Amen barikiwa sana Mungu azidi kukusimamia kwa uhakika wewe uliyetizama na ufahamu kuwa ni ukweli wewe endelea kutanagaza kanisani kwamba mimi natoa mil1 makofi kwakwakwaaa sahau baraka kwa Mungu hamna kitu hapo au kuandikisha waumini majina kwenye bahasha za ahadi ya mwaka mzima acha zingatia ukweli kuwa imeandikwa kuwa na shingo ngumu sasa
Asante sana kwa somo hili .Mimi ninaswali Mtumishi Mimi niko mbali na nilituma pesa kwa Mtumishi anisadie kuwapelekea Watoto Yatima na Wagonjwa Mahosipitalini na a kaniambia atachukuwa video ili niwasalimie lakini chakushangaza hakufanya kumuuliza kama alifanya hakujibu. Basi Imani ikafa kwa huyo Mtumishi . Swali langu nilifanya kosa kumuuliza kama alifanya ? Yeye mwenyewe ndiyo aliniambia atanipigia ili niwasalimie na hakufanya . Naomba Mtumishi unisaidie kama nilifanya kosa ili nitubu 🙏
Mpendwa ukitaka kusaidia mtu saidia huko ulipo bila kumtuma mtu ndo maana huyo ulompa hakupokea simu yawezekana alikula,ukijiskia moyoni kutubu tubu,lakini chakuzingatia saidia waliopo hukohuko kwako hata kaka sio yatima Kuna wagonjwa hospital njia n nying Sana kabla ya kufanya muulize Mungu.
Sadaka iliyokubwa mbele.za Mungu ni moyo uliyopondeka.mwili.wa mtu itoeni miili.yenu iwe sadaka maana ndio sadaka yenye maana wanadamu.sikia mtu kuokoka hutaki umejenga magest mabaa unaua watu mwisho wa siku miuchafu.yako unalisha yatima oleeeeeeee mnaua mnahalibu maisha ya wengine eti yatima ko mnafikili yatima msipowasaidia watakufa hawafi maana baba yao yupo hai atafanya njia pasipo.njia yeye penye ukame maji yanatoka harafu msiomcha Mungu acheni kutoa sadaka kwani wamchao Mungu hawana hela tupisheni bwana ebooo
Mwinjilisti, nilikuwa nakupenda lakini kwa hili nimeona sawa vile haukufunguka vizuri kibiblia, Yakobo 1:27inasema je baba ? ''Ibada Safi na inayokubalika.,..ni kuhangaikia yatima na wajane...'' ao siyo ?
Ee bibilia inasema wasaidie wajane na yatima lakini haikusema uende ukitangaza ulichofanya... Mungu anakaa sirini na unapohitaji baraka kwa jambo lolote njema nenda utende sirini huku ni moyo wako tu unajua unachoenda kumsaidia au kumtolea. Ukijionyesha kwa wanadamu dhawabu yako ushapokea.
Usinipende kabisa na undeleee kupenda bibilia usinipende mie mpende na Alie kuumba mmi sihubir nipendwe nawatu hivyo kuazia Leo penda kusoma bibilia usinipende mie
Hajafunguka kivipi ndo maana wanasema mkuweni makini kwenye ibaada matatizo ndo kama hayo Mbona hajatoka nje ya neno? Yakobo 1:27 muwe makini na mafundisho watu wa Mungu Asante
humu wote niwa pumbavu hivi hii dunia ya leo ni kitu gani uta fanya siri lugumi katoa kwa yatima kwani ame mtangazia nani kusadia watu hamuwezi wengine wiki toa msaada ina wauma kama wame tangaza basi waacheni bora hao wame jaribu kasaidia na kutoa ni moyo acheni ujinga
Najiuliza swali moja tu kwanini anamwita Nabii mkuu kwani nini heshima kubwa kama hii kwa mwanadamu inasikitisha sana. Unasema ukweli kabisa mtumishi wa Bwana Paschal Cassian.
Amen, Asante kwa mafundisho mazur mungu akulinde ❤❤
Asante kwa kunijibu Mtumishi 🙏
Amen barikiwa sana Mungu azidi kukusimamia kwa uhakika wewe uliyetizama na ufahamu kuwa ni ukweli wewe endelea kutanagaza kanisani kwamba mimi natoa mil1 makofi kwakwakwaaa sahau baraka kwa Mungu hamna kitu hapo au kuandikisha waumini majina kwenye bahasha za ahadi ya mwaka mzima acha zingatia ukweli kuwa imeandikwa kuwa na shingo ngumu sasa
Na sio kila anayesaidia watoto yatima ni huruma, wengi wanaiba nyota zao, haya mambo niyarohoni.
Kwaiyo wasisaidiwe wew umewasaidia nin yatima iyo roh ya kimaskini
@@ChingaPambakalii yani wewe haujaelewa kitu yani ni sufuri zidi ya sufuri.
