SECTION CALLING HIM A LIAR, DEVIL AND PSYCHOPATH?..NOW YOU PRETEND YOU BELIEVE IN HIM BUT IN REAL SENSE YOU'RE DEVIL POSSESSED AND LIVING IN DARKNESS FULL OF PAIN, MISERY AND POVERTY. IF YOU'RE HONEST WITH YOURSELF YOU WILL CALM DOWN, SAY SORRY TO "ALLAH" AND BE HUMBLE NOW ON. THE UNIVERSE WORKS IN A WAY HUMAN BEINGS WHOSE UNDERSTANDING IN MOST CASES IS LIMITED AND COVERED WITH DARKNESS! MY FRIEND YOU CAN'T EVEN EXPLAIN HOW AN ELECTRIC BULB WORKS, WHAT CAUSES GRAVITATIONAL PULL AND NOW YOU THINK YOU UNDERSTAND COMPLEX SPIRITUAL PHENOMENA...!

    • @karolinamasawe8978
      @karolinamasawe8978 ปีที่แล้ว +1

      Na we mtangazaji human kz yakufanya unaongea na kichaa mwizi tapeli mchawi

  • @dicksonthomas2622
    @dicksonthomas2622 ปีที่แล้ว +14

    Millard Ayo is very talented did you notice tha🤔 even if he noticed something strange he didn't argue and pretend to understand you so that he could explore more informations from u😁.

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +27

    Subhana llah umati Muhammad unaangamia .hiyo siku Allah akishusha sunami haitobaki hata mifupa yetu kwa laana hii inayoendelea huku kusaini ushoga huku kuna mungu wa kike anae hema na kula na kwenda kujitia mekap

    • @bintiAbdalla
      @bintiAbdalla ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂mungu Ana mumewe pia yarabbi 😅😅

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊Sina mbavuu

  • @VICTORIASAYIDA-xe1xc
    @VICTORIASAYIDA-xe1xc ปีที่แล้ว

    Waliomskia ayo kardia kuulza jua gonga like

  • @annasaguda8801
    @annasaguda8801 ปีที่แล้ว +34

    Kila kitu Kim emoties na Akiwa na mama yake
    HAKUNA MTU ALIYEWAHI MUONA MUNGU AKAISHI
    HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUSTAHIMILI NGUVU YA MUNGU KAMWE😢
    TUSOME MAANDIKO VIZURI
    STory zingine Zinatia hasira

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 ปีที่แล้ว +2

      Your right na Bado watu wanasema tusihukumu...Mungu anatisha jamani

    • @marthaholela6938
      @marthaholela6938 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni Roho jamani ebu tiachr kubase mambo mengine tuachr ushabiki.kam uelewi mambo ya rohoni Bora unyamaze.....haya mambo ya rohoni

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 ปีที่แล้ว +1

      @@marthaholela6938 Kipofu huweziona chochote Ata ukiambiwa mavi niugar bado utagubaritu

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว

      ​@@merckmdamu2942 😄😄😄😄😄😄

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +1

      ​@@marthaholela6938 huyu dada anawatafuta watu kama wewe. Na kawateka kweli

  • @jumamngazija-pw9yz
    @jumamngazija-pw9yz ปีที่แล้ว +24

    Jamanii kuna ajira ya kumchekesha millard ayo huku khaaa!!!? Big up brother

  • @emanuelmlelwa6595
    @emanuelmlelwa6595 ปีที่แล้ว +6

    Ww ni mwandishi kamili hujavaa miwani na hujacheka umechekea moyoni 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿japo najua huyo mama asingevaa miwani mtihani ungekuwa mgumu sana namaanisha ungecheka

  • @bokasaluhangano4059
    @bokasaluhangano4059 ปีที่แล้ว +2

    kaka mirad ww mvumilivu sana aiseeee 😀😀😀 mm ningecheka

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 ปีที่แล้ว +49

    Subhana llah mwenye zimungu atustiri na familia zetu ...
    Innalilahi wainna ilayhi rajiun.

