EXCLUSSIVE: JOSEPH GUEDE AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUSAINI YANGA/SIKIA ALICHOKISEMA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 6 หลายเดือนก่อน +14

    Kila la kheri kazi njema karibu Sana Yanga barikiwa Sana nyote

  • @FelisterSilvanus
    @FelisterSilvanus 6 หลายเดือนก่อน +15

    Tunakutegemea sanaa katika timu ya wananchi utupe tunacho kiitaj kutoka kwak na mungu akupe wepes wakuifanya kaziyak Kwa usahihi kalibu yang Aflicans love yanga daima mbele💛💚💛💚🌹

  • @user-bn8zq2cm7r
    @user-bn8zq2cm7r 6 หลายเดือนก่อน +20

    Kila kheri mwamba wetu tulikua tunakuitaji Fanya kazi yako kuwa rafki na nyavu hutupe furaha wanachiii

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 6 หลายเดือนก่อน +9

    Joe Guede karibu saaaana yanga wananchi we love you 😍😍😍🤩🤩🤩

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 6 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu akuongoze ili ukaweze kufanikiwa

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 6 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu akutangulie

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 6 หลายเดือนก่อน +6

    Karibu sanaaa mwamba onyesha ulicho nacho pambana haswaaa naimani utatufurahisha ukikaza utatoboa gwede usicheze na majukwaa cheza kwa malengo ya timu..

  • @ceciliadaudi1632
    @ceciliadaudi1632 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu viongozi Tunaomba mungu huyu mchezaji akatufae sana kama tunavotarajia.,Cha muhimu Tunaomba viongoz mkaangalie na kuboresha eneo la goalkeeping katika dirisha kubwa la usajiri daima mbele nyuma mwiko 🔰🔰🔰🔰💚💚💚💚🇹🇿🇹🇿🫡🙏

  • @evaristgaspa6074
    @evaristgaspa6074 6 หลายเดือนก่อน +10

    Karibu yanga Joseph kinachotakiwa kujituma

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 6 หลายเดือนก่อน

    Yanga tuna vijana, Alwatan kongole kwa kazi nzuri uko vizuri🎉🎉🎉

  • @jumamakome1900
    @jumamakome1900 6 หลายเดือนก่อน

    Mwambaa karibu sana TZ karibu timu ya Wananchi

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allaah Akbar

  • @tabiasaidi2931
    @tabiasaidi2931 6 หลายเดือนก่อน +6

    Welcome man

  • @HAJIATHUMANI-bs9se
    @HAJIATHUMANI-bs9se 6 หลายเดือนก่อน +8

    Jo magoli
    Joseph gaidi

    • @husseinmkwachu6071
      @husseinmkwachu6071 6 หลายเดือนก่อน

      Hilo jina zuri sana akiwa ANAFUMUA NYAVU ZA WAPINZANI...👍

  • @gililwise
    @gililwise 6 หลายเดือนก่อน +3

    mungu na akakupe uwezo mkubwa katika kucheza ili timu yetu ipate mafanikio.

  • @user-px3ct3nq6r
    @user-px3ct3nq6r 6 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana jangwani ila kujituma ndo siri ya mafanikio

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 6 หลายเดือนก่อน

    Kribu sana Yanga Guede mshambuliaji wetu mpya,tunamuomba MUNGU akuwezeshe utupatie kile tunchokihitàji toka kwako kipaji alochokujaalia l,kila laheri

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 6 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu sana Yanga na Mungu awasaidie

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 6 หลายเดือนก่อน +2

    Karibuni kwenye timu ya wananchi jangwani ,lkn tunahitaji ufunge magori siyo uwe kama Afizi konikoni au ngushi

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 6 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤kalibu jangwani timu ya vikombe

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 6 หลายเดือนก่อน +3

    tre bien; karibu Bro

  • @jairatu688
    @jairatu688 6 หลายเดือนก่อน +4

    Karibu sana wana yanga tunakuamini

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 6 หลายเดือนก่อน +1

    Joe magoli we believe In you welcome to Yanga.Merci

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 6 หลายเดือนก่อน

    YANGA oyeeeeeeeee daima mbele nyuma mwiko💛💚💛💚

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 6 หลายเดือนก่อน

    Mi niko pamoja nawe mr joseph guede❤❤❤❤❤❤❤❤😂 kazi njemaa

  • @fransiscodevid5322
    @fransiscodevid5322 6 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana yanga mwananchi 💚💚💛💛

  • @emiliankatura1684
    @emiliankatura1684 6 หลายเดือนก่อน

    Joe magoli, karibu mwananchi.

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 6 หลายเดือนก่อน +4

    Welcm Yanga

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 6 หลายเดือนก่อน

    Kila la kher na namwombea awe na mwanzo na mwendelezo mzur sana katika chama letu.

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 6 หลายเดือนก่อน +4

    Welcome YANGA

  • @malipoalfred9572
    @malipoalfred9572 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kalibu sana yanga

  • @user-cu8dm6eh3g
    @user-cu8dm6eh3g 6 หลายเดือนก่อน

    Alwatan umepotea

  • @shak11ll56
    @shak11ll56 6 หลายเดือนก่อน

    Our very own Eddie Murphy!

