Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 9 หลายเดือนก่อน +38

    Umemalizaa kaka atakayebishaa wew sio msanii bora wa hip hop,,,,, mwambie pasta anafelii mtihani wakati Yesu ni jibuu ,,,, awaeziii elewaaa

  • @bakarijuma8060
    @bakarijuma8060 9 หลายเดือนก่อน +14

    club naagiza soda mbele ya shomar kapombe... staminaaaaaaaaa

  • @hidoxtz3559
    @hidoxtz3559 9 หลายเดือนก่อน +85

    Hii nyimbo nimeisubili kwa miaka 25 sasa hatimae leo ndo imetoka much respect bro✊🏿

    • @Young_billy_og
      @Young_billy_og 9 หลายเดือนก่อน

      😂❤

    • @SimoniAlex
      @SimoniAlex 9 หลายเดือนก่อน

      Respect

    • @manboempakulo7876
      @manboempakulo7876 8 หลายเดือนก่อน

      We mzee 😂😂😂😂

    • @fiftycentysarrive
      @fiftycentysarrive 4 หลายเดือนก่อน

      Stamina nakukubali Sana nama ngoma zako uishi maisha marefu

  • @rostermwakimata81
    @rostermwakimata81 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hip hop is back pole kwa moni centrozone

  • @sammymutiso6758
    @sammymutiso6758 9 หลายเดือนก่อน +86

    Kama mkenya Yuko hapa rusha likes stamina moto nani anakataa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RAMSEYDJJJ
    @RAMSEYDJJJ 9 หลายเดือนก่อน +12

    Imefika Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 courage stamina na kukubali sana salute kwako kaka 🙋‍♂️🙋‍♂️🙏

  • @Young_billy_og
    @Young_billy_og 9 หลายเดือนก่อน +74

    Bwenzii i'm The one like moree

  • @FadhiliLwila
    @FadhiliLwila 9 หลายเดือนก่อน +2

    Rostam❤❤❤❤

  • @globaltv_online
    @globaltv_online 9 หลายเดือนก่อน +32

    stamina babaaaaaaaaaaaaa

  • @TurkanaDigitalMedia
    @TurkanaDigitalMedia 9 หลายเดือนก่อน +36

    Tanzanians in the house aallow us from Kenya to approve this tune,, Huyu stamina hajewai angusha beat

  • @RobaahKauruo
    @RobaahKauruo 9 หลายเดือนก่อน +83

    Meru -Kenya representing.STAMINA TUNAKUAMINIA toka MERU-KENYA listening and playing the SONG.Stamina to the World 🌍🌍. follow up on

    • @nathanmurithi01
      @nathanmurithi01 9 หลายเดือนก่อน +2

      Meru side gani msela✍🏼

    • @RobaahKauruo
      @RobaahKauruo 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@nathanmurithi01 Meru Kathelwa

    • @salimkibwana4189
      @salimkibwana4189 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nathanmurithi01sai kimeshika Colombo

    • @KiddhKiddy
      @KiddhKiddy 9 หลายเดือนก่อน +1

      Sana mwana

    • @vanierdesludge7156
      @vanierdesludge7156 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wameru tuko hapa

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 2 หลายเดือนก่อน +8

    Bro, miondoko hii hii Mzee! Naomba ujitahidi kufanya promotions nzuri kwny Ngoma zako wekeza Sana Bro, mm naumia Sana na Nachukia Sana sifa zako za crown yako wakivishwa watoto wadogo wasiojua kuandika hawana mistari yakuumiza kichwa hawana sifa kabisa Bro, ww ndo Rapper wangu no. 1 in this World unakilakitu na kama wanataka tuendenao kisasa BC tuendenao tupitenao humo kwny beats zao mpaka beats za S2Kizzy we pitanazooooooo! Wataelewa 2, watoto wadogo hawajui kuandika mistari yakupagawisha kichwa ubungo utikisike, wanaandika ushuzi 2 mistari lainiiiii hata mtoto wa Darasa la 2 anaandika, Kazi wanabebwa na beats na kupiga Makelele 2. Madai Yao wanaimba kisasa Alf kuandika wanaandika ushubwada.

  • @Georgevasco-ld8be
    @Georgevasco-ld8be 9 หลายเดือนก่อน +74

    Wakwanza Mimi Leo like zanguu #morotown 🔥🔥🔥

    • @jumahussein709
      @jumahussein709 7 หลายเดือนก่อน

      Muitenni kaligraph afeeeeeeeee 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MaximilianMbao
    @MaximilianMbao 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka angu stamina huna baya.....kiufupi broo unaweza kwenye game ya bongo.....na hakuna anaekuweza apa bongo ukweli usemwe..... salute sana bro...

