Tazama AHMED ALLY ALIVYO MVUNJA MBAVU😀 ALI KAMWE LEO Utacheka Huu Ndio UTANI WA JADI SIMBA NA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 2 หลายเดือนก่อน

    Mabest wamekutana tena😂..kakosekana yule wa azam team ikamilike

  • @AhmediKilingamoyo
    @AhmediKilingamoyo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongerenisana maashaallaah

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ali komwe anajikaza kupambana na Ahmed lkn hamuwez ht kdg, Ahmed Ali semaj la dunia yuko juu sn 😂😂😂

    • @AsiliTvOnline
      @AsiliTvOnline 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hujui kitu unazungumzia ushabiki tuu

    • @salumchoma8731
      @salumchoma8731 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani yeye anachoona mpira TU wakati wasemaji wanaingiza fweza hongereni wasemaji

    • @edwardmaguluko6541
      @edwardmaguluko6541 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wamekwambia wanashindana hapo?

  • @shefujosee617
    @shefujosee617 2 หลายเดือนก่อน

    Mmeuwa sana

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimependa mnavyo fanya kazi pamoja bila kujali kua ni watani wajadi

    • @nusuraomar-xn2uj
      @nusuraomar-xn2uj 2 หลายเดือนก่อน

      Unayeteseka ni ww maana Hawa watu ni kama wanajuana sana nivile wanakusanya maokoto tu

  • @AmuriMohammed
    @AmuriMohammed 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa nawakunali sana

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 2 หลายเดือนก่อน

    Wasemaji bora ila semaji la dunia noma

  • @natamihambo8077
    @natamihambo8077 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa ni marafiki SANA ndicho nachoweza kusema

    • @MelissaSaidy-q8i
      @MelissaSaidy-q8i 2 หลายเดือนก่อน

      Sana tena wanapendana Sana BGP kwaoo💪

  • @Malack-p7j
    @Malack-p7j 2 หลายเดือนก่อน

    Aise

  • @joshuajacobo3614
    @joshuajacobo3614 2 หลายเดือนก่อน

    Apo cmtumi fundi nitakua naenda mwenyewe namm nazitaka hizo

  • @AbdallahMchani
    @AbdallahMchani 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaah kasim kimbute mwanasheria msomi mare wa same aaaaah! aka bambinyo huyo

  • @KabumbeHasan
    @KabumbeHasan 2 หลายเดือนก่อน

    Ahmed nihatali

  • @grolyligola8959
    @grolyligola8959 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mim yanga ashamed ally ni msemaj wa logo ngum?

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 หลายเดือนก่อน

      Huwa nafurahi Sana nikiwaona mmekaa sehemu moja , nachekaga Sana mkitaniana.

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 หลายเดือนก่อน

      Watu sahihi, Kwa Jambo muhimu. Hawa watu vibonzo kweli , yaani Ni Raha wakiwa pamoja.

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnavyofanya kazi inapendeza.

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 2 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa mjinga mjinga sasaivi mjinga mjinga ni wewe Ahmed Ali 😂😂😂💛💚

  • @William-c7e
    @William-c7e 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo mtu anaeongea point ni ally kamwe comedy ni hamed ally hiyo ndio fact

  • @antonicyprianmsamati8819
    @antonicyprianmsamati8819 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani nani zaidi kati ya baba mwenye nyumba na baba mwenye gari?

  • @dinosiasa5600
    @dinosiasa5600 2 หลายเดือนก่อน

    Kamwe humuwezi Ahmedi kwa Vibonzo

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 2 หลายเดือนก่อน

    Semaji kuwa makini na hao nyuma mwiko wasije wakurushie majini

  • @kidawajuma9597
    @kidawajuma9597 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @dinosiasa5600
    @dinosiasa5600 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @dulamrashia
    @dulamrashia 2 หลายเดือนก่อน

    Awa jama wanajuan saaan shida ni za kwenu hawa wala hata wahan shida

    • @julianamwalongo6047
      @julianamwalongo6047 2 หลายเดือนก่อน

      Maokoto yanaingia kwao Sisi wajinga huku tunabaki hamuwezi, fulani ni bora Kuliko fulani ,mara matusi, kwahili tujitahidi kuwa na ushabiki wa kistaarabu

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna wajinga wengine hapahapa wanaleta eti flani hamuwezi flani.hayo ni mapenzi yako na si mapenzi ya watu wengine.Kwanza hawa jamaa wana ule utani wa jadi ambao unafurahisha na unavutia.