IKIWA MUMEO HANA SIFAHIZI KUMI : ANDIKA UMEUMIA NAAKIWANAZO BAAS MAISHA UNAYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @SalmaMalikiMsikiti
    @SalmaMalikiMsikiti 9 วันที่ผ่านมา +2

    Shukran sana sheikh msambaa mwenzangu

    • @SalmaMalikiMsikiti
      @SalmaMalikiMsikiti 8 วันที่ผ่านมา

      Hivi wanapatikana kweli wanaume wenye sifa hizi

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 9 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah lecture 🙏🙏🙏

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 9 วันที่ผ่านมา +1

    Barak Allah Feekom sheikh 🙏🙏🙏

  • @HemediMussa-gx4gx
    @HemediMussa-gx4gx 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah tabarakallah haniallak shekh wang looking amazing

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 5 วันที่ผ่านมา

    Shekh Asalam Alaykum vipi hali wallahi nimeona bora niandike hii massage kwa chungu nilionao nimewaka haya mawaidha yanayozungumzia kuhusu wanaume sifa zao manake kama umejulia mumewangu umempata ndipo huwa naweka sana mawadhayako kila siku hapiti siku ila hili limemgusa shekh yamemgusa maneno mwisho nambiwa nende kwa vishehe vyangu na simu nimevunjiwa ila Alhamdulilah haikupasuka huwa mwenyewe nikaa jikoni naskiliza sana sana mawaidha kaja imemchoma kaichokuwa na kuirusha chini ila Alhamdulilah wala sikukasirika Allah kanipa subra wala sikumjibu nimecheka kweli kwa furaha na kumshukuru Allah abadilike niombee duwa shekhe nasubra ya hali ya juu najuwa nitashinda ipo siku Alhamdulilah yeye alitaka tugombane kanivunjia ila kaniona nimeiyyokota na kuendekea na mawaidha kukuskiliza kaona sasa atoke khasa kaondoka ndani karudi muda wakula Alhamdulilah wallahi shekh nazid kuwa nasubra nishamzowea huu mwaka wa 18 kwenye ndoa nastahamili hii ndio tabia yake Allah akulipe shekh tunakupenda from uk 🇬🇧

    • @othmanmichaelonline2866
      @othmanmichaelonline2866  วันที่ผ่านมา

      W slm pole sana mola akusimamieni muelewani zidisha kumtii atakua vile unataka