#masufi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 327

  • @AbdulmajidHamiss
    @AbdulmajidHamiss 9 วันที่ผ่านมา +5

    Sheikhe wetu Muhammad Bachu Mungu akuzidishie maisha na akulinde na watu wa maulidi.

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 10 วันที่ผ่านมา +8

    Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa

    • @alf8177
      @alf8177 10 วันที่ผ่านมา +1

      asantev lkn Allah andika kwa herufi kubwa

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 10 วันที่ผ่านมา +6

    wafundishe masufi hao Allah akuhifadhi shekh Muhammad bachu nadhani wataelewa Allah ndie muongowaji

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 8 วันที่ผ่านมา

      Amfundishe nini ibara zenyewe kuzitafsiri ni bala hata masalafi wenzake wanamkosoa kweli kweli ana udhaifu wa ilimu sana amekuwa ni mropokaji tuu akitoka kwa sheikh huyu humvamia sheikh mwengine kwa hakika huu ni msiba wa Hali ya juu

  • @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
    @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 10 วันที่ผ่านมา +6

    Tuko pamoja kwa dalili zenye ziko wazi Asante sheikh wetu Muhammad Bachu.

  • @AbdulmajidHamiss
    @AbdulmajidHamiss 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akuzidishie ilmu sheikhe wetu Muhammad Bachu kutoka Moçambique(Msumbiji)

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 10 วันที่ผ่านมา +6

    Wallahi Alla kaichukuwa bakora ya mpera katuletea bakora ya mpingo nakushauri bachoo ishi na adhkari sana hawa jamaa hawako sawa unawachapa vibaya wallahi

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 9 วันที่ผ่านมา +1

      Tumuombee dua sheikh wetu ALLAH Amuhifadhi

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@sakinasakku8340 Aamin

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 10 วันที่ผ่านมา +20

    Huyu ndie sheikh bora kijana bora. Est africa mashariki na Kati sheikh muhammad bachu allah amhifadhi

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib 9 วันที่ผ่านมา +1

      Sheikh au mtukanaji?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 9 วันที่ผ่านมา +1

      Mi naomba kuuliza hivi kumbe Al imamu nawawawi alikuwa ni sufi au anasifu maulidi

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@VuaiAli-zt9ibHaki huitaki ndio ukasema hivo

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 9 วันที่ผ่านมา +1

      Nilitaka niseme hivo kwa kweli Muhammad bachu Allah amuhifadhi maana km utamsikiliza kwa umakini moyo unafurahika sana maana anachokizungumza kinaingia akilini kidalili

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@HashimSalim-qj7znhakuna haki mtume s a w aliwatabiri kina ruweibidhwa bachu hana ilimu kuropokwa tu

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 9 วันที่ผ่านมา +3

    Wallah unazini kunishibisha,nnachokupendea we unafungua vitabu tu,maneno ya machache ya wanazuoni mengi

  • @ismailowino2866
    @ismailowino2866 10 วันที่ผ่านมา +4

    Masha'allah tabarakallah,Sheikh Bachu Allah azza wa jal akuhifadhi na aendelee kukupa kauli thabit kupambanua baina haqq na baatwil

    • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
      @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 10 วันที่ผ่านมา

      Ummu Aaishaaaah,njoo Bachu huyu huku aendelea nayale ulo mrikibisha kule kwa Sh.Samiir.

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 10 วันที่ผ่านมา

      Yule dada hashuo

    • @AsampiMpili
      @AsampiMpili 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@madrasatunnajmizzaahiral-i2478wanaume mmeshindwa mnaomb msaada Kwa wakina mama😂😂😂masufi bna

  • @msabahkhamis5233
    @msabahkhamis5233 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah allah akujaze kheir na baraka ww na ss na Allah akupe umri mrefu wenye kheir uzid kutufaamisha cc waislam wa chin

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 6 วันที่ผ่านมา

    Mm nimependa energy yake allah tabaraka wataala akulinde mm sehemu au mji nliopo hakuna dini na nasoma kupitia from *🇫🇷

