Mtumishi asante kwa somo hili leo nmeota nakusanya kuni na kuziweka sehemu moja hadi choon nikaenda kuchukua baada ya hapo niliwaambia watu walete nguo nifue na walileta nikaanza kufua hizo nguo zilikuwa nyeupe nyeupe tu...ni nn maana yake
Asante sana pastor mimi niliota natafuta kuni but mama mwingine alikuja akaniambia hizo kuni ni zangu rudisha nilishika nikarusha mbali nikaenda nikatafuta zingine
Pastor asante kwa funzo nzuri, mm niliota naona kuni kwetu mamangu akiniambia hizi kuni sinaisha sinahitajika zingine kutoka apo tukatembelewa na sister in-law ambaya alizababisha ndoa yangu kuvunjika akija kwetu anasma anataka tuongee niambie maana yake
Niombee sana pastor hii ni ndoto nimeota nayo na ninapitia mangumu kweli ya kukosa kazi kutengwa na marafiki zangu na niko ng'ambo siyuko kenya. Nikiangalia ni vifungo za ukoo😢😢😢😢inauma sana pastor maana hivi ninavyoongea sina hata kazi
Ni kweli pastor hii ndoto ya kuni imenirudia Nani kweli mzigo ya familia imenizidi , kila kipato sifaidiki nacho kabisaa kinaishia kwa watu wafamilia hata wakati mwingine Mimi hukata tamaa kabisaa
😢😢😢😢😢😢😢😢 uko kwangu eeeeee niliota niko msituni natafuta kuni but kuni zilikuwa za kupaswa na shoka but sikuwa na shoka,then mum moja akaniambia nifulie nguo then mume wake akakataa.amen barikiwa
Mm niliota napanga kuni nikazipanga vizuri nikazifunga vizuri alafu nikazipakiza kwa pikipiki nikaona kakangu akienda nazo nyumbani akiwa amekaa kwahiyo piki piki
Mi niliona mama mwingine anaokota Kuni akizipanga Kisha zikaanza kutoka moshi Kisha huyo mama akaniambia nimwambie Mama mwingine kuwa ataanza kupika chakula hivi karibuni juu ametoka pale alikuwa ni mbali
Asate mtumishi Kila wakati namuota mtumishi ninako abudu mar ya kwanza alikuwa uchi akiingia chumbanikwangu walikuwa waawili nabaada ya muda nikakuta ameva nawakawa wameka kitandani wanakula machungwa
Nimeota kuhusu kuni mara natafuta kuni mara na pasta kuni mara na washamota wa kuni huko nyumbani kwetu kwa kuzaliwa mara naota nimebeba kuni nisaidie mtumishi
Mm nimeota nipo uwanja wa shule nikaona kuni na baadae nikawanaosha mchele na akatokea mtu akanirushia ufunguo na dk nikaona watu wengi wamenizunguka wanapiga makofi wanafurahia nikawanashangaa nikastuka
usiku niliota kuni za boss wangu amepoteza kuni nikaonyeshwa na MTU mwingine eti zilianguka kutoka Kwa pikipiki,asubui hii ameibiwa floats zote Kwa mpesa😮
Siyo shida yangu mimi uenda vile mungu ana niongoza , na siwezi fanya vile unataka tena angalia hiyo video ni ya lini , naomba ufuatilie vipindi zangu kila siku saa tatu za hasubui na kila siku saa mbili usiku. Mungu akubariki
Kuna kutia bidii bila mafanikio kama huta mshirikisha mungu njia zako na kazi unayo fanya. Simba alikuwa akimtusha samsoni asiweze kwenda kutimiza lengo lake maishani. Kila mtu lazima apatani na changa moto fulani maisha na either ashinde ama ashindwe asipokuwa mwangalifu, na mara nyingi watu wengi hudhani mambo hufanyika tu kwa sababu eti nilazima itimie.
