He's a good man. Ni kweli zinazovuma mitaani ni kuwa Faustine Munishi alikimbilia Kenya kwa sababu ya wimbo wake wa "Mpende Adui yako" wakati wa utawala wa Benjamin Mkapa (1995 - 2005) na kutishiwa kushughulikiwa kwa sababu ya maudhui ya wimbo huo yaliyokuwa kama yanawananga watawala chini ya CCM by then na kuonekana wimbo umebeba dhana ya uchochezi na hivyo kukimbilia huko Kenya kuepuka shari hiyo. Hata hivyo Kila aliyekutwa anasikiliza wimbo huo alipata shida sana. Asante sana Mch Munishi Kwa ufafanuzi wako na kuliweka vizuri hilo
Safi sana, ni ombi langu kwako Pazia tv, rudi tena kwa Bishop Faustin Munishi umuulize tutarajiye lini atatowa kigongo kipwa cha injili kama Paka akilia usiku wanadhani wamelogwa ao malebo ambayo ni Album ya injili ya 7 yake yeye Bishop F Munishi, tafadhali
Rafiki yangu Munishi, hili hapa andiko linalokataza kujichora tatoo: Mambo ya Walawi 19:28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana. Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print any marks upon you: I am the LORD.
Nilipenda nyimbo za Munishi sana maka za1988 🇰🇪. Lakini Munishi siunajua wewe ni wetu hapa kenya maana tayari tumesha kupatia citizenship ya kuwa mkenya na hapo uko ni territory yetu maana wewe ni wetu.
Wachaga na Wahaya wako sawa,kuwapelekea injiri ya wokovu kuna kuwa na upinzani sababu ya mapokeo lakini hakuna lisilowezekana kwa Mungu neema yake ina nguvu wanapokea taratihu🙏
Nakubaliana Sana na wewe. Kenya humpa fursa kila mtu kujiendeleza. Watanzania, Wanyarwanda, Warundi, Wasudani, Wahabeshi, na Wasomali wamejijenga Sana huku. Sijaona Waganda kwa wingi.
Nakubaliana nawe. HataTundu Lissu magaidi walipotaka kumuua waKenya ndiyo walikuwa wa kwanza kupigania uhai wake. Mungu awabariki waKenya wote na nchi yà Kenya kwa ujumla
Umeshasena mwenyewe kuwa wachaga Tayari wanadini zao, na ndio injili yenyewe unatakaje kulazimisha kwamba hizo za kwenu ndio sahihi zaidi, Kwani nyie ni akina nani kwa dini zilizoinjilishwa karne na karne? Mimi nakuelewa sana but Kauli hii sio
Ibarikiwe Kenya na uendelee kuwa kimbilio kwa majirani wetu,mipaka ni wazungu waliweka.Africa ni moja!
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana mimi ni mtu wa Mishi unanibariki sana
Mtumishi Munish ulibariki sana miaka mingi ,, pia naomba Mungu azidi kukubariki unapoendelea kutubariki much love 🎉❤❤
A very humble man ❤ Stay abundantly blessed Pastor Faustin Munishi 🙏
Much love from USA 🇺🇸
Barikiwa sana, Mchungaji Munishi. Mimi ni shabiki yako hapa Jinja Uganda.
Big up mtunishi wa Mungu Munishi Faustin. Kipaji cako ca kuimba kilisaidiya ulimwengu kupitiya nyimbo zako nimebarikiwa sana kiroho! Mimi From Burundi
Munishi is a legendary gospel musician.
God bless you munishi
Mungu akubariki sana mtumishi pamoja na wakenya waliokupokea na wakakutunza.
This guy is a legend, humble and on point. We get up listening to his music in kenya.
Interview nzuri sana... Hongera sana... Asante sana Pastor Munishi.
He's a good man. Ni kweli zinazovuma mitaani ni kuwa Faustine Munishi alikimbilia Kenya kwa sababu ya wimbo wake wa "Mpende Adui yako" wakati wa utawala wa Benjamin Mkapa (1995 - 2005) na kutishiwa kushughulikiwa kwa sababu ya maudhui ya wimbo huo yaliyokuwa kama yanawananga watawala chini ya CCM by then na kuonekana wimbo umebeba dhana ya uchochezi na hivyo kukimbilia huko Kenya kuepuka shari hiyo. Hata hivyo Kila aliyekutwa anasikiliza wimbo huo alipata shida sana. Asante sana Mch Munishi Kwa ufafanuzi wako na kuliweka vizuri hilo
Mch. Bado ungali Kijana, mibaraka ya Mungu izidi Kuwa nawe na familia yako
My God bless mtimishi umewai numbea ukiwa Nairobi Kenya
Huu muda wote nilikuwa nkifikiri ni mkenya, ha. Nyimbo zako zilivuma tukiwa wana na tunazipenda hadi leo, Mungu akubariki Munishi.
