Mm katika masomo yang ya arts nimefaulu Geog C,Bios,C,civics C, English D kiswahil C,Mathew F history C vp ni coz gan nzur ya kusoma na kuweza kujiajir au kuajiriwa
Teacher samahani mimi nilikua nauliza mimi nimepata divion four ya29 nataka niende nikasomee chuo cha tuorism unatakiwa ni chague kombi gani apo ya kwenda kusomea tuorism
Nimepata one form four lakin nataka kwenda chuo na nataka nisomee udoctor nifanyaje ili niweze kuchagulia na kusoma iyo couse ninayoitaka
umepta one but it depend umesoma combination gan maana sio ulikua art then unataka usomee udaktar na kma ulipta one why hukwenda kidato cha tano?
Nenda chuo Mdgo wangu
Wivuuuu 🤣🤣🤣🤣@@mycmeranyswai7957
Shkamoo teacher D, coz ya driving mwombaj awe na ufaulu gan
Nitapataje kitabu chenye orodha ya vyuo
Naomba mawasiliano ya wakuu wa chuo cha mwalimu nyelele dar kigamboni
Asante mwalimu kwa elimu nakufuatilia kwa makini
Mimi nimemaliza 4m nilipata IV ya 26 he naweza kusoma ICT
Naomba no zako kesho niwasiliana na wewe ana kwa ana
Me nimefaulu vzr lakn bd sielw
Nataka kusoma udreva je napataje chuo
Naomba mawasiliano chuo cha maabara ya mifugo Dodoma
Naitwa Frank nmechaguliw kwenda advance but HKL japokuwa nilifaulu kwend kusoma PCB coz ndo malengo angu,je nifanyej maan siwez kwend private kkifedha.
Kaliporti kwanza Kisha unaweza kuchange hapo hapo shuleni au kuhama shule
Asante
Mwalim d ni vyuo vipi vizur vya masomo ya sayansi
Naomba no zako
0765165455
Mm katika masomo yang ya arts nimefaulu Geog C,Bios,C,civics C, English D kiswahil C,Mathew F history C vp ni coz gan nzur ya kusoma na kuweza kujiajir au kuajiriwa
Inategemea na wewe unataka kusoma kozi Gani..
Naomba, maelekezo , wanafunzi walio chaguliwa, kujiunga na chuo Cha utalii , Taifa , ( certificate) wanatakiwa kuripoti mwez wa ngapi, tarehe ngapi.
Mimi nahitaji chuo Cha ualimu lkini nmpngiwa chuo Cha tia na course co fani ynguu
Ualimu!! Unataka uwe masikini?😂
Pharmacy olevel anatakiwa ufaulu upi
Mwaka huu wanafungua lin
Nimesoma CBG nawezasoma kozi gani ya sayansi
Samahani nilikuwa natafuta chuo cha watu maalumu ila nimemaliza kidato cha nne ninawasani wa divesheni lll je ninaweza kupata
Ninaitwa Farida
Naomba namba zenu
Nmepata three form four cja chaguliwa chuo nfanyeje
3 ya ngap
Nimepata four 27 natakakwenda chuo cha sheria inawezekana
Naitwa Salma nhitji chuo ch ualimu
Naitwa jemah nahitaji kupata form
Teacher samahan nilikuw nauliza nitapataje chuo kinachoendana na daraja lang.Mim nimepata three ya 14 Nina D moja ya history
D pekeee?
Teacher samahani mimi nilikua nauliza mimi nimepata divion four ya29 nataka niende nikasomee chuo cha tuorism unatakiwa ni chague kombi gani apo ya kwenda kusomea tuorism
Na mwisho wa kufungwa dirisha la udhamini wa wanafunzi ni lini?
@@bakariMgonja four na ajira uliona wapi bora hat ungekuwa na 3
Naomba mawasiliano yako
Nmepata two nahtaj kwend chuo cha afy nmefauru masom ya sayans
Mimi nataka kusomea ualimu je hiyo kozi ipo
inakuwaje apo
Naomba namba ya wakuu wa chuo Cha nik kinondoni
Andika google chuo kitakuja na mawasliona Yao pia
Naomba namba ya mkuu wa kaliua Tabora
Nna mdogo wangu amepata division four ya 30 ana pass tatu una weza kumshaur asome nn amepata kiswahl c englsh c na biology d
Nitapaje kitabu Cha orodha ya vyuo
Wa mwezi March vp
Tayari imetoka . Ingia NACTVET
Yaan F ya physics inamfanya mtu asiwe nursing wamebana kote
Teacher nina gpa 2.8 diploma ya ualimu nafnyaje kwa hilo
Teacher gpa ya 2.8 nimepata nafnyje
Natk kwenda degree nimemaliza kwa masomo ya phy na math
Nitapataje hicho kitabu?
Nina mwanang amepat four 27 je anaweza kwend uhasibu?
Naomben mnisaidie
Ufaulu wake uko? Credit ngp
@@teacherd 27
@@Omaryissa-v2g sifa ni kua na D 4 Kuendelea.. kama anazo basi anaweza kusoma bila shida
Habar teacher certificate in law unatakiwa uwe na ufaulu gan
Pass 4 ikwepo language, pass ni kuanzia D
brooo asa ukiwa na d moja na c mbili
Pass 5 tu
nataka chuo cha sungida
nina d 5 naweza kupata chuo?
Ndy unapata
Natafuta shule Nina d ya history japo nimepata HKl
5:50 5:50 5:50
Mim natak nisomee u secretary nina c na d zimechangyk lkn zinafk 5
Unaweza KUSOMA
@@teacherd samhn teacher d ukishaa apply chuo majib yanatok kwa mud gn
Je mfano una d tatu utakubaliwa au
Me natka nijue nitajuaj Kama ni chuo Cha gavermnt au pravet 10:55
Vimeandika hapo juu kabsaa ya jina la chuo
Nimechaguliw advanc natak kusom iy koz niasaidien ndug zang
Mm Asnath Nina D tatu ninaweza kupata chuo at kama Nina D tatu
Zinabidi ziwe 4
Ku apply chuo cha serikal utakiwa uwe na d ngapi
@@SalumuZomba-xb5bz4
Naomba namba zako.samahqni