  • @modestmkali3436
    @modestmkali3436 ปีที่แล้ว +52

    😂
    Millard ni comedian hatari, yaani ameona haiwezekani Jua kutokea usiku, akataka ahakikishe kwakuuliza JUA USIKU😀

    • @salimbahmad
      @salimbahmad ปีที่แล้ว +2

      hahahaha siku zote mtu akiwa akupiga chenga nawewe jifanye humuelewi ili umfaidi zaidi hahaha

    • @kelvinmbembati7990
      @kelvinmbembati7990 ปีที่แล้ว +2

      Yaani nimecheka balaa

    • @suzyclement3899
      @suzyclement3899 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @lilianwaithaka270
      @lilianwaithaka270 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅😅😅😅😅afu acheki ameshituka yake yote😅😅😅

    • @annytahadrehem3819
      @annytahadrehem3819 ปีที่แล้ว

      😆😆😆

  • @ayshazubeir-mx9kc
    @ayshazubeir-mx9kc ปีที่แล้ว +23

    Astaqafirullah,Subhannallah. Ya Allah tujalie mwisho mwema sisi waja wako mana kunakoelekewa ni kubaya sana wallah

    • @anthonykavishe
      @anthonykavishe ปีที่แล้ว

      Ukichukua vichaa 10 ukawapa mtihani,utapata wa kwanza Hadi wa kumi,sasa huyu kawa wa kwanza Kati ya wale vichaa 10 kwaiyo tusishangae anayoyaongea,uyu pia anauwakala wa kuzimu sio wakawaida

  • @qulasulle-hp1ni
    @qulasulle-hp1ni 16 วันที่ผ่านมา

    KUZIMU hakuna kukombolewa na Mungu tena, mwanadamu anakonbolewa au kuolewa akiwa katika duniani kabla ya kifo, baada ya kufa ni hukumu , Ebrania 9:27.Ole wenu msiosoma biblia na mnawafuata manabii wa uwongo!!

  • @gloriakayinga2536
    @gloriakayinga2536 ปีที่แล้ว +27

    Km ni kweli Mungu anisamehe lakini kumuamini huyu MTU Yani kuna vitu vingi naona ni story tu

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya ปีที่แล้ว

      Kwani wewe unaishi kumuamini binadamu mwenzio utacherewa🏃🏃🏃

    • @eunicekanumba8342
      @eunicekanumba8342 ปีที่แล้ว

      Jamani mbinguni kuna ofisini na kalamu na hamsemi

  • @faithmwende5158
    @faithmwende5158 ปีที่แล้ว +22

    "nakanyaga kaburi watu wanatoka wengi" spiritually means" you sacrifice One person to evil spirit you get one hundred followers in your church "for those who are spiritually open understands what am saying... be spiritual awakening and know more about her dream.

  • @javanwatson6675
    @javanwatson6675 ปีที่แล้ว +34

    Millard, Asante kwa hii video bwana, sisi tunaangalia kukusupport wewe tu ila dah bi mkubwa katupanga sana 😅

    • @devothamassoy6802
      @devothamassoy6802 ปีที่แล้ว

      Huu upumbavu anaouongea huyu ni wakara wa shetani apaswi kuachwa aludi jela

    • @lightmsuyya1714
      @lightmsuyya1714 ปีที่แล้ว

      Umeona eeh

    • @jumabimba6527
      @jumabimba6527 ปีที่แล้ว

      acha mambo yamauwongo mmmmmmmhhhh

  • @NiceMshana-mq3yh
    @NiceMshana-mq3yh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh sina neno apoooo surely mungu ninyamazishee hamna maishaa mazuri alfu mnapewa poketi maney....🙊🙊🙊🙊 how come....

  • @maikomahanji9411
    @maikomahanji9411 ปีที่แล้ว +33

    Mungu turehemu hasira yako uiepushe kwetu mungu...

