MPAKA HOME: Ona utajiri wa CANDY wa tamthilia ya HOUSE GIRL amzidi IRENE UWOYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 173

  • @josephinamarko3323
    @josephinamarko3323 2 หลายเดือนก่อน +27

    Weee dada candy ukoo vzr sanaa ww ndo umeifanya house girl kua kali kias hicho 🎉🎉🎉chukua maua yako unafanya kaz kubwa sanaa hakuna anae kufikia house girl nakupenda umeifanaya ikanoga

    • @NeemaElias-y3e
      @NeemaElias-y3e 2 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana candy

  • @EstaKalinga-i1h
    @EstaKalinga-i1h 5 วันที่ผ่านมา

    Nampendaa Kai nyiee😅😅 ni balaaa😁😁😍

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +3

    Candy ni mcheshi saana. Unapenda saana kucheka. Sio kisirani. Nakupenda saana. ❤

  • @EsterSulley-i6r
    @EsterSulley-i6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nmependa pale ulipomkunja pap had Leo haonekani candy nmekupenda bureeee❤❤❤❤❤

  • @AdelaideWanyonyi
    @AdelaideWanyonyi 2 หลายเดือนก่อน

    Mara ya kwanza nilikuwa nakuchukia sana lakn kwa sai nakuhurumia nakupenda sana 🎉 keep it up

  • @zakariangala
    @zakariangala หลายเดือนก่อน

    Kazi safi. Ujumbe umefika🎉🎉🎉

  • @HappyJumwa-h9e
    @HappyJumwa-h9e 2 หลายเดือนก่อน +3

    wooow Aisha EkA shinda chkua maua ykoo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AishaAisha-x5l
    @AishaAisha-x5l 2 หลายเดือนก่อน

    Dada kendi hongera sn unajua kuigiza vizuri sn ❤❤❤❤❤

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 หลายเดือนก่อน

    Candy wwww Ni moto dear umecheza vizuri sn 🌹🌹🌹🌹🌹.

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +4

    Candy wewe ni mzuri saana. Nimekupenda bure. Ila jistiri utapendeza zaidi kipenzi.

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 2 หลายเดือนก่อน +6

    Leo ningependa kukumbusha candy punguza kukaa uchi SASA uyo mtangazaji unamuonwsha maziwa unatuzalikusha na kama unamoezi basi mpeziwako bwegee bwegee hayo maziwa si umuoneshe yeye au ndio upo kwenye biashraaa wzcha kutuzxlikushaaa wew yaani umenikeraaa

    • @shamimtv254
      @shamimtv254 2 หลายเดือนก่อน

      True

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ila ukichaa umepona,mm Napenda unavoingiza ukichaaa huwa Napenda

  • @SadaHashimhadoswa
    @SadaHashimhadoswa 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kiukweli candy ndo kichwa Cha house girl na Sania ndo moyo❤❤❤❤❤

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ukisha kuwa star lazima utembee manyonyo nje ebu jifunike au tukununulie sidiria

  • @busatitv
    @busatitv 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤

  • @AkuzibweELIZE
    @AkuzibweELIZE 2 หลายเดือนก่อน +1

    Candy unavituko yakutisha katika m.v zako.naku ❤❤❤❤ kama uko tofauti na Candy

  • @Brendasayo-p5n
    @Brendasayo-p5n 2 หลายเดือนก่อน

    Weee kendi ulifanya nikapenda hii kipidi Sana pls tuna ngojea story engine ❤ Brenda from Kenya

  • @JosephKahindi-v8h
    @JosephKahindi-v8h 2 หลายเดือนก่อน

    Aki candy umenibamba sana nakupenda sana❤❤❤❤

  • @NAOMIMSNAOMI-s3m
    @NAOMIMSNAOMI-s3m 2 หลายเดือนก่อน +3

    Candy jamani unacheka kama ukokwenye movie vile, nilikuchukia wedada ningekuwa Niko Tanzanie singe kusanakusalimu kbs, lakini nimesha kupenda sana❤❤

  • @zawadikimaro4087
    @zawadikimaro4087 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sijawahi kukupenda hata siku moja kendi

  • @DUMMY-B
    @DUMMY-B 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ni kivurugi wa house girl waai😂😂😂

  • @BintiAmina-kh9oh
    @BintiAmina-kh9oh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Candy nakupenda jmni❤❤

  • @IreneKanyi-nw1ey
    @IreneKanyi-nw1ey 2 หลายเดือนก่อน

    Candy nampenda bure ❤ Excellent job girl.🎉🎉🎉

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 22 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Candy uhalisia ni mtata saaana hata ukimwangalia machoni na maongezi yake yaani kiufupi atakae muoa huyu basi atakua amajitweka mzinga wa nyuki 😂😂😂😂maana asema hajaolewa till now na ziwa limelala kma la mkoloni....

