MURO: USAJILI WA SIMBA 2024/25 BALAA!! KOCHA MPYA/ JEAN MAKUSU/ GILBERTO/ BARBAR/ KENNETH SEMAKULA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi

ความคิดเห็น • 23

  • @ladislausmakarious2023
    @ladislausmakarious2023 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba tushirikiane Wana Simba tusifungie wanachama wenzetu tutapata mikosi tuanze upya kwa baraka

  • @JumaMakame-x9q
    @JumaMakame-x9q 2 หลายเดือนก่อน

    T

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 3 หลายเดือนก่อน

    Namsihi MO awasikilize hawa Vijana wana madini ya maana ya kuweza kuisaidia Simba.

  • @josephpwiti2478
    @josephpwiti2478 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chambua kutokana na heading, masuala ya gadiel Michael yuko wap,alienda wap ya nn??

  • @jumannechibaladya6223
    @jumannechibaladya6223 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni mm tu ndio nasikia makele ya wanaoimba tu mala hoi au simu yangu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 3 หลายเดือนก่อน +1

    IVI NA WEWE SISCO NA MURO MNAANZA KUANDIKA VITU AMBAVYO HATA HAMVIZUNGUMZI KWA SABABU GANI? DON'T BE SUCH CHEAP.

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 3 หลายเดือนก่อน +2

    IBENGE IBENGE IBENGE IBENGE IBENGE IBENGE IBENGE asaidiwe na MGUNDA MGUNDA ndiyo suluhu la benchi la ufundi

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 3 หลายเดือนก่อน

      Mganda Coast union

    • @DerickDanford
      @DerickDanford 3 หลายเดือนก่อน

      Ibenge huyo timu ya Taifa Mali rasmi

  • @Mteule1010
    @Mteule1010 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mnaenda kufanya kipindi kanisani

  • @saidjuma-j3r
    @saidjuma-j3r 3 หลายเดือนก่อน

    Simba Nguvu moja

  • @novanickywasanzu5589
    @novanickywasanzu5589 3 หลายเดือนก่อน +2

    Simba mpya mpka tuwe na msimamo akuna chakurudi wala kwenda hata kama

    • @ladislausmakarious2023
      @ladislausmakarious2023 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba tushirikiane Wana Simba tusifungie wanachama wenzetu tutapata mikosi tuanze upya kwa baraka

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 3 หลายเดือนก่อน

    wala mgunda haitaji kuwa msaidizi kwa mgeni enyi watanzania tuache ushamba ,kwani ni lini tutaamini mtu wa kwetu katika utendaji na tena ameshathibitisha kuliko hata hao wageni? MGUNDA ANATOSHA .

  • @DerickDanford
    @DerickDanford 3 หลายเดือนก่อน +1

    Barbacar Senegalese

  • @SalehAli-gr4dg
    @SalehAli-gr4dg 3 หลายเดือนก่อน

    wanachama wasimba niwapgaji namanisha wanachagua watu wanao wahonga pesa ili tuteseke wote tulieni ss mashabik tunasubili ujinga kwenu tena

  • @ZaharaShabani
    @ZaharaShabani 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan Muro hiyo wiwan n yakusema uongo kabisa😂

  • @kamuogo
    @kamuogo 3 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @maase2023
    @maase2023 3 หลายเดือนก่อน

    Simba na mo wao mtihani sana wamekuwa kama ile hadithi ya alfu lela ulela! Inabidi mo na simba wafanyiwe maombi sana ili wapunguze mdomo

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 3 หลายเดือนก่อน

      Bossi kurejea Tunajua mnaumia sana uto

    • @maase2023
      @maase2023 3 หลายเดือนก่อน

      @@kassidpandu866 kwani aliondoka lini?

    • @maase2023
      @maase2023 3 หลายเดือนก่อน

      @@kassidpandu866 kweli simba mmerogwa nyie? Mo kwani aliondoka lini? Mo si anadai simba ni yake ameinunua na inamleta hasara sana ? Sasa mtu anaondokaje kwenye mali yake?? Nyie simba mmerogwa tu ! Mo anawachezea apendavyo