    • @JBB875
      @JBB875 ปีที่แล้ว

      AMEN 🙏

    • @hafsamnenga1942
      @hafsamnenga1942 ปีที่แล้ว

      Kazi ipo nihame bongo niende wapi😃😃😃😃😃😃

    • @issakobakimanga7738
      @issakobakimanga7738 ปีที่แล้ว +1

      Mbona amejieleza mwenyewe kuwa ameenda mbinguni? Na kule akakutana na mungu? Kwa hiyo hata yeye anatambua uwepo wa mungu. Ila kosa analolifanya kujiita mungu japo yeye anadai kuwa alienda kwa mungu 😂😂🤣

    • @didah300
      @didah300 ปีที่แล้ว

      Nataft kiki, natafta Hela ila cjafk level hiyo mmmmmh jaman 😥😥 ni mwongo ad anakera, fyuuuuuuuuu ka!

  • @ashgothey
    @ashgothey ปีที่แล้ว +89

    LA ILLAHA ILLA ALLAH, MUHAMMAD RASOOL ALLAH.

  • @maryjohn5019
    @maryjohn5019 ปีที่แล้ว +12

    Eti na dunia mzima! Na Nani...Ninamtukuza MUNGU aliye zifanya Mbingu na Nchi Na ninasalimu kwa Jina la Yesu tu

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ni jini ndio maana babako alikimbia. 😭🙌pepo mwana wa ibilisi

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว +87

    Ila Milard ana moyo daah!! Maana ningekuwa mm ningecheka hatari ila kaka wa watu anauliza eti Simba mkubwaa kama hii nyumba??? Mara jua usiku😂😂🤣

    • @anraneamisse9243
      @anraneamisse9243 ปีที่แล้ว

      ametulia hatariii

    • @teddyelizabeth9358
      @teddyelizabeth9358 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @husseinchambau3015
      @husseinchambau3015 ปีที่แล้ว +5

      Huyo mama ni shetwan na tapeli mkubwa dunian nadhani akikosa number 1 bas 2

    • @noutally3871
      @noutally3871 ปีที่แล้ว +6

      Wallah mi ningegara garaa🤣🤣🤣

    • @muhsinirasuli2473
      @muhsinirasuli2473 ปีที่แล้ว

      Kaka ww ingiza hela tu halafu badae wakuite frimason wakati wanakuza Ayo tv

  • @irakozeaisha3308
    @irakozeaisha3308 ปีที่แล้ว +19

    Innalillahi wainnailayh Rajiuun. YANI NIMECEKA KWA SAUTI MPKA MWARABU ANANISHANGAAAA

    • @nyunyusatwaha2919
      @nyunyusatwaha2919 ปีที่แล้ว

      Huyu mama Mwenyez Mungu amsamehe alijua anatudanganya ndio maana alivaa miwani ya kuchomelea maget, c unajua mtu muongo anaonekana machoni,,,,,!!

  • @akimanaaisha-og2sx
    @akimanaaisha-og2sx ปีที่แล้ว +20

    Innalillah waina illah rajiun Allah atup mwisho mwema 😭😭😭

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 ปีที่แล้ว

      Ofisi ya allah kaiona🤣

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว +1

      Yani huyu hampishani na wa kwa mhamad

  • @kingevarist6653
    @kingevarist6653 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Millard Ayo Kaka kwa michimbuo ya interview kaka tumejifunza mengi

  • @florencemlay9333
    @florencemlay9333 ปีที่แล้ว +48

    Ila huyu dada Mungu amsamehe tu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Ipo siku yake wewe endelea kumuombea tu

    • @hafsamnenga1942
      @hafsamnenga1942 ปีที่แล้ว

      Muongo uyo hakuna kitu km icho😀😀😀

    • @yagwishaheke2524
      @yagwishaheke2524 ปีที่แล้ว

      Huyu ni Mtoto wa shetani baba yake anajua namshukuru Mungu aliye hai kunifundisha yote

  • @hamidamedia514
    @hamidamedia514 ปีที่แล้ว +14

    Dunia imefikia ukingoni,,,,seme millard unaweza sana ,Usijikaze cheka tyu usije ukauwa bandama

  • @zaharayahaya4877
    @zaharayahaya4877 ปีที่แล้ว +22

    Watu wa kuzimu wanaongea KISUKUMA SubhanaAllah 🥺 😪 I'm proud to be a MUSLIM ALHAMDULILLAH ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      Kumbe kuzimu hakuna waarabu?? Ebu tutajie wapi Muhhamad aliongea lugha zaidi ya moja

    • @amanididas7660
      @amanididas7660 ปีที่แล้ว

      @@jesusislord9190 umenichekesha😂😂😂 kiarab na mbingu wap na wap???

