Fid Q - Bongo HipHop

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 312

  • @kamusiyamaisha3697
    @kamusiyamaisha3697 5 ปีที่แล้ว +102

    Kama unaitizama hii NGOMA 2020 like Kama zote fid q ndio hip hop yenyewe

    • @rulebudodo2301
      @rulebudodo2301 7 หลายเดือนก่อน

      Wenzio tunaitazama hadi 2024

  • @jaydeboy2789
    @jaydeboy2789 3 ปีที่แล้ว +50

    This is incredible songs of several years, let me know how many people are still listening to this masterpiece

  • @yahyaismail5533
    @yahyaismail5533 5 ปีที่แล้ว +14

    “”Bifu huletwa na wivu na wivu sio hip hop’”
    “Sikuutani u star ila u star ulinitamani mimi”” NEXT LEVEL!!

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 5 ปีที่แล้ว +45

    Anaeitazama hii ngoma 2019 like zenu hapa kwa ngosha

  • @Sum_Well
    @Sum_Well 8 หลายเดือนก่อน +5

    Fid q mwamba akili chungu nzima... much love from kenya

  • @edigergabriel3711
    @edigergabriel3711 3 ปีที่แล้ว +28

    Nmeirudia tena 2021. Like kama na we ni mwaka huu

    • @IssaGemino
      @IssaGemino ปีที่แล้ว +1

      Fid Q hip hop ❤❤❤ Top hip hop

    • @CoachHafidh
      @CoachHafidh ปีที่แล้ว +1

      Im here again & its 2023...🔥🔥🔥

    • @FilbertAndrea-gm5qm
      @FilbertAndrea-gm5qm 5 หลายเดือนก่อน

      SISI BADO TUPO MPAKA NOW 2024😂

  • @bongapointepic2917
    @bongapointepic2917 6 ปีที่แล้ว +12

    fareed kabanda aka fid Q.nakukubali kutoka kenya

  • @Arnonmwaituka
    @Arnonmwaituka 7 หลายเดือนก่อน +23

    2024 I was here

  • @washakulwa8873
    @washakulwa8873 ปีที่แล้ว +3

    Fid Q msanii Bora wa hiphop Africa

  • @stillbeborn
    @stillbeborn 3 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi ya skuizi bila kugombana hayana stimu🔥🔥 Legendary wa rap bongo

  • @ibraleon5129
    @ibraleon5129 8 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali hili ngoma nihatari utazizi hata ukiwa usingizini noma sana brow wazo nalo wezo sinaaaa

  • @justifiedtone823
    @justifiedtone823 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni nsuri sana, kweli. Text poa, performance pia. Endelea hivyo.

  • @davidhaule1214
    @davidhaule1214 7 ปีที่แล้ว +9

    Ngosha katika ubora wa juu kabisa, bonge la ngoma I salute u

  • @saniijnr5036
    @saniijnr5036 2 ปีที่แล้ว +1

    Bongo flavor mzuri kiac hip-hop we ndo my queen

  • @katemajr9374
    @katemajr9374 5 ปีที่แล้ว +24

    Naninaamini kuna muda unaongea kupitia mimi😂😂😂 2019

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 6 ปีที่แล้ว +9

    Fid Q kills on the mic am telling you...real punchlines my nigga...I salute you from Nairobi kenya...kindly do a collabo with papa Jones khaligraph itakua moda...meanwhile likes zikam

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 3 ปีที่แล้ว +2

    wangapi wamemiss kazi ya nisher

  • @wantelee
    @wantelee 2 ปีที่แล้ว

    Yoh,Mwana aliye juu...FIDQ big up inspire

  • @janjarochiundu6350
    @janjarochiundu6350 ปีที่แล้ว +1

    Daah mbk. 2023 bado nairudia hii ngoma ni🔥🔥🔥🔥

  • @mwenjeemmanuel7624
    @mwenjeemmanuel7624 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana...tafadhali nitumie ile remix yako ya "Malaika"

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 2 ปีที่แล้ว +9

    My best Hip Hop artist of all time. GOAT. Still remember good music. 11/04/2022🔥🔥🔥🔥

