Kwa kweli Mr.Tasha we mtu mwengine tofauti sana..yani unahekma na busara..yani mungu azidi kukuza kipaji chako na pia ukupe maisha marefu kaka..kazi yako nzuri sana kakaangu nakupenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
Mr Tasha Yani na ukubali sana uku nabusara na ni mtu ambae unapenda kusimama kwenye ukweli ivo basi nakupenda sana bro mana uko na roho Safi Una Ubinadusi ina yoyote mungu akulinde insha'Allah 🎉🎉🎉🎉uzidi kupenda zatiti wangu❤❤
Nampenda sana Kai zu na zatit msichana mwenye heshima yake nakupenda sana zatit na Tasha mungu amsaidie apone jaman naumia zatiti anaumia sana namchukia sana chiko
@MRTASHA-c2k mwambie host amuhoji maswali mengi ambayo mashabiki huwa wanajiuliza hasahasa kuhusu wewe na yeye 😂 asifanye kama kwako kakuhoj mda kidogo na maswali mengi hajakuuliza akatuacha mashabiki zako haihai hatujapata udaku vizuri 🤣
MrTasha twakupenda sanaa ❤❤❤❤ mm napenda uigizaji wake ucheshi tabasamu...lakini anikera siku moja tu😂😂😂😂😂 alipoambiwa mambo mazuri yy alijibu vibaya kuhusu ujauzito wa mkewe hapo tu ndio alikera bt mungu akubariki sanaa Mr Tasha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbona Zatiti hayupo km kai na Zuu walipendea kai na zuu na Tasha alikuwa ake na Zatiti ingependeza Nakupenda Tasha kumbe Mndereko ww wake zangu hao❤❤❤❤❤❤
Tunakupenda sana kaka... naomba kama hujaoa mchukue Zatiti iwe kweli..na ukiacha mbali na movie Kuna mtu unamtazama kabsa unaona ni mke kweli (Zatiti na Zuu)
Mda mwingine omba maswali kwa mashabiki zako kwa mfano kama unataka kwenda kumhoji zatiti unaweka picha yake ata masaa kadhaa kabla ya kwenda then uliza watu ni maswali gani huwa wanajiuliza kuhusu yeye waandike kwenye comment ili interview zije zikiwa zimeshiba mtu ukisikiliza ufurahie na sio kujutia kupoteza mb zako.
Tunakupenda piya Mr Tasha wetu kwakweli upewe 🥀🥀🥀🥀🥀🥀 t🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥💯 wewe ninoma bwana
Tasha na zatiti kai na zuu nawapenda snaaaaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamanii mister tasha kweli unamahusiano na zatitiy? Ila nawapenden nyotw busati 😍😍endeleeni kuigza munaigz vzli kwa kweli
Nawapenda sana mashabiki zangu wote ❤❤
Kukupenda zaid
Kumbe kakaangu❤mm kijiji Cha mwasemi ,hongera kakaangu Kaz nzuli
@@MRTASHA-c2k nasisi pia lakini umuoe zatiti kama haujaoa
Mrtasha mauwa yko umecheza vyema nakupenda nafatilia nkiwa gulf🎉🎉🎉🎉
Waooooooooo mr tasha
Hongera sana Abdul razak jina lako ni zuri sana mashallah ni mtu mwenye hekma na busara❤❤❤
Mr .Tasha nimependa sana haswa zako,,kiukweli nawapenda sana wana busati Tv ,, house girl imenipa mafunzo mengi sana,,hongera sana,,
Kwa kweli Mr.Tasha we mtu mwengine tofauti sana..yani unahekma na busara..yani mungu azidi kukuza kipaji chako na pia ukupe maisha marefu kaka..kazi yako nzuri sana kakaangu nakupenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
Mr Tasha Yani na ukubali sana uku nabusara na ni mtu ambae unapenda kusimama kwenye ukweli ivo basi nakupenda sana bro mana uko na roho Safi Una Ubinadusi ina yoyote mungu akulinde insha'Allah 🎉🎉🎉🎉uzidi kupenda zatiti wangu❤❤
Hongera saa🎉 Mr.Tasha Nakupenda sana Mr.Genius❤