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 10 วันที่ผ่านมา +1

    Shukran jazakallah Ustadh Muhammad kwa kututoa ktk upotofu wa kisufi.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 9 วันที่ผ่านมา +1

    yaan mm ckupata kwaelewa masuuf na Majadiida ila kwa kufuatilia darasa za shekh ibn Bach
    Allah akuhıfadh
    Jazakum Allahu khayean

  • @SharafuAli
    @SharafuAli 8 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah shekh bachu we usijali tushibishe kwa elmu Akili kichwani Allah akuhifadhi ❤

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 6 วันที่ผ่านมา

    Mufti menk was in zanzibar preaching peace masha Allah

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 9 วันที่ผ่านมา +3

    Dah mashalaah wallaahi maulidi tena baaaaasiiiiiiii tulipotezwa sanaa😭😭😭😭😭

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 9 วันที่ผ่านมา

      Maskini pole sema ALHAMDHULLILLAH kwakumpata sheikh bachu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 วันที่ผ่านมา

      Tutasoma maulid huyu sheikh wenu bachu mpotoshaji ilimu hana

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 10 วันที่ผ่านมา +5

    Allah atufishe ktk uislamu nasunnah

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 9 วันที่ผ่านมา

      Hivi mi naulizia al imamu nawawi ni msufi alikuwepo wakati wa maulidi au muhammadi nawawi yupi alomtaja bachu kuwa katafsiili maulidi???

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 9 วันที่ผ่านมา +1

    Bila Shaka ni waongo wa Hali ya juu tena, wallahu mustaan

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 9 วันที่ผ่านมา +1

    MAASHAA ALLAH tabarakallah sheikh

  • @AbuuZalmay
    @AbuuZalmay 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tunapata elimu Alhamdulillah 🤗🤗🤗🤗

  • @BashiruMteka
    @BashiruMteka 6 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah sheikh wetu❤

  • @Upanga833
    @Upanga833 3 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 9 วันที่ผ่านมา +1

    Maashallah yaa shaikhunaaa habib,,,,

  • @AbasiAbasi-v9d
    @AbasiAbasi-v9d 10 วันที่ผ่านมา +2

    Allah atuhifadhi na atuepushe na ujahili

  • @AbasiShariff
    @AbasiShariff 6 วันที่ผ่านมา

    Sema nsufi gan alietunga kitabu ucho

  • @rashidwesonga7475
    @rashidwesonga7475 8 วันที่ผ่านมา

    Allah akuzidishie Elimu nakufatilia kutoka Dubai

  • @chinammasai9967
    @chinammasai9967 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe eneza ukristo wako ivo ivo lkn ipo siku Allah atakirudi insha Allah

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 วันที่ผ่านมา

      Allah akuongoze

    • @chinammasai9967
      @chinammasai9967 วันที่ผ่านมา

      @@abdulkrimalawi7165 ... Allah amuongoze zaidi uyo aloleta ukristo

  • @Upanga833
    @Upanga833 3 วันที่ผ่านมา

    Sheikh muhammad ayo maneno anayosema jee ibn kathir kasema kweli au niongo??

  • @isaack100
    @isaack100 6 วันที่ผ่านมา

    Nakumbuka kitambo khutbah za kishki na Athman maalim Wallahzimejenga Imani yangu.lakini hizi raddi ni kutafuta umaarufu Bali hayatujengi kiimani wallah

  • @MshihirDguyya
    @MshihirDguyya 6 วันที่ผ่านมา

    Hayo at Muhammad bin Abdul wahaab alianza nasiasa

  • @solomomadej
    @solomomadej 8 วันที่ผ่านมา

    Ushauri wangu ikwa mwafanya mambo hayo kwa ikhilasw na kuitengeneza dini bas ni vyema ila kama ni kuoneshana elimu tahadharini na riya na kibri

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 9 วันที่ผ่านมา +2

    muhammad hajamjibu sheikh maana sheikh maneno aliyo yasema kamnukuu lbnu kathiir nahajayatunga yeye

    • @sadikimgaza5998
      @sadikimgaza5998 8 วันที่ผ่านมา

      Swadakta

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 8 วันที่ผ่านมา

      Kama umeshaelezwa chanzo cha uanzishwaji wa maulidi bado wataka nini zaidi? Kama uanzishwaji ni mushkeri je kinachoendelea mbele juu ya jambo hili litakua sawa.