  • @dailybibleyoutube
    @dailybibleyoutube 6 หลายเดือนก่อน +1

    Joe goals

  • @Killer_wayne227
    @Killer_wayne227 6 หลายเดือนก่อน

    You're welcome 😊

  • @amanijafariawadhi9535
    @amanijafariawadhi9535 6 หลายเดือนก่อน

    Kila la heri😊😊😊

  • @JeremiahYunge-qp4ne
    @JeremiahYunge-qp4ne 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hiroooo wazeee wa f
    5 five g

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kila la kheri

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f 6 หลายเดือนก่อน

    Yanga oyeeeee 🎉🎉🎉

  • @mathiasmushi
    @mathiasmushi 6 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @mariamshabani7107
    @mariamshabani7107 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @user-lf5sd6du3c
    @user-lf5sd6du3c 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana naona maendeleo ktk media sasahiv mna translate kabisa

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 6 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana mwamba

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 6 หลายเดือนก่อน

    God bless us

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 6 หลายเดือนก่อน

    Simlisema Simba wanasajili wazee haya hili zee mbona mishavu ishakataa nchi inakuaje au ndo hio nyani haoni kundure nikajua mwakinyo mm

  • @Chikkoh
    @Chikkoh 6 หลายเดือนก่อน +1

    JAIVAAAAAAAAAAA

  • @jimmymungai522
    @jimmymungai522 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi klabu bingwa Afrika atacheza? Ingekuwa vema uongozi utujulishe kama atacheza kwani hajatoka klabu ingine Afrika iliyomsajili kwenye mashindano haya ya CAF.

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tunaamini utafanikiwa

  • @josenambaya4994
    @josenambaya4994 6 หลายเดือนก่อน

    9 ameikataa 😊😊😊😊😊

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 6 หลายเดือนก่อน +1

    Gedeeee

  • @user-tm7rd7tz3p
    @user-tm7rd7tz3p 6 หลายเดือนก่อน

    Nakuamin guede wew ni fundi

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 6 หลายเดือนก่อน

    Sema jamaa atakuwa star

  • @anetboaz8783
    @anetboaz8783 6 หลายเดือนก่อน

    More wins

  • @user-yf1cl8do2p
    @user-yf1cl8do2p 6 หลายเดือนก่อน

    kabla hjacheza ameona sisi tunapiga mtu 5 5 tu sasa aje aongezee hayo magoli yawe yanafika hata 7

  • @chachamniko3604
    @chachamniko3604 6 หลายเดือนก่อน

    Kama kuna kitu nimekipenda hapa nikututafsiri anachoongea mwamba hapo mmefanya mambo yawe rahisi kwa kila shabiki hongera saaana kwa hilo

  • @sondajohn138
    @sondajohn138 6 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 6 หลายเดือนก่อน

    Joe guede another thiery Herny

  • @scopy0428
    @scopy0428 6 หลายเดือนก่อน

    Yaliyomo yamoo...!!!

  • @chazzmgonja4077
    @chazzmgonja4077 6 หลายเดือนก่อน

    Welcom

  • @mazy4784
    @mazy4784 6 หลายเดือนก่อน

    🏆🏆

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jambazi masudi

  • @mipeneangelus693
    @mipeneangelus693 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 6 หลายเดือนก่อน +9

    👏👏🔥

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 6 หลายเดือนก่อน

    Nimepend hata tusio soma tunaelewa

  • @tumakaduma1106
    @tumakaduma1106 6 หลายเดือนก่อน

    Ni raia wawap huyu?

  • @user-qu6ye5bk8y
    @user-qu6ye5bk8y หลายเดือนก่อน

    Mmm

  • @amanimustapha2089
    @amanimustapha2089 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna mchezaji hapo utopolo mmepigwa

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 6 หลายเดือนก่อน

      utakufa kwa kijeba

    • @FelisterSilvanus
      @FelisterSilvanus 6 หลายเดือนก่อน

      Ovyoo huna jipy

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 6 หลายเดือนก่อน

      Unateseka ukiwa wapi?😂

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona anafanana na mayele 😂😂au kama Mtu WA mziki😂tutaona mzki

  • @tmcproduction123
    @tmcproduction123 6 หลายเดือนก่อน

    Sava byeee

  • @user-nf5fv6hm4j
    @user-nf5fv6hm4j 6 หลายเดือนก่อน

    Tunaimani utafanya makubwa

  • @Lekunga-mbototohq2zr5fd8r
    @Lekunga-mbototohq2zr5fd8r 6 หลายเดือนก่อน

    Poa habari yako ?

  • @tintin0019
    @tintin0019 6 หลายเดือนก่อน

    HUYU NI G.I.JO

  • @extraonetzs8381
    @extraonetzs8381 6 หลายเดือนก่อน

    Tembo

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allaah Akbar