Pastor uliosema kwahabari ya ndoto ya kuni ni kweli kbs nipo oman, nisaidie nimeota mama yangu kaja sehemu ya kazi yangu nimelala nae akaamka akampa kijana hapa pesa elfu2500 ya 🇹🇿 alafu huyu kaka akampa chuma ya maji sijui ni pombe

Asante mtumishi nilikua naingoja sana hilo somo sasa nasubiri walio zaliwa mwezi wa kumi namoja
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen nayaweza mmbo yote kwa yye anitie nguvu
Asante mtumishi WA mungu nikiota na Kuni naona babangu ako hapo karibu nami
Mtumishi asante kwa somo hili leo nmeota nakusanya kuni na kuziweka sehemu moja hadi choon nikaenda kuchukua baada ya hapo niliwaambia watu walete nguo nifue na walileta nikaanza kufua hizo nguo zilikuwa nyeupe nyeupe tu...ni nn maana yake
Asante paster kwa masomo yako, mimi nimeota kuna kuni defu nikawa kunamtu namuomba anisaidie kuzipasua lakini akawa ananiambia subiri
Amina paster ubarikiwe kwa usabili mzur mungu akuinue viwango vya juu
100 past mtu wa mungu mimi niliona hiyo Kuni ila nilizi temsha kwa ele ngari naedesha ila ni kweli natengemewa Sana piya na kufanyiya ibada🧘🙏🙏
Positive side; Responsibility
Maisha yako ya kiroho iko sawa
Humility
Endurance
Hardworking
Bad side; blood line curses
Kuna madhabahu inapigana na maisha Yako
Roho ya kukurejesha nyuma
Roho ya aibu
Roho ya umasikini
Frustrated and confusion
Non achievement
Rising and falling
Unahitaji deliverence
Unafanya kazi pasipo kuwa na faida
Watu wanafaidika na kazi yako
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤
Asante bba kwa masomo yako maisha yangu yamebadikika sana kupitia wewe baba mungu akutunze
Mungu akutende mema mchungaji, nlkua nkiota ndoto za kuni lkn ckujua maana lkn Leo nmejibika mungu akujalizie neema😅
Asante ubalikiwe nakufatilia sana kalibu tanzania dodoma
Naomba kukombolewa mungu anisadie
Bwana Yesu atukuzwe Nabii mpakwa mafuta wa YEHOVA
Amina
Iko sawa
Iko sawa baba
Amen napokea ukomboz kwajina laYesu
Asante sana Kwa mafunzo yako.kuota unaombwa Kuni na mtu unayejua inamaanisha nn
Mungu nisadie
Amen piya nawe...🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana pastor mimi niliota natafuta kuni but mama mwingine alikuja akaniambia hizo kuni ni zangu rudisha nilishika nikarusha mbali nikaenda nikatafuta zingine
Pastor asante kwa funzo nzuri, mm niliota naona kuni kwetu mamangu akiniambia hizi kuni sinaisha sinahitajika zingine kutoka apo tukatembelewa na sister in-law ambaya alizababisha ndoa yangu kuvunjika akija kwetu anasma anataka tuongee niambie maana yake
th-cam.com/users/liveWQrReL6dVTs?feature=share
Niombee sana pastor hii ni ndoto nimeota nayo na ninapitia mangumu kweli ya kukosa kazi kutengwa na marafiki zangu na niko ng'ambo siyuko kenya. Nikiangalia ni vifungo za ukoo😢😢😢😢inauma sana pastor maana hivi ninavyoongea sina hata kazi
Napokea ameeen
Sauti ipo sawa sana Nabii
Asante mchungaji
Amen amen in Jesus name amen
Amen
Asante mtumishi kwaulivyo tafsiri ndoto hii kwa positive and negative akhika ni kweli mungu azidi kukutumia zaidi
Asante mtushi
Ni kweli pastor hii ndoto ya kuni imenirudia Nani kweli mzigo ya familia imenizidi , kila kipato sifaidiki nacho kabisaa kinaishia kwa watu wafamilia hata wakati mwingine Mimi hukata tamaa kabisaa
The same case ..I trust in God. Believe also in God
Amina
Naomba nifanikiwe
Asifiwe Yesu pastor
Bwana yesu apewe sifa mtumishi naota napika na Kuni na situmii kuni
Umenena ukweli mtumishi.. Glory to God
Amen
Amina ❤
Ameen Asante Sana
Kweli mtumishi
Wew piya ubarikiwe pastere
Sauti iko sawa.