Nampenda sana Kai zu na zatit msichana mwenye heshima yake nakupenda sana zatit na Tasha mungu amsaidie apone jaman naumia zatiti anaumia sana namchukia sana chiko
Mr Tasha nagupenda sana kaka angu gutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮turakwikundira unacheza bizuli chukuwa 🎉🎉🎉 ametoka mwoyini❤❤❤🙏🏻🙏🏻🫂💞👩❤️👨🤲🏻👏🏻
Mr Tasha napenda sana movie yenu,naomba uhendelee ni nzuri sana
Hongera sana Mr Tasha kwa kazi yako nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤
Ww Tasha usiaeme mnaekekea ukingoni, n venye nmewazoea,naomba muendeleee❤,shabiki wenu kutoka Kenya kisumu,mbarikiwe saaana,
Kipenz chetu cha busati ❤❤❤❤❤
Mr tasha uko na roho safi mungu akubariki sana lakini mbona ujakucha na zatiti
Mr Tasha waonekana mtaratibu sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akupe MAISHA malefu Mr tashaaaaa
Tunakupenda pia MR TASHA love you so much Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio
Mr,' Tasha Masha'Allah ongera sn ❤❤❤mungu akuzidishie zaidi y apo 🤲🤲
Tuletee na zatiti wa Tasha 🎉🎉❤😂
Anakuja soon
@MRTASHA-c2k mwambie host amuhoji maswali mengi ambayo mashabiki huwa wanajiuliza hasahasa kuhusu wewe na yeye 😂 asifanye kama kwako kakuhoj mda kidogo na maswali mengi hajakuuliza akatuacha mashabiki zako haihai hatujapata udaku vizuri 🤣
Mbona chiko na zatt ni wachumba
@@GisellTarimo 😂😂😂 zatiti ni wa Tasha mweee au kwenye real life ni Zatiti wa chiko nin?
@@GisellTarimo 😂😂😂 zatiti ni wa Tasha mweee au kwenye real life ni Zatiti wa chiko nin?
MrTasha twakupenda sanaa ❤❤❤❤ mm napenda uigizaji wake ucheshi tabasamu...lakini anikera siku moja tu😂😂😂😂😂 alipoambiwa mambo mazuri yy alijibu vibaya kuhusu ujauzito wa mkewe hapo tu ndio alikera bt mungu akubariki sanaa Mr Tasha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😅😅😅😅😅😂😂alushaomba msamaha bana usiwe hivyo
Alijib vile kwasababu alikuwa amepata taarifa ya msiba wa mama kendi 😂😂
Mbona Zatiti hayupo km kai na Zuu walipendea kai na zuu na Tasha alikuwa ake na Zatiti ingependeza Nakupenda Tasha kumbe Mndereko ww wake zangu hao❤❤❤❤❤❤
Nampenda Sana Mr Tasha kwani ni mtanashat hongera zake broo chukua mauwa yako 🌹🥀🥀🌹🥀🥀🌹🥀✌️✌️✌️
Mr Tasha na zatiti nawapenda san❤❤❤🎉🎉🎉🌹🌹🌹
Mm siangalii tena tasha wangu haoni❤❤
Napenda style zenu Mr tasha na zatiti bigup❤❤❤
Following From Kenya
My favorite actor in house girl furthermore season 3
Tunakupenda sanaa Tasha kazi nzury
Tasha na zatity 🌼 🌸 maua ni yenu nawapenda kweli 🎉
Tasha ni genius hata nje ya sanaa🎉🎉
Kazana Kaka nakupenda sana ❤❤❤
Wee Kani 😂😂 n'a satiti ni nani wako ❤
Nawakubali sna Tasha vs zatiti ❤❤❤❤❤❤❤
Nakupenda Sana mr Tasha🎉kutoka kenya
Tunakupenda sana kaka... naomba kama hujaoa mchukue Zatiti iwe kweli..na ukiacha mbali na movie Kuna mtu unamtazama kabsa unaona ni mke kweli (Zatiti na Zuu)
Mr Tasha unaonekana ni mcheshi saana. Sbb time yote unacheka tu. Sio kicrani. Tunakupenda saana.🌹🌹🌹
Waoooo zatiti na Mr Tasha kopa ninayoipenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunakupenda pia
Unamuhoji Master 🎉🎉🎉
Hongeren sana timu nzima ya Busat
Tasha na zatiti wanapendezana sana yani❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hata sisi twakupenda sana Mr Tash
Nawapenda wote wasani wa busat tv
Love so much Mr TASHA ❤❤
❤❤ hapo uko sawa Mr Tasha.
