Am blessed with your songs man of God ,nazidi kusonga mbele kupitia hii huduma yako imenipa tumaini pale nilikuwa nimeshindwa asante ndugu kwa hip ujumbe.
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Alafu hiki kitu kipo kabisa mtu ukiokoka wandam wanakuhukum kwa matendo ya nyuma wanasahau ukimpata Yesu anasamehe..hakika wimbo umebeba ujumbe mzuri wakutia moyo,..nami nasonga mbele siangalii maneno yao mmbarikiwe sana Mungu azidi kuwainua viwango..Mungu nisimamie nisonge mbele.
Waaah Kuna time nilikua almost ku give up juu ya friends kuniongea but this song ilinipa encouragement l🙏🙏🙏🙏 have learned one thing God will never leave you any any battle
Kweli maneno ya wanadamu yanaumiza moyo sana😢😢😢😢😢😢😢😢nashukuru Mungu kupitia huu wimbo nilisonga mbele na nikasema Mungu ndiye final say🙏🙏🙏🙏be blessed a man of God
Amen mtumishi wimbo nzuri sana tena inani fariji moyo nikiwa mbali nanyumbani.. wanada waeleweki atuta waogopa, wacha mungu anisimamie nisonge mbele nisirudi nyuma.. Ubarikiwe sana brother Sifaeli Mwabuka, nyimbo zuri inafunzo.
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Kama nawe unalkiwaga na nyimbo za kaka huyu gonga like
Ubalikiwe sana kaka nabalikiwaga sana nanyimbozako hasaizi mpya undumu ktk neno la Mungu.
Amina mt wa mungu
👏👏👏👏
Light and hope in our wonderful god💯🙌🙌🙌🙌
@@monicajafeth167 ameeen
Hakika ndugu wewe nyimbo zako uwa zina nifariji kila siku
Ubarikiwe milele na Mungu
Hakika mungu akulinde maana nyimbo zako ziniinua sana
Ameena sana mtumishi nyimbo zako zinanigusa kutoka mbali sana nawewe akusimamie nawewe uende mbele kwajina la yesu
Hakika siogopi maneno ya wanadamu,acha nisonge mbele sababu mwenyezi Mungu amenisimamia.
Nikweli wanatunenea mengi bila kujijua
Amèeeen🙌🙌🙌
@@rehemapeter877 🙌🏽🙌🏽🙏🙏
Nabenda kabisa nyibo zake
Am blessed with your songs man of God ,nazidi kusonga mbele kupitia hii huduma yako imenipa tumaini pale nilikuwa nimeshindwa asante ndugu kwa hip ujumbe.
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
Mimi nta songa mbele ooooh Hallelujah 🙌🙌🙏
Aminaaa
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
Sitaogopa maneno ya wanadamu nitasonga mbele.nabarikiwa mtumishi
Nyimbo Zote Zako Mtumishi zina ujumbe mzito barikiwa sana
Ameeen barikiwa sana
Amen God bless your song... Ua sina ni bariki sana🙏🙏🙏🙏
Napenda sana nyimbo zako, may GOD bless you
Mtumishi ,mungu azidi kukubariki ktk kazi yako
Kufanya kazi ya Mungu muwemi
Usiogombe.mambo.yao.wewe.songa.akusimamiee.songambele.usiache.wokofu.huu.wimbo.utafanya.nisirudi.tena.nyumba.asande.sana.kakangu.mwambuka.mie.ni.mkenya.
Alafu hiki kitu kipo kabisa mtu ukiokoka wandam wanakuhukum kwa matendo ya nyuma wanasahau ukimpata Yesu anasamehe..hakika wimbo umebeba ujumbe mzuri wakutia moyo,..nami nasonga mbele siangalii maneno yao mmbarikiwe sana Mungu azidi kuwainua viwango..Mungu nisimamie nisonge mbele.
Its normally being said anew born baby for the first time comes out $cry meaning entering life of sin😄👏👏👏
Mungu atusamehe viumbe wake,tumurudie mungu,tuwaje mambo ya giza ya kuangamiza na kuangamizwa,ktk Jina la yesu😭😭😭😭😭😭😭
Ameeeen
Mungu ni mkubwa, amekupa kipaji
Wow God remember the situation I am in & the discouraging word that have been said unto me🙏
Amen 🙏 nice song.anisimamie nitasonga mbele zaidi pasipo na kuangalia nyuma
daaah sifari sjui mm nikupe nn unanibalki sana kaka
Hakika wakristo tunapaswa kukaza moyo tuzidi kusonga madamu Mungu wetu ni mahindi na ss tu washidi kwa anaetusimamia ni mahindi.