    • @azizahmustafa8330
      @azizahmustafa8330 ปีที่แล้ว

      ​@@jesusislord9190 ushaambiwa kuzimu kulikua na wasukuma 🤭🤭🤭😆😆😆😆😆

    • @ayeshaaljabry
      @ayeshaaljabry ปีที่แล้ว +1

      @@amanididas7660 moses amezaliwa egypt na egypt ni nchi ya kiarabu na mitume wengi wamezaliwa nchi za kiarabu hata huyo yesu wenu kazaliwa nchi za kiarabu ujinga has no limit 😂

    • @sabreenahbhoki7440
      @sabreenahbhoki7440 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @maranathamwayinga8673
    @maranathamwayinga8673 ปีที่แล้ว +2

    Gabriel ni malaika wa habari au mleta ujumbe katika yale makundi 7 ya malaika. Tuzidi kusali Mungu hatuurumihe

  • @aishaa2930
    @aishaa2930 ปีที่แล้ว +24

    Inahitaji ukomavu wa kuvumilia bila kucheka pole sana kaka Millard Kwa uvumilivu wa kutokucheka🤣🤣🤣

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 ปีที่แล้ว +7

    Mambo ya Mungu hayatafsiriki kwa rugha ya kibinadam, hata Yesu wa ukweli akitokea hapa auibrahim au Petro aseme Mimi ndiyo Yesu wengi hatutakubali , ila kila Mtu anafata mambo aliyosikia yeye bila kujali aliyemsemesha alikuwa nani

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 ปีที่แล้ว +1

      Yesu alikuwa tofauti na hata Petro alipomkana walimwambia mbona hata kusema kwako inaonesha ulikuwa na mtu yule he was different huwezi kumfananisha na mtu anajiita Mungu anavaa mawigi mara makucha ya bandia,makope seriously .....Mungu hadhihakiwi

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว +1

      INTELLIGENT! HUMBLE AND KEEP SEARCHING FOR THE TRUTH AND LIGHT... LET THEM THINK THEY KNOW IT ALL

    • @kgbagent9321
      @kgbagent9321 ปีที่แล้ว

      @@gracekenan4665 SIJUI KAMA "BI ZUMA" YUPO SAHIHI AU HAPANA, NI MUNGU TU NDO AJUAYE!, SIJUI HATA SIMU NINAYOTUMIA INAFANYAJE KAZI, SEMBUSE MAMBO MAGUMU YA KIROHO?.. ILA KUSOMA COMMENTS NIMEGUNDUA KUNA HATARI SANA KATIKA TAIFA..KARIBU WATU WOTE WANADHANI WANAJUA UKWELI TENA WENGINE WAKITUMIA BIBILIA NA JINA "MUNGU" AS IF BIBILIA NI KITABU CHA KUELEWEKA NA KILA MTU. HII INAITWA "IGNORANCE" MTU ANADHANI ANAJUA KATI HAJUI, IN FACT HAJUI ASICHOKIJUA..! HEKIMA NI KUWA HUMBLE NA KUWA TOLERANT NA WENGINE WHETHER YOU AGREE OR DISAGREE.. HUTAPUNGUKIWA KITU KUSEMA "HUJUI" , LIVE LIFE BE HUMBLE AND EAGER TO LEARN... WE ARE ALL HUMAN BEINGS, AND OUR JOB AS WE LIVE IS TO SEARCH FOR THE TRUTH.. THOSE WHO DID FIND THE TRUTH ABOUT THE WORLD AND GOD WERE DISTURBED AND HAD TO CHOOSE SILENCE BUT THE FOOLS TALK, TALK AND TALK. THANKS MILLARD KWA HII INTERVIEW WE NI MFANO WA WELL EDUCATED,WISE,SUCCESSFULAND MATURED MAN, IT DOESN'T MATTER YOU AGREE OR DISAGREE WITH ZUMARIDI YOU STAYED HUMBLE AND WENT INTO BUSINESS WITH HER. AS THE RESULT UMEFICHUA IGNORANCE YA WATANZANIA WENGI MASKINI NA WANAOISHI KATIKA MATESO DUE TO WRONG INTERPRETATION OF SCRIPTURE AND THINKING THAT THEY KNOW IT ALL.

