imani petro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @zuhurahali622
    @zuhurahali622 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Allah akuzidishie na atukutanishie jannafirdous

  • @nyetaapaul619
    @nyetaapaul619 3 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah! Kweli Imani Petro uliipambania dini kikweli kweli Mungu akurahem na tunomba akupe jannafirdous!

  • @user-cd5sq1dz4u
    @user-cd5sq1dz4u 10 หลายเดือนก่อน

    Allah amrehem ndugu yetu huyu jamaa alikuwa na ajenda ya dini hafanani na mazinge hata kdogo japo walikua ktk mihadhara pamoja

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 3 ปีที่แล้ว +1

    Petro kiboko kweli mazinge mwanafunzi wako

  • @mtotompole1040
    @mtotompole1040 11 หลายเดือนก่อน

    Innalillahi Wanna Ileyhi Raajiun 😢 Allah Ampe Nuru Katika Qaburi lake

  • @sabryalkindy9637
    @sabryalkindy9637 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalaam alaykom! Mashaallah tunamoumba Allah amzidishie Elimu Mwalim Ustadh wetu Kaka etu Mpenzi Iman Petro. ..mashaaallah hawa ndio walimu waliopewa kipaji na allah. naam elmu ni muhimu lakini Hikma na ufahamu wa elimu ni muhimu sana . Sheikh wetu iman Petro ana kipaji cha hikma na ufahamu. we ask Allah to make you stronger and Wiser and akupe kila la kheir na akujaalie higher rank in jannat pamoja na mitume na maswahaba pamoja na sisi sote aaamin!

    • @hamzangunga1578
      @hamzangunga1578 2 ปีที่แล้ว

      Amiin thuma Amiin

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 2 ปีที่แล้ว

      Alifariki muda mrefu sana sheikh, Mungu amlaze mahali pema inshallah.

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwezi mungu akuondolee azabu za kaburi akukutanishe na mtume muhammad

  • @babuuabdalla4117
    @babuuabdalla4117 ปีที่แล้ว

    Tutumieni muhadhara wa Ustadh Imani Petro Tononoka Mombasa ikiwa iko

  • @Binfuad
    @Binfuad 2 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie pepo ya firdaus iwe ndio makaazi yako sheikh iman petro

  • @AsmaAsma-ob9wl
    @AsmaAsma-ob9wl 2 ปีที่แล้ว

    Haya ndio mambo yakufanya ndugu waislam hiin sadaka maan kashafariki huyu sheh ila mawaidha yapo Tena mazur kiboko ya wakristo Allah amrehem

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kifo chake kweli hakihusushwi na mkono wa mtu kweli????
    Allah akuhifadhi

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 ปีที่แล้ว

    Imani Petro ktk ubora wake innaa lillahi wainnaa ilayhi rajiuun

  • @ladooladoo1285
    @ladooladoo1285 2 ปีที่แล้ว

    Allaahumma Aammiin

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwezi mungu akuondolee azabu za kaburi akukutanishe na mtume muhammad