Ameeen
We have to be strong no matter our circumstances. He knows u and l psalm 139. Be blessed
Amen❤🙌
😊🙏🙏🙏🙏🙏
leo nimeamua nisikilize nyimbo za Sifaeli maan zinanifarij barikiwa san mtumishi wa mungu
Hongera Sana kaka Mungu akuinue zaudi na Zaid. Nimependa uimbaji wako
Am Phanice Okongo, nakwambia nasonga mbele na MUNGU wangu, pastor ukosawa nakwambia MUNGU akuinuwe milele na milele Amina
Mungu anakupenda sana Okay endelea kubariki watu wa mungu hadi siku za mwisho amen
Waow nyimbo zote zako sifael zanibariki xana God bless you
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🙏
💝🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏
Let not your past history make you stop worshiping God. Let them talk against you but ukiwa na Mungu, mbele iko sawa
Hallelujah tusonge mbele ya wanadamu yasituangushe barikiwa brother nice song
👏👏👏
Amina jmn,Kwa kwl hatuna budi kusonga mbele cku zte ktk maisha yetu mana mtetezi wetu u Hai
Hakika Mungu atujalie kusonga mbele bila kujali maneno ya wanadamu
Ubarikiwe sana nyimbo zako zina nitia nguvu sana
Kwa kweli
Hio nyimbo iko Sawa mtumidhi WA mungu mungu akuzidishie zaidi
Waaah Kuna time nilikua almost ku give up juu ya friends kuniongea but this song ilinipa encouragement l🙏🙏🙏🙏 have learned one thing God will never leave you any any battle
Kweli maneno ya wanadamu yanaumiza moyo sana😢😢😢😢😢😢😢😢nashukuru Mungu kupitia huu wimbo nilisonga mbele na nikasema Mungu ndiye final say🙏🙏🙏🙏be blessed a man of God
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
Bado nasonga mbele 😢eee Mungu nisimamie
Sauti tamu,uchezaji hodari wa vyombo vya muziki na ujumbe maridhawa kuhusiana na neno la Mungu.
Asante
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL ameeen
Yeah usiongope maneno ya wanadamu amen ujumbe mzuri Sana barikiwa Kaka mungu akutie nguvu
Asante baba nabarikiwa saana
AMEN.. baba nisimamie nisonge mbele.
Binadamu wanayo maneno Mungu analo Neno
Ameeen 🙏🙏
Very nice song amen amen bro 🙏🙌👏barikiwa sana mtumishi wa mungu
amen
Asante sana sifaeli nyimbo zako zanipendeza ubarikiwe na mungu
Amen... Wacha Sisi wateule tusonge mbele..
Hakika nimelipiwa deni cdaiwi tena Mungu nisimamie nisonge mbele nisiache wokovu wangu Amen mtumishi
Huu wimbo umeponya roho yangu kabiza,🙏
Amen amen amen na songa
Kila wimbo unaotoa unanigusa Mtumishi @sifael ubarikiwe tangu sasa na milele. Songa mbele 👏👏
Muongozo wa njia👏👏👏👏👏
Hakika wanadamu hawana wema mi nasonga t mbele,, mungu amenisimamia
Ameeeen,god is the only answer to our needs,🤲🤲🤲🤲
Our might god is faithful👏👏👏👏
Ameeen thank you,thanks,thank you🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🙏🙏🙏
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🙏🙏🙏🙏
Amen hatuogopi manen0 ya mwana damu tusonge mbele
We ameeen mungu akupe uzima kabizaaaa🙌🙌🙌🙌
Amina, God came for those who are lost like me. I'm blessed from Kenya
Ameeen🙏🙏🙏🙏
Anisamamie nisonge mbele in Jesus name .Mungu akuinue na akukinge na madui
Hallelujah hapo sasa
Amen barikiwa san
Alikuja kutafuta waliopotea kweli kabisa amen ubarikiwe sana
Ww baba nikupe nn mm kwa hujumbe uliyeutowa ktk mwimbo huu kwer ww unajua sana kuimba POKEA BALAKA HIZO KUTOKA KWA MUNGU
I'm blessed with these song, I I like your songs I appreciate your them.
amen
Wonderful song's zinanifariji aai!!
asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami,thanks for your support subuscribe my chanel and share to others
Amen mungu nisimamie nisonge mbele
Amen mtumishi wimbo nzuri sana tena inani fariji moyo nikiwa mbali nanyumbani.. wanada waeleweki atuta waogopa, wacha mungu anisimamie nisonge mbele nisirudi nyuma.. Ubarikiwe sana brother Sifaeli Mwabuka, nyimbo zuri inafunzo.