  • @mukhtardaghash2978
    @mukhtardaghash2978 6 หลายเดือนก่อน +1

    One of the best hip hop artist in tanzina

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 7 ปีที่แล้ว +9

    ukiwa na nyundo mkonon ni rahis kupigilia msumal, sometimes maraika wa hel nao hutembelea moton duuuuuuuuuuu fid unaimba sana hard core

  • @Alvidosa
    @Alvidosa 21 วันที่ผ่านมา

    Kama haileti hela kwao haimake sense..🙌🏿

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 5 ปีที่แล้ว +10

    Fid Q ni mkenya. ...tz amezaliwa ...msomi great punchlines but tz got the greatest hip hop platform #dakikakumizamaangamizi
    #khaligraphjonesmrinternational

  • @jacksonbilakwate
    @jacksonbilakwate 3 ปีที่แล้ว

    Bfup huleta na wvuu na sio hip-hop 🎶. Ii goma kila sku lazma niicklzeee naipendaa sn jmn

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 8 ปีที่แล้ว +9

    ngoma kali mbali!
    inagusa kichizi,
    wanacheza hata machizi,
    robo tatu kadi kusini

  • @FadhilJoseph
    @FadhilJoseph 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma hii ni hatariii

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ngosha this song moto mpk 2024

  • @wayamoja8576
    @wayamoja8576 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii ngoma huwa ina nikumbusha mambo mengi sana. Bro. Tunaomba ngoma kari mwaka huu

  • @PascalMachibya
    @PascalMachibya ปีที่แล้ว

    Bongo hip hop wale wa kuskiliza 2023 kama mm tujuane hapa

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 7 หลายเดือนก่อน +2

    Haizeeki hii ngoma

  • @roykirich
    @roykirich 5 ปีที่แล้ว +10

    mii natoka 254 na kusema ukweli hip hop ya TZ yatuchapa kumi sufuri!!

    • @TheAlternativeVoice
      @TheAlternativeVoice 4 ปีที่แล้ว +1

      Kenyan hip-hop kuna time ndo ilkua juu lakini kwa sasa hivi tusidanganyane

  • @kapinda
    @kapinda 3 ปีที่แล้ว +1

    kaka tunataka nyimbo na mdundo kama huuuuuu mnatukosea sana skuizi nyimbo hazielewekiiiii

  • @jaqtonkungu3053
    @jaqtonkungu3053 2 ปีที่แล้ว +1

    king of bongo hiphop ,music which has gone to school. very inspiring n educative.big up fid q...respect.....

  • @Sum_Well
    @Sum_Well 9 หลายเดือนก่อน +1

    The Goat .... representing team kenya

  • @majokdeng.official
    @majokdeng.official 5 หลายเดือนก่อน

    Nogma Moja Ngori Sana!!!! Big up Fid Q 👊🏿👊🏿🙌🏿🙌🏿

  • @iamlevybrian5914
    @iamlevybrian5914 6 ปีที่แล้ว +3

    Fid Leo nmekuelewa Bro bigup from 254

  • @SuleimanSalum-kk7xx
    @SuleimanSalum-kk7xx 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba 2024 Mr Saloom

  • @stephenmwaniki2803
    @stephenmwaniki2803 2 ปีที่แล้ว

    Nimesherewa ila jamaa nimemkubali,🇰🇪 real thing never get old🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @domtz7095
    @domtz7095 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli,, msanii wa kwanza kumjua kweny hip hop ni fid

  • @stanslauslupogo6604
    @stanslauslupogo6604 2 ปีที่แล้ว

    Dah kweli ww n mzee mbuzi ya ni hili ni bonge la dude hadi siwezi kulielezea

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +1

    Kideo kmoja matataa Sana miaka buku

  • @ODIMZJR
    @ODIMZJR 3 หลายเดือนก่อน

    Mwezi wa October 2024,nimerejea tena humu

  • @shakazhulu7273
    @shakazhulu7273 3 ปีที่แล้ว +1

    Fid q mkweli makali! Hip hop

  • @Eagles_tech
    @Eagles_tech ปีที่แล้ว +1

    Video la Nisher rip in peace💔

  • @oxjentz8252
    @oxjentz8252 5 ปีที่แล้ว +2

    Fid salut kwako ,,ipo siku na mimi nitakua kama wewe

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 ปีที่แล้ว +1

    Still 2023 Am Watching it Again And Still THE DUDE 🎵 is DOPE... #FIDHOP_BONGO_HIPHOP 🎧🎤🎵💥💥💥💥💥💥

  • @omarykibabla4794
    @omarykibabla4794 ปีที่แล้ว +1

    2023 kama umetoa jana hii ngoma

  • @kingjahman7905
    @kingjahman7905 5 ปีที่แล้ว +3

    Fid Q the realist spitter of all times period.earned respect from day one.. Word up Ol G!

