GODFREY KUSOLWA LIVE
GODFREY KUSOLWA LIVE
  • 48
  • 7 051
EWURA CCC WAENDELEA KUSHAURI HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI
Katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nane nane Mwaka 2024 yanayofanyika katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma, Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za Nishati na Maji, EWURA CCC, limeendelea kutoa elimu kwa watumiaji wa huduma hizo ili kuelewa kwa kina haki na wajibu wao.
มุมมอง: 1

วีดีโอ

IJUE KWA UNDANI EAST WEST SEED TANZANIA
มุมมอง 375 หลายเดือนก่อน
East West Seed Tanzania, ni Taasisi inayojishughulisha katika masuala ya utafiti na uzalishaji wa Mbegu na miche bora kwaajili ya kukuza Kilimo cha mbogamboga na matunda, changamkia fursa zao mbalimbali. Kwani wanasema Mbegu bora kwa mapato bora zaidi.
WASTAAFU KAENI CHONJO NA MATAPELI
มุมมอง 55 หลายเดือนก่อน
Katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nane nane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nane nane Nzuguni Jijini Dodoma hadi kilele chake Agosti nane, Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, imesisitiza kuimarisha mfumo wake wa kutoa mafao ya Pensheni kwa Wastaafu na kuwataka kujihadhari na Makundi ya kitapeli yanayotumia mifumo ya kielektroniki
WAKULIMA NJOONI NANENANE MUONE FURSA ZA KIUCHUMI
มุมมอง 445 หลายเดือนก่อน
Wizara ya Fedha, imewataka Wakulima Nchini kutembelea Maonesho ya Nanenane 2024 katika Kanda zao kwaajili ya kupata Elimu ya Fursa za Kiuchumi ili kujikita katika kilimo cha kisasa
TANZANIA KIIO CHA USAFI WA MAZINGIRA DUNIANI
มุมมอง 107 หลายเดือนก่อน
Kuelekea siku ya mazingira Duniani Juni 05, 2024, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejinasibu kuendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa na Afrika kwa ujumla kutokana na kutekeleza shughuli mbalimbali za hifadhi na utunzaji wa Mazingira.
DAWA YA KUNI NA MKAA IMEPATIKANA
มุมมอง 17 หลายเดือนก่อน
Mkakati wa Taifa wa Nishati safi na salama ya kupikia baada ya kuzinduliwa na CHAMPION Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, umeleta matumaini ya kuwakomboa Akina Mama na Watoto wanatumia kuni na mkaa kupikia chakula kila jua linapochoza, kutokana na kukumbwa na hatari ya kukatishwa uhai na athari mbalimbali za Afya.
CHAMPION WA NISHATI SAFI NI MAMA SAMIA
มุมมอง 878 หลายเดือนก่อน
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, Mei 08 Mwaka 2024 kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, ameandika historia nyingine Duniani kwa kuzindua mkakati wa Matumizi ya Nishati safi na salama ya kupikia, ili kuwakomboa Wanawake na Watoto wanaotumia kuni na mkaa kupika chakula, na kukumbwa na madhira mbalimbali kama ya Afya. Ni wakati sasa wa kushirikiana pamoja kutekelez...
10 May 2024
มุมมอง 28 หลายเดือนก่อน
Document from Godfrey Kusolwa
NAMIBIA YAMPA MAUA NYERERE KWA UKOMBOZI
มุมมอง 678 หลายเดือนก่อน
Rais wa Naminia Nangalo Mbumba, alifanya ziara Nchini kwa Mwaliko wa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kushiriki Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibara, halafu akapata fursa ya kutembelea Kampuni ya Mabibo Bia wasambazaji wa Bia za Brand ya Windhoek Tanzania, ndiyo akafunguka sana akisifu juhudi za Mwalimu za ukombozi.
MTANGA KIGOMA SASA MWANGA WA UMEME
มุมมอง 349 หลายเดือนก่อน
Kjiji cha Mtanga kilichopo nje ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, ambacho lazima utumie usafiri wa Boti kukifikia kupitia Ziwa Tanganyika, hatimaye wakala wa Nishati Vijijini REA kwa kushirikiana na Wabia wa Maendeleo wamefikisha huduma ya Umeme ambayo haikuwepo tangu Taifa lipate Uhuru Mwaka 1961.
TUWATUE MZIGO WA KUNI MAMA ZETU
มุมมอง 29 หลายเดือนก่อน