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 9 หลายเดือนก่อน +11

    Morogoro moja nakumbuka enzi za kabwela niko sec. Form 1,,,,kuna wakaka wa form 3,,4,wakikaa tuu ilikua stor stamina daaa basi nilikua nasogea karibu ili nijue uyo stamina ni nani love u brooo umepambana sana

  • @KzBwoy
    @KzBwoy 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hii Kali big bro 🙌🚀

  • @wanjedaniel1691
    @wanjedaniel1691 9 หลายเดือนก่อน +3

    Aminia kaka braza umetisha toka zama za kale from kenya listening to this dope rap to the world, got u stamina

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 9 หลายเดือนก่อน +10

    Baba umekasirka yani mpaka umepitiliza hahaha safi sana kk

  • @alfredkalimira3264
    @alfredkalimira3264 9 หลายเดือนก่อน +12

    Kali ya hip-hop bukavu tuna kubali🇨🇩

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 หลายเดือนก่อน +1

    You killed it darling 🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤

  • @emmanuelsaddy733
    @emmanuelsaddy733 9 หลายเดือนก่อน +7

    Eti mkojo wa shoga..254 pwani wapi like za coast

  • @haroonmarco490
    @haroonmarco490 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee baba sasahivi ndio naiona bongo hip hop, respect my brother hizi ndio ngoma tunataka kusikiliza aisee

    • @haroonmarco490
      @haroonmarco490 9 หลายเดือนก่อน +2

      Aggressive heavy beats, vina vyenye ujazoo i like this

  • @JérômeMkangya
    @JérômeMkangya 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa rap ❤243🇨🇩

  • @stevejahlil5389
    @stevejahlil5389 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kampala hands up🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @bacarnajumo2786
    @bacarnajumo2786 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asienkubali huyu ✨ Staa basi ni mwanga mimi nakupa maua yako.

  • @eliascharles472
    @eliascharles472 9 หลายเดือนก่อน +3

    Saruti sana captain unatisha sana sema nn Mzee baba hii punch umeuwa hatariiiiiiii

  • @SenzoKitindi
    @SenzoKitindi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Alf utaskia rapaa namba moja tanzania sjui young nani uko jmn stamina namba zoteeeeeeeeeee sio moja tu

  • @ambrosekikare460
    @ambrosekikare460 9 หลายเดือนก่อน +4

    He Is The Greatest Of The All Time on Hip Hop. 😀💥... Stamina has Stamina on Shorwebwenz.

  • @vindahvince486
    @vindahvince486 9 หลายเดือนก่อน +7

    Stamina ndio mkali wao kwa hii shule🔥🔥🔥 mie sikohoi kama konde 😂 🇰🇪 show me love

  • @BundimnyamaBm
    @BundimnyamaBm 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nomaaaaaa bro aina haj kuandika kwa herufi kubwaaa🔥🔥🔥

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 หลายเดือนก่อน +1

    Hands up 👐

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba huyu hapa ngoma kali sana hujawahi kuniangusha stamina🔥🔥🔥

  • @marcuslincoln4553
    @marcuslincoln4553 9 หลายเดือนก่อน +1

    From kenya uyu saa ndo king wa rap bongo alafu kwa mix Roma aingie🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hatari sana

  • @ashrafchande869
    @ashrafchande869 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nepo kijana wako tka unahaz adi leo na bado nakuhamin ujawai niangush respect broo🎉

  • @PatientUseni
    @PatientUseni 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa kaka naku kubali sana stamina endeleya na kazi🎉🎉 ness depuis Congo 🎉🎉

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 9 หลายเดือนก่อน +7

    Fundiiiiiiiiiiii HipHop umeibeba beganiii🎉🎉🎉🎉

  • @victorbucha112
    @victorbucha112 9 หลายเดือนก่อน +1

    noma sana hii ngoma hatujifuniki maana uchumi wetu bado unashuka (imenikumbusha wimbo wa mwambie mwenzio) namuona stamina wa 2011

  • @pitheimmortal3918
    @pitheimmortal3918 9 หลายเดือนก่อน +13

    Stamina💥💥💥

  • @youngkiki.
    @youngkiki. 9 หลายเดือนก่อน +1

    Embu kenya representing mara ya kwanza Tanzania wameweza hapa kali sana

  • @EmilianKomba-sb4kn
    @EmilianKomba-sb4kn 9 หลายเดือนก่อน +3

    Shobweeeeees Leo umetumia Moro. Moro town dadekiiii... Mbeyambeyaaaaa sikuiziiiiii❤❤❤❤❤❤ chupa kali shabikiii yako wa dhatiii mzeee

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 9 หลายเดือนก่อน +2

    Respect Ma'Bloder hujawah kuniangusha kakaaaaaaaaaaa!

