MWISHOE WAIMABAJI WAMTOA MACHOZI PASCHAL KUHUSU MZIKI WA INJILI EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 81

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kusema ukweli nyimbo zazamani zinamabariki Sana jamani♥️🙏🥰

  • @EliasBaltazary
    @EliasBaltazary 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niyasikiapo mafundisho yako napata amani sana ndani ya moyo wangu, napenda injili ya kweli, sihitaji kupoteza muda bure...
    Ubarikiwe sana.
    Anayekuchukia ni wazi kaanza kumchukia Yesu Kristo...
    Wengi wameilanisha injili, kumekuwa hakuna sheria kuliko hata kwa Shetani...
    Ubarikiwe sana.

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ibada zetu, sifa zetu, na kuabudu kwetu kumeingiliwa na udunia mwingi kiasi kwamba nguvu iliyo ndani ya ibada, sifa na kuabudu imepotea katika kanisa la leo.
    Watu wanachezea Yesu wakaki hata waume zao au wazazi wao hawawezi wachezea.

  • @upendomoses2418
    @upendomoses2418 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mumishi wa Mungu, kwa kuwa na ujasiri wa kuwaonya waimbaji kwa kweli tulipofika panatisha!!! Mungu atusaidie kwakweli

  • @annewanjiru818
    @annewanjiru818 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you mtumishi wa Mungu kwa kutukumbusha kiwango gani shetani ametamani kuiba our souls through music. Embalamba is a disgrace to the gospel world, na hizo zingine ati..unataka unaiwe, 😢. Mungu aturehemu esp sisi wakenya

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe mtumishi wenye masikio wasikie.

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu ni man of god, kwa kweli ubarakiwe sana♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JULIANAJOSEPH-wq4lm
    @JULIANAJOSEPH-wq4lm 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mwenye kuhukumu ni Mungu pekee 😮!!Kuhusu hao waimbaji hupaswi kusema kitu maana watu bado humpokea Mungu kupitia nyimbo hizo hizo wanazoimba hao waimbaji,mapokeo ya mtu mwenyew ndo yanayomuunganisha mtu na Mungu na sio Mwimbaji anayekuunganishq na Mungu. Hata waimbe wakitaka umaarufu hukumu atatoa mwenye ENZI YAKE PEKEE 🙌

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah sifa na utukufu ni kwako Yesu

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sema Babq sema wenye masikio watasikia Mungu atusaidie

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna kupenda sana,na tunakufwata sana congo namutumushi moja wa mungu,wewe ni mutumishi endelea vile, na mungu akushike mukono

  • @joycefaida6548
    @joycefaida6548 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mch.Paschal🙏🙏🙏

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu Cassian waimbaji wa sasa hawaimbi bali badhi wanatafta umarufu tu. Mungu atusamehe kabsa .

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Yesu,na kubaliana na wewe, Mungu akutiye nguvu kwa huduma hii.

  • @GustaveAbedi-td9yv
    @GustaveAbedi-td9yv 5 หลายเดือนก่อน

    La gloire, l'honneur et la puissance et la puissance Soit avec notre seigneur Jésus Christ de Nazareth.

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 6 หลายเดือนก่อน +1

    YESU wangu. Heee!! Hongera Paschal MUNGU akusaidie shetani yupo kazini Ni kanisani?

  • @AilinElias-o2k
    @AilinElias-o2k หลายเดือนก่อน

    Mungu akubalikii sana Kwa kisema ukweli

  • @JosephineShemahonge
    @JosephineShemahonge 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa pastor.

  • @dajo7523
    @dajo7523 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 6 หลายเดือนก่อน

    Uinjilisti una kufaa kabisaa mkuu , namna unavyo pazaaa kwa kishindo hakika ✊✊🙏🙏

  • @NicholausMbalani
    @NicholausMbalani 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana pastor Cassian

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 6 หลายเดือนก่อน

    Amina amina mungu akubarki mchungaji,from kenyA

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Heri Waimbe Tenzi za Rohoni. Unapoimba Tenzi za Rohoni uponyaji na ufungulivu vinashuka Usipokuwa Rohoni huwezi kutunga wimbo wa kubariki watu.

