Huyu nae magari mtaaani anatumia nguvu nyingi kurudi mjini alipotea nafasi yake amechukua issa tambuuu na dotto magari gari ya ml 150 2016 kelele kibao
Umeongea point sana bro hapo uliposema ukimuona mtu yeyote anatembelea gari bongo muheshimu sasa hapa unakuta mtu anapita na Ist wanaona kama sijui kitu gani wakati natembea nimekalia m.16
Car's used from south Africa huwa zinaingizwa TZ sna..magendo mengi ya magari pia kutokea ulaya na marekani yanaingia south Africa ndio yanatawanywa sehemu zingne za Africa ila thamaniyake inabaki kuwajuu...ila TZ now tunaenda kuwa kama south Africa life style and Nigeria..pesa zinaenda kuwa kitu cha kawaida kama mbele tu
Hapo kwenye gari ya devido na chief umeongea kichawa zaidi...kwahyo anataka kutuambia harrier ya mwaka 2015 mpaka 2023(60/100 ML) itakuwa sawa na harrier matako ya nyani mwaka 2005/2008 (35ML)??? Maybach ya chief niya mwaka 2016 Devido ni 2023/24....Bei za hizo gari zimetogautiana pakubwa mno...Angetosha kumpa pongezi kwa kununua gari la kifahari ila siyo kulifananisha na la davido
Achen ujinga. Benz gan ilo la zamn. Af choko mmoja ana sema gari lake n kama la davido nyeee. Davido la 2023 lile na n tofauti sana na la chief benz ya 2019 imesha Pelekwa pelekwa akashikishiwa. Aache kumtaja Davido aingii pale auamin chunguza
Iko hivi wanazengo huyuu dalali asiwapotezee muda hapo alipo anapambana na tumbo lake. Usifiaji ni mwingi kitu ambacho ni kizur ila ikizid ni kero. Hii Mercedes Benz Maybach ni ya said lugumi, na huu mpira ulikuwa ndani tuu. Na hii gari ni ya ya mwaka 2016 na price yake currently ni dollar ($60,000). Na kuhusu wasanii wapo wanao uwezo wa ku afford huwo mpira lakini sio wote. Huyuu mnama (magari mtaani) yuko sahihi kwasabab ni dalali kwahyo kumsifia huyo chiefGodlove ni mambo ya kawaida apate ulaji.
Huyu mwamba yupo wazi na ndio vizuri ili na sisi tupate machungu mfano angekaa kimya sisi huku vijijini tungemjulia wapi. Eebwana chief Godlove nakuomba hata ukinunua kiatu onesha wenye wivu wajinyonge
❤chief god love my inspiration…
More blessings
Jamaa umeongea point, ngoja ninunue gari, jiandaeni kwa kelele lakin nitakuwa namtukuza ni Mungu
Huyu nae magari mtaaani anatumia nguvu nyingi kurudi mjini alipotea nafasi yake amechukua issa tambuuu na dotto magari gari ya ml 150 2016 kelele kibao
Ila yeye auzi ist
😂😂😂😂😂 na utakuta humjui😮😂😂
@@jasiri25labda alitaka ushindani usiwepi
@@gilliardgodfriend5745 amjulie wapi uyoo
Huyu anafosi kurudi mjini kweli iyo Maybach ingekuwa ya 2024 ingekuwaje?
Safi sana this guy is inspired me always 🎉🎉maua yenu both of them
Bongo akuna ela wewe ,Njo Mozambique🇲🇿 apa
si aseme tu hakuna msanii alonunua gari la gharama hiyo kwake bas sio wasanii hawamzd hapo swala ni la biashara 😂😂
🎉chief kama chief 🎉
Umeongea point sana bro hapo uliposema ukimuona mtu yeyote anatembelea gari bongo muheshimu sasa hapa unakuta mtu anapita na Ist wanaona kama sijui kitu gani wakati natembea nimekalia m.16
Mwangalie machoni 😂😂
SERIKALI MCHUNGUZENI GOODLOVE ANAPATA WAPI HELA!
