MASANJA AKIWAKARIBISHA WAZUNGU WA IMANI MATENDO NA MIUJIZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2021
- MASANJA AKIWAKARIBISHA WAZUNGU WA IMANI MATENDO NA MIUJIZA #FREECHURCH #MKANDAMIZAJI
Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
Jumatano saa9 -12 jioni
Ijumaa saa 9-12 jioni
JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
+255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI - เพลง
Mbarikiwe sana na mungu wetu aliye hai
Nilichowapendea tu .hamjavaa barakoa
Mkalimani upo vizuri sanaaaa Mungu akubariki mnooo
Hatari na nusu🔥
Hongera sana Mtu wa Mungu Bishop Mgaya
Barikiwa Sana askofu nakupenda Sana Niko msoma nafatiria sana
Furaha yangu ni pale ninapokuwa naona kazi ya mungu inafanywa na ufalme wa mungu unajengwa
Barikiwa Sana Mtumishi wa Bwana Asikofu Masanja Tunakukubali Saana
Kuna maneno ukiyasikia unavuka unatoka pale ulipo unaanza safari nyingine ya Imani na Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo tupokee Imani
Namwomba mungu anipe uzima na niweze kufika huko pia kanisa la free church
Jamaa alifanya promotion over mpaka watu walijiuliza Ahsante sana watumishi Glory to God .
wat aword ov GOD
Amina mtumishi nimekuona live kigamboni nimebarikiwa....
GOD z gud
Barikiwa zaidi Bishop kwa kibali mkuu ulichonacho,najiungamanisha na neema iliyo ndani yako
amina sana mtumishi wa mungu
Bishop Masanja 🙏
Ameni mniombee mwenzenu ndao yangu ina mateso makubwa
Pole...ni dm tuongee kama utaweza
Jiombee,maana maombi yako yana nguvu
MImi Sina Imani Kabisa na Hao wazungu. Shetani ni muoongoo.
I am very blessed with the men of God
amen
Mungu awabaliki watumishi wa mungu
Nakukubali sana
Hahahahaah mtumishi, mda mwingine mtu inabidi tu ucheka atakama una mawazo😍😍
Amen 🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amin
Barikiwa bishop
Emeni
Hallelujah
Amen
Very strong moment
Bwanayes afiwe
Nabalikiwa
Makahaba kama vile! mi wig,mi nguo ya kuonyesha matako,makwapa njenje!!..ondokeni kwangu,sikuwajua ninyi kamwe!!
AMEEN AMEEN AMEEN
Imani Upendo Miujiza
Barikiwa sn
Amani amani mtumishi
Naomba kazi ya kutafsiri ni msaidie mchungaji hapo, anachoka pekeyake
Amen Amen
Hahahaha 😁😁😁✌️❤️❤️.. watu wanaelewa.. mpak English
Huyu mzungu ameongea point sana ambayo ni kipengele kigumu sana kwa mwamfrika juu ya sifa aliyotoa kwa masanja kuwa hajawahi kumuomba msaada,tumezoea sana kujishusha kwao kutaka vya kwao mpk imekuwa kawaida kwao sasa kukuta masanja haombi msaada imemshangaza,this becoz he is the real man of God aangalii maslahi barikiwa sana bishop masanja
Ni kweli, inawezekana huduma zingine wameimbwa hela mpaka basi.Mungu atuinue na sisi Waafrika ili tukahubiri kwao pia .
Yes na sisi lazima tuwe kielelezo kwao
Piga gombo mtumishi wa Mungu
Ivi mbona sisi atusali yn tunapigaga kerere tu amna la maana
Mbona sijasikia mahalipopote Mungu amepewa utukufu zaidi mmesifianawenyewe? Hiyo ni sawa?
Amen🙏🙏🙏
Ameen Mchungaji Masanja
Huu usanii mtupu
Usanii wa nini?
Msanii ni wew usiye amini
Masanja mkandamizaji... Kama vile Yuko.. kweny Jengo la "CHEKA TU" Haha 😂😂😂😂
Anajipigia hela zake
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Nanimi natamanii nikasome je utanisaidiaa
😮😅
Hakika mchungaji masanja unanishawishi kuja dar nifike kanisani kwako
Amkeni Nyie ma zwazwa mnapigwa. Mungu Hana complication hizo. Ukipiga goti tu chumbani kwako Kisha ukamuomba MUNGU akusaidie katika kazi zako na Kisha ukaenda kazini Utaona Mambo yako yanaenda freeeeeesh.
Unataka kusema nini@Femen Method !?
Wap?Unaota wewe!!
People you joking with the word of God
Usidanganye watu kwa uvivi wako wa kujongea nyumbani mwa Bwana. Huyo pepo akutoke kwa jina la Yesu. Hatujifunzi kutoka ombwe.
Acha anayemtumikia Mungu na amtumikie
Askof masanja
hahaha MASANJA
Nyie ndio mtakuwa kuni zetu yaan
Mwana one nikajua mgeni hajaoa nimeona Pete next time waleteni single tubarikiwe
Hahaha umenichekesha sana Paloku Thereza
@@sabrinamansoor9212 🤣🤣🤣
Tena amevaa mbili
@@faridaaloyce7672 yaan we acha tu 😂😂😂😂😂😂 watu tuko kwny msako wa husband half mchungaji Emanuel anatubania kwa kutuletea wanaume waliooa 😜😬
@@faridaaloyce7672 ana sifa
Usanii mtupu corona imewafyekelea mbali huko marekani mmeshindwa kuidhibiti mnakuja kulagai watanzania
🤣🤣🤣🤣 ni mwendo wa kupiga hela
Bishop 😂
Matapale wakiwa katika majukumu yao ya kila siku sawa kabisa
😜😜😜
Kuwa Makin na kaul zako watu wanapokea baraka kila inapoitwa Leo wewe utabak kusema matapel na watu MUNGU anawatendea
@@siamoye4549 hahahahaha hongera sana lakin sidhani kama yesu alifanya hivyo vipofu ni wengi sana
@@siamoye4549 nakuonea huruma sana tupo kwenye dunia ambayo wengi wetu tumepotea sana na wajanja ndo wanatawala hii dunia so kuwa makini utaishi maisha ya utumwa (motoni)
Huyo YESU alianza kutenda kwangu ndo maana nakuambia labda wewe ndo uonewe huruma mm nimeshamuona YESU SANA kweny maisha yangu
Askofu lini amesomea uchungaji!!
Bora umeuliza kwa niaba yangu
Biashara 😂 😂 😂
Wanaalikwa kuja kupromote dini badala ya technology na mazombie yanashangilia
Ukijuwa tu mistari furani furani ya bibilia na ukajua kupiga kelele zote uaskofu utaipata tuuu
The word "wazungu" is a racist statement
Y
Racism... statement not racist
Ujinga mtupuuuuu even during colonial rule they use religion to exploit the African then now because Africa are ignorant are still roughing 😭😭😭😭😭
Kaza mwendo bwana komedi komba tu sadaka za wajinga ndiyo waliwao
Amen
Amen