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 6 หลายเดือนก่อน +4

    Leo nimekuwa wa kwanza..mungu akubariki poster akupe nguvu...endelea kusema ukwel nakubaliana na maubiri yako kwasababu ayafanani na awa wengine makonimani

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  6 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤❤

    • @Eunice254-o7x
      @Eunice254-o7x 6 หลายเดือนก่อน

      @@paschalcassianoriginal9411 poster mm sijui venye naweza ku2ma sadaka ya kujenga madhabau..natuma vip kwasababu mm ni mkenya na nko saudia rabia..ebu niambie ni2me vp

    • @Eunice254-o7x
      @Eunice254-o7x 6 หลายเดือนก่อน

      @@paschalcassianoriginal9411 niambie code na je niki2ma zitafika kwel hapo ndyo nachanginyikiwa juu sijawahi ku2ma pesa Tanzania 🇹🇿

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@paschalcassianoriginal9411MZEE UNANENA YAUKWELI SEMA WATU HAWAKUEREWI MAHUBILI YAUONGO NDO WANAEREWA MAERUFU NAMAERUFU ENDELEA MZZEE ATA UKIOCOA WAWILI WATATU KWENDA MBINGUNI TAJIUNAYO((((MUNGU TUMEVAMIWA TUSAIDIE ))))

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 6 หลายเดือนก่อน

      😭

  • @subirachristopher1984
    @subirachristopher1984 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli, saiz waimbaji wengi wameishia kuwa wanq mziki waliojipatia ustaa na sio kumuinua Mungu

  • @SophiaThadei-hx4wd
    @SophiaThadei-hx4wd 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu akubaliki🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethbrown6748
    @elizabethbrown6748 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli ni upuuzi sana. Mungu atuhurumie jamani. Hata kwenye tv haileti maana kabisa. Nyimbo ni za kidunia sana.

  • @hanagango6922
    @hanagango6922 6 หลายเดือนก่อน

    Waimbaji wengi nyakat hizi hawaimbi kwa ajili ya mungu wanatafuta pesa tu ndy maana wanadance ili kuwaatract watu wamepende izo sebene zao

  • @LillianMunyaka
    @LillianMunyaka 6 หลายเดือนก่อน

    Amen my God bless you

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wa2 wanaimba kupata pesa na umarufu awaimbii mungu..shetan ameteka wengi tena wenye wako kanisani...siku za mwisho hizi

  • @StevenKalinga-l6m
    @StevenKalinga-l6m 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 6 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣 Ila embarambamba😂🙌🙌

  • @ABIGAIL67-tria
    @ABIGAIL67-tria 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna kanisa ingine pale nairobi ..ilikuwa kanisa ya kabila moja ya kiluyah,wasipoimba kilugha roho hashuki
    Alafu roho akishuka wanapasua viti wanachapa watu ,siku moja mdada fula alipasua madhabahu na akaumia kichwa.iam telling you watu walikuwa wanakuja kanisani wakiwa wasafi wanarudi nyumbani wakiwa wachafu,wengine wameumia,eti ni roho wa MUNGU😳😳😁😁😁😂😂😂😂😂

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @paschalcassianoriginal9411
      @paschalcassianoriginal9411  6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍😍😍😍😍😍❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ABIGAIL67-tria
      @ABIGAIL67-tria 6 หลายเดือนก่อน

      @@paschalcassianoriginal9411 iam telling mtumishi,, 😁but nilisafiri,,, finally nikasikia haipo walianza vita wenyewe kwa wenyewe na Kila mtu akaenda zake

    • @StevenKalinga-l6m
      @StevenKalinga-l6m 6 หลายเดือนก่อน

      BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU NIKWELI KABISA

  • @DastanChite
    @DastanChite 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa mafundisho yako mtumishi mimi hakika macho ya rohoni yamefunguka kwel kabsa

  • @AnaMeshack
    @AnaMeshack 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kwwli waimbaji siku hizi wanaimba kidunia ni bora tu waache kumuimba yesu waendelee tu na kidunia...

