Nakupenda sana diva unajua watu wengi hawapendi ukwel kbs so atA wanaocomment kukuponda ukiangalia maisha Yao ni duni na niwatu wanaishi kwa kusujudia na kuwaogopa watu
she is open, she is smart, she is exposed, open-minded, which is a good thing, we need more of these women in our industry especially in tz,. too many toxic fake ass people in the industry. Zama this is amazing thanks for this interview, It worth the time.
I enjoyed every bit and the two of you are amazing, i loved Diva mno this is a side we don't get to see mara kwa mara and i find it adorable and she is innocent. God bless you both amazing women.
Kwa kweli kuhusu diamond diva umedanganya. Ulimbully sana ulimtukana sana haikuwa poa kwa brand yake hapo ukweli lazima usemwe. Mnyonge umnyonge haki yake mpeni Diamond ulimkosea period.
Sikuiz si judge mtu kabisaaaa ata anitukane watu wamepitia na wanapitia mengi ni binadam ndo wanafanya bianadam wawe wabay kama umebahatika kulelewa kwenye mapenz mshukuru mungu kuna watu wamepitia mengi
Kabisa umeongea point. Mimi nilikuwaga nawambia watu huyu dada(Diva) hayuko sawa kichwani, kwanza hajipendi yeye kama yeye, anachukia watu, anawish kuwa na maisha ambayo kwake ni ndoto! Now nimeskia historia yake amepitia mengi magumu yameathiri kichwa chake. Ndio maana yuko hivo. Ana anger issues, depression and maybe bipolar too. Diva my dear tafuta mtaalam wakuongea nae upate counseling/Dawa una mental illness sweetheart.
Keep it up .more hard working u will win 1day .dont giv up in life hao wanaokuita kigagula labda hata hawakufiki kisomo zidisha bidii .utafika unapotaka .usikubali kuwa disapoint
Now nampenda diva coz kakua ameacha kila kitu ni kama movie inaelekea ukingoni but she play her part as staring wa movie amsamehe kila kitu ndivyo inatakiwa tuishi coz kuna maisha baada ya umaarufu
Eti ana boyfriend America 🤣🤣😅😅😂 Acha uongo dada, huna boyfriend America wala Mzungu. Ungekuwa una mzungu, na jinsi univyo mshamba na showoff za kishamba, tungekoma. Huna boyfriend mzungu wacha uwongo dada...dah!! Univyo bonge, na huo ufupi, sura ndio kabisa..majanga, mzungu gani huyo tena huko America awe boyfriend wako?! Aache watoto wazuri America aje afate dungaembe kama wewe. Acha kufeki, kigagula. Tunaokujua..tunakucheka tuu. Huna raha kama unanyoact. Acha Uwongo, ashame the devil 🤘
Dear Anger issue sio kitu cha kuzaliwa nacho...ni vitu ulivyokua unaviweka moyon,nina tatizo kama lako ila unaeza jifunza kupuuza vitu,kujipa furaha,na kujal vitu muhimi tu,let the past go Cz u won’t change it,and huez control watu wanavyokufanyia so just let things go.Personal nakueoewa Cz nimeish maisha na nimepitia mitihan ila kukaa na vitu vinakutesa sana try is hard ila ukiamua unaeza
Huyu dada ni muongo aliyekubuhu, sijapata kuona. AnaFEKI maisha, ndio mana hana furaha ya moyo. KuFEKI kwingi, utafanya Mungu apite na baraka zake. Ishi maisha yako halisi, dada. Wewe ni wa kawaida sana, kuanzia sura na maisha. Yanii...it's sad 😥. Huna amani kwa kuwa unaFEKI maisha sana kuonyesha kuwa uko level flani. Nakuombea kwa Mungu, uishi maisha yako halisia than FEKING IT.
Diva alimchukia diamond because alitaka kumtumia kwa manufaa yake Diamond akastuka akamchunia ndipo diva akamchukia diamond. Akahamia kwa kiba mpaka eakawa wapenzi tena wakagombana sasa kahamia kwa harmonize na huko watakuja kugombana. Diva ni kichefuchefu sana na konde atakuja kujuta kwa huyo diva.
