JINSI YA KUPATA CHUO 2024/2025| orodha ya vyuo vya diploma na certificate Tanzania na ada zake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @emanuelilimu5516
    @emanuelilimu5516 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ualimu diploma application znaanzaa lini?

  • @AndrewMasasila
    @AndrewMasasila หลายเดือนก่อน

    Thank you for advice

  • @BarakaTz-t7w
    @BarakaTz-t7w 3 วันที่ผ่านมา

    Nitapataje kitabu hicho sir

  • @RashidTwaha-x7g
    @RashidTwaha-x7g 5 หลายเดือนก่อน

    Vp teacher nimemaliza form four 2022 na nimepat dv3 ktk masomo ya arts Sasa nawezaje kupata coz nzur ya kusoma?

  • @MariamMbega-y1n
    @MariamMbega-y1n 4 หลายเดือนก่อน

    Au naomba link

  • @Mellahbajutha
    @Mellahbajutha 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn link haipo

  • @HadijaDoto
    @HadijaDoto 4 หลายเดือนก่อน

    Teacher nimemaliza form four nimepata four nna d nne nisaidie niende chuo gan

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Hapo ni kujua unataka kusoma Nini?

    • @HadijaDoto
      @HadijaDoto 4 หลายเดือนก่อน

      Yan sielewi nataka nisome koz ambayo nirahisi kupata ajira naomba ushaur maana nna d civcs,d history,d kisw, d English

  • @AlatasaruakiBaraka
    @AlatasaruakiBaraka 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa chuo Cha Sheria ada shingapi teacher wangu?

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Bei ni tofauti ni kuna KITABU kinaonesha Bei za vyuo vyoteee

  • @MariaBethuely
    @MariaBethuely 5 หลายเดือนก่อน

    Teacher naomba nitumie no zako kunavtu tushaurianee

  • @ElizabethNashon
    @ElizabethNashon 5 หลายเดือนก่อน

    Naomb link il nipte hcho kitbu

  • @Samwelkagoma-t1g
    @Samwelkagoma-t1g 4 หลายเดือนก่อน

    teacher mtu akisoma clinical medicine anaweza kujiajiri kwa kuwa famasia

  • @AngelJosephat-s3c
    @AngelJosephat-s3c 4 หลายเดือนก่อน

    Je Ada zake zikoje

  • @DesderiusSira
    @DesderiusSira 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako mwalimu Kuna jambo naomba unisaidie

  • @AngelLYUNGU-xv2sv
    @AngelLYUNGU-xv2sv 5 หลายเดือนก่อน

    Teacher eti kama umechaguliwa chuo unaaza Sartificate or diploma ila Mimi nimechaguliwa DMI or chuo Cha mabaharia

    • @teacherd
      @teacherd  5 หลายเดือนก่อน

      Umechaguliwa kutokea level Gani ya elimu

  • @mikalaizer719
    @mikalaizer719 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba link niangalie gharama

  • @AlhajiNguzo
    @AlhajiNguzo 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba link teacher

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Added

  • @MariamJames-uh6kw
    @MariamJames-uh6kw 4 หลายเดือนก่อน

    Samahan naomba kuuliza dilisha la mwisho la kuaply chuo linafunguliwa lini

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Dirisha liko wazi mbona

  • @jeshikambanyuma8
    @jeshikambanyuma8 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba nitumie link

  • @KhadijaKitundu
    @KhadijaKitundu 28 วันที่ผ่านมา

    Kaka nisaidie vyuo vya serikali vitano tu kaka angu

  • @MwanaishaAli-t5v
    @MwanaishaAli-t5v 5 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @MendolaMsigwa
    @MendolaMsigwa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

    • @MendolaMsigwa
      @MendolaMsigwa 3 หลายเดือนก่อน

      Pia nauliza vyuovilivyosajiliwa na serikali Dar es Salaam vinavyotoa course ya tour guide kwa ngazi ya certificate na diploma

    • @MendolaMsigwa
      @MendolaMsigwa 3 หลายเดือนก่อน

      Tafadhali naomba unisaidie swali hilo

  • @DarkSunbzero
    @DarkSunbzero 5 หลายเดือนก่อน

    Link ipo wp

  • @MariamMbega-y1n
    @MariamMbega-y1n 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi cjaelewa nataka chuo

  • @luckyemmanuely1562
    @luckyemmanuely1562 6 หลายเดือนก่อน

    Link mbona aipo???😢

  • @NoelWatambile
    @NoelWatambile 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sorry naomba. Kuuliza maombi ya vyuo vya diploma education yameshafunguliwa au bado maana nataka. Kuapply korogwe teachers college na songea teachers college ???? Please naomba majibu

    • @teacherd
      @teacherd  5 หลายเดือนก่อน

      Ngoja nifatilie.. unaomba chuo Gani..

  • @DeboraFidel
    @DeboraFidel 5 หลายเดือนก่อน

    Diploma ya ualimu inaanza lini?

  • @mikalaizer719
    @mikalaizer719 6 หลายเดือนก่อน

    Vyuo vya singida

  • @roselengutai7216
    @roselengutai7216 4 หลายเดือนก่อน

    Diploma ni miaka mingap

    • @teacherd
      @teacherd  4 หลายเดือนก่อน

      Miwili