MAFARISAYO BY SIFAELI MWABUKA.SKIZA 8561002.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 299

  • @GeorgeWangole-jv9dc
    @GeorgeWangole-jv9dc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki mtumishi unanigusa sana na nyimbo zako
    🎉🎉😮

  • @DelicousCurry
    @DelicousCurry วันที่ผ่านมา

    Najua mungu wako amekutendea mema endelea kumtuza ,Na Mimi pia niombee mungu aniondolee magonjwa

  • @Gladysamaule
    @Gladysamaule 8 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Madrid ni wengi

  • @mohamedkweyushaban8605
    @mohamedkweyushaban8605 4 ปีที่แล้ว +6

    Sifaeli, usije ukabadilisha tena kuimba, niko Kenya. Rohomtakatifu ukusaidie uimbaji wa kumtukuza Yesu kristo. Siku ni za mwisho, wakumbushe walokole hayo. God bless you sifaeli.

  • @NabutuBeatu
    @NabutuBeatu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sitawawona Tena maadui waku,yubo Yesu💪💪💪👍👍👍 Amen 🔥💃💃💃💖💖🇺🇬💯 sure 🙏🙏🙏🤔

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  5 หลายเดือนก่อน

      Thanks for your support. Be blessed. Don't forget to subscribe, comment and share

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl 8 หลายเดือนก่อน

    hallelujah sifaeli that's true song amen looking good man of god 💪💪💪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  7 หลายเดือนก่อน

      Amen nakuombea Mungu akukumbuke katika hitaji lako,Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed more

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue zaidi na zaidi kwa kibali cha kuimba nyimbo za kutia moyo🙏🙏🙏hakika mhukumu wa kweli ni Mungu pekee

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @leodiansamba4682
    @leodiansamba4682 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante Mungu kutuletea mtu kama huyu anatufundisha sanaa

  • @leonedady2772
    @leonedady2772 5 ปีที่แล้ว +43

    Wapi likes za mtumishi wa Mungu,this message inaguuza true any weapon formed against you shall never prosper in Jesus Name...really touching

  • @omaralqarni9326
    @omaralqarni9326 4 ปีที่แล้ว

    Asante saaana papa mungu azidi kukuongeza kipaji nabarikia tuu saana

  • @khadijahomar3855
    @khadijahomar3855 3 ปีที่แล้ว

    Najipa moyo pitia huu wimbo naona vita vyangu vyaisha pia adui zangu sitowaona tena, hooch amen

  • @davidmunyao1881
    @davidmunyao1881 4 ปีที่แล้ว +15

    Mungu akubariki Sana Mtumishi.. much ❤️ from Kenya

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +1

      💯💜💚💝💝💝💝🙏

  • @peterkioko6816
    @peterkioko6816 4 ปีที่แล้ว +4

    Yesu Kristo wa Nazareth Mwokozi wangu na Mkombozi wangu nakushukuru kwa kuwa Wewe ni ondoleo la hukumu maishani yangu

  • @machaaikush7829
    @machaaikush7829 3 ปีที่แล้ว +2

    Come mimi n mafarisayo na unanihukumu moyoni

  • @hadlightabisai6533
    @hadlightabisai6533 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu mbariki azidi kutuimbia nyimbo zinazo guza mioyo zetu,nyimbo zake nazipenda sana asante mungu.

  • @benziygie001blixen7
    @benziygie001blixen7 3 ปีที่แล้ว

    Ndio maaana Unamafanikio tele kutoka kwa Mungu.

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 3 ปีที่แล้ว

    Yule mwanamke kanyenyekea miguuni mwa Yesu akiwa anatarajia msamaha,hapo najifunza unyenyekevu.ameeen asiye na dhambi awe wakwanza ,wote n watenda dhambi.Mungu saidia wanadamu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @vascomwansile8140
    @vascomwansile8140 4 ปีที่แล้ว +11

    Uko vzr sana mungu ni mkuu aendelee kukuunua nafarijika sana na nyimbo zako

    • @gasperseverin4038
      @gasperseverin4038 4 ปีที่แล้ว

      Yuko vzur sana.. Kunanyungine anaitoa saiv tuisubur kwa hamu

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gasperseverin4038 ameeen

  • @nelimakitindaa6358
    @nelimakitindaa6358 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen wahukumu wangu wako wapi????niko na Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abelpilato8851
    @abelpilato8851 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi kabisa mtumishi wa mungu
    Wafanana na Ney wa mitego sauti na sura pia ni ndg dam dam ama?