    • @sirluuamaze4853
      @sirluuamaze4853 8 วันที่ผ่านมา

      Nimeangalia kwenye kitabu cha albidaaya wa nnihaaya mj13 uk 121...hakuna maneno hayo...(how i wish naeza screenshot hyo page muone)

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 9 วันที่ผ่านมา +1

    Baraka za mtume s a w ziko mpaka kesho na sisi tusomao twajua faida yake ww mpotoshaji hutwambi kitu

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      Allah akishaupiga mhuri moyo wa mtu basi hamna wakuuongoza ila yeye mmwenyewe Allah akuongoe

  • @brainzanzibar1592
    @brainzanzibar1592 10 วันที่ผ่านมา +3

    Masheikh wacheni kupoteza muda, hizi Raddi hazituletei faida zaidi kugawanyika.
    Dini sio vilabu vya mpira, hao wanaokutieni ushabiki sio watu wema ni mafatani katika dini.
    Tumtafuteni adui wetu wa kweli.
    Dini haifundishwi kwa ugomvi.
    Ria zimekuwa nyingi kwa Masheikh.
    Mnatupotezea muda.
    Maadui wa Uislam wanafurahi sana wakitusikia tunaishi hivi.

    • @AwadhTariq
      @AwadhTariq 10 วันที่ผ่านมา

      Lazima haki ijulikana na batwil ijulikane

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV 9 วันที่ผ่านมา +1

      Kakaaaa amka, kwa mfano qur'an imebadilishwa sehem inapaswa ifundishwe ivo ivo au irekebishwe kwanza ndio iendelee kufundishwa
      Mbona mnawaza vitu vya hovyo jamani
      Sheikh Muhammad Nassor Bachu
      Daawa inawaingia twende kazi

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 9 วันที่ผ่านมา

      Ebu tujaalie ajitokeze muislamu mmoja adai kuwa kufunga ramadhani siwajibu na akatoa hoja zake anazoona kuwa ni hoja, jee muislamu huyo yafaa kumraddi kwa madai yake hayo na kuwaambia watu wasimfuate? ikiwa inafaa he ni kwa msingi upi

    • @MOHDJUMA-t8n
      @MOHDJUMA-t8n 3 วันที่ผ่านมา

      Ww kazi huna bachu ushajitahidi sana kupiga kelele lkn watu wanaendelea na maulidi tu mpaka kiama sasa sii unyamaze kwan hii dini ni ya baba ako mpaka unapasuka mishipa sijuwi sufi mara ghurafi hii dunia nzima masufi na maghurafi ni bora kua hiivyo kuliko kua muwahabi au kujiita salafi wote makafiri tu watupu mawahabii munajua dini nyie

    • @MattarOnlineTV
      @MattarOnlineTV 2 วันที่ผ่านมา

      @@MOHDJUMA-t8n Hakuanza yeye kulingania Hata mtume amelingania sana na mpaka aya za qur'an zime shuka kuwa tusiikaribie zinaa na mpaka Leo hii watu ni wazinzi na watakufa kwenye uzinzi. Allah awaongoze/atuongoze katika njia ya sawa sawa.

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe hufahamu kuazisha sihoja hoja waliazisha vipi kitendo ndo kibaya mifumo mtume amesema mwenyekuazisja jambozuri atalipwa uzuri na mwenyekuazisha baya atalipea baya kamawao wliazisha ubaya weziwao niazao nzuri jambololote lahitajinia umesomesha nananiwewe

  • @BinmuhamadSuwayd
    @BinmuhamadSuwayd 10 วันที่ผ่านมา +3

    Tandika masufy wapotevu😂

  • @suleimanmohd6759
    @suleimanmohd6759 10 วันที่ผ่านมา +4

    Mie ningekushauri achana nae uyo DJ kwa sbb si mtu wa dini.