😢😢😢😢😢😢😢😢 uko kwangu eeeeee niliota niko msituni natafuta kuni but kuni zilikuwa za kupaswa na shoka but sikuwa na shoka,then mum moja akaniambia nifulie nguo then mume wake akakataa.amen barikiwa
Ni kweli kabisaaa
Amen 🙏
Mm niliota napanga kuni nikazipanga vizuri nikazifunga vizuri alafu nikazipakiza kwa pikipiki nikaona kakangu akienda nazo nyumbani akiwa amekaa kwahiyo piki piki
Ameen
Nimeot nimebeb kin nzito lakin nilifikish nanilipand mlim
Niombee mtumishi
Napokea ukombozi wajina la yesu
Hayo maisha ndio yangu
Kwa neema yamungu nitainuka
Mi niliona mama mwingine anaokota Kuni akizipanga Kisha zikaanza kutoka moshi Kisha huyo mama akaniambia nimwambie Mama mwingine kuwa ataanza kupika chakula hivi karibuni juu ametoka pale alikuwa ni mbali
Nililota nakata Kuni niombee
Mm nimeota naokot as kuni ilikua kubwa Nene ila imekauks
Nimeota nimebeba kuni zimepagwa vinzuri
Ukiota unakusanya kuni alafu siku ya Kwanza nikashindwa kubeba ya pili nilingangana nikabeba na nikapita Kwa kichaka kilicho fungamana
Nini maana ya kuota napasua gogo kubwa?
Mm niunge WhatsApp nipo Tanzania
Shosho yangu aliniambia ameota mara mbili mimi nayeye tukivunja vunja kuni
Nmeota n mebeba Kuni naenda kuuza lakn skupata faida
Asate mtumishi Kila wakati namuota mtumishi ninako abudu mar ya kwanza alikuwa uchi akiingia chumbanikwangu walikuwa waawili nabaada ya muda nikakuta ameva nawakawa wameka kitandani wanakula machungwa
Mm nimeota mtu anapanga kuni halafu mm nakamata samaki
Nimeota kuhusu kuni mara natafuta kuni mara na pasta kuni mara na washamota wa kuni huko nyumbani kwetu kwa kuzaliwa mara naota nimebeba kuni nisaidie mtumishi
Mm nimeota nipo uwanja wa shule nikaona kuni na baadae nikawanaosha mchele na akatokea mtu akanirushia ufunguo na dk nikaona watu wengi wamenizunguka wanapiga makofi wanafurahia nikawanashangaa nikastuka
Me niliota nakata matawi ya mti mparachichi
kuota na jiko la kuni je
usiku niliota kuni za boss wangu amepoteza kuni nikaonyeshwa na MTU mwingine eti zilianguka kutoka Kwa pikipiki,asubui hii ameibiwa floats zote Kwa mpesa😮
Kabisa ukipata pesa tu ni shida zimeamka
Nilitoa napewa Kuni na mtoto msichana wa ndugu yangu
Shida yako ni you really take long kutafsiri endaga Tu Kwa lengo I hate that taking long
Siyo shida yangu mimi uenda vile mungu ana niongoza , na siwezi fanya vile unataka tena angalia hiyo video ni ya lini , naomba ufuatilie vipindi zangu kila siku saa tatu za hasubui na kila siku saa mbili usiku. Mungu akubariki
Ni swari tu bila kutia bidii kuna kukula kweli?naoba yeyote anijibu tu kama samsoni hakugagana na simba agefaulu
Kuna kutia bidii bila mafanikio kama huta mshirikisha mungu njia zako na kazi unayo fanya. Simba alikuwa akimtusha samsoni asiweze kwenda kutimiza lengo lake maishani. Kila mtu lazima apatani na changa moto fulani maisha na either ashinde ama ashindwe asipokuwa mwangalifu, na mara nyingi watu wengi hudhani mambo hufanyika tu kwa sababu eti nilazima itimie.
@@revpeternjihia ooh asant nimeelewa mtumishi
Ndoto unarokata kuni ,kupika watu waingia kwa nyumba usio wajuwa,na ni weusi
Napitia mateso hapa kazini ni nishatoota hii ndoto
Niliota nanunua kuni
Pastor uliosema kwahabari ya ndoto ya kuni ni kweli kbs nipo oman, nisaidie nimeota mama yangu kaja sehemu ya kazi yangu nimelala nae akaamka akampa kijana hapa pesa elfu2500 ya 🇹🇿 alafu huyu kaka akampa chuma ya maji sijui ni pombe
Shikamoo bb Mimi kila mara naota naokota kuni mini maan yke nik BUKOBA baba naomb unisaidie ndot hii
Nimeot tembere zipokatik beseni zimefunhwa vifungu Kisha Kuna nyanya chungu
Sarah Nechesa:-kila siku usiku najikuta kwa msitu nkitenya kuni na bi muweza na dada zangu wa baba mwingine