Unaweza jiuliza chief anapata wapi hela kumbe chief ukute anajua kufuatilia team za mpira na ana bet anakula mihela mingi
Mtu mwenye Pesa Hatumii nguvu nyingiiii , kuaminisha watu ana Hera , wenye pesa hawapigi Kelele ukiona mtu anakufosi uamini ana hela mtilie shaka
Hustler 😮😮😮
Maybach ya mvunjo mvunjiko😂 daah
Gari lenyewe facelift eti maybach 😂😂😂
Nunuwa lako tuzione
Wewe n matako kweli
Unajua unakosea majina ni mey bach South africa wanaviwanda malia cary amenunua hiyo gari akaandika kulasa 36 kuisifia
Eti sisi 😂😂😂😂😂
Nae huyu anaongerea wapi au kwenye kishundu😅😅😅
Car's used from south Africa huwa zinaingizwa TZ sna..magendo mengi ya magari pia kutokea ulaya na marekani yanaingia south Africa ndio yanatawanywa sehemu zingne za Africa ila thamaniyake inabaki kuwajuu...ila TZ now tunaenda kuwa kama south Africa life style and Nigeria..pesa zinaenda kuwa kitu cha kawaida kama mbele tu
Toka nje ya dar ndio utajua bado tunasafari ndefu sana
Umaskini utakuuua
Kweli mangi
Swaiiiiiiii
Sungura
Aisee 😂 masikini kazi si ni kusema tuu
Huyu mwamba chief nimemkubali kijana mdogo pesa nyingi
Zingatieni Tanzania ya mama 😢
Hapo kwenye gari ya devido na chief umeongea kichawa zaidi...kwahyo anataka kutuambia harrier ya mwaka 2015 mpaka 2023(60/100 ML) itakuwa sawa na harrier matako ya nyani mwaka 2005/2008 (35ML)???
Maybach ya chief niya mwaka 2016 Devido ni 2023/24....Bei za hizo gari zimetogautiana pakubwa mno...Angetosha kumpa pongezi kwa kununua gari la kifahari ila siyo kulifananisha na la davido
Range kanunua Kahama kwa jamaa wa 101 et kamuuzia yeye 😅😅
Nipo hapa magic 101
Chawa unaupiga sana
Umeongea point.
Achen ujinga. Benz gan ilo la zamn. Af choko mmoja ana sema gari lake n kama la davido nyeee. Davido la 2023 lile na n tofauti sana na la chief benz ya 2019 imesha Pelekwa pelekwa akashikishiwa. Aache kumtaja Davido aingii pale auamin chunguza
Ile maybach ni ya 2016 $60,000
Kwanza Ya davido ni virgil Abloh edition
Yako ni yipi
Baba ako anayooooh
😅ila maskini sisi kali kinematics tuu
Dah kubabake walahi hizi online tv😂😂😂🙌 gari imeuzwa usd elfu 60....leo tunaambiwa 500m
Wivu huo kama ni elfu 60 nawe nunua utangazwe
Ulinunua yako lini?
Wacheni ushamba Tanzania 🇹🇿
Utapeli huu serikali isipoingilia wataumia wengii
acha makasiriko
Wamekuumizaje kwa wao kuuziana magari? Kwa nini uumie?
Unaonge kwa akiri sana na ya maana sana yani.
Rambo jini ni gari ya muda toka97
Ivi huyu Godlove anafanya kazi gani?? Mnisaidie plz
Lakini ni my bach ya mchongo! Tena ya kwenye shoroom ya hapa bongo! Huo uongo! Ya mchongo sana! Yenyewe hata rogo yake ni tofauti na hio!
Cheaf amepata chawa sasa
Gari yenyewe ishatumika hiyo ni mtumba
Eti lambogini...(Lamborghini)
Sawa mambo ya magar kitaa
KWENYE USHURU HAPO NIMEKUELEWA
Asa kama nindege ataendeshea wapi apa bongo 😂😂 40.50 asee madalal bwana
Muongo kesh inalipwa mkononi
Eeee bwana huyu bwana anasema kweli chief anamzigooo anaonekana
Hiyo gari ya saidi lungumi
Umeongea ukweli na yamdalefu sana ilikaa ndani
Kijana anaongea Kwa dharau sana
Mtafika mkiwa mmechoka sana ndugu zangu
Sasa hayo magari ya kazi gani yote
Tafuta hela mbwa wewe...😂😂😂
Bongo nado washamba saana
Eti nimemuuzia mm 😂
Hana gar hata mojan amepanga.chumba mbangala kama kuna mtu ababisha anifate inbox nimpe ukweli
Wewe umejenga wapi?
Iko hivi wanazengo huyuu dalali asiwapotezee muda hapo alipo anapambana na tumbo lake. Usifiaji ni mwingi kitu ambacho ni kizur ila ikizid ni kero. Hii Mercedes Benz Maybach ni ya said lugumi, na huu mpira ulikuwa ndani tuu.