    • @HamisiKassimhamisi
      @HamisiKassimhamisi 7 วันที่ผ่านมา

      Mawaha walinyimwa ufaamu

    • @HamisiKassimhamisi
      @HamisiKassimhamisi 7 วันที่ผ่านมา

      Ii njia alokuja nayo huyu kijana nikutufaamisha kua mawahabi niwatupu

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 5 วันที่ผ่านมา

    Shk muhammad twajua wapigwa vita sana nawapenda maulidi lkn usikhofu waelimishetu wao wameyafanya maulidi ndio dini hii nihatari sana nachuki yaokubwa namatusi makubwa wanakuelekezea wwe maana ndio daktari wao kuyapinga ayo wapendayo usiwaachie wape ukweli Allah atakuhifadhi nambinuzao

  • @الشيخحسين-ف3ش
    @الشيخحسين-ف3ش 10 วันที่ผ่านมา +2

    Sawa sheikh langu

  • @AwadhTariq
    @AwadhTariq 10 วันที่ผ่านมา

    Wallah kila nikisoma comments za wenzetu hawa kwel unaona kuwa hawa ikhlas ya kutumia mdomo sheikh ameleta vitabu iweje utukane ALLAH ATUONGOZE KTK NJIA ILIYO YA SAWA KWA SOTE ni huzuni😢

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 วันที่ผ่านมา

      Sasa yy alikua anukuu yale maneno ya sheikh kusoma mbona bachu wafanya watu wajinga

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 9 วันที่ผ่านมา

      Ati sadaka ilianzia hapo duh bachu mtupu kweli mtume s a w alihimiza watu watoe sadaka alafu ww ulikua unukuu yale maneno ya sheikh kusoma umerukia kitabu chengine

    • @AwadhTariq
      @AwadhTariq 9 วันที่ผ่านมา

      @@saba-gv3mj ukisikiliza tena kwa umakini utaelewa. Sheikh bachu amemaanisha kuwa vp maulid yalivyoaanza na jinsi watu walikuwa wakichinja mbuzi wengi kutokana na hadithi za uongo za wanawa zuoni. Hakuongelea sadaka ilianza vp ila maulid yalianza vp. Jazzallahu kheir

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe bachu ulishashindwa mpaka ukajikojolea, Sasa naona unataka kujinyea.

    • @mohammedsalim3315
      @mohammedsalim3315 8 วันที่ผ่านมา

      Swali maulidi ilianzia wapi ?.

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 6 วันที่ผ่านมา

      Muogope mungu usishabikie ujinga

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 10 วันที่ผ่านมา +3

    Shekhe yule dj kwenye vitabu amnakitu au ajenagitaa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 10 วันที่ผ่านมา

      Angalia msijitoe muhanga!.

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 วันที่ผ่านมา

      ​@@IsmailSangaallah akuongoze

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga วันที่ผ่านมา

      @@abdulkrimalawi7165 Akuongoze Na wewe pia.

  • @mustaphamkali7476
    @mustaphamkali7476 10 วันที่ผ่านมา

    Assalaamu alaykum muhammad bachu, swali langu aliyo yasema yamesemwa kweli na ibnu kathiir kwenye bidaayatu wannihaaya ama si sahihi???

  • @RashidAbuu-b3z
    @RashidAbuu-b3z 7 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya ibn kathiri mbona hujayapinga ???

  • @HassanAlbasry-nm3dl
    @HassanAlbasry-nm3dl 6 วันที่ผ่านมา

    We mwenyewe una njaa kupitiliza ndio maana ukawa tarumbeta la mawahabi 😂😂😂 Rudi ukasoma tena jinga kabisaa😂😂😂😂

  • @MattarOnlineTV
    @MattarOnlineTV 10 วันที่ผ่านมา +2

    Nimekubali kifungio cha hii RADDI😅😅😅

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 6 วันที่ผ่านมา +1

    Makhurafi Ni lugha ya utambulisho, saguro au tusi!!!!?

