Sheikh Waliid huyu hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @mirrow1983
    @mirrow1983 ปีที่แล้ว +10

    Bi mwalimu masha Alllah, kanipokea mchanga hapo hapo ukumbini alhamdulillah. Mwenyezi ampe umri mrefu wenye manufaa na barka tele.

  • @genichenurdin409
    @genichenurdin409 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah... Mama anaheri nyingi Allah amjaalie mwisho mwema inshaallah

  • @zarahally4275
    @zarahally4275 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah tabaarakallah...Mama angu kipenzi Allah akuhifadhi.Msasani tumefaidika na Baba etu Ust Alhad Allah ampe Jannat Firdaus.Aamin

  • @halimaally623
    @halimaally623 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah Allah atuafikishe na sìsi

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah bi huyu kwakutoa Elim kwakijana wake namie nimepata Elim kupitia shehe walidi alhamdulilah sahii intranet nifaida kwawenye kujua.

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah maashaallah maashaallah barakallah fiikiy mamayetu inshaallah ALLAH akulipe malipo mema duniani na akhera inshaallah 🤲☝️

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว +1

    Wallahi sheikh walid ww Una cfa njema na tabia njema ni mpole na ni mnyenyekevu watu km ww ni wachache sn ktk Zama hz

  • @nully123
    @nully123 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah Allah ibarik.Alhamdulillah Kweli Mama ni fakhari kubwa sana Allah awahifadhi na atuongoze sote aameen.
    Sheikh Walid endelea kama ulivyo sisi tumekukubali kwa Elmu tabia na Akhlaq yako.Tunaomba Allah akuhifadi wala hichi cheo kisikubadilishe baki kama sahivi ulivyo ...

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 ปีที่แล้ว

      Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin

  • @mamapelyekelye9799
    @mamapelyekelye9799 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah.. Mahojiano ya bimkubwa wetu yamekatizwa katizwa sana... Bimkubwa apatiww nafasi ingine kwa utulivu wengine wafuate nyayo..Allah awalipe nyote kwa kazi nzuri ya kutoa elimu ya dini. Nawapenda sana kwa ajili ya Allah...

    • @shaisoho9033
      @shaisoho9033 ปีที่แล้ว

      Wallah,,,irudiwe tu,,kuna mengi ya kujifunza toka kwa bi mkubwa

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kheir Allah Awafanyie katika dunia na akhera. Sheikh wangu Walid nitakuja kumsalimia bimkubwa nikijaaliwa kuja dar es salaam. Muangalie sana tena sana ni mama mwenye nuru ya dini

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 ปีที่แล้ว

    Maashallah, JazaakaLlah khairah Sheikh Walid, nakupenda sana kutoka moyoni kwa ajili ya ALLAH tangu nikufahamu, nimezidi kukupenda baada ya kutawadhwa kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam kwa uteuzi wa Mh.Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania na BARAZA LA ULAMAA Taifa.

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH BI MWALIMU
    ALLAH AKUPE UMRI WENYE AFYA DAIMAN INSHAALLAH

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum

  • @aminajuma4743
    @aminajuma4743 ปีที่แล้ว +2

    Maanshalaah Bi mkubwa nimempenda ila ...kwann humpi nafasi aongee amalize ndio umuulize maswali,, pia swali moja usilirudie ×3

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 ปีที่แล้ว

    Maash Allah mmebarikiwa Allah awajaze kheir nyingi

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh unaingia mzuri na Allah akujaalie utoke hali ya kua mzuri hivo hivo cheo kisije kukuharibu, amiin.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Mashaalah allah atuongoze sote

  • @mohammedlipindula5415
    @mohammedlipindula5415 ปีที่แล้ว +4

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh wangu jambo lakwanza ambalo nimelikubali yakwamba wewe unasifa yakua sheikh wamkoa kwanza nimtu mwenye hikma sana Allah akuzidishie msimamo huo inshaallah pia usisahau kuwaombea dua masheikh wenzako ulosoma nao wakina sheikh said mwinyi marehem hapa south africa inshaallah Allah akujaalie afya njema wewe pamoja naviongozi wote hapo Tanzanian ispokua nasaha zangu kwenu viongozi wote ningewaomba mfanye kazi kwauwadirifu kwasababu hiyo ndio mwanzo pia wakutengeneza akhera zenu

    • @emmynoby9806
      @emmynoby9806 ปีที่แล้ว

      Alwahhh akupe subr juu ya nafasi hiyo lakin umestahili na unastahiki kua hapo na zaid ya hpo Una haki yakua hapo shekh WALIDI bin Al had Omar ibn kawambwa tumeridhika

    • @khadijanaseeb3285
      @khadijanaseeb3285 ปีที่แล้ว

      Mashallha alhamdulillah

  • @ashurahamed8004
    @ashurahamed8004 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah 🌹🌹

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 ปีที่แล้ว

    Ma shaa allah

  • @balaineshmohamed9372
    @balaineshmohamed9372 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah!