Waooo Mr tacha 🎉🎉🎉❤❤❤
Nawapenda nyote mnaweza mashallah
Kai zuu Sania chiko kibendu na dada keyin na muganga kode na bibi zuu na marayika Jamani nawapenda nyot nawasarimia ❤❤❤🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🙌🏻🤝🏻🤝🏻
Tasha ww tosha ❤pia zatiti mkeo❤
🎉🎉 nakupenda sana Tasha
Kipenzi chetu Mr Tasha Aysee Tasha zatiti nawapenda sana Tena sana
Mr Tasha nakupenda sana ❤❤🎉 kotoka 🇰🇪
Mtangazaji jitahidi kukuuliza mtu maswali kumuhusu asizungumzie mtu mwingine wengine hawana balance utagombanisha watu
Mr Tasha my favourite 🎉🎉🎉🎉❤
Tashi zatiti nawapenda sana❤❤❤❤❤
Mnapendezana Tasha na zatiti nawapenda sana
Mashaallah Abdhl Azzy❤❤
Mr Tasha nakukubali sana ndugu ❤❤
Nawapenda wote ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jina la ka angu hilo Mr tasha 🇸🇦 🇸🇦 ❤❤❤
Tunakupenda sana ila nimelia sana nilivyoona mwisho wa hause girl ulivyokua hospitar nimeumia sana.
Mashaallah mister tasha uko vizuri twawapenda sana
Una busala sana brother
Mr Tasha Allah aendelee akukupa hekma na busara maisha maana ni wachache mno wenye nidhamu na maadili kwa jamii
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako mr Tasha
Tasha 🎉🎉🎉🎉 yako bro
Tunakupenda sana tasha good job in
mr tasha na zatityyyyy hongeren san
Mr tasha upo vizuri endelea kupeperusha bendela yetu kusini kaka pamoja sana
Tasha hongera sana naomba hiyo house girl indelee,hongera Kay ,zuuu,
Mr tasha congratulations, mimi kutoka kenya, karibu kenya plz.
mr tasha nakupenda sana
Isee Mr Tasha kazi nzuri
Nakupenda sanaaaana my tasha
From Kenya Mr Tasha nakupenda sana kwa kazi yako
Inshallah
Mr.Tasha mimi nakukubali sana lakini usimpe nafasi mr Chiko anaonesha ni mnafiki sana.
Kwa mm fadhili nampenda sana mr tasha ana hekma na busara MUNGU azidi kukulinda na akuze kipaji chako In shaallh amiin
Inshallah
Tunawapenda wote wana busati tv
Twakupenda pia Mr tasha
Uyo...kibokoo...tashaaa....busara...kweli
Mda mwingine omba maswali kwa mashabiki zako kwa mfano kama unataka kwenda kumhoji zatiti unaweka picha yake ata masaa kadhaa kabla ya kwenda then uliza watu ni maswali gani huwa wanajiuliza kuhusu yeye waandike kwenye comment ili interview zije zikiwa zimeshiba mtu ukisikiliza ufurahie na sio kujutia kupoteza mb zako.
SHUKRAN KWA HILI TUNALIFANYIA KAZI NA TAYARI TUMESHAWEKA PICHA YA ZATITY NA TASHA KWA PAMOJA KUOMBA MASWALI KUTOKA KWENU MASHABIKI 🙏🙏
Good job umeeongea point 👉
kweli nawapongeza kabisa mumenifundisha mengi.
Kaka Tasha nakuku bari we na Zatiti maua yenu🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤chukua Maya yako
Mr tasha must shine
Asante sana
Nakupenda sana Mr tasha we ni mstaharabu sana
Duuuh huyu kaka anauliza maswali ambayo haitakiwi ata yasemwe kwa public😁😊😊
Mr Tasha ni muigizaji mzuri saana. Hana baya kabisa.
Mr Tasha nakupend xana Allah akulinde
Tunampenda sana Tasha na zatiti Kai na zuu
Mara zatiti mke wa chiko mara wapenzi na tasha tuelew nn hapo😅
Nampenda sana mr tasha jamn
Wife Yuko wp
Tasha ana onekana mwanaume msitarab Sana❤️
Tasha na zatiti na wapenda sana
Hapo🌹🌹🌹🌹🌹🌹👌
Nawapenda nyiyi ote kwasababu tunajifunza mengi kupitiya iyo filamu
Asantee Kwa muendelezo mm wasanii wote nawapenda 🇰🇪🇦🇪
❤❤❤❤❤nakupa maua yako
Wewe Tasha wewe mbona mkeo hayupo jamani