  • @wamsalsuyuwtwiy9229
    @wamsalsuyuwtwiy9229 10 วันที่ผ่านมา

    A/alaykum wa rahmatullah. Ooh Kwahiy hayo aliyosema yapo kwenye kitabu cha Ibn Kathir kumbe sio kwel eti ust Muhammad. @ Muhammad Nassor Bachu

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 8 วันที่ผ่านมา

    Hajajibu abidaya wal nihaya .muongo bachu

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 8 วันที่ผ่านมา

    Bachu hayo mambo yaache tu kwa sababu kwenye Niqaash ulishashindwa, endelea kufundisha watu ibada zao achana na mambo ambayo ni مختلف فيها

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi 9 วันที่ผ่านมา

    Shehe hizinguvu nyingi mnazo tumia kulumbana kunawatu waivunja dini ya mungu tumalizane nao hawakwanza kama mazinge anavyo pambana

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      Kila sheikh na acheze part yake wengine waeke watu wa kawaida sawa wengine wawaeke watu wanaojinasibisha na uislamu sawa mana wakiachiwa pia watapotoa watu. FAHAMTU

  • @cfffff2740
    @cfffff2740 10 วันที่ผ่านมา +1

    Assalaamu alaykum warahmatullah
    Sheikh Muhammad Maa shaa allah, nina shida na ww hata kama ni wasap, kuna maswali kadhaa nataka kukuuliza ili itulizane roho yangu.
    Maa shaa allah,
    Naomba namba yako ya wasap shekh

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 10 วันที่ผ่านมา

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 8 วันที่ผ่านมา

    Nini bidaa hayo mnayoyafanya ni bidaa hamuoni kama mnafanya uzushi mungu mtakwenda kumwambianini kilasiku mnashajihisha watu waache bidaa mcheni mungu mnaifanyia isthzai dini muogopeni mungu

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI วันที่ผ่านมา

    BAchu huna ujuacho kabisa
    Lait ungejuA nn maaan ya maulid usinge pata hii tabu hapo

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 8 วันที่ผ่านมา

    Bachu tujua ninyi kiongozi wenu nimyahudi waishio suudia

  • @swabirattwas.12
    @swabirattwas.12 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tuwachie Uchafu Wako Kazi Kuteuka Kama Chura😅😂

  • @swabirattwas.12
    @swabirattwas.12 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hhh Bachu Eti Utoe Maalumati😅😂

    • @bukhariznz
      @bukhariznz 10 วันที่ผ่านมา

      ni vitabu tu vinaongea

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 9 วันที่ผ่านมา

    Mpaka wengine wanakimbia mijadala kama dj said wa Mombasa hataki kumsikia sheikh Muhammad bachu

  • @MirajinyasukaMirajinyasuka
    @MirajinyasukaMirajinyasuka 9 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa mtu ambae hajakaa darasani atapotezwa na usemaji wa huyu mtoto lakini huyu mtoto Bado hajabalee kwenye elimu😂😂hata kitabu anacho nukuu hajui sisi masufi tunakichukuliaje.uhabi ni gonjwaa kwenye akili😂😂😂

    • @AmerinhoAmour
      @AmerinhoAmour 7 วันที่ผ่านมา

      Tatizo unakichukua peke yako na km una wenxako tuletee raddi ya hiko kitabu

  • @Salmeen912
    @Salmeen912 10 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 10 วันที่ผ่านมา +2

    Huku kwa masufi wakaange2 lakini usiwaseme vibya Salfy akhy Muhammad.

    • @alijabu6226
      @alijabu6226 10 วันที่ผ่านมา

      Kwaiy upo kiushabik ww kumbee eeh huokutaka kujua hakki uko wp

    • @IbrahimRamadhan-h8t
      @IbrahimRamadhan-h8t 10 วันที่ผ่านมา

      Dini ni kusema kweli haijalishi Sufi au salafi shida uislam kwenda mbele kwani anakosea Sufi na salf pia so penye kosa pasemwe Allah akubaark akhiy

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 10 วันที่ผ่านมา

      @@alijabu6226 vitu vingi anavyowasema Salafy huwa havina mashiko akhy.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 10 วันที่ผ่านมา

      Atamkaanga nani kamshindwa MUHABI MWENZAKE Kasim Mafuta,sasa anababaika kutafuta umaaruf.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 10 วันที่ผ่านมา

      @@IsmailSanga Ushawah msikia Qassim Mafuta anamjibu Bachu?

