Hilo fridge nalipa mpaka mwezi wa 7 Baada ya hapo nitaleta Spare litengenezwe. Litatulia tena kidogo kabla halijaharibika tena. Na likiharibika tena sitalitengeneza tena.
Tatizo kubwa Simba ilikwa viongozi na wachezaji. Hawo wote walikwa wana hujumu simba. Naomba kwa wana chama wa Simba fanyeni kill kitu huyu Magungu aondoke hapo Simba sababu huyu magungu ni mwanachama wa pani na pani African ni yanga. Na try Again na huyu CO NAWO wa ondoke hapo Simba. Hapo Simba itakwa safe. Hawo wana hujumu Simba.
Hivi anaanza kusajiliwa kocha kwanza au wachezaji? Mm naona vema aje kocha then wanasajiliwa wachezaji kutokana na uhitaji wa timu kwa muongozo wa kocha
Samahani, David pascal wana undugu na Muro
Jmn mpeni mgund hat msimu mmoja mwalim mgund anafaa zaidi ebu angalien bax
Hilo fridge nalipa mpaka mwezi wa 7 Baada ya hapo nitaleta Spare litengenezwe. Litatulia tena kidogo kabla halijaharibika tena. Na likiharibika tena sitalitengeneza tena.
😄 🤣 😂
Shida so kocha tutakuwa tunafukuza makocha Kila siku shida ni no viongozi
Ni kweli hapa Angola Santos Alexander ameachana na Atletico lakini anahusishwa na Kaiser Chiefs. Kila mtu ana mtazamo wake
Lakini Matola atoke asikae msaidizi atoke kabisa.
Tatizo kubwa Simba ilikwa viongozi na wachezaji. Hawo wote walikwa wana hujumu simba. Naomba kwa wana chama wa Simba fanyeni kill kitu huyu Magungu aondoke hapo Simba sababu huyu magungu ni mwanachama wa pani na pani African ni yanga. Na try Again na huyu CO NAWO wa ondoke hapo Simba. Hapo Simba itakwa safe. Hawo wana hujumu Simba.
Sioni tatizo la Fridge bovu, ana point na anatoa mtazamo wake. Sasa mnamshambulia kwa kosa gani???
Mimi kama mshabiki wa Simba tukileta kocha mpya tujiandae kuporomoka zaidi na zaidi hakuna kocha mgeni wa kumzidi mgunda Kwa sasa
Kapimwe kinyesi.
Christiano Ronaldo hakuzaliwa Lisbon, plze usitulishe matango pori, fanya home work yako kabla ya kutoa taarifa kwa public
Hata hivyo ili friji ni bovuuu haswa hakuna taarifa hapo
Kocha aje kwanza kabla usajili yeye ndio asajili wachezaji anaowahitaji hawa wakina Mgunda ni makocha wa hamasa hwana mbinu za kiufundi
hamna jipya hapo kwani benchika yupo wapi
Usajili unafanywa wewe tulia subiri utajulishwa
Vitu vingine mtu mwenyewe unabwaga manyanga
Kwa hiyo Mgunda kama kawaida?.
SAmbusa subirini.. boli ni uwanjani na c kuropoka tu..
Hivi anaanza kusajiliwa kocha kwanza au wachezaji?
Mm naona vema aje kocha then wanasajiliwa wachezaji kutokana na uhitaji wa timu kwa muongozo wa kocha
We acha kusikilza kelele mashabiki usajili unaenda kimyakimya kuanzia tarehe 15 June 2024 utaanza kujua nani kasajiliwa
Kocha bila usajili nzuri ni ushamba na upuuzi mtupu