Wow, Mzee mcheshi sana, nimefurahia masimulizi yake. Pole Mzee kuvunjwa vidole na Wakongo na pia kukatwa mguu na mmaasai. Nafurahi sana kuona umeokoka ndo maana uko Salama. Munishi Ni rafiki wa Kweli. Salamu kutoka Canada.
Hongera Sana Mbwana Mdogo Pazia. Endelea na kazi yako kwa Bidii na Mungu Atakuonekania. Muda Wote Nilijua ni Wimbo Tu! Kumbe ni mtu ambaye yupo real. 👍👏
Why should support full, why don't you say munish may support him? Dear brother to support a person is not obligation, it is willing, and that willing comes from living heart
@@romanamassawe814 He made a song out of his unfortunate situation, the song hit the airwaves and became an International chorus. On the other side of flipping the coin, Willis Raburu is being paid 6.5 Kenya shillings by Airtel just because his brand name Bazuu was used, and Samuel L Jackson 2200 dollars for his name in the movies. We can't be Cynical in our school of thought.
Baba yangu alikua ni msikilizaji mzuri wa caset za Munishi na nilikua nazijua Volume zote ,,Baba angekua hai ningemsikilizisha hii interview angefurahi sana..Keep Resting in Peace Dady
Nafurahi sana kumuona mzee Marebo .kwanza kabisa kusikia wimbo wa Pastor Faustini Mnishi ilikuwa mnamo mwaka 1994 nikavutiwa sana na wimbo huwo ingawaje sikujuwa bado lugha ya kiswahili nikaufuata kwa makini baadaye nikaelewa kilugha.Damascene kutoka Rwanda tena mnyarwanda msalendo nawapenda nyote.
Finally have seen malebo thanks for social media for easiest way, I really liked the song since 1997 until now 2024 mar 31 glory be to God Almighty for life he had given us
Alain Mnyarwanda🇷🇼 kutoka US 🇺🇲, nakutakia mwisho mema mzee Malebo. Kwa Yesu ni Amani tupu. Mungu azidi kubariki Munishi kwa kuweza kukuombea mpaka ukaokoka. True friend kabisa!
Kama umerudi kusikiliza Ngoma ya malebo baada ya hii interview gonga like
33:31
Aaaah...sikujua wimbo ulitungwa kutoka mafanyiko ya kweli😂😂😂. Simulizi nzuri hiyo. Shukran kutoka 🇰🇪
Nina huzuni rohoni nikimuona malebo,kumbe ilikuwa ni real story,God bless you malebo
Hongera Mr Malebo. You are a live testimony to other people. There is no late-coming to Christ Jesus.🎉 Glory to God..!!
Asante sana Ndugu John Pazia kwa mazungumzo hayo pamoja na Ndugu Malebo, nimefurahia sana. Tutawasiliana na Malebo hapa karibuni.
Am happy to see the real guy Malebo. So he's the one. Watching from Kenya
Malebo alibadilika sasa na kua mtu mwema.Asante kwa kutuletea malebo,twaku watch hapa Kenya
Wow, Mzee mcheshi sana, nimefurahia masimulizi yake. Pole Mzee kuvunjwa vidole na Wakongo na pia kukatwa mguu na mmaasai. Nafurahi sana kuona umeokoka ndo maana uko Salama. Munishi Ni rafiki wa Kweli. Salamu kutoka Canada.
Naomba no Yako dada samahani
Fundisho kubwa na lakujifunza amempokea Yesu na amevaa chepeo ya wokovu. Glory to God
Nafurahi sana kuona malebo ameokokà Hongera Mtumishi wa Mungu Munishi kumzalia Mungu matunda yanayodumu
Aaah..huyu ndio alimtesa munishi kukatalia wokovu!😆😆😆. True friends these ones
Watching from kenya 🇰🇪🇰🇪namlilia malebo is just a blessing and life turning song
Nilidhani malebo ni utunzi tu kumbe ni true story.hongera sana munishi.Nairobi.
Hongera Sana Mbwana Mdogo Pazia. Endelea na kazi yako kwa Bidii na Mungu Atakuonekania. Muda Wote Nilijua ni Wimbo Tu! Kumbe ni mtu ambaye yupo real. 👍👏
Maajabu kwa sababu huu wimbo tuliimba sana tukiwa watoto hapa kenya siamini sahii namuona malebo wuueh acha mungu aitwe mungu🥳🥳🥳❤️🇰🇪🇰🇪
Malebo wa ma-label, Asante sana kaka kumleta ,kamuona na nikashukuru.