  • @Yussuphmm
    @Yussuphmm 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tufundishe kupekua izo link za vitabu tafadhali

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 10 วันที่ผ่านมา +1

    Roho za watu wa bidaa zipo motoni kabla ya moto mkubwa, allah amegonga mihuri katika nafsi zao hawataki hakki na kwakuwa wwmetaka upotevu wenyewe allah akawwgeuzia kule watakako wao na ibilis raaana tullah akawaweka mbali na hakki na kuwatia nguvu, kwasabu alikula kiapo cha kuwapoteza watu katika njia ya sawa, hivi mtu anakuambia usiku wa maulidi ni bora kuliko usiku wa lailatu lkadiri akati anaona kabisa allah kausifia usiku huo na kuutukuza kwa kuteremsha sura lakini kwakuwa wameipa mgongo hakki mtu anaona ni sawa ttuuh, hajui anampinga mwenyezi mungu wazi wazi ili kuhrarisha maulidi unadhani wwtu kama hawa allah kawita madhalimu utamuongoza mtu kama huyooo😂😂 shekh muhammadi unajithidi sana kuwafundisha kesho kiama utakuwa shahidi juuu yao madamu umefikisha atae pinga ainge lakini nafsi yake inamtfuna hiii ni hakki naikataa live wanawwfata watu so hakki

    • @AsiaBakari-b8d
      @AsiaBakari-b8d 9 วันที่ผ่านมา

      Astaghfirullah ww unapata wapi nguvu ya kumuingiza mtu motoni ambaye ni muislam mwenzako? Hata kama anakosea

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 9 วันที่ผ่านมา

      @@AsiaBakari-b8dso mimi kuna mwanazuoni kasema vzr tuuh, kulubu ahlibidai ljahim kabla ljahim lkubra kuwa rohooo za watu wa bidaah zipoo motoni kabla ya moto mkubwa,, yani saivi kwaule upotevu wao roho zao zipo motoni kabla hazijaukumiwa moto mkubwa, Arafu unaposema kuingiza muislamu motoni kwani hawapo waislamu wataingizwa motoni mtume mbona kawatia motoni wazushi aliposema wakulu bidat dhwalala kila bidaa ni upotevu wakulu dhwalala finnari na upotevu ni motoni kwani alowakusudia kina nani si waislamu watakaozusha mambo katika dinni sasa kama mtume mwenyewe kawatia motoni wazushi je huyo mwanazuoni nani yeye si ananukuu vitabu

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 9 วันที่ผ่านมา

    Jamani msitekwe akili na shk muhammad bachu kila mtu atalipwa na nia yake wengine hawaindi kwa ajili ya kula

  • @Twariqabaalwy
    @Twariqabaalwy 8 วันที่ผ่านมา

    Bachu uko tayari kwa mjadala na ustadh kusoma?tukuandalie mjadala?

  • @mustaphaomary114
    @mustaphaomary114 9 วันที่ผ่านมา

    أن الطفل كريم
    Anna twiflu kariimi
    Tia irabu kama kweli mwanaume
    Na nyinyi wapambe msaidieni tuone

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      Unataka ufundishe kiarabu au

  • @mibnabubakr
    @mibnabubakr 5 วันที่ผ่านมา

    Uzushi wa Mawlidi: Sh Muhammad Sharif
    th-cam.com/video/gsJ3Wc-K_q0/w-d-xo.html

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 9 วันที่ผ่านมา

    ACHA KIBURI WEEE JAMAAA KALINGANIE WAKIRISTO ACHA UTOTO WA MIJADALA IYO IMEPITA NA WAKATI BADILIKENI NYIE SALAFI

  • @tawheedmedia-watamu
    @tawheedmedia-watamu 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sakna zimekwa nyingi sana يا سدوق

