HUDUMIA HIVI NYWELE ZAKO KILA UNAPOSUKA RASTA UONE MAAJABU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @hadiarashid7896
    @hadiarashid7896 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana dada, umenisaidia sana, yaan ninakupenda nywele yangu, kama hela😂

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  ปีที่แล้ว

      Asanteee sana mamy. Nimefurahi kusikia hivo. Endelea na matunzo 🥰

  • @mrisholulu2909
    @mrisholulu2909 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada Grace kwa kazi nzuri. Naomba kujua bei ya products ya nywele natural

  • @MagrethIkoti
    @MagrethIkoti 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani nimekulewa sana nitazingatia hayo nikiona matokeo nitakuambia

  • @matridaally2244
    @matridaally2244 ปีที่แล้ว +1

    Mbn kukupata nishida sana au ushaacha

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  ปีที่แล้ว

      Nipo dear napatikana kwa namba 0764986838. Karibu

  • @salomelucas3485
    @salomelucas3485 ปีที่แล้ว +1

    Haya nafuta shulingi ngapi ??
    Hair tea shilingi ngapi

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  ปีที่แล้ว

      Karibu sana. Wasiliana nasi 0764986838

  • @IreneMasika-du5iq
    @IreneMasika-du5iq ปีที่แล้ว

    Hiyo mask ni sawa na chebe powder?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  ปีที่แล้ว +1

      Ndio dear zina kazi zinazofanana

  • @KarenKeter
    @KarenKeter 9 หลายเดือนก่อน

    Nitapataje haya mafuta Niko Kenya nime kufuata nasipati majibu

  • @tinaclement9062
    @tinaclement9062 ปีที่แล้ว

    nitumiye basi