  • @Rurengera
    @Rurengera 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe ❤❤❤❤

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi hao wanashida gani mweee au wamechanganyikiwa

  • @joycefaida6548
    @joycefaida6548 6 หลายเดือนก่อน

    Kenya🙌🙌🙌🙌😁

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 6 หลายเดือนก่อน

    2 samwel 6: 14-22 David danced before the lord with all his might. So! Praising/dancing before God is not just or only a rohoni act, but can also be done with physical bodily expression ofcourse in an acceptable manner. Remember what happened to Davids wife when she tried rebuke David ways of dancing? Well, go check it out again. Shalom and Gods blessings

  • @EmanuelSolomon-ij1is
    @EmanuelSolomon-ij1is 6 หลายเดือนก่อน

    Hee Mr cassina niembie shida na kasoro ya ambwene mwasongwo acha hao wengine ni wahuni.

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 6 หลายเดือนก่อน

    Brother mi sina mengi ya kusema ila mungu akubariki.

  • @mkalibizz
    @mkalibizz 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 nyimbo hizo

  • @SkyKaris
    @SkyKaris 6 หลายเดือนก่อน

    Judgment is for God only , Preach the gospel and judgement leave for God

  • @ItikaWito
    @ItikaWito 6 หลายเดือนก่อน

    Amen kaka

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 6 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni mazingaombwe

  • @angelemmanuel7143
    @angelemmanuel7143 6 หลายเดือนก่อน

    Yani waimbaji wanasaidia shetani kutimiza kusudi la shetani sijui wanazichunguza roho au wanapenda fedha maana wengi wamekuwa rafiki wa manabii wanapotosha watu kwa kweli

  • @SarahWilson-g2u
    @SarahWilson-g2u 6 หลายเดือนก่อน

    Na Ambwene Tena duuuuuuuh!

  • @EstherChadi-xe7se
    @EstherChadi-xe7se 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @pendofrances617
    @pendofrances617 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli

  • @emilianagodwine6138
    @emilianagodwine6138 6 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka sana jamani leo nahii kadogoli

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 6 หลายเดือนก่อน

    Ninalo swali, ukiwa unamwimbia Mungu ili kufanya ibada na wengine na usiruhusu wimbo wako kujukuliwa ( download) ili kuusikia baadaye maana umeguzwa na ujumbe aliouimba mtumishi, hapo utakua umehubiri kikamilifu? Maana yule wa chini hana uwezo wa kuusikiza mziki wako pasipo hela.
    Wakosoe pasipo kituo, atakaye gairi akinywee kikombe chake cha hukumu siku ya kiama. Wasilete chukizo patakatifu pa Mungu.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 6 หลายเดือนก่อน

    Shida kwelikweli

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 6 หลายเดือนก่อน

    waimbaji wakoloni sana au

  • @dennisipaella3769
    @dennisipaella3769 6 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MillanMillanos
    @MillanMillanos 6 หลายเดือนก่อน

    Ila kiukweli huyu kaka atafika mbinguni amechoka sana, kwann anahukumu wenzie? Ye si afanye kazi aloitiwa na Mungu khaa😂😂

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kukemea na kuonya hata yesu alifanya

  • @AbbahCostaabbahCostaabbah
    @AbbahCostaabbahCostaabbah 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 6 หลายเดือนก่อน

    Nyieee

  • @ChengulaWema
    @ChengulaWema 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna kit kimenishangaza had ambwene ???

  • @isakashega6056
    @isakashega6056 6 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe

  • @bahatimaselo8528
    @bahatimaselo8528 6 หลายเดือนก่อน

    TUMEKARIBIA NYUMBANI 🏠 wapendwa

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 6 หลายเดือนก่อน

    Mbwene naye ametokea wapi

  • @happinessvuriva922
    @happinessvuriva922 6 หลายเดือนก่อน

    We huna kazi za kufanya?

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 6 หลายเดือนก่อน +2

      Huna neno ndomana umecoment hivyo Polle mungu akusaidie

    • @hasanygodda9242
      @hasanygodda9242 6 หลายเดือนก่อน +3

      Neno la MUNGU N MOTO ULAO ,, MUNGU AKUSAIDIE

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