  • @toniek254
    @toniek254 3 ปีที่แล้ว

    Asanti safaeli wimbo nzuri,wimbo imeitikiwa 254 kenya

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @louisamazutantamukunzi7363
    @louisamazutantamukunzi7363 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyehukumu nimumoja pekeyake niyesu

  • @steveowino8739
    @steveowino8739 4 ปีที่แล้ว +4

    Hio wimbo inanipa ujasiri nikae karibu na mungu

  • @Lucy-nr2sm
    @Lucy-nr2sm 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakika mahubiri ya huu wimbo, yananibariki tu Sana am Phanice Okongo God bless you pastor.

  • @gasperseverin4038
    @gasperseverin4038 4 ปีที่แล้ว +3

    Waooo nafuraha sana kuskiliza nyimbo zako brother gasper hapa suit kariako

  • @JelidaKanini
    @JelidaKanini 17 วันที่ผ่านมา

    God is good 🙏 amen 💖🙏

  • @robertrapemo3907
    @robertrapemo3907 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mwabuka kwa wimbo inayeguza mioyo za wenye dhambi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed

  • @eliashope1484
    @eliashope1484 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe ujumbe unamafundisho makubwa sana mwenyei mungu azidi kukuongoza

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @PaulMwandike-nf1fe
    @PaulMwandike-nf1fe 6 หลายเดือนก่อน

    Ni ya mungu hayo sifaeli

  • @alicekhamayo1991
    @alicekhamayo1991 4 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah 👏👏👏aamen na barikiwa sana mutumishi wa Mungu

  • @LYDIAHKWAMBOKAONSONGOKwamboka
    @LYDIAHKWAMBOKAONSONGOKwamboka 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Lucy-nr2sm
    @Lucy-nr2sm 4 ปีที่แล้ว +7

    Mtumishi WA Mungu, hakika ulimwenguni humu hamna hata mmoja aliye musafi mbele mbele za Mungu sisi zote tuko Sawa, pastor God protect you 4rever.

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Sifaeli kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼

  • @linangowi
    @linangowi 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzr sn ujumbe mzr ubarikiwe mtumish

  • @prigethtesha850
    @prigethtesha850 4 ปีที่แล้ว +2

    Me nasema nawe yesu niwe wa kwanza

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi hakika umekuwa lango kwa watu wa mungu mungu yupo kazini.kwa wanaomtumaini mungu na ambao bado wanamtafuta Yesu MWOKOZI mwana wa mungu. SHALOM, SHALOM.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @lynnetshikuku433
    @lynnetshikuku433 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen sitawaona tena watesi wangu kwa jina la Yesu Christo

  • @machaaikush7829
    @machaaikush7829 3 ปีที่แล้ว +1

    Aki sifaeli..

  • @donaldmanguya7054
    @donaldmanguya7054 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki waimbaji wote wanaomtukuza kwa nyimbo sa kumusifu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @christinekisika9745
    @christinekisika9745 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏 be blessed 🙌 😇

  • @morgansiwanzi1791
    @morgansiwanzi1791 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka usiyache kwimbiya mungu we love u and ur song too

  • @GeoffreyMandu-px7ty
    @GeoffreyMandu-px7ty ปีที่แล้ว

    Mungu na abwe sifa.

  • @GodfreyGumali
    @GodfreyGumali 2 หลายเดือนก่อน

    God bless you and you more more and more anointing

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏🙏🙏🙏wimbo mzuri sana mtumishi wa mungu mbarikiwa sana

  • @herietmusa4993
    @herietmusa4993 3 ปีที่แล้ว

    Amen napenda sana nyimbo zako mtumish

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @petronillambinda734
    @petronillambinda734 3 ปีที่แล้ว +1

    I have been blessed Glory to God

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @agnellazighe6175
    @agnellazighe6175 4 ปีที่แล้ว +3

    Yesu anasema hautawaona tena adui zako

  • @bahatibaha6154
    @bahatibaha6154 4 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo wako umeponya roho yangu

  • @janetnyongesa2094
    @janetnyongesa2094 4 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa Sana ndugu najengwa Sana na nyimbo

  • @edwinmunyao2431
    @edwinmunyao2431 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zanitia nguvu Sana barikiwa Sana Mtumishi na familia yako..

