Kilimo Biashara | Umuhimu wa kuku wa kienyeji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2023
  • Kuku wa kienyeji wana umuhimu mkubwa sana kwani hufugwa kwa minajili ya chakula na vile vile kwa biashara. Hata hivyo wafugaji wengi hukumbwa na changamoto kadhaa ikiwemo idadi ndogo ya kuku hawa. Wafugaji wa kuku kienyeji kaunti ya Makueni hata hivyo, wameanza jitihada za kuongeza idadi yao kupitia chanjo dhidi ya magonjwa.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1