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 ปีที่แล้ว +6

    NASEMAJEEEE 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 BINAFSI MM NIMESHINDWA KUANGALIA HII INTERVIEW 😂😂😂😂😂😁😂😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😂😂😂🤣🤣😂😂🤣😂😅😅😅😂😅😂😂😂😅😂😂😆😁😄😃😀😂🤣😂😆😁😄😃😃😃😄😁😂😂😂😆😁😄😃😄😀😀😁😆😅😂😂😂😆😁😄😄😃😃😀😃😄😂🤣😂😂😂😅😆😁😁😁

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU HAJAWAI KU DHIHAKIWA , GOD SHALL NEVER BE MOCKED, ATASHUKA MDA SIO MREFUU

  • @zawadimauya7876
    @zawadimauya7876 ปีที่แล้ว +5

    Milard Ayo kazi nzuri Br,maana hii ni kubwa kuliko😂😂😂

  • @oscarmsafibandah6311
    @oscarmsafibandah6311 ปีที่แล้ว +5

    This is what we call exclusive interview ever...! Millard ayo you're so patient interviewer ever, I can't jus end up with mmhh eeh, duuh mawali chache 🙌🙌😅

  • @jamesmagere4562
    @jamesmagere4562 ปีที่แล้ว +9

    Millard hongera Sana kwa kujizui kucheka

  • @SHAKILAIBADI-ig3qc
    @SHAKILAIBADI-ig3qc ปีที่แล้ว +1

    Duuh kweli bongo ndo nchi inayo sapoti ujinga ila milad ayo umetisha mungu kawa chapombe

  • @margaretnyamwilahila292
    @margaretnyamwilahila292 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kijana Millad Ayo!!
    Kukaa mbele ya huyo dada it's very scary??

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 ปีที่แล้ว +131

    Mambo ya Mungu ni mazito...staki kumhukumu mtu mimi

    • @pascaldeusdedit4036
      @pascaldeusdedit4036 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁🤣🤣😁🤣😁🤣

    • @haidaris.kalunga9541
      @haidaris.kalunga9541 ปีที่แล้ว +8

      Millard Ayo huyo alipelekwa Gamboshi. Muumba wa mbingu na ardhi hana misukule inayoomba ugali na kusaidiwa na mtu. Kuzimu ni nyumbani kwa "Mazimwi"

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +1

      ​@@haidaris.kalunga9541 asilimia 1000

    • @havyanine9430
      @havyanine9430 ปีที่แล้ว +1

      Tena gamboshi za Shinyanga vile ziko nyingi😂😂🤣🤣🤣🏃🏻‍♀️

    • @marthanyakaitanyakaita2698
      @marthanyakaitanyakaita2698 ปีที่แล้ว +1

      Naungana na wewe

  • @vinnyvinnier1143
    @vinnyvinnier1143 ปีที่แล้ว +4

    14:54 MBINGUNI KUNA MAZOMBI😂😂

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nampaga tu millardayo pole kwa changamoto za kazi zake 😅😭😭😭😭😭🤣🤣😂😂🤣

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +26

    Uyuu Jamaa Anajua Biashara Sna Kupitia Interview Hiii Atapiga Pesa Sana #millard ayo

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Saaana tu miezi 3 tu milion 3 watu wataview

    • @vivianjonathan1783
      @vivianjonathan1783 ปีที่แล้ว

      Na ha huyu zumaridi anajipigia hela anatuona ss n mafala

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 ปีที่แล้ว +14

    Mungu tunusuru nahiali wanojita wangu hakuna mungu mwengine zaidi yaalla subuhana wataala

  • @munnirahsaad283
    @munnirahsaad283 ปีที่แล้ว +30

    Millard anatamani kucheka ila huyu mama marà ameenda mbinguni mara kuzimu hongera millard kwa uvumilivu

  • @roselyimo3676
    @roselyimo3676 ปีที่แล้ว +1

    Zumaridi hakuwahi kusema uongo na hatungagi chochote kwakuwa hata akikutamkia utoke mwilini unatoka ukweli. Ana mamlaka ya Mungu ndani yake.