Na hii gari ni ya ya mwaka 2016 na price yake currently ni dollar ($60,000). Na kuhusu wasanii wapo wanao uwezo wa ku afford huwo mpira lakini sio wote. Huyuu mnama (magari mtaani) yuko sahihi kwasabab ni dalali kwahyo kumsifia huyo chiefGodlove ni mambo ya kawaida apate ulaji.
Wacha amsifie huyu ni big customer kwake
Kwaiyo unataka kusemaje
Staki kuwa na hela nisije kutekwa kama big TARIMO
watu wanaishi maisha ya masharti sana , yaan malipo yanafanyika saa 8 za usiku tu. daah hii kali
unauwakuka nauncho ropoka
Mwamba nimemukubali sana
Ni des pora mane
Ana Hela nyingi lakini kazi gan anafanya hamsemi
Kazi ya nini😂
Davido kanunua rolls Royce ya dola laki tano wewe $ 500,000. Karibu bilioni 1 na nusu ya kibongo
david sio chief na sio mtazania
Huyu mwamba yupo wazi na ndio vizuri ili na sisi tupate machungu mfano angekaa kimya sisi huku vijijini tungemjulia wapi. Eebwana chief Godlove nakuomba hata ukinunua kiatu onesha wenye wivu wajinyonge
Inatosha baba inatoshaaa mda wote unasifiaa eeeee inatosha sasa tupumzishe inatosha
😂😂😂😂
Were ulishakaa south,mpaka wewe useme Tanzania ndio ya kwanza,au ujitambui
Tunae mjua uyo dogo tangu maisha yake mwacheni ale maisha tu jamani
Wakenya hawana pesa weee acha wabonngo wana pesa acha kabisa
Khalifa kairo Nairobi Ana own jet bana vipi wewe
Sisi tunaongelea Tanzania bana 😂😂😂😂
Hii gari ilikuwa Morogoro imeuzwa hapa mnaleta uongo 😂
kenya zimejaa izo gari watu wananunuwa 0km. siyo hiyo used mzee kanunua fresh ila acha kupambiya uyo uchawa
Comment mara moja tu halafu pita kule, unakua kama unatafuta bwana aisee, kila saa Kenya, Kenya vp kaka, wewe unalo gari kama hilo?
Au sio
Wana assemble...
Huyu jamaa anaitwa nan?
South Africa ha2endesh ist na hakun kbx 😅😅
Umemuelewa lakini? Kasema ukiona mtu bongo anaendesha ist basi SA angesukuma range
Maswali yenyewe unayomuuliza ya kitotoo, uliza maswali ya mshiko
Juha huyu
Nairobi kuna Ferari SUV ya mhindi😂😂huyu jamaa anasema nn lakin
Ni mhindi, huku wananunua wabongo
@@holyfunny7536 Kenya wahindi wanatambulika na serikali kama wakenya, wamezaliwa Kenya:ni wakenya by birth.
Africa nzima Tanzania ndo inchi ya mwisho kuwa na magari ya kifaari
Watu wanataka wajukuu wa bhakresa wapige kelele na hela za babu yao, akiwanyima password je.
Na mie nataka nije ni nunue kwako unapatikana wap
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hakuna SUV Ferrari Bongo!!
😢analiwa huyu boya…afu alivyo choko kasahau kabisa kama South Africa ipo africa…eti tz ndo iwe ya kwanza kupokea mandinga makali then nigeria
Suv ipo tena nyekundu kama ujaona ni wewe
Ingia TH-cam andika maybach in kenya utaona vitu mzee gls600 jeep
Kenya inaingiliana wapi na ushamba wa tz
Hv hawa watu wanafanya biashara gani? na hizo ela kama ni biashara halali mbona ni za mapema sana kwa wingi kwa umri wao?
Jitumeee acha ukuma umri ndo hela
Wengiwao ni wale wale wanaotegemea nguvu za upande wa pili mbali na nguvu za Mungu
😂😂
Maybach zimejaa Nairobi eti nyie wakwanza unaumwa wewe
Hawa wote wapigaji musiwe wajinga
Eti dou you thinks, rudi shule we fala
Duh kumbe na wewe ndo wale mnaoamini anayejua kingereza ndo amesoma sana.pole kijana
@vickynkuba aliyefaulu skuli kawa maskini na aliyeferi skuli kawa tajiri
Alf kingerez bila hela sawa nakupiga kelele
Fake talk