GARI YENYE UWEZO WA AINA YAKE NAKUPENYA, IMEPITA PEMBENI YA TEMBO NGORONGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 5 หลายเดือนก่อน +1

    Vina shokap na coil spring matata sana. Kikishuka kwenye mashimo husikii. Ni vigumu Sana hivi vibiriti. Mjapan alikatengeneza haswaa

  • @richardamina9810
    @richardamina9810 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waliowapa uwomsada mumewapa tembo wangapi.?

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hii nchii inasikitisha sana
    Hako kagar pia ni msaada kweli
    Mbona tunaidhalilisha nchi yetu jaman naviongoz mmekaa masubutu kuongea kuwa tumepokea msaada jaman jaman tunaelekea wap tanzania😢😢

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 5 หลายเดือนก่อน

      Shida ni mazoea tu, vyetu tunapiga bila mpangilio

  • @musason1680
    @musason1680 5 หลายเดือนก่อน

    Misaada hii tusipoikataa itatuua

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 5 หลายเดือนก่อน

    Mshazoea misaada

  • @emmanueldavid9506
    @emmanueldavid9506 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hata hili gari tumepewa msaada tunaelekea wapi watanzania?!!!!!!!!!!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 หลายเดือนก่อน

    Aibu sanaa hata Suzuki msaada hivi hauoni aibu tumeshakuwa na kaugonjwa Ka kupewa hivi pesa tanapa inaingiza haiwezi kununua hicho kijigari .

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa nini tuombe misaada wakati tunapokea fedha nyingi za utalii, tafadhali tuwekeze pesa tunayopata na tuepuke akili ya kuomba omba tutumie resources zetu vizuri

    • @emmanueldavid9506
      @emmanueldavid9506 5 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi inaviongozi wa hovyo sana kila kitu ni msaada hata hii gari jamani?!!!

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 5 หลายเดือนก่อน

      Pesa za kodi wanazinunulia magari ya M 500 harafu wanatenga mabakuli kuomba

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 5 หลายเดือนก่อน

    Kila Kitu Msada Msada Wapi Tunaenda Jamani Kama Mlio Juu Misada Tulio Chini Vipi Usalama Wa Wanyama Unakua Msahakani Kutokana Na Ugumu Wa Maisha Watu Wakiwa Na Maisha Mazuli Watakua Walinzi Wazuli Kwa Wanyama Njaa Inaweza Kumpa Mtu Loho Ya Ajabu

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 5 หลายเดือนก่อน

    Hii gar chuma Suzuki Jim ..Ina uwezo namba 2 kupita popote Duniani ..

  • @thobiasyphaustine3714
    @thobiasyphaustine3714 5 หลายเดือนก่อน

    Yamedanganywa na kagari mapuuz makubwa yaone

  • @tizosanga8919
    @tizosanga8919 5 หลายเดือนก่อน

    Gari kama yakwangu😂😂😂

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 5 หลายเดือนก่อน

    Bora mngepewa baiskeli za mkwilima kuliko.kagari kama Diaba ya litre 100

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani sijui tutaacha lini ushamba

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 inakuaje kuaje hapo sijaelewa

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 5 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa ya kuratibu nyendo na mazalia ya nyani ama swala ningeelewa lakini siyo tembo, huyo anayeendesha hako kagari mbugani hajipendi kabisa kwani tembo hapendi kuona vidude km hivyo karibu yake. Kataeni rushwa ndogongo toka kwa majangili

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 5 หลายเดือนก่อน

    Gari linalinda vp mbuga watanzania tuwe wazelendo siasa za kizama zimesha poteza nguvu.

  • @alextarimo4972
    @alextarimo4972 5 หลายเดือนก่อน

    Cheap advertising

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo gar new model 2023 iksha imerejewa kiwandan kwa mfumo wa old na imengezewa uwezo mkubwa mno na bei yke ni kubwa sio gar ya rahisi kiukwel mwwnye kuijua hiyo gar ataelewa

    • @silivestatesha9262
      @silivestatesha9262 5 หลายเดือนก่อน

      Beikawa Ida sana

    • @slainhood646
      @slainhood646 5 หลายเดือนก่อน

      Io gari used million 70​@@silivestatesha9262

    • @daddyarfaksadi
      @daddyarfaksadi 5 หลายเดือนก่อน

      nlikikuta kinauzwa mil 45 na ni used hadi nikakiogopa

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 5 หลายเดือนก่อน

      @@daddyarfaksadiHiyo gari inashindanishwa na G Wagon ya Mercedes Benze au Land Cruiser hadtop

    • @kassimkassim6386
      @kassimkassim6386 5 หลายเดือนก่อน

      Mpya kinauzwa 70mpak 80

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo mepesi kweli kigari kama hicho ndio Cha kuomba msaada,,,,,semen tu tumezawadiwa sio msaada ukisema msaada it means hatuwezi kukipata

  • @user-ch3ku3yx2z
    @user-ch3ku3yx2z 5 หลายเดือนก่อน

    Ombeni Ercopta kwa rais mtapata tupunguze aibu

  • @rapaitotomatunda
    @rapaitotomatunda 5 หลายเดือนก่อน

    Uongo mutupu haisidii chochote

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani eeh! Mbona mnatia aibuu!! Hivi kweli mmeshindwa kununua gari kama hizo hadi mpewe msaada!!??

  • @user-xy6tb4mw1u
    @user-xy6tb4mw1u 5 หลายเดือนก่อน

    Sas suzuk ina uwezo gan kwa mbuga kam hiyo

    • @benjaminchakwe9815
      @benjaminchakwe9815 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂 nchi ngumu ii

    • @domplexafrosana5515
      @domplexafrosana5515 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ungejua thamani ya hiyo gari mzee wangu. Kweli ni brand ya Suzuki...ila haina tofauti na Mkonge. Tofauti ukubwa tu...

    • @evamlay8997
      @evamlay8997 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndio gari sasa hakwami popote lina pena hata spr zaki nigarama usipime

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 5 หลายเดือนก่อน

      Mkonge anasoma namba hapo ...hata kwenye mawe inapita

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 5 หลายเดือนก่อน

      @@domplexafrosana5515 Kaka achana nao hao kaka hawajui aina za magari na uwezo wake,hiyo gari ipo na mirango 4 bei inakuwa zaidi ya hiyo milango 2 hiyo gari imeboreshwa pia nadhani serikali wanataka kubana matumizi badala ya mikonga watumie Suzuki Jimny lakini ni kazuri kadogo na kanapenya popote na Toyota wameisha tengeneza mini cluiser inahitwa Baby cruiser ambayo itakompit na suzuki jimny