SHEIKH KISHKI APATANISHA VIJIJI VIWILI RASINI NA CHUNDWA LAMU NCHINI KENYA .
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Muhadhara uliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishkii , Masjid Jaamia Lamu Mashariki Nchini Kenya Tarehe 04/06/2023, Mada ikielezea Sifa sita za watu wa peponi ni sifa zipi? InshaAllah fatilia hadi mwisho upate kuelimika, Na kupitia Muhadhara huo Sheikh Kishki aliweza kupatanisha magomvi ya Vijiji viwili Rasini na Chundwa, Ulikuwa ugomvi wa Nini? InShaAllah Fatilia hadi mwisho wa kisa hiki upate kujifunza mengi na kuelimika kupitia kishki Tv, tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni
Shekh kishkii Allah akupe taufik alhamdulillah kupatanisha ni jambo kubwa. Allah akuhifadhi na mashakil ya dunia amiin
Mashallah nakupenda Kwa ajili Allah
MASHA ALLAH 🥰😢SHEIKH WETU KIPENZI ALLAH AKUBARIKI SANA UNAFANYA KAZI KUBWA MNO🤲🤲🧡💚👌
Mashaallah tabaraqllah allah awahifadhi shukran ❤❤❤
Mashaaaalaa shekh wetu
Bismillah maashallah, Allah akuweke sheikh umri mrefu wenye kheir na ww Inshaa Allah yarrabbi
Allahu kbar
Mashaallah Mashaallah
Mashallah Allah akupe Kila laher ❤❤
Masha allah
Allah atuhifadhie shekhr letu yarab
Allah akujalie maisha marefu.. uendelee kuwaongonza waumini katika njia iliyonyooka
Mashallah I like
Waleykum salama warahamaturah wabarakatu
Maa shaa Allah
Allah atulinde namoto wajahanam allahuma amiin amiin
BARAK ALLAHU FEEKUM
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda kwa ajil ya Allah
Allahu akbar
Kweli kuomba msamaha
Swadata imammu
😭😭😭😭😭🙏
Nasi tunatamani tumuone shekhe kishik