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @aughstusmasila8673
    @aughstusmasila8673 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu amen amen 🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @everlineocharo4433
    @everlineocharo4433 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue na akupe nyimbo nyinyi zitupaliki

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa kuwa pamoja nami, please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @sheilasimiyu3800
    @sheilasimiyu3800 3 ปีที่แล้ว

    Ghai!!! Mtumishi keep it up,nafarijika hadi naskia kambae nitakaa duniani milele

  • @johnokinda5115
    @johnokinda5115 4 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo nzuri sana. Tena sana

  • @JudithAtieno-u9t
    @JudithAtieno-u9t ปีที่แล้ว

    Am Blessed by all your songs Man of God.Kweli sitawaona madui wangu tena.Niko na ombi nikutembele Tanzania tuimbe pamoja nawe

  • @jeanamosi811
    @jeanamosi811 4 ปีที่แล้ว

    God bless you my Arist you are the besty . Sitaona tena aduï zangu Asante yesu wangu kwa upendo wako mkuu 😍😍😍😍😍

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi

  • @laurenciamasalu3619
    @laurenciamasalu3619 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi kwa huduma nzuri. Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.

  • @josphinenekesa3925
    @josphinenekesa3925 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen,,,, mungu awe nawe milele

  • @jennyprishaz8442
    @jennyprishaz8442 3 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe sana. Hakika yesu ni wahaki baba 🙏

  • @babawatotojeysonjanefaagel3061
    @babawatotojeysonjanefaagel3061 4 ปีที่แล้ว +2

    bro uko poa Sana God hakubariki sn

  • @penanauae316
    @penanauae316 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awe nawe siku zote ameni

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @josuemavuyehya4424
    @josuemavuyehya4424 4 ปีที่แล้ว +6

    cette chanson me reconforte et me console beaucoup

  • @angelamulwa1472
    @angelamulwa1472 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue mtumishi

  • @beatricekanari9742
    @beatricekanari9742 3 ปีที่แล้ว

    Strong message kati yetu hakuna alie msafi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amina asante sana nakushukuru mno kwa mchango wako kwangu kusikiliza kazi zangu nakuombea Mungu akubariki sana, share na wengine wabarikiwe pia subscribe my channel thanks

  • @elizabethwahome3300
    @elizabethwahome3300 2 ปีที่แล้ว +1

    sema kubalirikiwa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika kaka Mungu kakupa roho mtakatifu nyimbo zako ziko na upako mkuu Mungu akuinue juu zaidi

  • @StellaKibenaMsawanga
    @StellaKibenaMsawanga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri

  • @agnesmakato7383
    @agnesmakato7383 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen please release another song it so power we are being blessed by your songs

  • @josuemavuyehya4424
    @josuemavuyehya4424 4 ปีที่แล้ว +2

    aksante na mungu aku zidishiye my brother

  • @myydiary2189
    @myydiary2189 3 ปีที่แล้ว +2

    My favorite gospel tanzanian artist

  • @josephinenyanje9179
    @josephinenyanje9179 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebariwa sana

  • @jullyjulline4359
    @jullyjulline4359 5 ปีที่แล้ว +3

    For real napenda songs zako coz zanibariki sana,nasikizia nkiwa Bahrain bt Kenyan damu blessed man of God

    • @lydiamuli3328
      @lydiamuli3328 5 ปีที่แล้ว

      Ukiwa nchi ya ugenini ukiona izi nyimbo.smetime machozi yakutoka hasaa unapokuwa mahali hamna kanisa

    • @jullyjulline4359
      @jullyjulline4359 5 ปีที่แล้ว

      @@lydiamuli3328 exactly

    • @dodoburandi1954
      @dodoburandi1954 5 ปีที่แล้ว

      Amen baba nabarikiwa saaana

  • @maximillamutoka4313
    @maximillamutoka4313 3 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa ndugu