Baada ya Simulizi ya majonzi ya Mama Sophia, Mama aliyefariki Dunia kutokana na athari ya matumizi ya kuni na mkaa Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, imetupa msukumo wa kufatilia maisha ya Akina Mama wanaotumia kuni kupikia chakula Vijijini kujifunza maisha yao na wanachotaka kifanyike kwenye mpango wa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan wa kuwatua mzigo wa kuni kichwani. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa ...
MTUE MAMA KUNI
มุมมอง 29710 หลายเดือนก่อน
Hii ndiyo maana ya kumuwezesha Mama na kumsaidia kumtua kuni kichwani. Hii imeeleweka. Mpango mzima ni matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameshiriki Kongamano kubwa la kuwawezesha Wanawake katika safari ya ukombozi kutoka katika matumizi ya kuni, mkaa, na mazao ya taka mbalimbali kupikia chakula.
Nishati safi ya kupikia mkombozi kwa Wanawake
มุมมอง 1110 หลายเดือนก่อน
Nishati safi ya kupikia mkombozi kwa Wanawake
Itakuwa historia kupikia kuni
มุมมอง 1510 หลายเดือนก่อน
Itakuwa historia kupikia kuni
Unataka kukopa au kukodisha vifaa vya kisasa kwa Kilimo, Uvuvi au ufugaji waone PASS LEASING.
มุมมอง 712 ปีที่แล้ว
PASS LEASING, ni Kampuni yenye dhamira ya kuwakomboa Vijana na Wananchi kwa ujumla wenye malengo na ndoto kubwa za kuendesha Kilimo kama biashara hapa Nchini, sasa mimi nakuletea Mkuriugenzi mtendaji wa Kampuni mfatilie atakwambia unachotakiwa kufanya, autajuta kamwe
Mwenyekiti wa Shelly TZ huyu hapa
มุมมอง 172 ปีที่แล้ว
Mwenyekiti wa Shelly TZ huyu hapa
GODMAN - LINAH
มุมมอง 1292 ปีที่แล้ว
GODMAN - LINAH
NUHU MZIWANDA BADO NIPO NA SHILOLE
มุมมอง 274 ปีที่แล้ว
NUHU MZIWANDA BADO NIPO NA SHILOLE
Insrti Babu Seya, Ikulu ya Tanzania
มุมมอง 54 ปีที่แล้ว
Insrti Babu Seya, Ikulu ya Tanzania
Godman - Waheshimu (Official Audio)
มุมมอง 594 ปีที่แล้ว
Godman - Waheshimu (Official Audio)
GODMAN - ROCK CITY (Official Audio) .
มุมมอง 1055 ปีที่แล้ว
GODMAN - ROCK CITY (Official Audio) .
Haters - GODMAN (Official Audio)
มุมมอง 3096 ปีที่แล้ว
Haters - GODMAN (Official Audio)
Dk 17 za Mwezi wa Urithi wa Tanzania shuhudia
มุมมอง 26 ปีที่แล้ว
Dk 17 za Mwezi wa Urithi wa Tanzania shuhudia
Ambulance yakamatwa na shehena ya Mirungi huko Mkoani Mara
มุมมอง 156 ปีที่แล้ว
Ambulance yakamatwa na shehena ya Mirungi huko Mkoani Mara
MADINI YA OBAMA NA HAYATI MANDELA KWA VIJANA WA TANZANIA
มุมมอง 56 ปีที่แล้ว
MADINI YA OBAMA NA HAYATI MANDELA KWA VIJANA WA TANZANIA
GUMZO: Siku ya Mashujaa na Biashara ya Binadamu
มุมมอง 46 ปีที่แล้ว
GUMZO: Siku ya Mashujaa na Biashara ya Binadamu
Mengi na mapya ya Ndege Mpya ya Boieng 787-8 Dream Liner
มุมมอง 1306 ปีที่แล้ว
Mengi na mapya ya Ndege Mpya ya Boieng 787-8 Dream Liner
RAIS MAGUFULI KWENYE MVUA YA BARAKA AKIZUNDUA UMEME
มุมมอง 296 ปีที่แล้ว
RAIS MAGUFULI KWENYE MVUA YA BARAKA AKIZUNDUA UMEME
WASAA WA MAZINGIRA
มุมมอง 216 ปีที่แล้ว
WASAA WA MAZINGIRA
PUNGUZO LA KODI KWA WENYE VIWANDA LAJA
มุมมอง 126 ปีที่แล้ว
PUNGUZO LA KODI KWA WENYE VIWANDA LAJA

ความคิดเห็น

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim 4 หลายเดือนก่อน

    Utakumbukwa daima

  • @flavianndossi7642
    @flavianndossi7642 2 ปีที่แล้ว

    Nice song

  • @sixmondmdeka
    @sixmondmdeka 2 ปีที่แล้ว

    Maaad! Baada ya kusubiri sana na sasa tunapata Baraka zako tena, welco back wakukaya😂👏🏽👏🏽

  • @mwanahawarajabu1837
    @mwanahawarajabu1837 2 ปีที่แล้ว

    Madini yamejaa Kwa ruge rest in peace brother

  • @ashraphomary8715
    @ashraphomary8715 4 ปีที่แล้ว

    Unaitendea Haki Sana Rege Music, Bonge LA Ujumbe

  • @fidiuskalekezi2049
    @fidiuskalekezi2049 7 ปีที่แล้ว

    Ruge ur so bright bro,stay blessed!!

  • @mashamninnaninna8743
    @mashamninnaninna8743 7 ปีที่แล้ว

    mungu mponye , get well soon brother

  • @leezarbennito4143
    @leezarbennito4143 7 ปีที่แล้ว

    all de best,,