To fu*k some one just to bust your carrier yet you think you are not kigagula hii dunia imeisha Kama role model wa mabinti wengi Tanzania Anaweza kuwa and is proud of it hivi binti wa kijijini ataenda hatua gani ilikufukuzia ndoto zake si ataliwa hadi kizazi
Lakini mtu analiwa na mwanaume gizani juu hataki aonekane na wewe au ajulikane ako na wewe . In short a man is never really proud of you, ako tu hapo kwa kujiridhisha mwenyewe alafu uko hapa unajigamba umelala na yeye. Hiyo ni kushusha hadhi yako kama mwanamke. Next time ringa kulala na mwanaume juu amekuvisha Pete na amekuweka kwa nyumba
huyu dada kinachomsumbua ni udogo wa akili yake . we mmoja huwezi kua na matatizo na wasanii wote kwa sababu ile ile moja ! so kwa issue hii utakwenda kukorofishana tena na harmonize coz atakuja nae kukuambia chagua moja utashindwa ufanyeje sababu hua unachagua mpya na kuacha wa zamani ! so wewe ndo hua msaliti kumbe sababu mambo ya kuchagua chagua hua unaanzisha mwenyewe - akili finyu
VITU VINAVYOCHANGIA MTU KUPATA KIHARUSI/ KUPOOOZA 1. Ugonjwa wa Shinikizo kubwa la damu (presha) 2. Uvutaji sigara 3. Ugonjwa wa kisukari 4. Magonjwa ya moyo hasa ugonjwa wa mtetemo wa moyo (atrial fibrillation) 5. Tatizo la mafuta mengi kwenye damu (Lehemu au cholesterol) 6. Uzito uliopitiliza 7. Unywaji wa pombe uliokithiri 8. Kutokufanya mazoezi kwa msaada zaidi kwa mtu aliyepooza 0758112592
Hukuzaliwa na anger issues. Ni trauma ulizo pitia katika makuzi yako ndio yalokupa hiyo anger issues. Diva wewe you need help! In real life hauko happy but unafake happiness! Tafuta counselor akusaidie. Good luck
Kwanini unajihangaisha kwenye mitandao unataka kujikosha au vipi ? Kama umeacha kazi au umefukuzwa hakuna anaetaka kujua wala haituhusu. Hebu jifunze kuishi na binaadam wenzio kwa amani uache ubinafsi na dharau utaona mafanikio yako and stop play a victim here.
Aibu kubwa sana kujitangaza ulilala na mwanaume then akakuacha akaoa mwanamke mwingine kha halafu amegombana na mkewe anakuhitaji tena na wewe unakubali aiseee....
Wanawake mjifunze kujistiri kama hamjastiriwa riziki mnazikosa kwa kusemasema..... Ati alikosa utu kwakua hakusema alikua na mahusiano nawewe.. Ur side chick na unajiproud tu mbele ya camera hujiulizi kwanink ueyw hawezi kaa nakuswma hivyo..
Kiukwel kwa kuwa nimepata nafas ya kusema leo niseme maana uki comment kwakwe kumwambia ukwel anakublok,diva uko feki Sanaa alafu nadhani cjui Ni IQ ndogo au Ni nn
Unafikiria Diamond Platnumz atakutafuta iyo ni wrong mind ule njo simba baba Lao hana mda wakukutafuta wewe Uko na nini apo akutafute wew kweli akili huna kabisaa
Nimekupenda sana yani unafunguka haswaaaaa upo vizuri
Diva jitahidi ufanye lvf mungu atakupa tu my dear
Na mungu atakupa tu naku penda sanaa
❤❤
Nakupenda sana diva unajua watu wengi hawapendi ukwel kbs so atA wanaocomment kukuponda ukiangalia maisha Yao ni duni na niwatu wanaishi kwa kusujudia na kuwaogopa watu
she is open, she is smart, she is exposed, open-minded, which is a good thing, we need more of these women in our industry especially in tz,. too many toxic fake ass people in the industry. Zama this is amazing thanks for this interview, It worth the time.
Pore sana dadaangu dunia Ndivo ilivo mwenyezi mungu Akusaidie uzidi kufanikiwa akufanyie wepes lnshaallah
I love dear your the best
I enjoyed every bit and the two of you are amazing, i loved Diva mno this is a side we don't get to see mara kwa mara and i find it adorable and she is innocent. God bless you both amazing women.
Chama Cha wasoma comments Tanzania (CHAWACOTA)
😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅tupo pamoja
🙌🙌🙌🙌🙌
Tupooo
😅😅😅😅😅😅
Diva mtu SMART SANA.ILOVE HER.muwazi....zama punguza mda .unachosha.jitahid kusamarize plse
Kwa kweli kuhusu diamond diva umedanganya. Ulimbully sana ulimtukana sana haikuwa poa kwa brand yake hapo ukweli lazima usemwe.
Mnyonge umnyonge haki yake mpeni
Diamond ulimkosea period.
