Nabarikiwa Sana na Nyimbo zako mtumishi unanibatiki hadi Baraka zinashuka nyingi mno jamani sifaeli Mwabuka, ningekua sijailewa ningekuomba na kumumba Mungu ningekuwa wako wa milele ila Mungu kisha nipa wakufanana nae, ila ukweli mtumishi Nyimbo zako zinanibariki mno Mwabuka, Mungu azidi kukutunza kwa ajiri ya watanzania endelea kumtangaza Mungu kwa uduma ya Nyimbo ili wengi wabarikiwe, 😍😍
Mungu akuzidishiye baraka tele,huu wimbo umenisaidiya sana2017nikiwa kwemye nilipo kuwa nauguza Mke,,Sud Kivu/drc,,,hataleo nazidi kupata nguvu zaidi ninapo ninapo omba kwa manenohaya.
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL kabisa napenda sana nyimbo zako mwangu nyumbani ni nyimbo zako tu.Nimebarikiwa sana kupitia kwa nyimbo zako na ni maombi yangu uende hadi mahali unaomba Mungu kufika.🙏
Mtetezi wangu ni wewe baba sina mwingine msaada wangu niwewe baba tumaini langu niwewe yesu sina mwingine Amen nyimbo nzuri sana pia inanifariji moyo kweli, Be Blessed Brother SIFAELI MWABUKA.
Barikiwa sana dear brother from Saudi Arabia, kila ninapokata tamaa , kila ninapoishiwa na nguvu nyimbo zako zanifariji na kunipa moyo wa kusonga mbele nakua na tumaini kwa maisha ya kesho,Asante sana
Nabarikiwa mno na nyimbo zako kaka yangu mungu azidi kukusimamia na kukupigania uendelee kututumikia ili wasio mjua yesu wamjue kua mwakozi wa maisha yetu, barikiwa sana
Wimbo mzuri sana mtumishi wa Mungu. Acha Mungu wa mbinguni akubariki na alinde familia yako yote. Nasikia hii Wimbo kila mda. Unajenga roho. Ndani ya gari yangu hii Wimbo njoo iko ku playlist yangu. Let all people shout out our God is strong, awesome in power. He is higher than any other.
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
Mtetezi wangu ooh yes msaada wangu ni wewe baba barikiwa sana ndungu ujumbe huu unatia moyo
Naomba mungu wangu aendelee kukutia nguvu ya uimbaji Kartika Jina LA yesu cristo Amen
Njo uniteteye sinamwengine barikiwasana papa 🙏🙏
Nabarikiwa Sana na Nyimbo zako mtumishi unanibatiki hadi Baraka zinashuka nyingi mno jamani sifaeli Mwabuka, ningekua sijailewa ningekuomba na kumumba Mungu ningekuwa wako wa milele ila Mungu kisha nipa wakufanana nae, ila ukweli mtumishi Nyimbo zako zinanibariki mno Mwabuka, Mungu azidi kukutunza kwa ajiri ya watanzania endelea kumtangaza Mungu kwa uduma ya Nyimbo ili wengi wabarikiwe, 😍😍
Mungu akuzidishiye baraka tele,huu wimbo umenisaidiya sana2017nikiwa kwemye nilipo kuwa nauguza Mke,,Sud Kivu/drc,,,hataleo nazidi kupata nguvu zaidi ninapo ninapo omba kwa manenohaya.
Amen ubarikiwe sana
Huu wimbo unanitia moyo god bless you❤😅
Mungu pekee ndio msaada wangu barikiwa mtumishi wa Mungu kweli ndio kimbilio wakati wa magumu yote
Asante sana na Mungu akubariki sana,thanks for your support and be blessed more!
Ninakutumainia Eh Bwana 😢Usiniache,Usinipite sina mwingine 😢wa kunitetea
amen
Hakika mtetezi wangu ni wewe Baba. Barikiwa sana Mtumishi kwani toka nimeanza kusikiliza nyimbo zako zote nabarikiwa nazo. 🙏🙏🙏🙏
Nakivale ug.Nyimbo zako zaturudishiya nguvu sana tunapo pungukiwa kiroho mungu akubariki,,
Amina Ubarikiwe sana
Amen Amen Amen 🙏🙏🔥🔥🔥 mungu abariki 💃💃🇺🇬🇺🇬
ewe mungu tutazame watoto wako ewe mungu 😭😭😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Waimbaji na wauduma wote ongera kwa kazi mzuri kwa kuubiri injili ya bwana
Kwa kweli Mungu ni mtetezi wangu milele na milele kwanza kupitia kwa huyu wimbo nimeona mkono wa Bwana God bless you na azidi kukutetea.