  • @Linnahsimon
    @Linnahsimon 2 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣😂😂🤣😂 kusema ukweli candy alivoigiza huo ndo uhalisia wa maisha yake maana ata kuongea kucheka vilevile adi vituko khaaaa! Usishangae ndugu mwandishi

  • @WinMbwesi
    @WinMbwesi หลายเดือนก่อน

    Candy nakupendaaa

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e 2 หลายเดือนก่อน +7

    Itavieww badala afanye inteview na interviwer anauliza wasiokuwepo nimeenda ila ufai kuuza maswal yasomuus kai,zuu sjapenda

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 2 หลายเดือนก่อน +2

    Candy love you

  • @JuliusNyamboga
    @JuliusNyamboga 2 หลายเดือนก่อน

    Favorite actor especially when she decides to do evil she'll be wicked to the end 🌹🌹🌹

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ata kujistir pia kwaleta mvuto zaid kifua wazi 😮😮😮sitak comments yqngu ishikwe

  • @JustaMartinsEduardo
    @JustaMartinsEduardo 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Dada unatisha dada,hila ongera yako🎉🎉🎉🎉

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 2 หลายเดือนก่อน +2

    Candy chizi kumbe uko fresh 😂😂😂
    Unachekesha trop

  • @Dorambembela
    @Dorambembela หลายเดือนก่อน

    ira kendi una furaisha nata niwekama wewe love😅😅🎉🎉

  • @AnaSwai-ho2vi
    @AnaSwai-ho2vi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msimchukie cendi ni movie 2 jamani

  • @JusterKawira-ff4xz
    @JusterKawira-ff4xz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Aki nilifuatilia from my 1 ta session 3 nimekupends sana candy

  • @EdithAteka
    @EdithAteka 2 หลายเดือนก่อน +4

    Candy mm siamini kama wewe mke bora nakuona vile vile😂unanifurahisha vile unacheka

  • @WitnessEmmanuel-l6i
    @WitnessEmmanuel-l6i 2 หลายเดือนก่อน

    Candy unapenda kucheka❤❤❤

  • @MuanajumaTauriboAssaneAssane
    @MuanajumaTauriboAssaneAssane 2 หลายเดือนก่อน +2

    Candy nakupenda bure

  • @WinMbwesi
    @WinMbwesi หลายเดือนก่อน

    Yanii nakukumbuka sana candy wa mwazanii

  • @TuyishimeHonore-c9d
    @TuyishimeHonore-c9d หลายเดือนก่อน

    Mi nipo Rwanda , nampenda candy na pia macho yake anapendeza mno

  • @BenjaminChome
    @BenjaminChome 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unachekesha candy wewe ni comedia kweli kweli

  • @NkobaDaniel
    @NkobaDaniel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ameshaa pona ukichaaa mweeee candy polee

  • @raajtz8073
    @raajtz8073 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa namna moja ama nyinginye😂😂😂

  • @duobledrittedeoritte2787
    @duobledrittedeoritte2787 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaoamin hii mv inaelekea mwisho naombeni like zngu bas jamn duu sijawah

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 2 หลายเดือนก่อน

    Dada Kendy nakupenda bure❤🥰😘🇧🇮🇸🇦👌👌

  • @GloryTarimo-g3t
    @GloryTarimo-g3t 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri da kendy

  • @REHEMAHussein-rh1zk
    @REHEMAHussein-rh1zk หลายเดือนก่อน

    Me siy mpenz wa kuvaa mawigi ila apana 😂😂 msinigombanishe na candy

  • @gabrielmarwa8676
    @gabrielmarwa8676 16 วันที่ผ่านมา

    Eeee kendi ww hukubali kushindwa unaendana na mr jiko

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Si amevuna alichopanda😀😀😀

  • @gracenyauma
    @gracenyauma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli ata mm nishaa mjua sana candy ktk kenya

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂eti utajiri nyooooh! Tafuteni kiki nyingine

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂candy wetu 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikumiss udugu

  • @Recho-c1i
    @Recho-c1i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kendy nauza mawig rafki angu njoo ununue ata ka wig og kamoja shoga angu

  • @Elizabeth-p3d
    @Elizabeth-p3d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eti unanionea huruma eee😂😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi macho na kifua😂😂😂

  • @AaAaarehema
    @AaAaarehema 2 หลายเดือนก่อน

    Cendy mbona mm siwaoni hawo wanaume bwege jamani 😂😂😂😂😂😂.

  • @WinMbwesi
    @WinMbwesi หลายเดือนก่อน

    Afu zuuu ndo miguuu ausio

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Busaty ili isonge mbele watuliye kwenye kuachiya movie wamalize YENGINE kabla YENGINE siyo kuachiya nyingi nyingi tumalize moja kwa moja maana wanatuchanganya sana

  • @Asma-hn1jk
    @Asma-hn1jk หลายเดือนก่อน

    Candy hajapoa 😂😂😂😂

  • @zawadikimaro4087
    @zawadikimaro4087 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe kendi unaroho mbaya sana.