Kweli nyimbo ni kio cha jamii...❤❤🇰🇪 15:06
Asante Pazia Tv umeitendea haki interview mkuu! Hongera. Asante pia Malebo story yako inatia moyo wengi
Hongera sana mtumishi Munishi hata Mimi nimefurahi kuona Malebo ameokoka
Malebo yuko vizuri. Asante sana Pazia
Mzee marebo duh kumbe
Ndiyo wewe du! Una big story
Of life father
Kindly bring Pastor Munishi to the bench also to get to know his story too
Hallelujah,,atimaye aliokoka,Glory be to God
🎉. Hii mzee anachekesha sana. Visanga kila sentence au tamko
Amazing interview. This guy has impeccable memory. Malebo is such a funny man. Mcheshi kweli 😂😂😂
What a narration! Listened twice
Watching from Kenya.
Happy to see Malebo
Munishi should support this man fully in terms of monetary.
Why should support full, why don't you say munish may support him?
Dear brother to support a person is not obligation, it is willing, and that willing comes from living heart
@@romanamassawe814 He made a song out of his unfortunate situation, the song hit the airwaves and became an International chorus. On the other side of flipping the coin, Willis Raburu is being paid 6.5 Kenya shillings by Airtel just because his brand name Bazuu was used, and Samuel L Jackson 2200 dollars for his name in the movies. We can't be Cynical in our school of thought.
He should thank Munishi for preaching to him, now that he is leaving a changed life
@@romanamassawe814😂😂😂❤
@@johnochieng9500😂😂🎉🎉🎉❤
Interview nzuri sana... kuna masomo mengi ndani yake. Kwa tuliusikia wimbo wa MALEBO, inafurahisha zaidi.
Asante sana Mchungaji Part 02 inakuja
Malebo alikuwa jirani Yangu Arusha... Alikuwa na Ghorofa la Matope pale kwa Mollel.
@@OckendenMkandawireghorofa la matope ndo linakuaje
😂😂😂 ety ghorofa la matope?@@OckendenMkandawire
@@paziatvtznice
Saafi sana mahojiano mzuri sana,ningependa siku moja namm nimtembelee mzee Malebo
Hi mahojiana ni Bora Sana kwa hawa wazani wa kidambo
Duu...hatimaye nmemwona malebo,ubarikiwe
Mzee mcheshi sana. mungu akubariki sana mzee
Much love from Kenya malebo😊
Waoo leo nimejua malebo ninani I remember those days 90s nime furai sana mimi niko mombasa kenya ❤❤
Malebo seems like a happy soul.❤️..mungu alimhurumia akajitambua🙂
Baba yangu alikua ni msikilizaji mzuri wa caset za Munishi na nilikua nazijua Volume zote ,,Baba angekua hai ningemsikilizisha hii interview angefurahi sana..Keep Resting in Peace Dady
My dad too. Am sure he would be pleased to see this interview as well.
May he continue resting in peace.
Du! Mzee amenifulahisha sana huo wimbo zamani sana du! ebana kumbe si niwahenga
🇰🇪🇰🇪🇰🇪😞😞 Finally Malebi is here
Asante ndugu PAZIA.nakufuata na interview yako na ndugu MONISHI.
Kiswahili nacho daaa....huo msemo wa kufungua mahojiano..safi sana
My fren umefanya vizuri saaaana kutupa story za Malebo. Tulijiuliza mengi sana kumuhusu
Hata na Mimi nimefurahi kabisa kuhusu malebo nizania kwamba ni story TU kumbe irikuwa ukweri hongera pst munishi urifanya kazi kubwa
Yesu azidi kukutunza Mr Malebo, hakika Mungu ni mwema kila wakati
Assnte kwa interview hii nzuri na ya kujenga
Wahoo hongera Malebo.Mungu akubariki
I am inspired by faustin munishi he touched my life daily
Mzee ana enjoy sana maisha yake
Very interesting. God bless you Mr. Malebo
kweli nimecheka sana, eti amebeba Bibilia tatu kichaa imepanda. e baba we,..hii ni kazi safi kaka
😂😂 na mm ndio nipo kipande hichi nimecheka sanan
Hii inatakiwa itengenezewe muvi kabisa 🙌🏽
Kweli kabisa Mimi nipo tayari tuwachangie tuwatafute Pastor Munishi na Malebo watengeneze movie.
@@deogratiusmfoy1989kabisaaa
Asante sana umenikumbusha mbali sana Big up
Eric kutoka Rwanda haaki na furahi mzehe Malebo Yesu akutende mema
Amakuru
Mambo kaka
@@elastikportfolio3736😂😂🎉🎉❤
@@YohanaMathayo-r7pgreat❤❤
Mulisema et Malebo hataokoka!