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL kabisa napenda sana nyimbo zako mwangu nyumbani ni nyimbo zako tu.Nimebarikiwa sana kupitia kwa nyimbo zako na ni maombi yangu uende hadi mahali unaomba Mungu kufika.🙏
Que Deus te abençoe 🙌... obrigado por existir😢😊🇵🇹👏🙏
amen
Wimbo nzuri Dana mtumishi WETU umetutoa machozi KWA furaha familia mzima tukiwa TANGA TANZANIA MUNGU AKUBARIKISANA
I'm listening from Zambia❤
amen
Msahada wangu ni wewe baba mtetezi wangu kimbilio langu ni wewe baba sina mwengine 👂😢💘💪🙏
So good and so great!
Amen thanks
Thanks so very much kwa wimbo safi barikiwa sana 🙏amen amen 🙏
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
Amen amen bro barikiwa sana wimbo safi sana amen 🙏🙌
Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Mtetezi wangu ni wewe baba sina mwingine msaada wangu niwewe baba tumaini langu niwewe yesu sina mwingine Amen nyimbo nzuri sana pia inanifariji moyo kweli, Be Blessed Brother SIFAELI MWABUKA.
Nyimbo za sifael nikizisikiliza nafarijika sana dah
Barikiwa sana dear brother from Saudi Arabia, kila ninapokata tamaa , kila ninapoishiwa na nguvu nyimbo zako zanifariji na kunipa moyo wa kusonga mbele nakua na tumaini kwa maisha ya kesho,Asante sana
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
Kweli Mtetezi wetu ni Mungu hakuna mwingine
asante sana mungu akubariki,thanks for your support be blessed
Songa mbele Mungu akulinde katika kazi zako
mungu atabaki mungu maisha yangu yote
Nikiweka hizo nyimbo nazama kwamaombi asant pastr
Bom dia meu amigo eirmao em Cristo Jesus
I am watching from Bahrain country hakika nyimbo, zako zinanijenga kaka Tena zinanitia nguvu kwa mahali niko ni watu wanaabudu miungu ya Dunia
haleluhya hallelujah haleluhya
Be blessed akika wimbo huu unitia moyo sana
Mungu akubariki uendelee kutuletea nyimbo nyingine nyingi kama hizi zenye upako wake Mungu. Nazipenda sana!
Mtetezi wangu , msaada wangu, jibu langu kibilio langu, tumaini langu, msaidisi wangu .Barikiwa mtumishi kwa kutukubusha kuweka matumaini yetu kwa mungu
Anne Waithira Njoroge mte
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi Kaka ubarikiwe sana
God bless you my brother Sifaeli hiyo nyimbo mtetezi wangu inanibariki sana mesi kutoka Kenya
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
Mungu ndiye msaada na mtetezi wa kweli wakati was mahitaji . Glory and honour be to Lord Amen
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa wimbo safi sana 🙏
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
Mtetezi wangu ni mungu.... tumebarikiwa sana, ubarikiwe nawe mungu akupe nguvu
Hakika sina la kuongezea au la kupunguza.ila Amina.
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
Hakika yeye ndiye msaada wetu Amen ubarikiwe sn
amina asante kwa support yako usisahau kushare na wengine na subscribe my youtube channel and be blessed more
Sifaeli Mwabuka amekuwa wa kuniinua kwa nyimbo zake za baraka siku zote. Mungu akubariki na familia yako, Ndugu Sifaeli.
Amen mtetezi wangu ni Bwana
amina asante kwa support yako usisahau kushare na wengine na subscribe my youtube channel and be blessed more
Wimbo mzuri sna mmbarikiwe sna
Mtetez wangu niwewe baba
Akunakama yesu katka maisha yetu
Nabarikiwa mno na nyimbo zako kaka yangu mungu azidi kukusimamia na kukupigania uendelee kututumikia ili wasio mjua yesu wamjue kua mwakozi wa maisha yetu, barikiwa sana
Kwahakika sijui niseme nini juu hizo nyimbo zako hua zanipeleka mbali,may God bless you i can sing from A to Z coz ziko hadi kwa damu
mungu azidi kukupa maisha
Barikiwa mutumishi wa mungu
Barikiwa sana bro amen amen 🙏🙌👏
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
Amen yeye pekee kupitia mwanae yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen
Barikiwa sana wimbo safi sana 🙏amen amen bro
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
mungu akubariki sana man of God mungu ni mkuu
jehova nitetee bwana blessing song
amen nyimbo sako zanibariki tu sana may God bless you
Mungu nd musada wtu
May the Lord bless you abundantly
Am Phanice Okongo, God, bless you Sifael kila nisikilizapo mahubiri yako hakika nwabarikiwa tu Sana God bless you 4rever and ever.
