Ahsante sana kwa ombi zuriii..... MAJIBU Ili DETAILS ZA TASAF (Tanzania Social Action Fund), unatakiwa kufuata hatua hizi: 1. **Jaza Fomu za Maombi**: Kwanza, pata fomu za maombi kutoka ofisi za TASAF au kupitia tovuti yao rasmi. Hizi fomu zinahitaji maelezo yako binafsi kama vile jina, anwani, na maelezo ya familia. 2. **Weka Maelezo ya Kipato**: Andika taarifa sahihi za kipato chako na familia yako. TASAF inalenga kusaidia kaya masikini, hivyo maelezo haya ni muhimu. 3. **Maelezo ya Kaya**: Eleza idadi ya watu katika kaya yako na hali zao za maisha, kama vile afya, elimu, na ajira. 4. **Jaza Maelezo ya Akaunti ya Benki**: Kama unastahili, malipo yatapelekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki. Hakikisha una akaunti ya benki inayotambulika na TASAF. 5. **Angalia na Uwasilishe Fomu**: Kabla ya kuwasilisha fomu zako, hakikisha umejaza kila kipengele kwa usahihi. Kisha peleka fomu hizo katika ofisi za TASAF zilizo karibu nawe. 6. **Subiri Uhakiki**: Baada ya kuwasilisha maombi yako, TASAF itahakiki maelezo yako ili kuhakikisha unastahili kupokea msaada. Kwa msaada zaidi, unaweza kutembelea ofisi za TASAF au kuwasiliana nao moja kwa moja kupitia namba za simu au barua pepe zilizoko kwenye tovuti yao. KAMA UNA SWALI TOFAUTI WAWEZA NIULIZA PIA
Ahsante sana kwa swali lako zuri...kuwahi au kuchelewa kuomba mkooo sio tiket ya ww kupata mkopo...kikubwa ni uajaze taarifa kama ilivyo elekezwa kutoka kagika mwongozo uombaji mkopo ...kiusahihi...ata kama umechelewa unapata ..
ahsante..sana kwa swali lako zuri fahamu ya kuwa mkopo wa diploma utapata endapo kozi uliochaguliwa itakuwa ndani ya kozi zilizotolewa na bodi ya mkopo na kuwekwa kama kiopaumbele,,ingia heslb.go.tz tehna tafuta mwongozo wa diploma mwaka 2024 kuon hizo kozi ///endapo ukiwa nje na kozi hizooo huwez pewa mkpop
ahsante sana kwaswali zuri,,,kutumia kopi ili kutuma rita si vyema hasa ikiwa ni negative yaan white in black ..,,,hivyo basi kama coppy yako ni colored basi itumie hiyo hiyo ku verify ila inatakiwa uipige picha kinamna fulani ambapo hawawez gundua kuwa ni kopi,,,na kama hautajua jinsi ya kukupiga icho cheti copy nitafute 0656485159 ili nikupe sample ya picha namna gani ikaee,,,,jibu sahihi i kuwa unaweza kitumia ukakituma ni kikaarudi kimehakikiwa na ukapata verification code au application code,,,,,
Umepata chuo?.. na umepita form six au ni form leaver?....,kama ni form 4 tu ..pata chuo kwanza then omba mkopo maana kuna mmoja pia alimaliza 2016 na kaomba mkopo wa diploma.mwaka 2023 kapata asolimia mia moja(kozi ya clinical dentistry)....kama ni form six leaver kupata mkopo ni kipengele kidogo ila sio kwamba hupati..
Ahsante sana ..nimekuelewa vizuri sana
ahsante pia kwashukrani,,pamoja sana mkuu wangu
Thanks bro because unatupa elimi nzuri sana
ahsante pia damu yangu,,mnanipa surpot pia kubwa
Boss nisaidie jinsi ya kuweka details za TASAF
Ahsante sana kwa ombi zuriii.....
MAJIBU
Ili DETAILS ZA TASAF (Tanzania Social Action Fund), unatakiwa kufuata hatua hizi:
1. **Jaza Fomu za Maombi**: Kwanza, pata fomu za maombi kutoka ofisi za TASAF au kupitia tovuti yao rasmi. Hizi fomu zinahitaji maelezo yako binafsi kama vile jina, anwani, na maelezo ya familia.
2. **Weka Maelezo ya Kipato**: Andika taarifa sahihi za kipato chako na familia yako. TASAF inalenga kusaidia kaya masikini, hivyo maelezo haya ni muhimu.
3. **Maelezo ya Kaya**: Eleza idadi ya watu katika kaya yako na hali zao za maisha, kama vile afya, elimu, na ajira.
4. **Jaza Maelezo ya Akaunti ya Benki**: Kama unastahili, malipo yatapelekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya benki. Hakikisha una akaunti ya benki inayotambulika na TASAF.
5. **Angalia na Uwasilishe Fomu**: Kabla ya kuwasilisha fomu zako, hakikisha umejaza kila kipengele kwa usahihi. Kisha peleka fomu hizo katika ofisi za TASAF zilizo karibu nawe.
6. **Subiri Uhakiki**: Baada ya kuwasilisha maombi yako, TASAF itahakiki maelezo yako ili kuhakikisha unastahili kupokea msaada.
Kwa msaada zaidi, unaweza kutembelea ofisi za TASAF au kuwasiliana nao moja kwa moja kupitia namba za simu au barua pepe zilizoko kwenye tovuti yao.