Huyu ni nani sasa 😅😅
Hapa n wapi hahahaha
😂😂😂😂
Yes ni bwana Sai amekubali yesu ❤
Finaly I have see the famous MALEBO and the fact that we are from the same clan now alot of things makes sense now 😂😂😂😂😂
Anyway PIGA MAJIII 😂😂😂😂😂😂
Nafurahi sana kumuona mzee Marebo .kwanza kabisa kusikia wimbo wa Pastor Faustini Mnishi ilikuwa mnamo mwaka 1994 nikavutiwa sana na wimbo huwo ingawaje sikujuwa bado lugha ya kiswahili nikaufuata kwa makini baadaye nikaelewa kilugha.Damascene kutoka Rwanda tena mnyarwanda msalendo nawapenda nyote.
Kbs nimekuelewa pia mi ni ndugu yako munya Rwanda niligifunza Kiswahili mbio mbio kbs
Damascene ❤️
Finally have seen malebo thanks for social media for easiest way, I really liked the song since 1997 until now 2024 mar 31 glory be to God Almighty for life he had given us
I really like your comment ,may God bless you.from KIGALI Rwanda
@@samkabayiza6212 nice one
Nawashukuru sana ndugu wa Tanzania. Na wafuata sana.kwenye mtandao wa TH-cam .na furahi sana.nakumuona MALEBO aliyeimbwa na Faustin Monishi.
Good story teller, Malebo
Wah! Buda ulikuwa mgaidi kweli! 1959_1983 ndio uka okoka🤔🤔🤔
Good story. Inspirational. Please someone help him to write his autobiography....
Asante kutuletea malebo,tutafutie marefu,aliyeokoka kabla ya malebo
Shukrani sana bro. Kutuletea mzee malebo
Happy to see malebo salvation is for us
Alain Mnyarwanda🇷🇼 kutoka US 🇺🇲, nakutakia mwisho mema mzee Malebo. Kwa Yesu ni Amani tupu. Mungu azidi kubariki Munishi kwa kuweza kukuombea mpaka ukaokoka. True friend kabisa!
I reccomend the song to 2000 generation. A must listern
Kwa kweli John Pazia uko vizuri hadi umempata Malebo
Mungu ambariki Mzee wetu
Watching from Kenya good interview
❤ baba ubarikiwe Yesu yuko moyoni hasa kwa ukiri wako tu
Waouh... thanks for the story
Hongera sana bro mr pazie ,nitafutie pia pili na tatu
Na murefu😊
A very interesting story indeed!
Hadithi na stori nzuri sana! Pole Malebo😂
Nimefurahia sana huku Kenya Kwa ajili hadithi ya malebo
Munishi nii rafiki mzuri.
Wazee wetu wametoka mbali sanaa
Kumbe ni wewe yule malebo uliekataa kuokoka ❤❤❤
Kwa hivyo sio hadithi tuu Munishi alikuwa akitunga, chochote alichokuwa akiimba kumhusu baba huyu Malebo ni ya ukweli.
malibooooo imenikumbusha rafiki wangu wa kitambo kule malindi alikuwa anaitwa dr singa alikuwa anapenda kuniita malebo
Namkumbuka Rafik wangu bébé animaux Uganda rwebisengo kimepita miaka 15
Mimi ni murundi napenda sana malebo.
Na tunakuomba uendelee kutunga nyimbo Mtumishi malebo
Nimefurahia Sana story za malebo.
Wow, what a great story
Wow! God is love!
Toka Drcongo ,
Tumewapenda ndugu zetu watanzania
Sasa Munishi aimbe kuwa malebo sasa ameokoka....more ❤from🇰🇪🇰🇪
Alishaimba kitambo sana
Ipo malebo ameokoka
Alishaimba hufuatilii
Ipo nyimbo ya malebo kuokoka
Amekwisha imba malebo ameokoka
Nafurahia sana kuona muzee akiwa ameokoka sasa
Hongera kabisa
5 fives ,how did he get them
Hizi ndo stori sasa yaani hadi raha
Nimefurai kumuona malebo
Mimi napenda sana ushuda wake
Jamaa ana kumbukumbu sana kwa kifupi ni mwamba
Nafurai sana kusika isitoria nikiwa kenya 🇰🇪 mombasa
Kweli umefuraisha sana ujumbe huu
Nice story
I heard him through Munishis songs
Kumbe ndoo huyu malebo nimepata kumfahamu vizuri Sana
Kibugumo iko dar es salaam vkigamboni geza ulole
hii stori nruri Sana inafundsha pyaaaa