Mchungaji nakuunga mkono Kwa hoja zako nyingi lakini Kwa habari ya Try Again na Mangungu kusalia Simba HAPANA.Mbadala wa Try Again ni Magoli na Mangungu mbadala wapo wengi tuvakiwemo aliyedhulumiwa kwenye uchaguzi
Simba sc hata msajili vipi hamuwezi kufanya lofoten bila kubadili mfumo wa kutoka guest kwenda mazoezini na vile vile kidudu mtu kocha matola.... tutazomewa sana mitaani kuangalia yanga iko kambini muda mrefu sana miaka mitano
Mchungaji katika kitu umeongea sawa kwenye historia ya simba ni wachezaji wa east africa ndio wameifikisha simba kwenye ubora wa hali ya juu sanaaa.na hata mie nimekuwa nikifikiria kwamba ili simba irudi ni lazima tuwatumie wachezaji wengi wa tanzania,kenya na uganda.maana yake simba inahitaji kuwa na watu ambao wanajua historia ya simba.bila hivyo simba haiji kuwa kama ilivyokuwa kipindi cha akina okwi,kahata,fransis fraga,kina kotei,john bocco na wngine wengii
Kama tasisi yako imeshindwa kuleta wachezaj uhuu mwak wa tatu naubingwa atuja pat ulitemea wanachm wafanye nn nyie ndo mamruki inaopenda kuona simba ina teke tea pumbavu ww
Viongozi ndio wenye shida sasa angalia kufukuzwa Kwa Makocha, usajili unaanza kocha hayupo hata kila mtu akileta mchezaji wake nanma ya kuwa manage hao wachezaji ni ngumu sana ndio maana tunahitaji uongozi bora
Timu Ina uongoz ni vyema ukawakaribu na uongoz ili maoni na wazo lako liwe ktk utaratibu ucije kutufikisha pabaya hata ndoa huanza kwa Amani nyingine hua na ubaya baadae ,,,wazo zuri ila cio ndondo Cup
Acheni kumpa sifa asizostahili. Huyu hata robo ya Hancepope hana. Elimu hana. Kazi yake kubwa ni kuisifia yanga. Inaelekea huyu jamaa muda mrefu alikuwa yanga ndiyo maana anawafagilia kila wakati. Ni mwaka huu tu tumeanza kumwona Simba. Simba hata mfanye jambo gani zuri hakuna mwanachama au Shabiki wa yanga atakayewasifia. Siku hizi kuna akina Mchome wengi kwa style mbalimbali.
Ulipaswa kushirikisha Uongozi kabla ya kwenda kutafuta Wachezaji ili wakubali na wakueleze mahitaji ya klabu yakoje. Lakini kitendo cha kujiamlia kwenda kusajili bila ruhusa, umepigwa. Labda kama umewaleta wafanye majaribio.
Nilichogundua jamaa ametambua mahitaji ya timu coz viongozi wamechemka so mi naona very good safi mchungaji.
Kweli mungu ananmendelea kua upande wetu Kam itakua kweli kk nakubali san😊
Kweli mushikamano Doo unajega timu wew nimuzaledo wakweli simba
mgunda apewe team alipwe vizuri,benchi zito halafu apimwe angalau nusu msimu
Uko vizuri kiongozi
Jamaa ni mkweli sanaaaa
Na we boya simba timu kubwa haiwezi kosa wawekezaji
Mm kwamaono yangu umefanya vizur ishu wawe wachezaji wanao pambana wenye viwango vya juu wasje kujalibu tutashukuru kwakuliona hilo
Unamaono mazuri lakn kitendo cha kuwakumbatia mangungu na try again nakuona boya tu
Braza turete wachezaji ila ombilangu kocha to awape nafasi ao wachezaji utakao warete braza man wapigaji wengi
SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤❤
Mchungaji nakuunga mkono Kwa hoja zako nyingi lakini Kwa habari ya Try Again na Mangungu kusalia Simba HAPANA.Mbadala wa Try Again ni Magoli na Mangungu mbadala wapo wengi tuvakiwemo aliyedhulumiwa kwenye uchaguzi
ok kaka pambanana ila kwa wabongo wakifel wabongo unawajua
Simba sc hata msajili vipi hamuwezi kufanya lofoten bila kubadili mfumo wa kutoka guest kwenda mazoezini na vile vile kidudu mtu kocha matola.... tutazomewa sana mitaani kuangalia yanga iko kambini muda mrefu sana miaka mitano
Huyo winga alikuwa anaitwa Mack sirengo