I love this girl especially her voice...English en her laughter
Pole sana Diva na kupenda
I really like Diva she is open,anaishi anavyotaka na si wanavyotaka ❤ ,zama napenda jinsi unavyouliza maswali kwa ufasaha ❤🇨🇭
Sikuiz si judge mtu kabisaaaa ata anitukane watu wamepitia na wanapitia mengi ni binadam ndo wanafanya bianadam wawe wabay kama umebahatika kulelewa kwenye mapenz mshukuru mungu kuna watu wamepitia mengi
Umeongea pont sanaaa,
Kweli kabisa kuhukumu ni dhambi
Kabisa umeongea point. Mimi nilikuwaga nawambia watu huyu dada(Diva) hayuko sawa kichwani, kwanza hajipendi yeye kama yeye, anachukia watu, anawish kuwa na maisha ambayo kwake ni ndoto! Now nimeskia historia yake amepitia mengi magumu yameathiri kichwa chake. Ndio maana yuko hivo. Ana anger issues, depression and maybe bipolar too. Diva my dear tafuta mtaalam wakuongea nae upate counseling/Dawa una mental illness sweetheart.
Diamond kazungumziwa dakika ya ngapi???nisipoteze bando langu
😂😂😂😂
Nakupenda Sana diva
MCHAWI UYU DADA ANA NONGWA ZA KIMAKONDE.
yani umeongea ukweli ila labda si wote ila kafanya vizuri, hongera sana dada zama.
Keep it up .more hard working u will win 1day .dont giv up in life hao wanaokuita kigagula labda hata hawakufiki kisomo zidisha bidii .utafika unapotaka .usikubali kuwa disapoint
Diamond ameanza kuzungumziwa dakika ya ngapi? Mengine sitaki kusikia
37:10
@@mukaitepaulo4945 Shukrani sana
Kwakweli
😂😂😂😍
😂😂😂
Now nampenda diva coz kakua ameacha kila kitu ni kama movie inaelekea ukingoni but she play her part as staring wa movie amsamehe kila kitu ndivyo inatakiwa tuishi coz kuna maisha baada ya umaarufu
DIAMOND HAJAWAH KUSEMA KWNY PRESS KWAMBA UMEOMBA KAZI WASAFI ILA WEWE UNACHUKI NA MAENDELEO YA DIAMOND.
Inamaana hujawai kuona iyo interview kenge ww
Una mimba wewe
Nampenda sana diva from Oman
Ok
Nimejifunza Mambo mengi sana kutoka kwa diva mungu akubariki sana
💕
Diva nakupenda sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni kibonge ww kaah Miziwa sas 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti ana boyfriend America 🤣🤣😅😅😂 Acha uongo dada, huna boyfriend America wala Mzungu. Ungekuwa una mzungu, na jinsi univyo mshamba na showoff za kishamba, tungekoma. Huna boyfriend mzungu wacha uwongo dada...dah!! Univyo bonge, na huo ufupi, sura ndio kabisa..majanga, mzungu gani huyo tena huko America awe boyfriend wako?! Aache watoto wazuri America aje afate dungaembe kama wewe. Acha kufeki, kigagula. Tunaokujua..tunakucheka tuu. Huna raha kama unanyoact. Acha Uwongo, ashame the devil 🤘
Dear Anger issue sio kitu cha kuzaliwa nacho...ni vitu ulivyokua unaviweka moyon,nina tatizo kama lako ila unaeza jifunza kupuuza vitu,kujipa furaha,na kujal vitu muhimi tu,let the past go Cz u won’t change it,and huez control watu wanavyokufanyia so just let things go.Personal nakueoewa Cz nimeish maisha na nimepitia mitihan ila kukaa na vitu vinakutesa sana try is hard ila ukiamua unaeza
Nakupenda divaaaaa
Nimeelewa sana....
Diva umeongea vzuri sana
Interview ni nzuri saaana 👏
Na hii habati THT inakuwaje na hii ya kutoka CBE kuja clouds mbona sielewi kipi kilianza?
Hakumaliza chuo
Huyu dada ni muongo aliyekubuhu, sijapata kuona. AnaFEKI maisha, ndio mana hana furaha ya moyo. KuFEKI kwingi, utafanya Mungu apite na baraka zake. Ishi maisha yako halisi, dada. Wewe ni wa kawaida sana, kuanzia sura na maisha. Yanii...it's sad 😥. Huna amani kwa kuwa unaFEKI maisha sana kuonyesha kuwa uko level flani. Nakuombea kwa Mungu, uishi maisha yako halisia than FEKING IT.