Unasikia kimwili pole sana kwaupungufu wako
Barikiwa sana
kutoka sumbawanga pastor kassiyano hapo nimekuelewa ubalikiwe sana sana
Amina mtumishi utukufu kwa Mungu
Ni kweli nikutowa kwa siri eyo yakujionyesha ni bure nimeisha fata ushuuda kama uyo akuna baraka kwa sababu umetaka kujulikana Mungu awezi kukubariki
Sio vizuri kabisa
🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu akusimamie sana mchungaji Kwa kazi nzuri impendezayo yeye ,kuna haja Gani kuonyesha kuwa umemsaidia mwenye shida?😢
Kweli kbsa
Hapo paschal umenena ukweeeeeeeeli sana
Jamani msipende kuufraisha ulimwengu hampati swawabu yoyote kwa mungu baba
Asante sana kwa somo hili .Mimi ninaswali Mtumishi Mimi niko mbali na nilituma pesa kwa Mtumishi anisadie kuwapelekea Watoto Yatima na Wagonjwa Mahosipitalini na a kaniambia atachukuwa video ili niwasalimie lakini chakushangaza hakufanya kumuuliza kama alifanya hakujibu. Basi Imani ikafa kwa huyo Mtumishi . Swali langu nilifanya kosa kumuuliza kama alifanya ? Yeye mwenyewe ndiyo aliniambia atanipigia ili niwasalimie na hakufanya . Naomba Mtumishi unisaidie kama nilifanya kosa ili nitubu 🙏
Mpendwa ukitaka kusaidia mtu saidia huko ulipo bila kumtuma mtu ndo maana huyo ulompa hakupokea simu yawezekana alikula,ukijiskia moyoni kutubu tubu,lakini chakuzingatia saidia waliopo hukohuko kwako hata kaka sio yatima Kuna wagonjwa hospital njia n nying Sana kabla ya kufanya muulize Mungu.
Bleesd my bro❤
Ni kweli wanafanya ili watazamwe na watu kutoa siku hizi ni sawa na maonyesho
Njaa tuu
Wanataka sifa za kiduniani!! Awapo Kwa Mungu!!!
Amen 🙏🙏 Amen 👏👏
Amina kaka
Amina
Hapana jamani kusaidia hadi matangazo
Ila jamani acheni
Watu wanavituko jamani sijawai kuona
Yuko sahihi
Sadaka iliyokubwa mbele.za Mungu ni moyo uliyopondeka.mwili.wa mtu itoeni miili.yenu iwe sadaka maana ndio sadaka yenye maana wanadamu.sikia mtu kuokoka hutaki umejenga magest mabaa unaua watu mwisho wa siku miuchafu.yako unalisha yatima oleeeeeeee mnaua mnahalibu maisha ya wengine eti yatima ko mnafikili yatima msipowasaidia watakufa hawafi maana baba yao yupo hai atafanya njia pasipo.njia yeye penye ukame maji yanatoka harafu msiomcha Mungu acheni kutoa sadaka kwani wamchao Mungu hawana hela tupisheni bwana ebooo
🫡🫡🫡🫡🫡🤐🤐🤐🫱🏻🫲🏽
Mmmh kaka vp zile ela za bss zimeisha sasa unataka uwokote za watu ww n feroz uliechangamka acha watu watumotivate nass tuwe namskumo brooo
Kama wew ni mchanga kiroho kaa mimia(kimya)
Imeandikwa usipige panda ukiwapiga picha yatima umewazalilisha kwann kila mtu ajue hao.ni.yatima wanaowagawia yatima wanawake wamevaa masuluali nyie watu.acheni kumtania Mungu ivi aliyewaambia yatima wanakufa njaa.nani
Nikwel kabisa
Ww n sauti ya mtu Aliye nyikani
Mwinjilisti, nilikuwa nakupenda lakini kwa hili nimeona sawa vile haukufunguka vizuri kibiblia, Yakobo 1:27inasema je baba ? ''Ibada Safi na inayokubalika.,..ni kuhangaikia yatima na wajane...'' ao siyo ?
Unavotoa sadaka haitakiwi kuwatangazia uma
Ee bibilia inasema wasaidie wajane na yatima lakini haikusema uende ukitangaza ulichofanya... Mungu anakaa sirini na unapohitaji baraka kwa jambo lolote njema nenda utende sirini huku ni moyo wako tu unajua unachoenda kumsaidia au kumtolea.
Ukijionyesha kwa wanadamu dhawabu yako ushapokea.
Usinipende kabisa na undeleee kupenda bibilia usinipende mie mpende na Alie kuumba mmi sihubir nipendwe nawatu hivyo kuazia Leo penda kusoma bibilia usinipende mie
Hajafunguka kivipi ndo maana wanasema mkuweni makini kwenye ibaada matatizo ndo kama hayo Mbona hajatoka nje ya neno? Yakobo 1:27 muwe makini na mafundisho watu wa Mungu Asante
@@paschalcassianoriginal9411 Pamoja🤝 Mtumishi achana nao Nabii Isaya 58:1 anasema Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubili watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. utakuwa umefanya utume tosha Na Mungu aonaye silini atakujazi🤝
Wewe fara tu wewe sio mwenyezi mungu uisilam Ina ruhusu kua Kwa sili na Kwa zahiri Sasa wewe kafiri kinacho kuuma nini katoa za kwako fara kweli
humu wote niwa pumbavu hivi hii dunia ya leo ni kitu gani uta fanya siri lugumi katoa kwa yatima kwani ame mtangazia nani kusadia watu hamuwezi wengine wiki toa msaada ina wauma kama wame tangaza basi waacheni bora hao wame jaribu kasaidia na kutoa ni moyo acheni ujinga
Huwez elewa kitu wew uzur anaye sema hayo yote ata yeye alishakuwa uko ko anaelewa kitu anafanya make alishafanya ivo pia
Lugumi akienda kwa choo hafuatwi na camera but akienda kutoa michango kwa watoto yatima lazima camera ziwepo
Najiuliza swali moja tu kwanini anamwita Nabii mkuu kwani nini heshima kubwa kama hii kwa mwanadamu inasikitisha sana.
Unasema ukweli kabisa mtumishi wa Bwana Paschal Cassian.
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒏𝒍𝒆𝒆 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒂𝒏𝒈𝒂𝒛𝒊𝒂 𝒖𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒌𝒖𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒛𝒊 𝒚𝒘 𝑩𝒘𝒂𝒏𝒂 ❤❤❤ 𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒖𝒋𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒎𝒛𝒖𝒍𝒊