  • @JailanRamadhan
    @JailanRamadhan 9 วันที่ผ่านมา

    We ni mjinga sana sasa hiv hizo habar zimeshapitwa na wakati watu wanaoongelea kuhusu ghaza na Israel achana na ujinga

  • @MudiMshindo
    @MudiMshindo 8 วันที่ผ่านมา

    Hata useme nini hatuwezi acha maulidi,sisi na mtume,mtume na sisi mpaka kiama,naona mawaidha yenu kila siku maulidi tu 😂

  • @wahabishabani9100
    @wahabishabani9100 7 วันที่ผ่านมา

    Ama hakika wewe unaesema eti haka kabachu ni kijana bora,, kwa kweli wewe hujui kilicho bora na hujui ubora,, kuwatukan watu ndio ubora wa kijana huyu!!! Duh" ama hakika ujinga ni mtondoo

  • @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
    @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz 9 วันที่ผ่านมา

    If like religion itself, you insult each other on the internet, no one will enter the paradise of ALLAH, hakuna atakae ingia peponi Kama nikudharauliana na kutukanana huku! Jameni mtume wetu aliwahi kumtukana mtu? Mbona masheikh wa mitandaoni hawa ni mabwabwa hakuna sunna hapo, From mocambique 🇲🇿😭😭😭 huruma waislam WA zamahizi

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      Nani katukanwa kwan

  • @salmaanfaqiih
    @salmaanfaqiih 9 วันที่ผ่านมา

    Tuache yote: ila huyu Kijana Muhamedi Bachu ni Mtu Mwenye adabu sana, ukimuona tu utajua kuwa ni Mtu wa heshima na adabu, hata anavyotikisika unaona pamoja na anavyocheza cheza

  • @JailanRamadhan
    @JailanRamadhan 9 วันที่ผ่านมา

    Upumbavu tu we ni mpambuvu sana hizi zilipendwa ongelea yanayoendelea Dunia sasa hiv

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 9 วันที่ผ่านมา

      Vita vya Palestine haya nenda ukapigane sasa

  • @Hawwamajidy
    @Hawwamajidy 9 วันที่ผ่านมา

    Bachu wallahi ww bado sana daaaaah
    Mm sina akili ila ww bado sana wallahi
    Kila ninapokusikiliza ukiwa wa raddi bado nakuona upo finyu sannnna
    Je hili unalofanya ww bachu ndio dini?

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 9 วันที่ผ่านมา

    Kisha umenda kufanya tafiti mpya kisha unakuja kujifanya umejuwa .
    Kisha unajiona umejaa naujuzi .
    Coz una furaha kwa uso .
    Sijui umejaza nini kwa kichwa

  • @JailanRamadhan
    @JailanRamadhan 9 วันที่ผ่านมา

    Kwahyo mashia wakizusha ndio iwe mbaya😂 acha hoja za kipumbavu

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 6 วันที่ผ่านมา

    Lakin wakianzisha bilisi jambo zur yafaa kufuata

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi Yao uroho Tu mbuzi kuku ndicho wanachojua wao

    • @VuaiAli-zt9ib
      @VuaiAli-zt9ib 9 วันที่ผ่านมา

      @@ameirameir4349 Hata kama unashabikia toa hoja za kielimu.

  • @2003hintay
    @2003hintay 2 วันที่ผ่านมา

    Nanyi hamuishi kulumbana na huyu mtoto wa bachu

  • @AdamChogo
    @AdamChogo 9 วันที่ผ่านมา

    Mnaomfuata Bachu dah mmepotea sana nendeni mkasome acheni ushabiki km n matajiri pia women mtume mtukufu Muhammad s a w anawazungumziaj matajiri huyo Bachu hana jpy kusoma hakusoma km alimkosoa dingi yake itakuwa mtu wa mbali

  • @AbdulmajidHamiss
    @AbdulmajidHamiss 9 วันที่ผ่านมา

    Wapenda kula

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 9 วันที่ผ่านมา

    Katika vijana wa hovyo wew ni mojawapo sasa hapo unapinga hoja ya ibn kathir au unaelezea historia ya maulidi ?mbona kama hujitambui