    • @shakazhulu7273
      @shakazhulu7273 3 ปีที่แล้ว +1

      Catching this man rthyms and rhymes lines...

  • @donardkizito3589
    @donardkizito3589 3 ปีที่แล้ว

    Hip hop ya fid itaishii milelee ,,,daimaa ,, respect

  • @wayamoja8576
    @wayamoja8576 5 ปีที่แล้ว +3

    Hip Hop...some times malaika wa heri nao hutembelea moto🔥🔥🔥🔥✔

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 3 ปีที่แล้ว +3

    Mziki Unaoishi Unatamani Kuskia Unarudia Unarudia Zaidi Ya Mara Elfu Unapata MadininYakutosha..."Uaminifu Nikama Mshahara Fanya Kazi ili Upate.."🔥💥damn You went Hard on This One Ninjah ❤️🇰🇪❤️🇹🇿

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 7 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anajua mpaka anapitiliza

  • @msafiryfussy1789
    @msafiryfussy1789 4 ปีที่แล้ว

    Namkubal sana kamkubwa fid q ngosha the don faleedy kubanda like hapo

  • @kwabenantrakwa1511
    @kwabenantrakwa1511 5 ปีที่แล้ว +5

    Enjoying it from Ghana ❤️🔥🔥🔥

  • @mussaemanuel3848
    @mussaemanuel3848 5 ปีที่แล้ว

    Bongo fleva mzuri kiasi hip hop we ndo my Queens

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 4 ปีที่แล้ว +2

    Twende pamoja Wale wa 2020...

  • @burudatv751
    @burudatv751 ปีที่แล้ว

    Unyama wa Nisher😢😢

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 ปีที่แล้ว +5

    2023 still bang!!🗣️

  • @samsongacheru8627
    @samsongacheru8627 6 ปีที่แล้ว +1

    fid Q wewe ni zaidi sana okowa hip hop

  • @walterodinga5642
    @walterodinga5642 ปีที่แล้ว

    fid the king fire yangu moto

  • @sundaymwangwe5362
    @sundaymwangwe5362 5 ปีที่แล้ว

    Kusema kweli huyu mwamba yupo talented

  • @pmall8867
    @pmall8867 3 ปีที่แล้ว +5

    Never get Old....✔️📌

  • @chuwaloonlinetv6672
    @chuwaloonlinetv6672 7 หลายเดือนก่อน +1

    2024 bongo hip hop

  • @djmsambamose2665
    @djmsambamose2665 ปีที่แล้ว

    Hahaha music ndio jamii bwana good hiphop

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 6 ปีที่แล้ว +1

    mapenz ya sku hiz bila kugpmbana halet stim ni rahisi kushikana na sio kushikiana smu!

  • @kanielpixel8365
    @kanielpixel8365 2 ปีที่แล้ว

    Uamini ni kama mshahara Fanya kazi uupate

  • @timothyjoseph6102
    @timothyjoseph6102 ปีที่แล้ว +3

    who is here 2023
    this is a master piece

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 6 ปีที่แล้ว +2

    This Record is belongs to a Master piece classic Music catalog
    "Great Trumpets zinazomea saana Street failures -

  • @petersulle4454
    @petersulle4454 7 ปีที่แล้ว +3

    Michano hatar game imetulia vizuri mno

  • @SemutwaSafari
    @SemutwaSafari 6 หลายเดือนก่อน

    Tunakubali hicho kitu kbs kazi nzuri ao siyo mze?

  • @benardkorir7322
    @benardkorir7322 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana the real OG

  • @elyvileelema4985
    @elyvileelema4985 2 ปีที่แล้ว +1

    Fid Fid.this is the real hiphop.this is the rap.this is the illest.kudos the legend.