  • @JohnAloyce-uu6et
    @JohnAloyce-uu6et 9 หลายเดือนก่อน +3

    Brother sitami uko vizuri sana

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 9 หลายเดือนก่อน +1

    Representing my country.. Representing the whole rap industry... Thumb up my good people 👍

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mvutaji mwenye arosto kakutana na pusha..🔥 Unyama mwingi

  • @benjaminochim9679
    @benjaminochim9679 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mfalme bongo hiphop king stamina ❤

  • @Zaxafrica
    @Zaxafrica 9 หลายเดือนก่อน +5

    ALOOOOH KULAANINA Maangamizi kama SHANGAZI kakutana na @KUSAH 😂😂😂 🙌🏾🙌🏾

  • @ElishakellyMahuno
    @ElishakellyMahuno 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kk unatisha tangu zamani. Congo tunakukubali sana . Apa Hona ...

  • @allysonjohn8578
    @allysonjohn8578 9 หลายเดือนก่อน +5

    This is big 🔥🔥🔥

  • @montanablaww1664
    @montanablaww1664 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umeumiza sana home Boy🔥🔥🔥🙌🙌

  • @Derickmoviespro
    @Derickmoviespro 9 หลายเดือนก่อน +10

    Eb jarbu kuvaa earphone alafu ufungulie hili dundo kudadeq utakuja kunishukuru ❤❤

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 9 หลายเดือนก่อน +1

    Always ur my no. 1 Hip Hop Artist.

  • @eugenekimutai8786
    @eugenekimutai8786 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mkalii waooo tongwee records

  • @SixTechlmt
    @SixTechlmt 9 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh Sharobwenzi hapa umekamia kbs, skuizi unatoa mawe mpk nahsi umewapania kuwapa somo

  • @Encky3v
    @Encky3v 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mistari ya humu ndani ni🔥🔥🔥🔥🙌

  • @naikidpapichulo8025
    @naikidpapichulo8025 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tz wow ❤The only artist who did this in tanzania ni Ay nimetoka kenya but khali need another collaboration with you likes,za mwamba

  • @WilleMpollo
    @WilleMpollo 9 หลายเดือนก่อน +11

    Oya Umu ndan angekuwepo young killer

    • @bkptatastashtamz-nl7jw
      @bkptatastashtamz-nl7jw 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ulijuaje mwanangu

    • @FadhiliLaurent
      @FadhiliLaurent 9 หลายเดือนก่อน +1

      Oyaaa weeeh so poa

    • @StaffordNdalu
      @StaffordNdalu 9 หลายเดือนก่อน

      dah unajua kuwacollaboresha mzee😁🤙

  • @nachilon6529
    @nachilon6529 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakusikia hapa 🇧🇮🇧🇮 tunataka bato🔥🔥🔥 na fablove

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 9 หลายเดือนก่อน +4

    Oya weeeee😅🎉❤

  • @Christopher-xj5fz
    @Christopher-xj5fz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Big up 👏

  • @lildee_Vevo
    @lildee_Vevo 9 หลายเดือนก่อน +4

    Best Hip Hop Song 24 so far

  • @dullermodol7529
    @dullermodol7529 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu ndo mwamba stamina ninayemjua mm ujapoa broo mikazo mwanzo mwenga

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 9 หลายเดือนก่อน +2

    One of the best❤️❤️

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umemaliza kaka hata bigblaza wa marekani ameshakiri ya kwamba wewe ni noma 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BestLooz_Chance
    @BestLooz_Chance 9 หลายเดือนก่อน +4

    🎉Ujawahi kuboa Bwenzi

  • @EzraKatambi-g4b
    @EzraKatambi-g4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    The best now☝️

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kali sanaaa

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hip Hop Never Die, hujawahi tuangusha mashabiki zako tokea unaanza mpaka hapa ulipofikia.🎉

  • @SKYLIGHTSTV-s8i
    @SKYLIGHTSTV-s8i 9 หลายเดือนก่อน +8

    wapi like za huyu mwamba stamina

  • @haronboiboi3700
    @haronboiboi3700 2 หลายเดือนก่อน

    Toka enzi za kabwela......ungempa vesi ya chorus Billionaire Kid.....umeua....representing 254 in here

  • @donpablo7698
    @donpablo7698 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dah stamina hatari kudadek🔥🔥🔥🔥

