MTANGA KIGOMA SASA MWANGA WA UMEME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025
  • Kjiji cha Mtanga kilichopo nje ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, ambacho lazima utumie usafiri wa Boti kukifikia kupitia Ziwa Tanganyika, hatimaye wakala wa Nishati Vijijini REA kwa kushirikiana na Wabia wa Maendeleo wamefikisha huduma ya Umeme ambayo haikuwepo tangu Taifa lipate Uhuru Mwaka 1961.

ความคิดเห็น •