  • @michaelwekesa5560
    @michaelwekesa5560 2 ปีที่แล้ว

    Powerful message man of God

  • @DMGBOXING
    @DMGBOXING 4 ปีที่แล้ว +5

    Be blessed man of God I really feel blessed by your gospel

  • @gladyswasike
    @gladyswasike ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa,sana

  • @sammybiwott9515
    @sammybiwott9515 4 ปีที่แล้ว +2

    true,sisi zote ni watenda dhambi.We hve to forgive each other

  • @naomimutuku6429
    @naomimutuku6429 4 ปีที่แล้ว +5

    What a song,, keep it up bro

  • @fidelkisoi9388
    @fidelkisoi9388 3 ปีที่แล้ว +1

    God will always protect us from our enemies 🙏🙏

    • @lindamorrison7153
      @lindamorrison7153 3 ปีที่แล้ว +1

      Lindamorrison

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @elizabethmwikali7662
    @elizabethmwikali7662 3 ปีที่แล้ว +1

    Thank you lord,for my enemies are vanishing right now,,,good song may almighty God bless you indeed sifaeli

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks for your support please subuscribe my channel and share to others and God bless you.

  • @jamesmaina5593
    @jamesmaina5593 3 ปีที่แล้ว

    be blessed God provide ,wimbo zako huwa zinanibariki na tamani siku mója niwe kama wewe.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @kathykimberly3538
    @kathykimberly3538 4 ปีที่แล้ว +14

    Oh my God! I can't sleep without listening to this song. Actually it has a powerful message. I'll never see my enemies again. Thank you Jesus for your servant who has delivered this message to your people. Remain blessed servant of the Most High God!!!

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL god bless u💝💝💝💝💝💝🙏🙏🙏🙏

    • @leonardshija265
      @leonardshija265 3 ปีที่แล้ว

      Sawa mtumishi sikatai kwakuimba lakini nakuomba chonde zishike sabato zake yahuu

  • @gmchacha
    @gmchacha 3 ปีที่แล้ว +2

    Why this song hasn't reached 1M views yet, I wonder! I watch it daily on loop mode.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @magrethelisha5460
    @magrethelisha5460 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi🙏

  • @albertkorod1143
    @albertkorod1143 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukubariki

  • @risphaseerl5979
    @risphaseerl5979 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli amna mkamilivu,sisi xote tumeteta dhambi,

  • @simiyugideon
    @simiyugideon 4 ปีที่แล้ว +4

    Great and blessing music bro

  • @alexmgaya2009
    @alexmgaya2009 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana nyimbo zako

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @reginahafo2855
    @reginahafo2855 3 ปีที่แล้ว +1

    Te amo muito meu irmao minha oraçao è que tenha muitos anos de vida , sorte.Deus abençoe sua familia tambem.

  • @katamumaleck7039
    @katamumaleck7039 3 ปีที่แล้ว

    Touching and humble songs

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @meyajohnsongospelmusic8133
    @meyajohnsongospelmusic8133 3 ปีที่แล้ว +2

    So touching my friend but when it reaches to four minutes, it holds what is the problem

  • @aishaqtar7460
    @aishaqtar7460 5 ปีที่แล้ว +3

    My favorote song kip it up

  • @godwinchristian9646
    @godwinchristian9646 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa mpaka nauona utukufu wa Mungu kaka Sifael God bless you

  • @dianalukosi4400
    @dianalukosi4400 4 ปีที่แล้ว +3

    Much blessings from Kenya

  • @bonfacelitwaka9666
    @bonfacelitwaka9666 3 ปีที่แล้ว +1

    Akuna aliye simama

  • @peternaibei2759
    @peternaibei2759 3 ปีที่แล้ว +2

    I love the song cheers!

  • @jackiemalezi36
    @jackiemalezi36 4 ปีที่แล้ว +3

    Ooh my song.i listen many tyms

  • @michaeloyioma846
    @michaeloyioma846 4 ปีที่แล้ว +4

    May God bless you mtumishi, really the message is touching.