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ulistahili big bro✊

  • @christianmatosha4283
    @christianmatosha4283 9 หลายเดือนก่อน +3

    Best Hip hop 2024

  • @KingDada-cn9rg
    @KingDada-cn9rg 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wafunge Midomo Mzee wangu ✌️✌️✌️

  • @MetaMc-iv5bi
    @MetaMc-iv5bi 9 หลายเดือนก่อน +4

    Moto❤

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maamen, you never disappoint the hood... the Bongo signature 👌,you nailed it..
    Sasa aje yule chaijaba wa Kenya sjui OMOLO

  • @kadala06
    @kadala06 9 หลายเดือนก่อน +4

    Qubabakeee..... Anaebisha aje Na hoja ,,,,Shorwebwenzii🔥🔥🔥

  • @emmahtravissichii1867
    @emmahtravissichii1867 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mdogo wanaipigia punyeeeetoooo

  • @mohamednoor4549
    @mohamednoor4549 3 หลายเดือนก่อน

    Mombasani tunakupa asili mia mia❤❤❤

  • @SteveTegemea-fj6de
    @SteveTegemea-fj6de 9 หลายเดือนก่อน +5

    STAMINA gonjwa la Jiji Doctor Mwaka hawezi tibu.....

  • @LaurentChaula-nj9qy
    @LaurentChaula-nj9qy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali Sana pacha wangu, 🤗🤗💯💯💯💯

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 mki like nakuja kuangalia tena

  • @MukambilwaThetrack
    @MukambilwaThetrack 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇨🇩🇨🇩 big respect bro

  • @geophreymaliyatabu1789
    @geophreymaliyatabu1789 9 หลายเดือนก่อน

    Nimerudia zaid ya mara 10 aichoshi aiseee 🔥🔥🔥 star mwenye vina dah kumbe ni stamina

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 9 หลายเดือนก่อน +2

    On fire 🔥 🤧

  • @brysonsulle1322
    @brysonsulle1322 9 หลายเดือนก่อน

    Stamina homa ya jiji , toka enzi za kablwela .much respect 🙌

  • @abuobakarymwaipungu8793
    @abuobakarymwaipungu8793 9 หลายเดือนก่อน

    Kakaaaaaaaa......!! Rimex asikose Ney wa Mitego.....!! Itakua unyama sanaaa.......🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AminaJaydan
    @AminaJaydan 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka we mkali sanaaaa nakukubaliii sana since day one ILA USIARIBU MICHONGO YA WATU TUNALEA BIBI ZETU. MSANII BORA WA HIP HOP HIT SONGS 🎉🎉

  • @Vj_Tally_47
    @Vj_Tally_47 9 หลายเดือนก่อน +2

    Moja Khali Stamina 🔥💯

  • @AbuuhMohd-pl4nf
    @AbuuhMohd-pl4nf 9 หลายเดือนก่อน

    Mkal wa hip hop tunapeperusha bendera kutoka 🇿🇦 salute kaka mkubwa 👍👍

  • @RaphaeliRaphaeli
    @RaphaeliRaphaeli 8 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh!!!!!balaaaa jigine hili noma San stamina ukuamuaga hupingiki kaka mkubwa. Napenda San hiii life bg up San

  • @BEKAMMIKA
    @BEKAMMIKA 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sana🎙️

  • @vinnyroster4201
    @vinnyroster4201 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani STAMINA ameludi huu ndo stamina Sasa lazima awachane

  • @MwaminRashid
    @MwaminRashid 9 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @MRMdwanz-cq9zi
    @MRMdwanz-cq9zi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni kali hii, Hii ni funzo sio ya kuita nyimbo hii, Hii sio ya kupigwa disco hii.

  • @nannedi4776
    @nannedi4776 9 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah mkaka ume uwa hii ….. unajuwa mkaka 🔥🔥🔥🔥

  • @FrankBoozerFitnition
    @FrankBoozerFitnition 9 หลายเดือนก่อน +1

    Stamina the bars hit so haaaaard💪💪🔥🔥

  • @StaffBinchif
    @StaffBinchif 5 หลายเดือนก่อน

    Je ivi kuna rapa waku ipinga hii naatakaye bisha tayari amesazishwa akalale 🎉🎉💥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 9 หลายเดือนก่อน

    Na club na agiza soda mbele shomari kapombe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JumsCode-cy4db
    @JumsCode-cy4db 9 หลายเดือนก่อน +2

    We ni noma kaka nakusikiliza sana me nipo south africa njoo utuone maana unajua💥💥💥💥

  • @MenyuAbekyakashindi
    @MenyuAbekyakashindi 9 หลายเดือนก่อน

    Imepenya hii huku🇿🇦