Asanta mtumishi WA mungu
Amina amina mungu akubarik baba mungu shuka
Balikiwa sana mtumishi
Actually nani anaona kama mimi huju ndugu ako juu kwa gospel.
ASANTE YESU SIFA NA UTUKUFU NARUDISHA KWAKO.
Nice song indeed
Mambo
@@pacificahmoraa4722 ameeen
Ameeen ameeen 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🙏🙏
Tulikuwa tukilewa wote lakini Leo nipo kwa mtetezi Yesu
Ameeeen💯🙏🙏🙏
Penda nyimbo zake za manufaa kuelimisha palikiwa mjungaji from kenya🇰🇪 nategea nikiwa UAE watching clearly
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
MUNGU akubariki uzidi kosonga mbele nyimbo zako zinanitiaga moyo sana
Hakika ubarikiwe mtumishi wa mungu
Wimbo waniguza sana mungu akulinde sa a mwimbaji
It has really touched me,nimepata nguvu wacha nisonge,thank you mtumishi,be blessed
Nguvu zaidi,wach this song you will never listen negative for pple,😄🙏
Ameeen
Amen
Ameen, Glory to our God
barikiwa Sana mtumish
Napenda nyimbo zako Sanaa🙏🙏🙏
Nice song with strong message.keep up inspiring us man of God
Amen sifaeli mungu azidi kukuinua kwa nyimbo zako
amen 🙏🏽🙏🏽
Haijalishi watasema Nini Mimi ntasonga mbele na Yesu wangu barikiwa mtumishi wa Mungu Sifaeli
Ameen❤🙏🙏
Barikiwa saaaaana katika jina la yesu🙏🙏🙏
May God lift your ministry because you have inspiring message 🙏
Ameeen thank you,be blessed
Sifa Eli mungu akuzidishie uendelee kuimba maana nyimbo zako zina jenga
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
hey Apondi Pam uko WaPi happy New year
Amen mtumishi WA Mwokozi.
You got the best inspirational songs ever...great lyrics and voice...The song "Usiogope maneno yao",....can't stop listening...blessed.
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
Tumelipiwa deni sasa ni kusonga mbele,,baraka tele Mtumishi Sifaeli Mwabuka
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
My best Musician Sifael.
May the Lord keep you.
Much love from Nigeria tho I don't understand the Swahili,more grace and wisdom Sir.
Tulipiwa Deni, hatudaiwi tena.. Huwa unanibariki sana kwa sauti yko..
mtumishi wa Mungu,hongera sana kwa kazi nzuri san
Barikiwa Sana Kaka mkubwa
Barikiwa ndugu ,kwa nyumba za kuvutia na kutia moyo .
@@evanskiute1324 god be glory ur name🙏
Ameeen ameeen ubarikiwe
Napenda nyimbo zako. Enyewe nimesemwa Sana na wanadamu
Atakusimamia kwa magumu yako,utashinda🙌🙌🙌🙌
Hii song inasema ukweli barikiwa
Hii nyimbo inanitia moyo.
Mungu akubariki Sifaeli
Amen maneno yao yasikurudihse nyuma
amen
Nice song... Kweli nasonga mbele....... am in love with that song!!! blessed
Ameen barikiwa sana
Yes imenipa moyo❤
Amen akusimimae songa mbele hallelujah nabarikiwa sana
haijarishi watu wanakusema vibaya wewe songa Kama unasikiliza wimbo huu weka like za kutosha
Wonderful encouragement to broken hearted
Enyewe ukisikiza maneno ya mwanadamu wakikusema kinyume ukitendacho hautasonga mbele
Kabiza,mbele na yesu,ndiye mwangaza wetu🙌🙌🙌