  • @aminamomba9586
    @aminamomba9586 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnamfananisha huyu na irene uwoya acheni hizo huyu hamfikii irene hata kidogo

    • @JulistaHillary
      @JulistaHillary 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa bado hawajasema😅😅😅😅

  • @SaumuChihunga
    @SaumuChihunga 2 หลายเดือนก่อน

    Turegeshe meno ndani sasa yanaingia baridi 😂😂😂

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 2 หลายเดือนก่อน +1

    CANDY hum uyu ni bala jamani. Lakini Candy mwanzo alikuwa ananikera sana lakini wakati iyi namuoneya uruma sana.

  • @veronicajonas-j1k
    @veronicajonas-j1k 2 หลายเดือนก่อน

    afu candy licha ya maigizo duuuh

  • @Maryam-h1b2i
    @Maryam-h1b2i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi napenda akisema WE mwazani 😅

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 หลายเดือนก่อน

      Ni chizi sana😂😂😂,hua nacheka

  • @Goodlucky-d2k
    @Goodlucky-d2k 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan baby candy nakupenda bure tu bila ela jaman

  • @JohnMillinga-b4g
    @JohnMillinga-b4g 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉 mm rove my kend

  • @SaumRashid-x1p
    @SaumRashid-x1p 24 วันที่ผ่านมา

    Uyo...kibokoo

  • @Mamuuu-y7z
    @Mamuuu-y7z 2 หลายเดือนก่อน +2

    Next tym apewe character ya upole na tabia nzuri tumuone

  • @MarikiaMbombwe
    @MarikiaMbombwe 2 หลายเดือนก่อน

    Chizi wetu kapona pol ongera sana kendi

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 2 หลายเดือนก่อน

    Tsajiri candy much love❤❤🎉🎉

  • @ZafaranFeruz
    @ZafaranFeruz 2 หลายเดือนก่อน

    Kendi nampenda sana ukiamuwa umeamuwa kabisa bgp

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 2 หลายเดือนก่อน

    Jina lako zuri sana aisha mwaaaaaa ❤❤ 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @zaharahamadi3784
    @zaharahamadi3784 2 หลายเดือนก่อน

    Candy 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 หลายเดือนก่อน

    Ila aya mawingi mnayatoaga wapi maana kama umevaa kofia la wa vetinamu wakiwa shambani wanavuna mpunga, ivi apo hujioni kama unachekesha😅

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 หลายเดือนก่อน +30

    Nimejua cendy ata km n maigizo lkn ata ki kawaid hajapoa 😂

    • @bahatikiwayi8808
      @bahatikiwayi8808 2 หลายเดือนก่อน +4

      Umeona kumbe pia ww 😂😂😂😂😂huyu kiboko

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mcharuko balaa

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 2 หลายเดือนก่อน

      ​@bahatiki😂😂😂wayi8808

    • @upendoabraham2010
      @upendoabraham2010 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 2 หลายเดือนก่อน

    Yani mimi pamoja na umaskini wangu siwezi kuvaa hilo wigi woii 😢

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 หลายเดือนก่อน

    Dada candy unaweza unakipaji sana

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana candy

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 2 หลายเดือนก่อน

    Candy Yuko poa

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂c alikuwa amekosewa radhi akawa kijaa😅❤❤

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 2 หลายเดือนก่อน

    .candy kam candy l love you😂😂❤

  • @zuhuramawida-w7y
    @zuhuramawida-w7y หลายเดือนก่อน

    Aya bwana cant

  • @Clementinahamisi-y3m
    @Clementinahamisi-y3m 2 หลายเดือนก่อน

    Candy ajistiri

  • @Mamuuu-y7z
    @Mamuuu-y7z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daa kumbe candy ni Aisha😂

  • @GloryGodfrey-d9i
    @GloryGodfrey-d9i 11 วันที่ผ่านมา

    Yani kend sizan kama ni mpole ni asili yake😅

  • @DavidMauziki
    @DavidMauziki 2 หลายเดือนก่อน

    Candy kumbe WE mpole ivyo nakupenda dadq

  • @MariamHussain-ki8nz
    @MariamHussain-ki8nz 2 หลายเดือนก่อน

    Na penda Sana uyu kend mashaallh anajuwa kuigiza

  • @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn
    @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda pia cendy

  • @MaryClement-gq3se
    @MaryClement-gq3se 2 หลายเดือนก่อน

    Ila candy

  • @JacksonHamis-eg8by
    @JacksonHamis-eg8by 2 หลายเดือนก่อน

    Huwa anakera sana cendy ase

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 หลายเดือนก่อน

    Candy wa mototo sanaa

  • @SaumuMusa-h6d
    @SaumuMusa-h6d 2 หลายเดือนก่อน

    Penda sana dada candy

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael 2 หลายเดือนก่อน

    Ilove cand

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi hamuwezi kuambia mtu ukweli,, hila huo kandy sie Ata kidogo

  • @MuvungaDegrace
    @MuvungaDegrace 2 หลายเดือนก่อน

    Candy tuna kupenda sana

  • @WabwileCentrine
    @WabwileCentrine 2 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa candy tia bidiii

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 2 หลายเดือนก่อน

    Kendi pambe ❤❤❤

  • @JENNIPHASIMONI
    @JENNIPHASIMONI 2 หลายเดือนก่อน

    Cendy haujapowa