KAMA UNA SWALI TOFAUTI WAWEZA NIULIZA PIA
Nimefanya hivyo lakini mmmmm
Daah..pole sana..ucjal kila kitu kitakuwa sawa
Hivi bro mambo ya mkopo si yanauwezekano wa kuishia online tu au ndo mambo ya kwenda kwenye sanduku la posta
Ahsante sana kwa swali zurii....yap kila kitu ni online...hakuna kwenda kusubmit kwa posta offices
Hiv pia naomb niulize bro ukiandka plot no badala ya house no kuna shda maana mimi niliandka hivyo
Ahsante kwa swali zuri...ndiyo unaweza weka hiyoo ..haina shida
@@Therapist_kicha unatusaidia sana Asante
Bro kama ulipostpone mwaka uliopita,na hukusoma semista ikaisha ukiomba mkopo unaomba kama first year au continues?
Ahsante sana kwa swali zuri....jibu...Unaomba kama continous....
I mean contioues sababu tayr,,ulishaingiza kwenye mfumo...yule ambaye hakuingiza kwenye mfumo yaan ku be registered..huyo ndo first yr
@@Therapist_kicha duh! Teacher nshaomba kama first year, Kuna madhara? Au labda naweza kujitoa kwenye mfumo niombe chuo upya?
Kama umechelewa ku apply mkopo je kuna probability ya kupata mkopo
Ahsante sana kwa swali lako zuri...kuwahi au kuchelewa kuomba mkooo sio tiket ya ww kupata mkopo...kikubwa ni uajaze taarifa kama ilivyo elekezwa kutoka kagika mwongozo uombaji mkopo ...kiusahihi...ata kama umechelewa unapata ..
Kaka vipi kama huna baba yan umetelekezwa ,pia mama amefariki
Hapo ndo uambatanishe vyeti na nyaraka zote katika mfumo wa bodi ya mkopo olams
bro no zako tafadhal
0656485159
Dilisha la mkopo linafungwa tarehe ngap?
ahsante sana queen kw swali zuri...
faham ya kuwa dirisha la mkopo limefunguliwa toka tar 1,6,2024,,,hivyo bsi dirisha tayr limefunguloiiwa
Kwa wale tuliomaliz f4 tukachaguliw moja kwa moja vyuo vya kati tunawez kupat mikop
ahsante..sana kwa swali lako zuri fahamu ya kuwa mkopo wa diploma utapata endapo kozi uliochaguliwa itakuwa ndani ya kozi zilizotolewa na bodi ya mkopo na kuwekwa kama kiopaumbele,,ingia heslb.go.tz tehna tafuta mwongozo wa diploma mwaka 2024 kuon hizo kozi
///endapo ukiwa nje na kozi hizooo huwez pewa mkpop
Kama ukikosea post code kuandika halafu ulituma tayar. Je unaweza ukakosa mkopo
Hapana huwezi kosa mkopo..utapata maana maeneo yanajulikana uliojazs..
Asante
Kaka Naomba kujua unaweza kutumia copy kuverify Cheti za kuazaliwaw
ahsante sana kwaswali zuri,,,kutumia kopi ili kutuma rita si vyema hasa ikiwa ni negative yaan white in black ..,,,hivyo basi kama coppy yako ni colored basi itumie hiyo hiyo ku verify ila inatakiwa uipige picha kinamna fulani ambapo hawawez gundua kuwa ni kopi,,,na kama hautajua jinsi ya kukupiga icho cheti copy nitafute 0656485159 ili nikupe sample ya picha namna gani ikaee,,,,jibu sahihi i kuwa unaweza kitumia ukakituma ni kikaarudi kimehakikiwa na ukapata verification code au application code,,,,,
Mimi nemaliza 2015 form 4 nafanyaje kuomba mkopo?
Umepata chuo?.. na umepita form six au ni form leaver?....,kama ni form 4 tu ..pata chuo kwanza then omba mkopo maana kuna mmoja pia alimaliza 2016 na kaomba mkopo wa diploma.mwaka 2023 kapata asolimia mia moja(kozi ya clinical dentistry)....kama ni form six leaver kupata mkopo ni kipengele kidogo ila sio kwamba hupati..
kama umehitim f4 unatena ada ya kujiunga na chuo unaweza kuchukua mkopo au mpaka kwanza upiz chuo@@Therapist_kicha
Kama unachet cha kifo copy na kimehakikiwa na mahakam je ukitaka ku verify rita wanakubal
Ndiyo,,wanakubali tena ndo vzur zaidi
Hakikisha kisiwe kopi,,kiwe halisi au coloured
Nawezaje kupata barua ya mdhamini
Naomba nitafute kwa namba 0656485159 ili nikupe maelekezo bureee
Kwa njia ya sms,call wasap au telegram
Kichado you remember me?!
kama umeliza f4 alafu umepata kujiunga na chuo alafu unatena pesa ya kuendelea unaweza kutoa mkopo au
Sijakuelwwa swali lako mdogo wangu... Unaweza nichek 0656485159 wasap,call au sms
@@Therapist_kicha bro bona namb yako apatikan
Inapatikana muda wote 0656485159
Inapatikana ...muda wote na kama haipatikani why hujanichek WhatsApp au telegram?...inapatikana bro
Diploma ya dental hata kwa chuo cha private kuna mkopo?
Ndioo,,kuna mkopo piaa..
Na unapewa 100%