Baraka tele mtumishi wa mungu postine munishi ni mfano mema sana Sisi kama waimbaji
he is famous and loved here in kenya
Hongera mtumishi MUNGU akubariki Kwa huduma unayoifanya.
Mungu akuzidishie mtumishi.....
Pongezi munishi. Nyimbo zako zinatubariki Sana.
May God bless you Askofu Munishi,,I hope one day I'll see you ...
Munishi your very transparent,
Ushauri wa busara saaaana
Hakika vijana mkitoka kule mliko
"Mkumbukeni nyumbani"
Amen 🙏
Asante sana ndugu mungu akubariki
Napenda urafiki wa munishi na malebo
Hongera sana mchungaji Munishi umeifanya kazi kubwa sana ya injili kwa njia ya uimbaji, ombi langu utuwekee wimbo wa Paulo na Sila mtandaoni.
Safi sana, ni ombi langu kwako Pazia tv, rudi tena kwa Bishop Faustin Munishi umuulize tutarajiye lini atatowa kigongo kipwa cha injili kama Paka akilia usiku wanadhani wamelogwa ao malebo ambayo ni Album ya injili ya 7 yake yeye Bishop F Munishi, tafadhali
Pazia mdogo wangu uko vizuri sana chapa kazi utafika mbali
Jmn Mungu akupe maisha marefuuu, mi niliambiwa ushafark kumbe upo, Mungu akuinue zaid
Hujamtaja malebo bana.. Nilifurahia sana mahojiano ya Malebo
Amemtaja fuatilia vizuri
Kwakweri nimependa sana nyimbo zako nimezisekiya mwaka waefumbiri nirikuwabado mudogo mbakasasa sijazicoka kwakweri nakupendasana
Napenda your friendship na Mr malebo.
L love this man of God very much
God bless you man of God..
Rafiki yangu Munishi, hili hapa andiko linalokataza kujichora tatoo:
Mambo ya Walawi 19:28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana. Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print any marks upon you: I am the LORD.
Ameeen. Even Leviticus 19
Amen 🙏🙏🙏 Mungu akulinde sana katika maisha mungu akuinue sana.
hii idia ilikuwa vizur,sana,
sidhan kwamba kwa sasa sidhan kwa kwa vijana wa sasa wanaweza,
Full bigjee
Ahsante sana kwa mahojiano na Munishi nime barikiwa
Munishi is a kenyan legend we stil love him💝💖
Ombi langu kwa mtangazaji, naomba kesho uandae ingine emission Munishi akiwa pamoja na Malebo watupe ushuhuda wa Malebo
Tayri malebo amehojiwa nae
Munishi tumeishi naye sana hapo Nakuru langalanga when he had only 1 guitar, akiishi kwa one roomed house
Wonderfull
Mtumishi Munishi my favourite together with mtumishi kyande.
Nikweli
Mchungaji Munishi naomba alie na number yake anipe Mungu awabariki sana,Munishi nampenda tangu mwaka 1992.
Nina ya kenya na tz unataka ipi
@@bennagemeestate820 nipe zote asante,anapenda kutumia ipi.
The legend himself..salute mkuu
mungu aendelee kukubaliki
Nilipenda nyimbo za Munishi sana maka za1988 🇰🇪. Lakini Munishi siunajua wewe ni wetu hapa kenya maana tayari tumesha kupatia citizenship ya kuwa mkenya na hapo uko ni territory yetu maana wewe ni wetu.
Mzee munishi na mzee malebo niwa cheshi sana
Home sweet home, Kindi Muyuni nyumbani kwa bibiyangu kipenzi Mkarusa
Mucho love
nmependa hpo kwenye
V.O.K
K.B.C
RTD
TBC
😂😂😂😂😂😂dreams come true big G .. ilikua Raha
Am sorry plz, to ask
Wachaga na Wahaya wako sawa,kuwapelekea injiri ya wokovu kuna kuwa na upinzani sababu ya mapokeo lakini hakuna lisilowezekana kwa Mungu neema yake ina nguvu wanapokea taratihu🙏
Kweli kabisa..mimi nimeokoka naonakana kituko sana kwa ndg lkn kusema ukweli nina amani kupita maelezo na ni tofauti na nikiwa sijaokoka
we ❤❤ you munishi
apa ndo naona kua ukimkabizi mungu maisha Yako kumbe huzeeki yani usivute sgr Wala bangi usinywe pombe Wala kutumia kileo chochote kile huzeeki
munishi is legand
Nimeipenda sana hii
anapenda kenya
Munishi is legendary till date
Na hazeeki buana
Siku moja nitambariki mtumishi na vyombo vya kueneza injili. Ametukuza huku kwetu Kenya tangu nikiwa mtoto. Sasa nimefika 30*.
