#live
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- #2025mwakawakumilikinakutawala #arisendshinetanzania
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania #dar #tanganyika #ubaloziwambinguni
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Arise and Shine Tanzania.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.
NAOMBA mungu nipate mume niolewe mwaka huu na mwaka huu nikamiliki biashala yangu amin 🙏🙏🙏🙏
Ee naomba nifunguliw leo uchumi wangu nyota yangu nipate kazi watoto wangu wafunguliwe wawe na uelewa shuleen naomba leo boss wangu afunguliwe anilipe hera ameen
Mungu naomba mwaka huu nikanyonyeshe mtoto wangu wa kiume
Mungu asante kwakiniwezesha kupigahatua ya kununuapikipikiyapili naaminisasa inafuata gari kwajinalayesu aamen
Naomba mungu nipate mme niolewe mwaka huu na mwaka huu nikamiliki biashara yng amina
Mungu na mm naomba nibakiliki niweze kupata mume na nifunge ndoa katika jina la yesu ameni
Asant yesu asant yesu ameee
Namimi napokea mtumishi wamungu in jesus name amen
Asante Yesu,,naomba nifunguliwe uchumi wangu
napokea miujiza yangu leo napokea matanikio mazur mungu naomba kazi iliyokuwa sahihi mbele zako
Nashukuru mungu wamazabahu kuniponya na vita apakwetu goma
Najiunganisha namazabawo ya yesu Cristo anifunguwe anivike nguvu zake anigeuze moto anivike holly Superty yake nimutumikiye anipe maco yapili naufahamu waroho aniangaze duniyani nabinguni 😭😭😭😭🙏🙏 🙏
Mungu mm kuzaa na kila mwanaume naikemea katika jina la yesu nipate mume bola nitulie nae ameni
Mungu naoba nifunguliwe kiuchumi naoba nizidiwe na wateja kila siku na mume wangu afunguliwe ufahamu wake naoba nipate kiwaja Salahis nijenge na nyumban kilahis
Naomba mungu nipate mme niolewe mwaka huu kilahisi sana😊
Mungu naomb nibaliki nifngue biaxhala yangu ameni
Najiungamananisha kukomboa nyayo za Familia yangu naamini kupitia matendo ya mungu
Mungu naomba kwa nguvu uliyompa mtumishi wako nikapate ndoa njema na watoto mapacha kwa jina la yesu
6:20:23 mungu niponye magonjwa yangu
Naomba mtumishi wa mungu umwombee bamdogo wangu aone mtumishi
Mungu unae wa jibu wwngi naomba unitende na mie kwenye ndoa hii yauke wenza na amini haya yataisha kwangu
Naomba mume wangu atoke kwa mupango wa kando Kila mwaka na arudie family yake kabisa wanawake wakamuashe waende wakaolewe ni wanaume haeana bibi cos whoever interferes with someone s marriage is death as per Holy Bible. Mungu wangu kanitendee nakanionyeshe mahajabu. Na amini. Thank you Jesus .
Mungu iguse biashl yng leo izidiwe na watej
Naomba nipate kazi kilais nipate pesa kya chiyha yakikaiss amém 🙏🙏🙏🙏
Amen
Naomba mungu kupitia hii mathabau haya mungu animalizie roho ya umaskini
Amina
Namuomba mungu nikichovya miguu kwenye mafuta nifunguliwe
Naomba nifunguliwe kiuchumi Mimi na family yangu
Aminaaa
Ndoa yangu iwe yangu,,familia tuishi pamoja
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina sana
Namini na Mimi Leo nimefunguliwa Kwa jina la yesu nitazidiwa na wateja na nitalipwa hela zng Kila his kbs na wiki hili haliish itakuwa mimelipwa hela zote ameee
Kupitia ibada hii,naomba MUNGU anifungue ufahamu na Akili yangu,nikapate kuandika vizuri mitihani ya chuo kikuu,ili nipate alama nzuri kuanzia daraja +B na A katika masomo yangu
Naamini utanitendea kupitia kwa matumishi wako Boniface Mwamposa . Amina
Nataka mwanangu Niko apone maradhi yote yanayo msumbua Kwa jina LA yesu
Mwanangu ajifungue kirahisi sana,bila u chungu mkali
Mwanangu neema apate kazi kadri ya hitaji lake,,,na mume tajiri ampate,,wanitunze nijenge na usafiri
Baba wa mbinguni naomba kila chochote cha giza kakapate kuhaibika siku ya Leo katika jina la yesu
Lamani yangu imeludishwa
Napokea kufunguliwa kiafya NI kiuchumi nakufunguliwa Mimi na watoto wangu
Senene zangu nilizompa prospa zizidiwe nawateja
KESI IMEKWISHA
Leo miguu yangu itavaa viatu vya chuma na shaba
Naomb mung kupitia ibad ya leo kukanyag mafuta nifunguliwe ktk biashar yang nizidiwe na wateja na nikutanishwe na wat sahih na nipate mume sahih mwaka huu nifunge ndoa na kupata watot mapacha wa kiume
Najiungamanisha na madhabahu hii ya inuka uangaze, kipindi hiki cha kukombo nyayo,
Mwanza mtandao haupo ktk redio naomba mtusaidie jmn tunapishan na upako
Napokea uponyaji
Mungu wa mwamposa kunificha wakati vita ilikuwa apa congo goma?
Namshukuru mung kupitia mtumish wak mwampa amekua mbaraka san kwet
Emmanuel akapokee kufunguliwa ktk kifungo Cha ulev wa kupitiliza
Mume wangu anitafute Leo baada ya kukanyaga mafuta
Napokea kufunguliwa kiafya na kiuchumi
Mtumishi naomba uniombee
Nimechoka KUDHARAUKIWA kwasababu ya uumasimini
Napokea kufunguliwa leo kwa ukombozo huo
Naoba niinuke kiuchumi
NatakA leo nipewe hela za gu zote kMa zinatosha
Niinuke kitchumi
Napokea miujiza
Naomba nipate kazi kilais nipate pesa kya chiyha yakikaiss amém 🙏🙏🙏🙏
Amen
Najiynungamanisha na mazabau ya inuka uangaze kila ugojwa uliomwilini mwangu na mavifungo na tumbo linalonitesa linateketea Leo napokea kufunguliwa kiafya na kiuchumi
Naoba niinuke kiuchumi
Napokea miujiza
Naomba nipate kazi kilais nipate pesa kya chiyha yakikaiss amém 🙏🙏🙏🙏
Amém