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah, tabarakallah

  • @jumayussuf6949
    @jumayussuf6949 ปีที่แล้ว

    NDG MTANGAZAJI SIO PROFESSIONAL KTK UTANGAZAJI KWA KWEL

  • @samiraibrahim8157
    @samiraibrahim8157 ปีที่แล้ว

    mashallah mashalla

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah

  • @alhajkhatib5597
    @alhajkhatib5597 ปีที่แล้ว +4

    Mufti toa na hili linamslah yake kutwa liko kanisani atakuja ktuharibia walid wetu

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      Mufti fumua na huyu mrangi wa kwetu.tupiria mbali

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 yaan du?

    • @yusufmohamed8874
      @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว

      Sh Waleed acha kumdhalilisha bi mkubwa hili jamaa halina maadili

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 ปีที่แล้ว

    Baaraka llahu fik

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +5

    Hujui kuhoji mwandishi unapapara humpi nafasi

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 ปีที่แล้ว

    Mashalah barks allhal mama huyo akiwaustadhi wako utasoma Kama mkali lakini anaakili Sanaa ..Walid huyoo ndio ustadha wako wengine Ni mashekh wako ..chukulia alivyokua anaumri wa miaka 30 alafu ndio ustadh

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @maulidimkumba3255
    @maulidimkumba3255 ปีที่แล้ว

    Manshallah

  • @mussakiyondomagoga5051
    @mussakiyondomagoga5051 ปีที่แล้ว +1

    Mama yupo mwanafunzi wako uku ugaibuni

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว

    Tumbo toka. MASHIA ni MAKAFIRI

  • @kazungukarisa55
    @kazungukarisa55 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah

  • @kambonamahmadoo6814
    @kambonamahmadoo6814 ปีที่แล้ว

    Sasa sheikh Waleed nimegundua udongo wako imeupata kutoka kwa mamako,,, udongo imara,, umri mkubwa ila muonekano wa kijana,, naona hata kwa mamayo

  • @darkrobinhood331
    @darkrobinhood331 ปีที่แล้ว +1

    ALHAMDULILLAH!

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 ปีที่แล้ว

    MashaALLAH

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH. ALLAHUbariq.

  • @abdallahabdulaziz3683
    @abdallahabdulaziz3683 ปีที่แล้ว +2

    Hamna kitu huyu sio kila mwenye kamera anastahili kuwa mwanahabari, huyu kadandia fani

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      Nikweli kavamia.maana....

    • @allyzakuwany8959
      @allyzakuwany8959 ปีที่แล้ว

      Binafsi naona yupo vzr

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      @@allyzakuwany8959 basi hauijui fani hii

    • @mubinaroshan4922
      @mubinaroshan4922 ปีที่แล้ว

      Mashallah mama

    • @khamisqais7706
      @khamisqais7706 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Bibi yetu lkn Mwalimu wetu pia tulisoma Kwake Qur an Tabarrukan Mashaallah

  • @ahmadseaman3487
    @ahmadseaman3487 ปีที่แล้ว +1

    masha Allah

  • @adelinibrahim9283
    @adelinibrahim9283 ปีที่แล้ว

    Samahani mzee nkusa umefanya vizuri kutuletea kipindi lakini tafadhali usije ukatuletea fitna kwa namna yeyote kwa sheikh letu sheikh Walid,maama hatujasahau ulivomshambulia sheikh letu Mziwanda.

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 ปีที่แล้ว +1

      Kavamia kazi za watu huyu mrangi maana hata mahojiano yake hamuachi mtu akajieleza mara nyingi ni kumkatisha tisha tu

  • @galumabdul3822
    @galumabdul3822 ปีที่แล้ว

    mama yetu wangemfunika mikono ikabakia viganja tu ingekuwa aulaa zaid, videos huwa na athari ya mbali...

  • @shifaaonlinetv8003
    @shifaaonlinetv8003 ปีที่แล้ว

    Shekh muache mtu aongee nd n ww uingizie maneno yko unaharibu interview

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 ปีที่แล้ว +1

      Yuko hivi huyu jamaa mara nyingi interview zake ni kukatisha katisha tu

    • @shifaaonlinetv8003
      @shifaaonlinetv8003 ปีที่แล้ว

      @@abuuayoubayoub9260 nd mwandishi wa mufti au hajasomea uandishi nn

  • @khalfanmaabick6795
    @khalfanmaabick6795 ปีที่แล้ว +1

    😂😂

  • @aishaseif5747
    @aishaseif5747 ปีที่แล้ว

    Masha Allah