Tuungane pamoja ...Mimi nami nipo tayari kumchangia mtumishi. Pia nyumbani ni kindi karibu na kwa pastor
@@deogratiusmfoy1989 Baas! Kwanza Mimi hupenda Sana kutembea Arusha na Moshi nikichoka huku Nairobi, naweka gari mafuta, nabeba tarakilishi yangu, nafunga safari.
Munishi aisee tuombe radhi ati "lusamira mali ta wandu ro sheee"😂😂😂
Akili kubwa 😂
kuna wachaga central ama ni wakikuyu kilimanjaro?
Kiukweli wakibosho kwa asili ni wakikuyu na masai
Japo Kenya inamapungufu yake lakini Kenya ni mama wa inchi nyingi sana
Nakubaliana Sana na wewe. Kenya humpa fursa kila mtu kujiendeleza. Watanzania, Wanyarwanda, Warundi, Wasudani, Wahabeshi, na Wasomali wamejijenga Sana huku. Sijaona Waganda kwa wingi.
Nakubaliana nawe. HataTundu Lissu magaidi walipotaka kumuua waKenya ndiyo walikuwa wa kwanza kupigania uhai wake. Mungu awabariki waKenya wote na nchi yà Kenya kwa ujumla
Me mwenyew naikubali sana by josee from tz arusha
Kenya hakuna matata
Mnishi andiko linasema mungu anaitwa baba pia adamu ni mfano kulikoni unasema Hana mfano
Pastor Munishi
Munish Ni Zaidi Mkenya kuliko Mtanzania.
😂😂😂😂....Munishi ukalisha watu Big-G jameni
Jamani mbona Marebo hajasikika hata neno moja
Malebo yupo Kuna interview yake
Hayia Ni my Tanzania nilidhani Ni mkenya
Tulimpatia citizenship kenya akakuwa .🇰🇪
Kwanini monish hafanyangi interviews na vile ukuwa na ushuhuda mzuri
Mi napenda uimbaji wa mnishi, sikuyajua kama ndivyo yalivyo mpaka roho alivyo nionyesha shetani anavyo jigeuza
Je kuna mwingiliano wowote ule la Wachagga na waNgoni
Akili ni nywele
Bubblish jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Munishi kiboko
Makao yake rasmi ni Ngong kajiado County,ya Tanzania ni ziara tu Aiseee....
Matasia 😂
Even in the next life Tanzania tutaishinda kimaendeleo
Namuona malebo apo 😂😁
Huyu ndiye Malebo hahahahhaha
Si tumesikiya kama amefariki miyake kazaa iliyo pita
Kindi muyuni ni jina tamu lakini.
Watanzania mpo kenya ni nchi babu kubwa😂
Jaman mm nilikua naupenda wimbo wako wa yesu ni mambo yote ndani ya yote ukimpata yeye umepata vyote babaangu alikua akiniwekea nikiwa mdg mpk leo
Maneno uliyo yatangaza tafadhali soma mwenyewe kisha uombe msamaha
😂😂😂 wee big G
😂😂😂😂
Eti munishi ulikuwa jambazi kabla ya kuokoka?
Labda wewe
Amekwambia mchaga anachukuwa na kukuwekea vizuri kukihamisha
@@usrahismail3196🤣🤣🤣🤣
Hakuwa jambazi mimi nimesoma shule moja naye Kindi Juu Kibosho
Utakuja Bungoma lini
Hivi munishi ni mtanzania kumbe mi nilijua ni mkenya
Tayari ni mkenya maana kapewa citizenship nahapo yuko ni territory ya kenya maana ni wetu
Ni mkenya aliyezaliwa Tanzania
alikua mchoyo zaidi
Umeshasena mwenyewe kuwa wachaga Tayari wanadini zao, na ndio injili yenyewe unatakaje kulazimisha kwamba hizo za kwenu ndio sahihi zaidi, Kwani nyie ni akina nani kwa dini zilizoinjilishwa karne na karne? Mimi nakuelewa sana but Kauli hii sio
🙏✌️👊.
Huyu mtumishi hazeeki yupo vile vile
Ukiwa ndani ya Yesu kikamilifu kuzeeka utaskilizia kwa jirani yako kwa yesu raha
Sasa najiuliza hii video amefanya mwaka gani maana nikama hivi alivyo
Mimi ni shabiki wako sana, Kuna nyumbo zako za nyuma kabisa nazitafuta, Nisaidie majina yake na mahali pakuzipata!