Nikisikiliza nyimbo zako.kaka nasahau na shida zote
Wimbo mzuri sana mtumishi wa Mungu. Acha Mungu wa mbinguni akubariki na alinde familia yako yote. Nasikia hii Wimbo kila mda. Unajenga roho. Ndani ya gari yangu hii Wimbo njoo iko ku playlist yangu. Let all people shout out our God is strong, awesome in power. He is higher than any other.
Amina unikosha nakunibaliki
Glory to God, ubarikiwe mtumishi
Jehova n tetetee kwani cna mtetezi ila n wewe 2 baba.wimbo unaonitia nguvu.
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
l love this song coz ananitetea huku saudia
Amen Amen Amen hata mimi Niko huku saudia barikiwa
Haleluhya haleluhya pam from Asia so blessed bro
Asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami, thanks for your support please subscribe my channel and share to others and be blessed
Aki inanichenga sana
Ubarikiwe Sana nyimbo zako zinanifariji nikizisikiliza natokwa na machoz
Hii wimbo inaponya nafsi Mungu amenitetea kila wakati Sina mwingine ils yeye tu. Barikiwa kaka
Hongera sifaeli kwa kipaji chako Mungu akupe nguvu
Nyimbo zako nzur upo saf
Mtetezi wangu niww baba sina mwngine
Nyimbo zako hunibariki,ninapo songwa na mawazo mtu waungu.. mungu akupe nguvu.
thousand's likes sifaeli.
Mungu akubariki zaidi❤
Nabrikiwa na Nyimbo zako zilizojaa Neema na utukufu usichoke kumpa Mungu sifa kama lilivyo jina lako Napenda kazi zako ubarikiwe
rehema
Mtetesi wangu ni ww baba nabarikiwa saaana asante saana baba
God bless u sifaeli
Amen hakika mungu ndie mtetesi wetu kwa kila jambo, ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Hujawahi kukosea barikiwa sana kaka. Yesu ndio mtetez wng na msaada wng ni yeye hakuna mwingne
Mungu ndio mtetezi wangu be blessed my brother
Hakika ndiwe msaada wangu
Amazing to God be the glory; Amen
thanks for your support be blessed,please share my video link to others amen
Amen from Zambia
zaidi ya hivyo
Apesar deeu nao entender a letra mas so a melodia toca no fundo do meu coraçao.Amen
Barikiwa sana Mtumishi kwa nyimbo zenye ujumbe mzuriii
sichoki kusikiliza nyimbo zako kaka sifael barkiwa sana
Na penda njimbo zako ubarikiwe
Barikiwa sana.
Huwa unanifariji Sana wimbo huu
Ubarikiwe sana
Mtetezi wangu ni yeye wa baba wa mbingun kla wakat ,barkiwa sana mtumish wa bwana
Ubarikiwe milele,kazi ya mungu haina makosa wala kasoro,kumtumikia daraja la kuingia ufalme wake
Aki mm sichoki kusikiza nyimbo zako hunibaliki sana
th-cam.com/video/VwIQ315wlWk/w-d-xo.html
I love the song.Cant change my ringtone to another song. Blessings
I don't understand the language but I love this song
Amen asante sana kwa kuwa pamoja nami, please subscribe my channel and share to others and be blessed
Replies
Jehova jehova Nitete Bwana
yaaani nyimbo zako zinanikosha sanaaaa kaka mungu akubiliki sanaaa
YESU NI BWANA....
ANAOKOA ...
ANAFUFUA...
ANAPONYA...
ATATUCHUKUA KWENDA MBINGUNI ATAKAOKUTA TUKO TAYARI...
Kaka yangu nakukubali endelea ivyo hivyo kuifanya kazi ya mungu maana Mimi najifunza kotokana na nyimbo zako
Kweli mutetezi wetu ni Mungu
Barikiwa xana mkuu
Amen 🙏 be blessed I just can’t get enough of your encouraging songs
barikiwa sana na nymbo zako mungu akuzidishie
Amina mtumishi mtetezi wangu ni Bwana hakika
Mungu akubarik Sana Kaka.
R Mayenga
ni kweli hakuna mtetezi mwingingine juu maisha yetu zaidi ya mungu,barikiwa sana sifaeli
This song really touches me 🙏🙏
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
hallelujah hallelujah hallelujah mungu yuko
Surely GOD is always there for US. we need to make just a call away.
My Lord our God bless you and your family ur a blessing to my life
Mtetez wangu ni wew ndiwe msaada wangu baba unitetee baba 😍