You said it all.... she has to change
So we uko real🙄
@Aurora No usimlaumu ana mental illness ndio maana yuko hivyo anahitaji msaada wa wataalam.
😘😘😘😘😘😘😘😘😘ilove you
Yani diva unaongeaaa point sanaaaa mom Mungu akubarikii 🥰🥰🥰🙏 umejitambuaaa sasa Samehaneni Haya ni maisha na hiii ndiyo Duniaaa God bless you
Diva alimchukia diamond because alitaka kumtumia kwa manufaa yake Diamond akastuka akamchunia ndipo diva akamchukia diamond. Akahamia kwa kiba mpaka eakawa wapenzi tena wakagombana sasa kahamia kwa harmonize na huko watakuja kugombana. Diva ni kichefuchefu sana na konde atakuja kujuta kwa huyo diva.
Una hasira au una kisirani tu?
Nice😍
37:10 kigagula ndio kaanza kumzungumzia mond
Nakubali mtu mbadi
❤❤❤❤diva
Aseee diva nimecoment mara 3 dah nakupenda mtanga mwenzangu😘😘😘😘😘
Diva kuanzia leo kama naanza kukuelewa hv uko vzr
Hi diva
Waoooo
NDO NIMEELEWA KUMBE HATA MOND ULIMTAKA ILI UNUFAIKE
To fu*k some one just to bust your carrier yet you think you are not kigagula hii dunia imeisha Kama role model wa mabinti wengi Tanzania Anaweza kuwa and is proud of it hivi binti wa kijijini ataenda hatua gani ilikufukuzia ndoto zake si ataliwa hadi kizazi
huyu dada ni mrongoooo
We umemjuaje Kwan!?
Umejuwaje ni muongo niwa kwenu????
Nimekuja hapa baada yakumuona Diva wasafi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😎😁😀
Hawezi kukuomba msamaha kabisaa jitahidi ukweli usemwa Diamond alisema kweli usijitetei kabisaa hapo kwa Diamond wew ulimchamba marangapi mbona hujamuomba msamaha duhh kweli wew mchawi tena wa mchana
Hahaha kweli kabisa anajitetea nawakati anajuwa ukweli
Lakini mtu analiwa na mwanaume gizani juu hataki aonekane na wewe au ajulikane ako na wewe . In short a man is never really proud of you, ako tu hapo kwa kujiridhisha mwenyewe alafu uko hapa unajigamba umelala na yeye. Hiyo ni kushusha hadhi yako kama mwanamke. Next time ringa kulala na mwanaume juu amekuvisha Pete na amekuweka kwa nyumba
She is smart
Kuanzia Leo, nakupenda sana diva!
Hivi kwa nini mara nyingi wanakosea kukupaka makeup Zamaradi
Kumbe kwel we ndo uliwahamisha duh, sasa mbona ulikuwa unakataa km uliona hakuna ubaya ?
Just wasted my precious half an hour to watch and listento this kigagula talking too much lies
Ila diva nampendaga sn ananinudh tu anavyojenga chuki kwa dai
Sikiliza interview utajua kwa nn anamchukia
Diva umezeeka sana
huyu dada kinachomsumbua ni udogo wa akili yake . we mmoja huwezi kua na matatizo na wasanii wote kwa sababu ile ile moja ! so kwa issue hii utakwenda kukorofishana tena na harmonize coz atakuja nae kukuambia chagua moja utashindwa ufanyeje sababu hua unachagua mpya na kuacha wa zamani ! so wewe ndo hua msaliti kumbe sababu mambo ya kuchagua chagua hua unaanzisha mwenyewe - akili finyu
Wew dada mchawi co bure duuuh
Heri Music alishtuka mapema sana ukiachana na uvumilivu wa King crazy GK
Diamond kuanzia dk 37
Wa kwanzaaaa
Umenifurahisha😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣dah
Da zama tunaomba umuhoji salama
VITU VINAVYOCHANGIA MTU KUPATA KIHARUSI/ KUPOOOZA
1. Ugonjwa wa Shinikizo kubwa la damu (presha)
2. Uvutaji sigara
3. Ugonjwa wa kisukari
4. Magonjwa ya moyo hasa ugonjwa wa mtetemo wa moyo (atrial fibrillation)
5. Tatizo la mafuta mengi kwenye damu (Lehemu au cholesterol)
6. Uzito uliopitiliza
7. Unywaji wa pombe uliokithiri
8. Kutokufanya mazoezi
kwa msaada zaidi kwa mtu aliyepooza 0758112592
Maneno mengi kuliko mtangazaji
Hukuzaliwa na anger issues. Ni trauma ulizo pitia katika makuzi yako ndio yalokupa hiyo anger issues. Diva wewe you need help! In real life hauko happy but unafake happiness! Tafuta counselor akusaidie. Good luck
Mungu atakupa mtt diva♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Ana washwa na sehem yake ya siri labda anataka diamond
😂😂😂😂
Kwani diva ww una uspecial gn? Au mie mgeni
Itakuwa wewe basi sio yeye
Kila mtu ana uspecial wake
Wakati nilikuambia una emotional issues, ulini block.