  • @ngoshamedia1
    @ngoshamedia1 ปีที่แล้ว +8

    Wasukuma ni masuper staa mungu katujaliaaaaaa

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +9

    Tunao soma comment nakucheka tujuane wajumbe si watu wazur😅😅😅

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +6

    Kwa jila la make up
    Ubarikiwe sana ulie leta make up
    Ubarikiwe sana ulie leta editing
    Ubarikiwe sana ulie leta make up
    Maana Huyu alipokuwa kiziuzini alikuwa na uso kama kisanvu kilicho chacha kwa rangi nyingi.
    Ubarikiwe makeup

    • @priscao3818
      @priscao3818 ปีที่แล้ว

      Hahahahahah

    • @jhopes_legalwife
      @jhopes_legalwife ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂an hata kisamvu kilichochacha kina hadhi

  • @juventjustinianaloyse6640
    @juventjustinianaloyse6640 ปีที่แล้ว

    Mungu hajui KIINGEREZA zumaridi we ni noooma

  • @wilbroadmassay831
    @wilbroadmassay831 ปีที่แล้ว +8

    Hii interview nimeisubir leo siku ya tano yaan nilikua kila siku naingia TH-cam kuangalia kama millard kapost ... msukuma huyu anatakiwa awe comedian

  • @nellyerpatrick283
    @nellyerpatrick283 ปีที่แล้ว +8

    Daaaah huyu mama mwenyezi mungu amsamehe ajui alitendalo 😭😭😭

  • @jasixtyjoseph5351
    @jasixtyjoseph5351 ปีที่แล้ว +11

    Leo ndiyo nimetambua kazi ya kuhoji watu ni Ngumu sana...pole sana kaka..ninatamani MTU mwingine aje amuhoji kama kweli atakumbuka hayo yote aliyoongea..

    • @wilsonkakili2481
      @wilsonkakili2481 ปีที่แล้ว +2

      Hata jichanganya sana
      Mwangalie ayo mwenyewe haelewi anachosimuliwa

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 ปีที่แล้ว

      Huyo ni masta... Hyo stor yake anaisimulia hvyo hvyo hasahau kitu... Wee hiv unadhan mtu unaweza pata wafuasi weng namna ile bila kiwa masta.. yaan huyo imagine elimu yake ni darasa la 7 ila chek anavyoondoka na kijij.. hao watu wamezaliwa na vipaj vya kuchota watu.. katoka gerezan lakin anawafuasi kama wote... Mi mwenyew nmekua shabik yake ila kwenye upande wa comedy zake... 😄... Tuko mbele lakin tunafatilia kinachoendelea bongo kama kawa

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 ปีที่แล้ว

      I was thinking like you

    • @esterdoriye8377
      @esterdoriye8377 ปีที่แล้ว

      Nimewaza the same aje mwingine amuhoji hatakumbuka hata moja

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 หลายเดือนก่อน

      Haaaaaa

  • @veronicaalfred235
    @veronicaalfred235 ปีที่แล้ว

    Tangu lini MUNGU anafunga mkataba; Ulikua unafunga mkataba na lusifa, pole sana unafanya kazi ya ibiris na wewe mwenyewe unalifahamu hilo kwamba hua inawasiliana na mashetani wenzako, usijitoe ufahamu na kutufanya sisi ni wapumbavu kama unaowangoza. Kaa na ushetani wako huohuo kama hautak kumtafuta YESU/ MWENYEZI MUNGU wa UKWELI siku yako ya mwisho utalia na kusaga meno (Utajuta milele)