  • @betikavirtualrobot.
    @betikavirtualrobot. 5 ปีที่แล้ว +2

    NaSpit fire bila Hennessy 🔥 🔥

  • @elyvileelema4985
    @elyvileelema4985 ปีที่แล้ว

    Respect from the greatest city in East,Eastern and central Africa,Nairobi,Kenya my boy.keep on grinding harder nica.

  • @yahyaismail5533
    @yahyaismail5533 5 ปีที่แล้ว

    “”Kama kukupenda wewe ni dhambi basi shetani yu nami”” khaaa!!

  • @ShaiduMbeo
    @ShaiduMbeo ปีที่แล้ว

    Nimeingalia ten leo 2023

    • @westcijosh
      @westcijosh ปีที่แล้ว

      😂😂hata mimi sema hii ishu khaligraph na TZ imenifanya niangalie nyimbo za bongo hiphop za zaman nyng sana

  • @EliasMusyoka
    @EliasMusyoka 7 ปีที่แล้ว +33

    Gotta recognize real rappers n not those 2 liners we have these days. This joint is real!

    • @Lenny0110
      @Lenny0110 4 ปีที่แล้ว

      Love this Niga

  • @frankntinda5550
    @frankntinda5550 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 bado nipo na ngoma kali

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 4 ปีที่แล้ว

    anae isikiliza hii ngoma leo siku ya Birthday ya mzee baba

  • @EllyTheGreat-ru1sz
    @EllyTheGreat-ru1sz ปีที่แล้ว +1

    Am back again in 2023 my favorite songs 💪💛🔥

  • @collinsanjere9855
    @collinsanjere9855 3 ปีที่แล้ว

    Bonge la rap, inaslap kichizi Hadi machizi wanachizika aiseeh.

  • @emmanuellugola150
    @emmanuellugola150 2 ปีที่แล้ว +1

    Classic Song......still bumping it in 2022.

  • @nyamburafrank9782
    @nyamburafrank9782 7 ปีที่แล้ว +2

    Mimi na we toka longlong time

  • @sundaymwangwe5362
    @sundaymwangwe5362 4 ปีที่แล้ว

    Toka enz za bint malkia kiukweli ni long long time

  • @saliminijr144
    @saliminijr144 3 วันที่ผ่านมา

    Kama unamsikiliza Fareed k kubanda 2025 gong like ap✊

  • @annadavidi331
    @annadavidi331 3 ปีที่แล้ว +6

    Big up FID Q

  • @ideeking7474
    @ideeking7474 ปีที่แล้ว

    2023 Bado naipenda hii ngoma

  • @kaidakemes1260
    @kaidakemes1260 3 หลายเดือนก่อน

    Dope nzuri

  • @fredrickfrank5750
    @fredrickfrank5750 ปีที่แล้ว

    2023 bado inafanya poaaaa apewa maua yake huyu mwamba

  • @deo_0498
    @deo_0498 2 ปีที่แล้ว

    Farid Kubanda a.k.a Fid Q. Hip hop Master 🙌🙌🙌

  • @luciajohn2395
    @luciajohn2395 ปีที่แล้ว

    Bado Naisikiliza nikiwa pande za Zambia mwaka2023

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 8 ปีที่แล้ว +3

    Mbaya kuwa na ndugu hafu kichwa maji

  • @Moshiarusha360
    @Moshiarusha360 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeiplay Tena Leo gonga likes

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 6 ปีที่แล้ว +9

    Hip Hop for ever

  • @tengoboy
    @tengoboy 3 ปีที่แล้ว

    Big Sunday brought me here

  • @abubasharykikoti4427
    @abubasharykikoti4427 6 ปีที่แล้ว +1

    mbaya ni kuhfadhi fuvu la mtu ndan ya kabati, mbaya zaidi ni kuwa na ndugu halafu kichwa maji, amka bongo lala Hip Hop sio fala, ni lazma ufate, uaminifu ni kama mshahara fanya kazi ili upate,. Fid Q mistari yako huwa inawasha kama upupu 😂😂😂✋✋

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe หลายเดือนก่อน

    2024..Twenzetu🚴🚴🚴

  • @victornyenkan2593
    @victornyenkan2593 3 ปีที่แล้ว +2

    FidQ is legit.