Tatizo m2 ukimwambia weakness yake anaumia ananuna kumbe unakua unamsaidia hajielewiiii
@@zuleikhakhamis3303, nilimwambia in good faith ndiyo atafute usaidizi, sasa amekubali ana issues
😁😁😁hatamimi kani block
@@adijaadija9923, ameni unblock kwa sababu ya podcast yake
Kwanini unajihangaisha kwenye mitandao unataka kujikosha au vipi ? Kama umeacha kazi au umefukuzwa hakuna anaetaka kujua wala haituhusu. Hebu jifunze kuishi na binaadam wenzio kwa amani uache ubinafsi na dharau utaona mafanikio yako and stop play a victim here.
Diva the realist bitch in the game I got respect for u Dee
😂😂😂🤣crazy woman you suppose to apologise not Diamond to apologise to you over what ? Harmonize watch out this woman is poisonous
Diva una shida sehemu...jipeleleze
Nampenda diva.❤
Dive Devil
Kiba for real
Eti Harmonize anaivo muelewa sana,mh kama alie mkuza kimuziki anamzarau itakuwa ww
Yani huyu kigagula bado anateseka na MONDI😂😂😂😂😂
😂😂😂sana tena zaidi ya sana
Hivi kwanini mnapenda kuwaongelea marehemu hasa kwa ubaya
Kama marehemu alikua na tibia mbaya akuna haja ya kumpa sifa nzuri
Duuuh katoto Malaya haka ko kanaona sifa kutaja alodate nao kabisaa😎😎😎dunia ishafika mwisho
Aibu kubwa sana kujitangaza ulilala na mwanaume then akakuacha akaoa mwanamke mwingine kha halafu amegombana na mkewe anakuhitaji tena na wewe unakubali aiseee....
wewe zama mbona hulete watu wa wcb
Story yako ya kutochwa na ndugu zako imeniuma
huyu hakika kigagula, jina lina maana kubwa sana haikustahili kabisa kuja ongea upuuzi huu, unazidi.kujidhalilidha, mpuuzi, 😂😂😂#KIGAGULA😭😭
HII NDIO SURA YA SUDY BROWN WA CLOUDSth-cam.com/video/abmQUJwUXYw/w-d-xo.html
Alikiba kakukamulia maji kwenye nyama kisha kakusungu
Ila Diva niamin mm mwisho wa ubaya aibu we subir kwa uhamisho wa hao vijana umejikanyaga sn
Eti wengi duh hao ndo maarufu je hao wamitaani c kijiji kizima
Zamaradi your interviews are very long, try to shorten them if is possible.
Nilishawahi kushauri hili walau aweke part 1 & 2 ila sijui hawasomi comments?
Just watch what you can then disappear from here
@@edgarmwambene4261 Thank you
@@edgarmwambene4261 🤣🤣😂😂
@@edgarmwambene4261 yeah zikiwa short wanasemaga zikiwa long wana complain hawana jema viumbe
Hadi chozi limenitoka..
Anajiona mzungu Sana
huyu mdada muongo sana halafu anajifanya innocent
Wanawake mjifunze kujistiri kama hamjastiriwa riziki mnazikosa kwa kusemasema..... Ati alikosa utu kwakua hakusema alikua na mahusiano nawewe.. Ur side chick na unajiproud tu mbele ya camera hujiulizi kwanink ueyw hawezi kaa nakuswma hivyo..
nshkuruu kwa kuongea ukwwlii nimefurahiii
Duuuh haowanaume uliotembea nao mbona wengisana
Kiukwel kwa kuwa nimepata nafas ya kusema leo niseme maana uki comment kwakwe kumwambia ukwel anakublok,diva uko feki Sanaa alafu nadhani cjui Ni IQ ndogo au Ni nn
Hajakuoa atasemaje alikua amnamahusiano
Ckupend wew matako pua bayaa