  • @HamisiKassimhamisi
    @HamisiKassimhamisi 7 วันที่ผ่านมา

    Ata ukatoa tarehe waloanzisha maulid ni wakristo sisi tutafata kwa nn ametajwa mtumi

  • @SilimaUssi
    @SilimaUssi 10 วันที่ผ่านมา

    Nikwelii huku kwetu yamefanyika km haya mwanasiasa katoa hela nyingi kwa wasomaji wa qur an

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 9 วันที่ผ่านมา

    maulid nihakki nahayawezi kuanguka bali yanazidi kukuwa nakuenea

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 10 วันที่ผ่านมา

    Naihii ndoipo hadi sasa ndomaana serikali imeingia kwenye tabligh imeingia kwenye maulid kwenye mwaka mpya nk

  • @MshihirDguyya
    @MshihirDguyya 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna dalili apo ,kasomea kwanza

  • @YarmanAljahhdiry
    @YarmanAljahhdiry 9 วันที่ผ่านมา

    Yajulika kuwa maulidi yameazishwa na shia ila kama mtayafichua nimingi hata sufi wahabi ibadh wote yapo walozusha ila nyote kuweni wadilifu kuweni katika njia ya sawa nyote mnaupotevu ila njia nikurudi kwa Allah na mtume S. A. W

  • @AbdillahChande-c4q
    @AbdillahChande-c4q 9 วันที่ผ่านมา

    khatar Sana hawez hata kutafsif tamko فنهضت analifasir kwa matakwa yake

  • @MshihirDguyya
    @MshihirDguyya 6 วันที่ผ่านมา

    Kweli huyu nighawaariji video uliotuonyesha jamaa kaelemea kauli ya ibun kathiir hunailmu zaidi yakubishana tu

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 9 วันที่ผ่านมา

    Vile ulileta kelele nilijuwa tu umenda kujuwa mwanzo wa mawildi alafu ndio nakuja kujifanya umejuwa mawulidi

  • @SaidMadai
    @SaidMadai 10 วันที่ผ่านมา

    Ufaham ni risk 😂 nao utadhalilika cn kjn bachu

    • @bukhariznz
      @bukhariznz 10 วันที่ผ่านมา

      biidhnllah hadhaliliki kwa weny akili ya sawa

  • @habibali00
    @habibali00 8 วันที่ผ่านมา

    Kwa hivyo mola kumswifu mtume saw kwenye quran amewafwata mashia

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 8 วันที่ผ่านมา

      Kwanini misifate hiyo ya kwenye Quran maana Mola amemsifu Mtume bila ya kujichinja mbuzi 5000 wala 10 Wala kupiga madufu.

    • @habibali00
      @habibali00 4 วันที่ผ่านมา

      @@rogertuga007 mola amenusuru nabi ismail kuto chinjwa na babake ibrahim tukimchinjia mtume saw hata mbuzi elfu moja inakuuma nini wewe kwanza wewe ni muislamu

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 4 วันที่ผ่านมา

      @@habibali00 Nabii Ibrahim alipewa maelekezo na Mwenyezi Mungu kuhusu kumchinja mwanae na baadae akaletewa mnyama. Na nyie mmepewa lini maelekezo na Mwenyezi Mungu ya kuchinja kwa ajili ya Mtume na maelekezo yalikua ni kuchinja kwa ajili ya mwenyezi Mungu?

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 4 วันที่ผ่านมา

      @@habibali00 swala kubwa maelekezo mmeyatoa wapi ya kufanya mnayoyafanya?

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
    @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 9 วันที่ผ่านมา

    shekh kuweka hivo vitab hapo vinamaanisha nin

  • @MussaHamad-u7r
    @MussaHamad-u7r 9 วันที่ผ่านมา

    Ww bachu umeishiwa weee huna elimu ww makelele tuu kwanza mm nikisema kua huna hata uisilamu bc km sikosei

  • @MadinaBilos
    @MadinaBilos 9 วันที่ผ่านมา

    Hawa walisha potea mda Sana

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j 9 วันที่ผ่านมา

    She huyo Kasema ni ibinikthir mbona wababaisha