Mchungaji katika kitu umeongea sawa kwenye historia ya simba ni wachezaji wa east africa ndio wameifikisha simba kwenye ubora wa hali ya juu sanaaa.na hata mie nimekuwa nikifikiria kwamba ili simba irudi ni lazima tuwatumie wachezaji wengi wa tanzania,kenya na uganda.maana yake simba inahitaji kuwa na watu ambao wanajua historia ya simba.bila hivyo simba haiji kuwa kama ilivyokuwa kipindi cha akina okwi,kahata,fransis fraga,kina kotei,john bocco na wngine wengii
kaka Upo sawa
Kwa Try again ata mini naongoza vzuri
Ni kweli kabisa Try Again atupishe
😢😢😢😢😢😢 viongozi wa simba wabovu mtaienda kujifunza nini
Huyu sjui kaletwa awatetee viongozi kwa kisingizio cha kuleta wachezaji
Kusema nimuhimu sana iliwatu wajuwe kuwa kunawazalendo wakweli ndani ya vilabu vyetu
Nenda na Uganda pia uivunje vippers, Villa, na KCC
Akina Try again wangekuwa na uzalendo wa uyu kweli tungefika mbali wana Simba
Utulivu miaka mitatu
Uko vizuli hiyo ndiyo zana.ya nguvu mojaa
Wachezaji wa makundi hatutaki tunataka wachezaji kuwe na mfumo maalumu wa usajili hio ni Timu sio Ndondo Cup
Kama tasisi yako imeshindwa kuleta wachezaj uhuu mwak wa tatu naubingwa atuja pat ulitemea wanachm wafanye nn nyie ndo mamruki inaopenda kuona simba ina teke tea pumbavu ww
Viongozi ndio wenye shida sasa angalia kufukuzwa Kwa Makocha, usajili unaanza kocha hayupo hata kila mtu akileta mchezaji wake nanma ya kuwa manage hao wachezaji ni ngumu sana ndio maana tunahitaji uongozi bora
Sawa
Viongo hao wakuwakata wachezaji mishahara bado mmewa n'gan'gani wanini minawasifu yanga wanamaamuzi Simba midomo imezidi hakunalamaana
Kama nimekuelewe kwa wachezaji wa ndani kama namba 8 ya Tabora Ile namba nyumbufu sana naielewa
Yanga walijufunza kwetu so Sisi hatuna cha kujifunza kwao Ila tunatafuta kingine kitakachotuvusha hapa tulipofikia
Timu Ina uongoz ni vyema ukawakaribu na uongoz ili maoni na wazo lako liwe ktk utaratibu ucije kutufikisha pabaya hata ndoa huanza kwa Amani nyingine hua na ubaya baadae ,,,wazo zuri ila cio ndondo Cup
Wana Simba tuchangie mawazo magumu ila yenye kujenga timu tucije tukaumia Tena... muda tunao jmn
Wewe chawa wa mangungu
Fransis kahata pia
Tatizo Simba ni uongozi
Tuko pamoja nae
Having uyujamaa anawachezaji kweri au niware waking jobe wasituokotee wachezaji, yani simba wanahifanya kama danguro
nahao wachezaji wanapendekezwa na kocha yupi
Hata dilunga
Mx serengo mkenya
Kahata
Mung akubalik
Acheni kumpa sifa asizostahili. Huyu hata robo ya Hancepope hana. Elimu hana. Kazi yake kubwa ni kuisifia yanga. Inaelekea huyu jamaa muda mrefu alikuwa yanga ndiyo maana anawafagilia kila wakati. Ni mwaka huu tu tumeanza kumwona Simba. Simba hata mfanye jambo gani zuri hakuna mwanachama au Shabiki wa yanga atakayewasifia. Siku hizi kuna akina Mchome wengi kwa style mbalimbali.
Wewe mpira hujui, Azam ndo waluwaacha Yanga wacheze Zaidi ya 65% ya mchezo umechezwa langoni Kwa azam
Simba haiwezi kuujifunza kwayanga hata siku1.hawana jambo lakuipa simba wajifunze.hiyo nimihemukoyenu tuu.Simba wana robo fainali 4 yanga 1 sasahapo nani mpumbavu?
Jamaa huyu ni kiboko hana mfano
Embu toka hpa mo AFUKUZE mangngu na tryageni fasta aweke wengine wenye akili
Coment yako 0000001
Au huyu mamluki
Safi Sana ungewataja majina .
Sasa wewe umependekeza au umechukua wachezaji, Mgunda anasemaje
Kwani Yanga wewe unawaogopa??
Unawaogopea nn mbona a kawaida sana
Ulipaswa kushirikisha Uongozi kabla ya kwenda kutafuta Wachezaji ili wakubali na wakueleze mahitaji ya klabu yakoje. Lakini kitendo cha kujiamlia kwenda kusajili bila ruhusa, umepigwa. Labda kama umewaleta wafanye majaribio.
Mimi sidhani kama amelazimisha wachezaji wake wasajiliwe. Uongozi wawatathmini kama wanaviwango na wanafaa.
Ligi ya kenya au Uganda,haina mchezaji wa kuisaidia simba
@@maulidmango1087unazifatilia lakini?
Fiatilia mpira
Sas si bora maisha iki wasajili maan viongozi pia wanasajili hovyohovyo😅😅😅
Bogus